Shukrani sheikh wangu ALLAH akuongoze uzidi kutuelimisha inshaallah
@salmalaga31322 жыл бұрын
Nimejifunza kitu Leo mungu akubaliki nilikuwa naogopa kuswali kwakutojua Dua ya ufunguzi waswala najua napoteza muda ngojanikazane kuijua zaidi alahamdu
@mohamedjuma37484 жыл бұрын
Duh.kunaviburi wengine ndohawato xema kabsaa hasa mabingwa was swala
@halimayusuph89514 жыл бұрын
mashaalah wengi tulikua tunaogopa kuswali hatujui hizo dua kipekeee umenisaidia sana
@iddimngazija1957 Жыл бұрын
Allah Akujaze kila lakheri Insha-Allah
@musayahya7024 жыл бұрын
Shehe unaongea vizuri mashallah ila wazo langu mimi watu wengi hawapendi kujifunza hivyo watu wakisikia hivyo watasali kama walivyokusikia dk 2 wamemaliza ,ila ni busara zaidi tuswali kama alivyokuwa anasali kiongozi wa uuma muhammadi s.a.w
@abdul-rahmanfakijuma18794 жыл бұрын
Nikweli maneno yako, ao wanaoambiwa watakopy na kupest, vyema wenye elimu, wangefundisha alivyofanya kiongozi wa umma ikiwa ni pamoja na sinnah mengine watu waende madarsa
@issakawaya83154 жыл бұрын
Nimeku miss nipo Kenya inshaallah kheri narudi imam wangu
@salehsuley35934 жыл бұрын
Ww ni fundi na unasaidia wengi allh akuongezee elim zaid ya hapo
@magrethpaul9754 жыл бұрын
Nimekuelewa sana Shekhe Wng
@saidsoud59674 жыл бұрын
Namuona shekhe wng Abdallah hua nampenda sana
@iddathuman56134 жыл бұрын
Unampenda mjinga??
@emmyyahya83584 жыл бұрын
Mashallah mashallah Allah atufanyie wepesi
@rafiqrazia24454 жыл бұрын
Sala yng ilikuwa was was sana umenisaidia sana
@athumanmvulla49474 жыл бұрын
Mashaallah wajina Allah akuzidishie
@mbarakaali29834 жыл бұрын
Assalam alyekum Mashaallahu sheikh wangu othaman ibn Khamici Allah ukulipe Pia na sisi amin amina Amina ya Allah
@muhammadahmedaliyyu38544 жыл бұрын
Man'sha Allah tabarka Allah 👏
@hassansaid99254 жыл бұрын
Na'aam sheikh,,,, jazaakallahu likhayr
@binismail85274 жыл бұрын
Swaluuu kamaa ra-aytumuunii uswallii
@sarumdogotwaasaru15504 жыл бұрын
ninakupata vizuri kabisa shekhe tunashukuru kwaerimu yako mungu akupewepesi
@noshadysaid24934 жыл бұрын
Ishaallah Allah atufanyie wepesi
@chusseboywcb28084 жыл бұрын
Mungu akuongezee
@rukiamohammed50314 жыл бұрын
Shukran shekhe kwa kutuelimisha na allh atakulipa Inshallh
@asiaidi37004 жыл бұрын
mashaallah sheikh Athuman
@user-dx5lz6du4y4 жыл бұрын
Shukran shekhe
@halimayusufu63054 жыл бұрын
Nimekupenda mashallah Allah akupe umri mrefu.ila naomba tu unisaidie ninajua sura alfatiha na Qulallah swamaad ila kitu kinacho nishida zile rakaa kuinama nafanyaje
@muhammadahmedaliyyu38544 жыл бұрын
BAARAKA LLAHU LAKA FII AHLIKA WA MAALIKA ❣️
@tiffahmakwega79574 жыл бұрын
Shekhe Wangu nakupenda kwa ajili ya allah
@omaryusuf78134 жыл бұрын
Mashallah
@zayanabakari79484 жыл бұрын
Mashaalah
@sharifaabdallah20104 жыл бұрын
Allahmullah nimejifunza
@user-ro8ul2we9c4 жыл бұрын
Masha Allah
@mohamedyyacn54554 жыл бұрын
امينه العيسى inshaallah
@amnajugbar7394 жыл бұрын
MAA SHAA ALLAH
@sheikhabdulwaliyusuleiman34082 жыл бұрын
Alhamdulillah
@sarakuchanda96054 жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah MashaAllah shukran
@allymdiu5914 жыл бұрын
masha allah elimu nzuri sana
@kabeziadamu56094 жыл бұрын
Mashaalaaa
@masasionlinetv18254 жыл бұрын
Nimejifunza na jamb bor sana
@mauabeka49584 жыл бұрын
Shukran ustadh
@takdirmohd56344 жыл бұрын
Asante maalim baaralallah
@jamil15474 жыл бұрын
Alhamdu lillahi , nimekuelewa sana Allah bless you and your family
@halimayusufu63054 жыл бұрын
Mininachoomba mngetoa complete Salah Yani swala ya Kwanza mpaka ya mwisho tungeona mnavyoswali ingekuwa rahisi sana mgetusaidia kuna wengine vichwa vigumu kama Mimi
@seifali47834 жыл бұрын
Faisal Mohammed wewe sheehe itakua hujamulewa alichotofautisha ni nguzo na sunna. Na sheehe hajasema tuache. From kigamboni dar.
@mwabwagizojaytummumwabwagi71824 жыл бұрын
Mashaallah nimejifunza kitu kutoka kwako sheikh shukhurn 👂👂
@hassanharuna15194 жыл бұрын
Masha Allah sheikh anafundisha vizuri Allah akupe kher na baraka zake umri murefu ya rabby
@ilhamshaib30994 жыл бұрын
Maashaallah Uko vzur
@dadarehema59014 жыл бұрын
Mashallah
@najialumumba5354 жыл бұрын
Shukuran
@khadejarajab80074 жыл бұрын
Mashaallah
@habibuamiri75934 жыл бұрын
Naam
@yuusufsharipha54584 жыл бұрын
Namuelewa sana shekhe huyuuu
@hassancharo14964 жыл бұрын
Daudi Juma sharti uelewe mana ya faradhi na sunna shekhe ameeleza mambo yanayo vunja swala ambazo ni nguzo hizi nilazima naucpo Fanya hauna swala na mengine haya vunji ambazo ni sunna
@laylasuliman58054 жыл бұрын
Kwann mmepunguza sauti ya huyu shekhe hatusikii kama mwanzo
@Moblacful2 жыл бұрын
1. TAKBRITUL IHRAMI - ALLAHU AKBAR 2. KIRAATU AL FATIHA 3. ATASHAHUDU AKHIRU 4. ATASLIMATUL AL UULA
@mikidadsadallu7248 Жыл бұрын
Alhamdulillahi
@jamlaashiri3724 жыл бұрын
Mashaallah,Mashaallah
@mbarakaali29834 жыл бұрын
السلام عليكم ورحمة الله يا أخوت
@hassancharo14964 жыл бұрын
Seif Alii umemuelewa shekh kama nilivyo muelewa mm
@blackberryberryblack90934 жыл бұрын
Allah akbar
@hamidahamida14734 жыл бұрын
Subhanalha mashalha
@hamidahamida14734 жыл бұрын
AlhahuAkbaru
@saidwaziri4679 Жыл бұрын
Mashallah shukuran😂😂
@muhidinsaid4384 жыл бұрын
Mambo ya lazima katika sala! 1.Takbira tul ikram 2.Sura tul fatkha(ALLHAMDUH) 3.Atahyatu ya mwisho katka sala yenye rakaa zaidi ya mbili (dhuhr,asri,magharb na isha) 4.Salamu ya Mwisho! (badaa ya atayhatuh! )
@humudmarhoon80442 жыл бұрын
Vipi kuhusu tahiyyatu ya mwisho
@rahimakhalid96684 жыл бұрын
Ma sha Allah
@mariamaaa49494 жыл бұрын
Manshaallah
@ahaji91572 жыл бұрын
Shukran shekhe Allah akupe mamakazimema peponi
@halimayusufu63054 жыл бұрын
Lingine lazima kutia nia kwenye swala
@mbarouksalim1568 Жыл бұрын
5
@makabilladee7693 Жыл бұрын
Watu wazima😂😂
@faisalmohamed17634 жыл бұрын
A,a ndugu tusidanganyane tukaharibiana ibada, kwanza sunnah ziko ainangapi? isitoshe nyinyi wapenzi wakubwa wa mtume s.a.w, jee maana ya (Atiu LAHH wa atiu rasul) ni nini? mtume aliposema (swalu kama raitumuni uswali) alimaanisha nini? jee waipinga amri ya ALLAH na ya mtume s.a.w? tahiyatu ya kwanza ukisahau haikuvunji swala wala sikosa kusahau wala hutoirudia ila utaleta sijda ya kusahau mwisho, sasa wewe wafundisha watu wakita wafanye na wakitaka awache, swalu kama raitumuni uswali, atiu LLAH wa atiu rasul.
@ramangadu64514 жыл бұрын
Faisal Mohamed Sikiliza Vizuri Haujaelewa Uliza wewe Unafutwu Mas'ala. Tusiwe Kama Nzi Kufuata Uchafu. Tuwe Nyuki Kutoa Asali. Tusome sana tusipende kukosoa Sana.
@faisalmohamed17634 жыл бұрын
@@ramangadu6451 A,a kaka kama sijaelewa ungenielewesha, bizo sunnah alizozitaja amesema silazima kuzitenda kwenye swala, sunnah zatofautiana, musiwe mashabiki tu, la sawa mushabikie makosa mushabikie fungueni macho sio kwenda kiupofu upofu.
@ramangadu64514 жыл бұрын
Faisal Mohamed Ndugu Hugo Bwana Mkubwa Yupowazi. Kimazungumzo Labda ninamna kumuelewa Alichozungumza Nivitu vilivyo vya Lazima ndani yaswala lau utaviacha kwamakusudi au bakhti Mbaya Swala huna. Nakuna vingine kwamaana nisunna hata ukivisahau havita haribu Swala. Hana uyaache lakini nilazima. Hata kwenye kuuchukua Udhwu Kuna wajibu Na Sunna nanilazima tujue hii sunna nahuu niwajibu. WALLAH AALAM.
@faisalmohamed17634 жыл бұрын
@@ramangadu6451 A,a ndugu, sunnah zatafautiana sio sunnah zote ni hiyari kutekeleza, Isitoshe mtume s.a.w alisema (mwenye kuwacha sunnah zangu sio miongoni mwetu), kwa kusahau sio kosa kwa kusudi ni kosa.
@faisalmohamed17634 жыл бұрын
@@ramangadu6451 tena mwashangaza sunnah muziwache uzushi muuvae, mafundisho ya mtume s.a.w mumpendae muwache mafundisho ya wazushi mufuwate, ALLAH katoa amri imekuwa amri hio ilichelewa silazima.
@iddathuman56134 жыл бұрын
huyu sheikh ni mjinga ktk wajinga wakubwa hafai kusikilizwa
@ibraringi80724 жыл бұрын
inshallah ingekua vzr km Ungemuombea dua Allah amsamehe, Alaf utupatie yaliyo mazuri TUJUE alipo kosea.
@wemakalamu35384 жыл бұрын
Dah kuna vitu najiuliza katika haya mawaidha ya swallah kila leo mapya tufanye nini sasa vingiozi ndio hao. Jamani mwenyeezi mungu nisaidie swallah yangu uipokee kwa kweli. 🤲🤲🤲🤲