Usifanye Mambo Haya Mazishini Sio Kazi Yako - Sheikh Othman Khamis

  Рет қаралды 83,093

MASJID MTORO ONLINE TV

MASJID MTORO ONLINE TV

4 жыл бұрын

Пікірлер: 108
@eddyjustin5890
@eddyjustin5890 4 жыл бұрын
Wallahi sheikh maneno yako ukiyatoa mdomoni mwako yanapenya mojakwamoja ndani ya kichwa changu ,nakupenda kwa ajili ya allah
@ismailchingoda9653
@ismailchingoda9653 4 жыл бұрын
Unafundisha kwa ufasaha na unaeleweka, Allah akuongoze na akupe msimamo thabiti.
@sendarokhatwibu5107
@sendarokhatwibu5107 4 жыл бұрын
jambo hili la ndoa sheikh ni hakika limevugika allah akuongoze katika kulieleza hili in shaa Allah
@amanafi1288
@amanafi1288 4 жыл бұрын
Sheh Allah Akuongoe.. nami nakulipa kwa kusheah clip hii kwa Ndg na Jamaa zangu wengi kadri Mungu atavonijaalia Inshallah.
@abedisalumu2295
@abedisalumu2295 4 жыл бұрын
Allah atuongozee sisi waja Wako na utupe mwisho mwema na usamehe ummati Muhammad s.a.w waliyo tangulia mbele za haqi
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 4 жыл бұрын
Amiin
@raiye5621
@raiye5621 4 жыл бұрын
Allahumma Amina inshallah
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 4 жыл бұрын
Sheikh napenda lafidhi yako siachi kukusikiliza am fan number One 👍👌
@jamilaali5741
@jamilaali5741 4 жыл бұрын
Jazakallah kheir sheikh
@mrishoyawmein4592
@mrishoyawmein4592 2 жыл бұрын
Masha allah.. shk anaufasaha sana katika kuongea.. allah amzaje kila la kheir..
@zamdinkilala8790
@zamdinkilala8790 4 жыл бұрын
اللهم صل وسلم وبارك على نبينا محمد وعلى آله وأصحابه وسلم صلاة تحل بها عقد وتفرج بها كربي
@jamilanassoro8408
@jamilanassoro8408 4 жыл бұрын
Jazzakkallah kheir Sheikh wetu MashaAllah mawaidha yako yana mpangilio mzuri,InshaAllah Allah atujalie masikio yenye kusikia na kuyafata yaliyo mema.
@arafaibwende2513
@arafaibwende2513 Жыл бұрын
Jazakallau kheyr!! Shekhe wallah umesema jambo linalogusa mioyo yetu! Dah!
@violetlihanda9935
@violetlihanda9935 4 жыл бұрын
Shukran kwa darsa nzuri muno .Allah atuongoze katika mambo ya kheri na mwisho mwema in shaa Allah
@swabriali4583
@swabriali4583 4 жыл бұрын
MashaAllah nimefaidika na mawaidha
@zainabmkomwa3313
@zainabmkomwa3313 4 жыл бұрын
Mashaallah Shukran Shekh Allah atuongoze tuweze kuyazingatia haya na atujaalie mwisho mwema
@khamisiamri5722
@khamisiamri5722 4 жыл бұрын
Zainab Mkomwa I
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 4 жыл бұрын
Amiin
@joharihessen1143
@joharihessen1143 4 жыл бұрын
Mashallah shekh Allah akupe kila lakher shekh
@rukiamatano7764
@rukiamatano7764 3 жыл бұрын
"Mashaallah shekh wetu,Allah akupe umri mrefu uzidi kutuelimisha zaidi..Na Allah akuandalie jannatul firdhaus.
@shammoha5297
@shammoha5297 4 жыл бұрын
SubhanAllah. Wallah! Sheikh upo sawa kabisaaa!!!. Mola atusitiri atupe imaan na subra. Huruma kw wenzetu pia, Ameen yaa Rabbil Alamiin
@user-qe8xp6ii1u
@user-qe8xp6ii1u 4 жыл бұрын
Umeongea Kitu muhimu sana Mana Wakisema Misikiti ya Sunna Hapo Pangetiwa Indaa.Shukraan Kwa Kuwafundisha Wenzio kuwa Hakuna Maneno(Duwa) ya kushona Sanda wala Kuosha.
@mariamjuma3684
@mariamjuma3684 3 жыл бұрын
Swadaqta yaa shekhuna wa barakallahu feek
@esharjab1044
@esharjab1044 4 жыл бұрын
Ewe Allah tuonyeshe haki kuwa n hakiutuwezeshe kuweza kuifwata.na batil utuepushe tuweze kuiacha . Aamiin.shukrn Allah baq
@abdallahjuma8168
@abdallahjuma8168 4 жыл бұрын
Maa Shaa Allah . Allah akulpe kheir
@ramadhaniamour4834
@ramadhaniamour4834 3 жыл бұрын
Naaam swadkta shukran🙏
@swaumumohammed5710
@swaumumohammed5710 4 жыл бұрын
Allah Akuhifadhi shekhe wetu kunawatu wanatia ugumu uislam wetu 🕋
@johariabdalla3319
@johariabdalla3319 4 жыл бұрын
Shukran sheikh kwa kutujuza na kutufunza,wengi wao wengine wanakwenda ili waonekanwe tu kama wamehudhuria,lakin kweli mengine hawayajui,Ni wachache tu wanojielewaa
@azizimwarami2741
@azizimwarami2741 4 жыл бұрын
Shukran kwa darsa zuri nimekuelewa M/Mungu akupe umri mrefu uzidi kutupa faida
@AbdulAbdul-vp2np
@AbdulAbdul-vp2np 4 жыл бұрын
Mashallah sheikh mawaidha mazuri sana Allah akulipe kila la kheri na akuepushe na kila la Shari Inshallah
@asiaissa976
@asiaissa976 4 жыл бұрын
Shukran yaa sheykh jazakallahu khayra nimeelika alhamdulillah
@khadijaiddi4887
@khadijaiddi4887 4 жыл бұрын
Maa shaa Allah jazaka Allah kheir sheikh
@mwanakheri2880
@mwanakheri2880 3 жыл бұрын
Maa sha allah Tabaarakallah. Mngu akuzidishie kheir kwa kutupa faida
@nahyanhareb4053
@nahyanhareb4053 4 жыл бұрын
Shukran Sheikh .
@salumothman7548
@salumothman7548 4 жыл бұрын
Shukrani sheikh nimekuelewa inshaallah
@bundalahamza8902
@bundalahamza8902 4 жыл бұрын
Shukran sheikhe Othman
@ghulamjuma2883
@ghulamjuma2883 4 жыл бұрын
Mashallah Mwenyezi Mungu akuzidishie Shehe
@ashooraashoora1180
@ashooraashoora1180 Жыл бұрын
Jazzakumllah Khery
@halimayusufu6305
@halimayusufu6305 4 жыл бұрын
Mawaidha mazuri mpaka machozi yalitaka kunitoka nikikumbuka kwanini sikuwahi kuipata mapema elimu ya mwenyezi mungu mama yangu alifarika nilikuwa kumwona Tanzania nilivyoondoka kama week 2 akafariki baadae nikawa nasililiza mawaidha nikasema ewe mwenyezi mungu nisamehe makosa yangu nilitamani hata ningembusu na kumwosha mwenyewe
@farajisureman9925
@farajisureman9925 4 жыл бұрын
Allahu Akbar.Ahsante kwa shule.
@kambangashaibu5475
@kambangashaibu5475 4 жыл бұрын
Mashaalah sheikh,m,mungu atupe mwisho mwema inshallah
@osamashakeeb7194
@osamashakeeb7194 4 жыл бұрын
Masha Allah
@michaelmahindi9097
@michaelmahindi9097 4 жыл бұрын
Jazakallah khair
@mirajihamza2892
@mirajihamza2892 5 ай бұрын
Maashallah jazaakallahu khaira
@bebisheni4380
@bebisheni4380 4 жыл бұрын
Asante Shekhe mwenyezi mungu akubarik
@samanthaali873
@samanthaali873 4 жыл бұрын
Subhna Allah shukran
@Ukhtyzuhura
@Ukhtyzuhura 4 жыл бұрын
Allah akuhifadhi sheikh wetu
@assoumantuyishime6840
@assoumantuyishime6840 2 жыл бұрын
Shukran
@shabanijuma2085
@shabanijuma2085 2 жыл бұрын
Allah akulipe badala
@fakisuleiman8038
@fakisuleiman8038 3 жыл бұрын
Mashallah tunashukuru shekhe wetu
@abedisalumu2295
@abedisalumu2295 4 жыл бұрын
Allahu Akbar
@osamashakeeb7194
@osamashakeeb7194 4 жыл бұрын
Allah akulipe pepo
@shakirazuberi2467
@shakirazuberi2467 4 жыл бұрын
Masha-allah
@salummwanjali3207
@salummwanjali3207 4 жыл бұрын
Allah akufanyie wepesi kwani ni kitu kikubwa ulicho kitoa kuhusu mwisho wa binadam kuosha hapo ikifika steji hiyo.mtatafutana kwelikweli
@ocroafff5527
@ocroafff5527 4 жыл бұрын
Mashallah
@user-ll4rz8ug1g
@user-ll4rz8ug1g 4 жыл бұрын
Shukran kwa ukumbusho pia shukran kwa kueleza ya muhimu umewapa ukweli umechana live bila ya chenga maana wangesema wa watu wa sunnah mngetia indaa lkn nyie wenyewe kwa wenyewe mnapeana dozi
@yusuphmohamed5541
@yusuphmohamed5541 4 жыл бұрын
سعد المنجي lengo lako ni nn
@asiaissa976
@asiaissa976 4 жыл бұрын
اللهم صلى على سيدنا محمد وعلى ال محمد
@user-lr1oi6xp8o
@user-lr1oi6xp8o 4 жыл бұрын
صل الله عليه وسلام 🙏 😎
@abumoyo840
@abumoyo840 4 жыл бұрын
Mashaallah
@salehkhamis3318
@salehkhamis3318 3 жыл бұрын
Mashaa Allah
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 4 жыл бұрын
mashallah
@hassaniharuna5328
@hassaniharuna5328 4 жыл бұрын
Mungu akulipe pepo
@swaumukareemu9247
@swaumukareemu9247 4 жыл бұрын
Haya ndio mawaidha ya kutufundisha
@salumungare8375
@salumungare8375 4 жыл бұрын
Sawasawa sheikh.
@laylasuliman5805
@laylasuliman5805 4 жыл бұрын
Nikweli shekhe unajua kupangilia maongezi
@khalfansharji9790
@khalfansharji9790 4 жыл бұрын
Allahumma ihfadhu umat MUHAMAD Allahuma Ameen.Ndoa nyingi za waisilamu na hata vizazi vingi katika uisilamu ni mashaka matupu mkivichakura chakura mtaja wakuta hata mashekhe wamo wengi wa nje yandoa na kama wamo ndani ya ndoa lakini ni wa kharamu ATTANTION:::::Acheni mijadala ambayo sio muhimu ktk umma bora zungumzeni ya kukosha.Maana ya halali ya ndoa tukiwapanga masheikh 10 yawezekana 9 mashaka mwacheni allah ajuwe wa halali na waharamu sisi tuelimisheni kwa yajayo yalopita mwachieni ALLAH EEEH Mashekhe!!!
@nasirirashidi2633
@nasirirashidi2633 4 жыл бұрын
Sheikh je kusindikiza JENEZA ?
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 4 жыл бұрын
tupe vidonge vyetu sheikh, tuchane live
@abusaeed9037
@abusaeed9037 4 жыл бұрын
Benny Mochiwa wacha ww
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 4 жыл бұрын
Maashaallah
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 4 жыл бұрын
@@abusaeed9037 ndio ukweli huo sheikh wangu
@maryammaram2612
@maryammaram2612 4 жыл бұрын
Mim napenda kuosha lkn pia nilikuwa najua kuosha kunahitaji elmu kubwa kubwa na kitu kingine wanakinamama wanatukataza kuingia katika kuosha labda wakishamaliza kumvisha sanda ndio tunaachiliwa kuingia..
@dezainermedia1035
@dezainermedia1035 4 жыл бұрын
Maashallah
@habibsuleiman8808
@habibsuleiman8808 4 жыл бұрын
MAA~SHAA ALLAH. ALLAH akuhifadhi AMIN YA RABB.
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 4 жыл бұрын
Laweza kuwa tofali zuri ila dharuba ikawa kali likapindukia mbali shekh
@mwanaishahussein2635
@mwanaishahussein2635 3 жыл бұрын
Inalihi wainna ilaihi rajiu'un. Nikweli shekh mambo yaligeuka tena sana sana sana 😳😳😳🇰🇪
@suleimanbakar1271
@suleimanbakar1271 4 жыл бұрын
msiseme uongo kama ni huko kwenu ni huko tu,kwetu tunapika chakula cha familia waliopo ktk msiba wao tu
@bintykigan6236
@bintykigan6236 4 жыл бұрын
Hio ya chakula pengine inamaana ni Ada
@shamomar629
@shamomar629 2 жыл бұрын
Chakula ni ada
@fatemaligalawa4151
@fatemaligalawa4151 4 жыл бұрын
Nieleweshe Mtoto wa nje yandoa akitakakuolewa nani anaitajika kumuozesha
@mohamedyusuphu6858
@mohamedyusuphu6858 4 жыл бұрын
fatema ligalawa wakufungisha ndoa hiyo ni kazwi au kiongozi wa kidini
@fatemaligalawa4151
@fatemaligalawa4151 4 жыл бұрын
@@mohamedyusuphu6858 sawa
@MtuSafi
@MtuSafi 4 жыл бұрын
@@mohamedyusuphu6858 kwani anafungishaga nani Kama Kama sio kiongozi Wa dini (Shekhe)mzazi si anakuwa mtazamaji tuu?..Au unaongelea kwenye kukabidhisha?
@fatumashaibu1461
@fatumashaibu1461 4 жыл бұрын
Anafungisha baba, km bb hayupo babu mzaa baba aliye halali km hayupo kk wa bb mmoja wa ndani ya ndoa. sheikh anatoa hotuba tu.
@fatemaligalawa4151
@fatemaligalawa4151 4 жыл бұрын
@@fatumashaibu1461 baba tena wakati sio wandoa?
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 4 жыл бұрын
Lkn sheikh ikiwa unasisitiza watu kuosha maiti yao wenyewe bila ya kuwahimiza kupata elim sahihi na kusema ati maiti hana kazi kuosha ukishamtia ndani ya tangi la maji kishasafika. Vp kuhusu kumkafini? na vp namna ya kumvisha sanda? Bila ya kupata elim wataweza kuyatekeleza kwa uhakika haya? Au kwa muonekano wako ww sanda inafungwa vyovyote tu na kukafini hakupo?
@yusuphmohamed5541
@yusuphmohamed5541 4 жыл бұрын
Love Mummy kinacho kusudiwa ni kujifundisha hakuna aliyezaliwa anajua
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 4 жыл бұрын
@@yusuphmohamed5541, Naam hakuna aliezaliwa na kujua na ndio nikasema awahimize watu kupata elim sahihi (kujifunza labda itakua nilivyotumia elim hujanifaham). Lkn sio aseme hata ukimtia kwenye tangi la maji kishasafika, hapo atakua bado hajasafika.
@mbaroukalmubarak182
@mbaroukalmubarak182 4 жыл бұрын
Kukafini na kuvika sanda ina maana moja .hili neno la kiarabuكفن lenye maana kuvalisha
@suleimanbakar1271
@suleimanbakar1271 4 жыл бұрын
wewe ukioga janaba huna dual?usiwapoteze waislam
@shabanihashimushabni5744
@shabanihashimushabni5744 2 жыл бұрын
Maashallhaa ndug yangu othumani
@popekatalango9409
@popekatalango9409 2 жыл бұрын
Hakuna dua ya kuogea janaba; kama ipo itaje
@maherzain615
@maherzain615 4 жыл бұрын
MashaAllah shukran sheikh.hii shida iko kwa waarabu.wanaeka wahindi special, kuosha nakukafini maiti zao. wao hawana time hizo
@nadranadra5287
@nadranadra5287 4 жыл бұрын
Mashallah
@neemafatu7885
@neemafatu7885 4 жыл бұрын
Ila mashaallah, unajua kupangilia kuongea.unaeleweka.Allah akuongeze.
@muslimbinharithaliy977
@muslimbinharithaliy977 4 жыл бұрын
Neema Fatu na ww pia
@neemafatu7885
@neemafatu7885 4 жыл бұрын
@@muslimbinharithaliy977 aamiin yaa rabbil aalamiin
@muslimbinharithaliy977
@muslimbinharithaliy977 4 жыл бұрын
Allah atupe kher
@neemafatu7885
@neemafatu7885 4 жыл бұрын
@@muslimbinharithaliy977 Aamiin
@khalfansalim5459
@khalfansalim5459 4 жыл бұрын
Napenda sana kusikiliza mawaidha yako mungu akubariki
Haya Ndio Matendo Ya Muumin Wa Kweli - Sheikh Othman Khamis
34:46
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 19 М.
NAFSI YAKO NI ADUI MKUBWA KULIKO IBILISI //SHEIKH OTHMAN MAALIM
24:24
arkas online tv
Рет қаралды 13 М.
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 83 МЛН
KUWA NA MAJUMBA AU MAGARI SIO KUFANIKIWA ..,SHEK OTHMAN KHAMIS..
23:07
Saimu gwao Online tv
Рет қаралды 21 М.
Matumizi Ya   Ayatul Kursi ~ Sheikh Sungu Sungu@~
24:03
Shekh Sungusungu
Рет қаралды 46 М.
NYAKATI HIZI DUA YAKO ALLAH ATAIKUBALI //SHEIKH OTHMAN MAALIM
21:52
arkas online tv
Рет қаралды 8 М.
Maradhi ya Moyo na tiba yake. Sh. Othman Hamisi.
36:45
OBA Online tv
Рет қаралды 8 М.
Pesa imejificha katika vitu vinne - Sheikh Walid Alhad
20:37
Kalamutz
Рет қаралды 88 М.
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 83 МЛН