26 June 2024
1:05
14 күн бұрын
MITAMBA KWA BEI POUWA...
1:15
Ай бұрын
CAGE /KEJI ZA ASILI (LOCAL CAGES)
2:01
Пікірлер
@adkajisi4536
@adkajisi4536 2 күн бұрын
Je kuna ng'ombe wanaoweza toa maziwa Lita 20-24 kwa mwaka bila kupunguza. Mimi nafuga ng'ombe lakini huanza kutoa Lita 16 lakini zinashuka hadi kufika Lita 5
@adkajisi4536
@adkajisi4536 3 күн бұрын
Je ng'ombe anayetoa lita 20 kwa siku, anaweza kumantain kwa mwaka mzima ?
@jumakivuma5247
@jumakivuma5247 5 күн бұрын
mnapatkana wapi?
@DavidMelami
@DavidMelami 14 күн бұрын
ngap
@rogathesarwatt
@rogathesarwatt 16 күн бұрын
Ninalo mashine kama hilo
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 14 күн бұрын
Saafii hii ni swaaafii kabisaa
@martinkihumbe
@martinkihumbe 22 күн бұрын
Lengo langu ni kufuga ng'ombe wa maziwa hapa Dodoma. Nahitaji mambo yafuatayo kama muongozo kabla ya kuanza. 1. Ujenzi wa mabanda bora ng'ombe (structures, vipimo N.K) 2. Kununua breed bora (Napats wapi ng'ombe wa kununua wenye ubora? Ushauri kuhusu idadi ya kuanza nayo) 3. Feeds (malisho) Mko wapi?
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 22 күн бұрын
Habari mkuu hayo yote yanawezekana Sisi Tupo Dodoma unaweza pigs simu au kufika Kabisa shambani kwetu na hayo yoote utuyapata. Karibu Sana 0654484175.
@martinkihumbe
@martinkihumbe 22 күн бұрын
Sawa, asante. Nitafika
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 22 күн бұрын
Karibu sana
@mchmwal...z.a.ndelwa7838
@mchmwal...z.a.ndelwa7838 Ай бұрын
@kayandasson2155
@kayandasson2155 Ай бұрын
Nahitaji ngombe wa maziwa ya kufuga. Niko mwanza, naweza wapata? Na gharama kiasi gani?
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 Ай бұрын
Unapata mkuu bei ziko tofautitofauti kulingana na uwezo na Tunauza wakiwa na Mimba wananzia 2.5M nakuendelea piga simu Kwa maelezo zaidi 0654484175.
@LukaMwandolela-xv2jh
@LukaMwandolela-xv2jh Ай бұрын
Sana Josasa
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 Ай бұрын
Nakubalii
@eliaspallangyo3874
@eliaspallangyo3874 Ай бұрын
Bei zikoje
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 Ай бұрын
0654484175
@josephmabeyo2987
@josephmabeyo2987 Ай бұрын
Shamba like eneo gani dodoma
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 Ай бұрын
Dodoma Nzuguni mkuu karibu na stand ya mabasi mkoa wa Dodoma
@ElyudiMaiko
@ElyudiMaiko Ай бұрын
Wapi uko
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 Ай бұрын
Tunapatikana Dodoma mkuu
@SophiaSteven-nc1li
@SophiaSteven-nc1li Ай бұрын
Unauza sh ngap yai Moja au trei
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 Ай бұрын
Dodoma mkuu
@asalilemwakasala3391
@asalilemwakasala3391 Ай бұрын
Samahani ,Upo mtaa ,kijiji gani Dodoma?
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 Ай бұрын
Dodoma -Nzuguni karibu kabisa na mradi wa nyumba 3500 wa serikali
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 Ай бұрын
0654484175
@asalilemwakasala3391
@asalilemwakasala3391 Ай бұрын
Nahitaji kujifunza kwako kabla sijanunua hao ng'ombe .kwa vitendo.
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 Ай бұрын
Inawezekana karibu saana 0654484175.
@godfreygodwine9148
@godfreygodwine9148 2 ай бұрын
Unapatilana wapi kaka
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 2 ай бұрын
Dodoma mkuu
@DavidMelami
@DavidMelami 2 ай бұрын
wap anapatikanaa
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 2 ай бұрын
Ndio yupo 0654484175
@WitnessNnko
@WitnessNnko 2 ай бұрын
Mfano Mimi Niko mwanza soko nafanyaje la maziwa maana naona watu wanaangaika
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 2 ай бұрын
Tutakupa muongozo mzuri kuhusu utaratibu wa soko usijaali
@CreshaRevelian-wb6ky
@CreshaRevelian-wb6ky 2 ай бұрын
Noted
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 2 ай бұрын
Karibu sana...
@WitnessNnko
@WitnessNnko 2 ай бұрын
Nikihitaji mafunzo naweza yapata hapo shambani kwako?
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 2 ай бұрын
Naaam inawezekana kabisa 0654484175.
@WitnessNnko
@WitnessNnko 2 ай бұрын
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 2 ай бұрын
❤❤
@WitnessNnko
@WitnessNnko 2 ай бұрын
Wewe unauza wapi maziwa ya ngombe wote hao
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 2 ай бұрын
😅😅😅 Masoko ni mengii Saana ushindwe wewe tuu... Ukinunua Ng'ombe kwetu tunakupa na soko kabisaa😅
@ayubuidd359
@ayubuidd359 Ай бұрын
Mm nataka ndama wa miezi 8 mpaka 10 hao nao mnauza
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 Ай бұрын
Kwa SASA hapana mkuu ni Mitamba zaidi...
@eliapendaelisantemariki8823
@eliapendaelisantemariki8823 Ай бұрын
@@josasafarms.4718 Mitamba ni bei gani? Wana mimba?
@adsoncharles7335
@adsoncharles7335 2 ай бұрын
Mnapatikana mkoa gan
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 2 ай бұрын
Tupo Dodoma mkuu karibu Sana 0654484175
@joseesiara9012
@joseesiara9012 2 ай бұрын
Mnapatikana wapi mkuu?
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 2 ай бұрын
Tunapatikana Dodoma Mkuu
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 2 ай бұрын
Tunapatikana Dodoma Nzuguni...
@EmmanuelDaffi
@EmmanuelDaffi 2 ай бұрын
Shingapi
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 2 ай бұрын
Bei zinatofautiana kulingana na idadi ya kuku unaweza kuwasiliana nasi ili kutumiwa makadirio ya gharama Kwa WhatsApp
@blezywatino1043
@blezywatino1043 2 ай бұрын
Nampataje nahitaji hiyo mbegu.
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 2 ай бұрын
Inakufikia popote ulipoo mkui Unaweza kutupigia simuu 0654484175
@Chalambosheby
@Chalambosheby 2 ай бұрын
Japo sijaanza kufuga lakini nashukur Kwa idea 💡💡💡 nzuri
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 2 ай бұрын
Karibu saana...kiongozi
@user-by4up9zj4v
@user-by4up9zj4v 2 ай бұрын
Mbona lipo hivyohovyo
@user-mo1ly9bm9d
@user-mo1ly9bm9d 2 ай бұрын
Kegi moja bei gan
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 2 ай бұрын
Inategemea na ukubwa wa Banda pamoja na idadi ya kuku Tupigie simu au chati nasi what's App Tukutumie quotation (makadirio ya gharama)
@UfugajiBoraTV
@UfugajiBoraTV 2 ай бұрын
Big up josasa farms
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 2 ай бұрын
Makini saana mkuu🎉
@ezekielshija9251
@ezekielshija9251 3 ай бұрын
Kaka umejitahidi lakini hujaweka neck rail na brisket locator.hii yaweza pelekea Ng'ombe akakataa kutumia hizo cubicles. Endelea kufanya mabolesho ili waweze kupata comfort
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 3 ай бұрын
Nashukuru saana Mkuu ...well Noted
@elijahmakuku6555
@elijahmakuku6555 3 ай бұрын
Mayai unauza je
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 3 ай бұрын
WEUPE -40000/= TREY MADOA -30000/= TREY WEUSI-5000/= YAI MOJA.
@elijahmakuku6555
@elijahmakuku6555 3 ай бұрын
na vifarang weupe unauza je mimi niko arusha
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 3 ай бұрын
@@elijahmakuku6555 0654484175 mkuu
@alfredjoshua8625
@alfredjoshua8625 3 ай бұрын
Hongera sana mwezeshaji. sijui mnapatikana mkoa gani? hao wanaotoa lita 20 kwa siku wanaweza kufika kiasi gani.(Bei )
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 3 ай бұрын
Shukrani saana mkuu Tunapatikana Dodoma mkuu Nzuguni karibu na stand mpya ya mkoa ... Bei wanaanzia Milioni tatu mkuu bei inapungua kulingana na idadi ya mitamba unaochukua kwa mara Moja.
@alfredjoshua8625
@alfredjoshua8625 3 ай бұрын
ok, nimeelewa nitafika maana hata mimi niko katoka huu mkoa.
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 3 ай бұрын
@alfredjoshua8625 Karibu saana
@LucreciaKimario
@LucreciaKimario 3 ай бұрын
Mimi nipo mkoa wa Arusha ninahitaji hao kuchi ñawapataje?
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 3 ай бұрын
Unawapata boss tunakutumia kwa bass
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 3 ай бұрын
0654484175
@user-qg7gj5om4e
@user-qg7gj5om4e 3 ай бұрын
Very good
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 3 ай бұрын
Shukrani saana Mkuu
@UfugajiBoraTV
@UfugajiBoraTV 3 ай бұрын
Big up kaka 👏
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 3 ай бұрын
Nakubali Familiaa
@boyangotz7311
@boyangotz7311 3 ай бұрын
Mpo wap?
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 3 ай бұрын
Tupo Dodoma boss
@fabianmihale3715
@fabianmihale3715 3 ай бұрын
NI sh ngapi kifaranga mwezi mmoja
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 3 ай бұрын
Kifaranga wa mwenzi mmoja 50000/= boss
@sharofred7473
@sharofred7473 4 ай бұрын
Need one
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 4 ай бұрын
Your welcome brother
@user-lk3fg1yo3p
@user-lk3fg1yo3p 4 ай бұрын
Nifundishe ufugaji wa kuku mm
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 4 ай бұрын
Karibu saana inawezekana 0654484175.
@SalumMzee-mu7zt
@SalumMzee-mu7zt 4 ай бұрын
Pia anakuwa kichwa kikubwa sio chembamba wala hawi na manyoa mingin
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 4 ай бұрын
Sawa sawa mkuu Shukrani Kwa kuongeza Siri za Kuchi original,🙏🙏🙏👍
@fabianmihale3715
@fabianmihale3715 3 ай бұрын
Bei zikoje kuchi ambae anakaribia kuwika
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 3 ай бұрын
@@fabianmihale3715 bei zinatofautiana kulingana na Umri Tupigie simu 0654484175.
@machasofficialsite6221
@machasofficialsite6221 13 күн бұрын
​@@josasafarms.4718taja bei anaekaribia kuwika
@stevenmgomi6063
@stevenmgomi6063 4 ай бұрын
Broo asante kwa elimu ya ufugaji bora
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 4 ай бұрын
Karibu saana my brother Barikiwa sana.
@bestcakes7098
@bestcakes7098 4 ай бұрын
Hongera sana mfugaji
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 4 ай бұрын
Nashukuru sana ndugu
@orestkibiki7528
@orestkibiki7528 4 ай бұрын
🤛
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 4 ай бұрын
Nakubali Familiaa
@orestkibiki7528
@orestkibiki7528 4 ай бұрын
Keep it up
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 4 ай бұрын
Thank you so Much my Brother
@orestkibiki7528
@orestkibiki7528 4 ай бұрын
Good very good.
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 4 ай бұрын
Thank you sir
@orestkibiki7528
@orestkibiki7528 4 ай бұрын
Keep it up
@orestkibiki7528
@orestkibiki7528 4 ай бұрын
Very nice👏👏👏👏
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 4 ай бұрын
Thank you my brother
@hamisi.josaphat.katuunzima1714
@hamisi.josaphat.katuunzima1714 2 ай бұрын
Bei gan
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 2 ай бұрын
@@hamisi.josaphat.katuunzima1714 750,000/= karibu sana 0654484175.
@bestcakes7098
@bestcakes7098 4 ай бұрын
Hongera sana kwa ufugaji
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 4 ай бұрын
Shukrani Sana ndugu karibu sana
@richardnkanda3092
@richardnkanda3092 4 ай бұрын
Cage ya kuku 5000 inaweza kua bei ganii? Nipo BUKOBA
@josasafarms.4718
@josasafarms.4718 4 ай бұрын
Boss inategemea na ukubwa wa Banda lako mkuu ila gharama haziwezi kua juu Sana kwa idadi hiyo ya kuku Tupigie simu 0654484175.