MASKINI!!! INASIKITISHA CAREN ASIMULIA UGONJWA WA AJABU UNAOMSUMBUA ASEMA APASULIWA TUMBO 21

  Рет қаралды 162,010

Manara TV

Manara TV

7 ай бұрын

MASKINI!!! INASIKITISHA CAREN ASIMULIA UGONJWA WA AJABU UNAOMSUMBUA ASEMA APASULIWA TUMBO 21
#manaratv #caren #manaratvupdates

Пікірлер: 801
@hawaaman3172
@hawaaman3172 7 ай бұрын
Anapata maumivu makali sana jamani😭😭😭😭 Allah amjaalie shifaa apone daah 🙏🙏😭😭😭
@DevothaJacob-jr4vt
@DevothaJacob-jr4vt 3 ай бұрын
kateseka vyakutosha jamani tuione huruma
@NimbonaUdhaifa-jw2lo
@NimbonaUdhaifa-jw2lo 7 ай бұрын
Allah akupe shifaa ya haraka dada angu usichoke kumuomba Allah
@maisarah6819
@maisarah6819 7 ай бұрын
Allah akufanyie wepesi dada,ila naomba uende Kwa sheikh huenda unasibiwa na majini ya sihri mwilini mwako ndio wanakutesa hivyo,manake operation zote ushafanyiwa na Hali bado.sina uwezo wakukusaidia ila nakuombea du'a kwa Allah insha Allah🙏
@ruthmzava7320
@ruthmzava7320 6 ай бұрын
Jamani neda ukaombewe kwenye makansa ya nayo mwamini yesu🎉❤ utapona hayo ni mateso ya nguvu za kiza kwa yesu hakuna linaloshindikana kwake pole sana Mungu akufanyie wepes kwajina la yesu.
@fahymamsangi7303
@fahymamsangi7303 6 ай бұрын
Natamani siku niamke nione huyu dada amepona Eeh Mungu kaguse kwenye maumivu yake kila siku namuombea Hawa dada angu Mungu wetu muaminifu sana📿🤲🏽
@KhayratAlly
@KhayratAlly 29 күн бұрын
Wallah ht mm nataman apone sana kwa uwezo wa allah atasimama
@agentmsami5303
@agentmsami5303 7 ай бұрын
Allaahumma salli wasallalim Alaa sayyidnaa muhammad waalaaali muhammad.😢😭😭😭😭Yaa rabb😭 .. Allah ni mkarim namuomba Allah akujaalie matokeo mazuri ktk subra yako Aaamin😭
@user-pp5lz9qs9k
@user-pp5lz9qs9k 7 ай бұрын
AMEEN AMEEN
@mwalimundaro2658
@mwalimundaro2658 7 ай бұрын
Aamen
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 7 ай бұрын
Allahumma Aamiin 🤲🏿
@user-pi6ck9hf6u
@user-pi6ck9hf6u 3 ай бұрын
Pole xana Amin Mungu yupo
@nasmahamisi4109
@nasmahamisi4109 3 ай бұрын
Allahuma amin😢😢
@OmanOman-fb8mj
@OmanOman-fb8mj 7 ай бұрын
Kweli wew jasiri kipenzi Allah atakuponya my love❤utapona
@user-wp7jd1qy6e
@user-wp7jd1qy6e 7 ай бұрын
Pole sana kipenzi changu mungu akupe maisha mafefu sana utapona 2 mungu yupo 😢❤🙏🙏🙏🙏🙏💖
@greenermichael2057
@greenermichael2057 7 ай бұрын
Mungu tunaomba Toba yako Baba yangu MPONYE MTOTO WAKO MAANA SISI SOTE NI WATOTO WAKO TUREHEMU BABA MPONYE KWA JINA LIPITALO MAJINA YOTE KATIKA JINA LA YESU KRISTO WA NAZARETI ALIYE HAI
@maylucson001
@maylucson001 4 ай бұрын
Amen Amen Amen
@Salma-je8cd
@Salma-je8cd 3 ай бұрын
Ameen🙏🙏🙏
@EflanciaKuyava-ns4bi
@EflanciaKuyava-ns4bi 3 ай бұрын
Pole dada mwenyezi Mungu akuponye
@mulolemary1317
@mulolemary1317 24 күн бұрын
ALLAH akuponye kwa Rehma zake
@glorianikiza3940
@glorianikiza3940 7 ай бұрын
Kama bado upo ni mpango wa Mungu ni ushuhuda mkubwa kabisa duuh Mungu akukumbuke mtoto mzuri ❤
@user-kf3kc5kb4f
@user-kf3kc5kb4f 6 ай бұрын
Maneno yangu mimi mwenyenzi mungu akufanyie wepesi naamini anaweza. Nakupenda mnoooooo mwenyenzi mungu akutunzie family yako Amen
@user-pi5ig8ub6d
@user-pi5ig8ub6d 4 ай бұрын
duuuuuh naamini hakuna ki2 kinaxhindikana kwa MUNGU BABA NI WA WOTE MUNGU AKUPE WEPESI AKUPONYE DADA
@sesilianjala3306
@sesilianjala3306 4 ай бұрын
Kila pito lina mlango wakutokea. Uyu bint huu ni ushuhuda wa maisha yake, MUNGU atajitukuza kupitia wewe. Maombi yangu BWANA atende jambo hili adui aibike kwa jina la YESU 🙏
@mwajumaabeidy8137
@mwajumaabeidy8137 7 ай бұрын
Allah akupe shifaa.Akuondoshee mazito usiyoyamudu Yaarab..Akupe ushindi kila hatua zako iwe ni neema kw barka zake Allah Yaarab❤❤.
@omytifa6403
@omytifa6403 7 ай бұрын
Ameen
@MariaDaniel-qj1eu
@MariaDaniel-qj1eu 7 ай бұрын
Ameen
@user-gv8vt6wl6g
@user-gv8vt6wl6g 7 ай бұрын
Mungu Ni mwema atafanya kwa wakati,mungu amponye,,
@user-mh5gq6py7u
@user-mh5gq6py7u 6 ай бұрын
Ugua pole mdogo wangu..kuugua c kufa in Sha Allah utapona tafutiwa ustadh akusomee rukiya in Sha Allah yataisha❤❤❤love u sis hawa
@umumuhammad1352
@umumuhammad1352 4 ай бұрын
Hio muhimu sana Quran ni dawa
@user-wq8kw7wb1n
@user-wq8kw7wb1n 7 ай бұрын
Mama yetu kipenz raisi samia msaidie huyu dada mungu atakulipa
@mimaswit2353
@mimaswit2353 6 ай бұрын
Alhamdulilah 😢 mungu akupe subraa zaidi na akujalie shifaa ya haraka ,kwa Allah si kitu kukuinuwa ila nimtihani tu akupa na akupenda sana dadangu, mwanao atakuwa na atakuja kukufaa inshaa Allah. Mama pongezi sana😢 Alhambra
@user-yd5hp9nu5b
@user-yd5hp9nu5b 7 ай бұрын
Allah atakuafu dadangu, mambo hupita hata ukiona yamechelewa kuisha, lakini yataisha bi idhnillah na uwe mzima wa afya na furaha ya moyo
@flavianapande8270
@flavianapande8270 7 ай бұрын
Nimeshindwa kuangalia mbka mwisho mungu amponye inshallah....anapitia maumivu makubwa mno....😢😢😢
@naomysamuel6799
@naomysamuel6799 7 ай бұрын
Pole sana dada Mungu mwema atakufanyia wema Utapona kwa ajili ya utukufu wake.
@mwantumubakari5904
@mwantumubakari5904 4 ай бұрын
Inshallah utapona mpz,hiyo ni mapito yatapita kwa uwezo wa allah
@user-pm7pj6zi6q
@user-pm7pj6zi6q 7 ай бұрын
Utapona kwa uwezo wake Mungu dada usichoke kuomba Mungu 🙏❤️
@rhodangenzi
@rhodangenzi 7 ай бұрын
Binti ananiuma sana, jamani dunia haina huruma nimeanza muda mrefu sana kuangalia habari zake, jamani dada hawa, I see!
@MatridaIsaya
@MatridaIsaya 7 ай бұрын
Jaman mungu muone na huyu dada mateso aliyonayo 🙏🙏🙏🙏
@dalilaabdulkarim4458
@dalilaabdulkarim4458 7 ай бұрын
Dua nakuombea dada hawa maradhi kuingia ni rais kutoka inachukua mda hila kwa uwezo wa Allah hiko siku utapona na utasimama tena na utasaau..Allah akupe shifaa ameen❤❤❤❤
@alfinmbilinyi5985
@alfinmbilinyi5985 7 ай бұрын
Duu.pole sana dada kwa tatizo lako mungu akupe nguvu upate kupona.pole sana!
@user-kr2yk6gn4q
@user-kr2yk6gn4q 4 ай бұрын
Pole sana dada na Mungu atakusaidia na utasahau maumivu unayopitia now. nakupenda mungu akutie nguvu
@ShamilaMsengi-rh9qs
@ShamilaMsengi-rh9qs 7 ай бұрын
Mungu naomba umuone huyu dada😭😭
@doricewairanga6805
@doricewairanga6805 7 ай бұрын
Eeeeeaa Mungu wetu muumba mbingu na Dunia naomba umponye hu dada sijawahi kuombea mtu kuombea mtu kwa jina lako akashindwa kupona naomba na huyu dada umiminie damu ya Kristi iliyo mwangika pale msalabani kwa ajili ya kutuponya akapone sasa maana inatosha kwa jina la Yesu Amina
@amaniharub1569
@amaniharub1569 7 ай бұрын
Allah akupe shifaa akufanyie sahali na mtihani wako
@josphenembunde5805
@josphenembunde5805 7 ай бұрын
Nilitaka number yao niwaunganishe na mtu mwenye yuko.kenya awasaidie naninajua atawasaidia
@MomEvance
@MomEvance 4 ай бұрын
Mungu pekee ndo kukuponya Dr jitahid uxiache kumuomba mungu kwakua hakuna kama yeye sifa na utukufu vyote anavyo yeye pia upendo mwingi katumwagia .utakua salama kpenz..🙏🙏🙏🙏
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 7 ай бұрын
Yaaani saiv huoni msanii hata m1 kumpost wala kumpa msaada ila akifariki ndo utaona watu ndo wanaonekana kuumizwa sana😢😢😢.....Allah akuponye akusimamishe tena dada🤲🤲🤲
@bennamush4616
@bennamush4616 7 ай бұрын
Inaumiza sana sasaiv wanakuwa Kama hawajui ngoja afe kila mtu atampost wanakera kiukweli
@NoelMlekwa
@NoelMlekwa 4 ай бұрын
Daah unachoongea Ni kweli Ccter Ssa hv Hana Umaana Ila Cku Ambayo Hayupo Dunian Utaona Poct tu
@fettymilly7664
@fettymilly7664 7 ай бұрын
Da hawa amini huu ndo moto wako yani moto tutakao kutana nao mbinguni ww ndo unaupitia hapa duniani ila siku ya kwenda kwa mungu wetu ndo cku utakayo kuwa salama na ndo utaishi vizur peponi kuumwa ni ibada basi INSHALLAH 🙏 utakuta malipo yako kwa ALLAH❤
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 7 ай бұрын
Ulijuaje kama atakutana na Moto mbinguni. Hakuna Muislamu ataingia motoni.
@fettymilly7664
@fettymilly7664 7 ай бұрын
@@MwanaishaShattry bi mwana Soma comment vizur alafu ndo uje ku reply
@user-gg5ow9bg6y
@user-gg5ow9bg6y 7 ай бұрын
Walahi mwenyezi mungu ata kulipia dada huna baya
@hanifajeremiah4069
@hanifajeremiah4069 6 ай бұрын
Mungu nimwema akuna kinacho shindikana kwake ipo siku utasahau maumivu yote unayo pitia Allah atakuponya
@neemamdami7466
@neemamdami7466 6 ай бұрын
Kaa hivyo hivyo ufanye utumbo halafu uikute pepo mana umwislam ​@@MwanaishaShattry
@user-xc4or2vp6l
@user-xc4or2vp6l 7 ай бұрын
Watu wanakuombea dear, usiogope. Mpka sasa unaishi, utabaki salama. Mrembo mwenyewe❤, mashallah. Muombe tu Mwenyezi Mungu toba, Mungu atakuhurumia.
@user-og6jy1lq7w
@user-og6jy1lq7w 6 ай бұрын
🤲🤲🤲🤲 Mung ata kuafu insh allah..
@rhoidampkippa7446
@rhoidampkippa7446 7 ай бұрын
Kwakweli uzima wa huyu dada Ni kumpokea Yesu tu atapata uzima na kusahau yoote❤
@khamoshmikidadi618
@khamoshmikidadi618 7 ай бұрын
Huyu ni mwislamu hawez kumpokea yesu
@elinapetro7136
@elinapetro7136 7 ай бұрын
Angebadili tu dini maana wakrisho wanguvu ya maombi tofauti na uislamu akibadili atapona​@@khamoshmikidadi618
@omytifa6403
@omytifa6403 7 ай бұрын
@@khamoshmikidadi618kbsaa
@rhoidampkippa7446
@rhoidampkippa7446 6 ай бұрын
@@khamoshmikidadi618 kwahiyo asubirie umauti wakati uzima upo kwa Yesu tena bila gharama yoyote?!
@asmahasanirashid5059
@asmahasanirashid5059 3 ай бұрын
Yani wewe hyo yesu kwanza ndio nani zaidi ya mungu,Huo mtihani tu kwasababu kila mtu anaandiko lake kwa mwenyezi mungu
@estheernamweruchristine1295
@estheernamweruchristine1295 7 ай бұрын
Yesu chritu aku ponye dada hawa.
@ZeitunSalim
@ZeitunSalim 3 ай бұрын
MUNGU atakusahalishia IN SHA ALLAH utapona na Ramadhan hii IN SHA ALLAH dadangu ALLAH yuko pamoja nawe usikate tamaa ❤
@DinahNish-bm9sr
@DinahNish-bm9sr 7 ай бұрын
Ni wakati wako wa kuwa karibu na mungu hakuna kingine 😢😢
@marimabdlah8168
@marimabdlah8168 3 күн бұрын
ALLAH AKUJALIE PONYO LISILOACHA DHARA MY SIS, HAKIKA ALLAH YUKO PAMOJA NA WANAO SUBIRI
@Kiyara0000
@Kiyara0000 3 ай бұрын
Kweli hujafa haujambika huyu bidada aisee kaumwa Allah ukupe shifaa ndugu yangu na pia subra😢😢
@newvoicetutorial2131
@newvoicetutorial2131 7 ай бұрын
Allah hakika wewe ndie unaejuwa kila Jambo mponye huyu dada na kama kuna kuna mtu anatumika kwenye hili mgeuzie yeye umnusulu huyu dada in'shaallah,
@ruwuianjojorachide189
@ruwuianjojorachide189 7 ай бұрын
Inshallah
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 7 ай бұрын
Mungu Basi muonee huduma MAMA YAKE NA wanao Muuguza😢😢😢MUNGUUUUUUUU NAKUITAAAA MPONYE HAWA. MPE USHUHUDAAAA. MUNGUUUU NISIKIEEEEEE NAKUOMBA MPONYE😢😢
@OliviaMushi-uh3mv
@OliviaMushi-uh3mv 7 ай бұрын
Amina
@sashasasha9253
@sashasasha9253 7 ай бұрын
Yaan da Hawa anatabasamu lkn wallah unamhic asa kama anatabasam kwa uchungu Allah pekee ndo muweza wa kila jambo atakufanyia wepes usiache kumuomba na ataweka wepes
@moshiomary3910
@moshiomary3910 3 ай бұрын
@doreengomes3489
@doreengomes3489 7 ай бұрын
Please take Karen to MYO SAFI CHURCH in Unga limited in Arusha...I strongly believe she will receive healing in Jesus mighty name.
@sammychansa1797
@sammychansa1797 7 ай бұрын
Ohhh moyo safi kanisa langu
@sammychansa1797
@sammychansa1797 7 ай бұрын
Nimepamis apo mahali
@user-wh4xi2yi3w
@user-wh4xi2yi3w 7 ай бұрын
Mungu akupe nguvu kwa jina la Yesu
@fatumakidoa4006
@fatumakidoa4006 7 ай бұрын
Hawa ni very strong 💪💯 anaumwa lkn unaona tabasamu ata kama anafake lkn amejikubali nalia kama ni mm 😢ila najua inshaAllah utapona nitakuombea pia kwa Allah 🙏🙏🙏
@AminaAlly-ty3lo
@AminaAlly-ty3lo 7 ай бұрын
Na ana Imani atakaa Sawaa licha ya maumivu yotee anamshukuru MUNGU piaa MUNGU amsaidie tunamwombeaa
@user-uh7to2kw2z
@user-uh7to2kw2z 7 ай бұрын
Pole sn dada mungu atakuponya unapitia wakati mgumu pole sn kpnz mungu atakufanyia wps🙏🙏
@bagumakasuku
@bagumakasuku 5 ай бұрын
YHWH Ni mwenye huwezo lazima atakuokoa tu dada yngu kipenzi 🙏🙏🙏
@user-pi2xf2ym2l
@user-pi2xf2ym2l 7 ай бұрын
Allah ndo kila kitu kwa usijali Allah yuko pamoja na ww inshallah ❤
@IbrahimuLikolinji-ly2tp
@IbrahimuLikolinji-ly2tp 7 ай бұрын
Pole sana dada Allah atakuponya insha Allah
@elnecemily1306
@elnecemily1306 7 ай бұрын
pole sana mungu akuopnye mama yangu
@abelhardware6445
@abelhardware6445 7 ай бұрын
pole sana dada yetu kwani mungu ndo muweza wa yote
@SMEDIA298
@SMEDIA298 7 ай бұрын
BWANA YESU AKUPONYE DADA CAREN KAMA NDUGU ZAKO WANA IMANI KARIBU EAGT KIGOGO SAYUNI UKUTANE NA MUNGU
@radgabbelege7234
@radgabbelege7234 4 ай бұрын
ALLAH ni wa kwetu sisi wote haukuumbwa ili uteseke sister ni mitihani tu Usiyumbe kiimani Ushindi unakuja mbele yako na uzima utapatikana Ki hakika Roho inauma sana sisi wote tunakuombea na Ramadhani hii ALLAH apokee dua zetu tunakuombea upone ALLAH anatusikia
@umumuhammad1352
@umumuhammad1352 4 ай бұрын
Ameen
@PeacefulMansion-ud2ek
@PeacefulMansion-ud2ek 6 ай бұрын
😭😭Nimeumia san sio siri ilaa allah atakujalia utakua sawa tu usikate tamaa ishi kwa iman kua utapona mungu yupo na ndio kila kitu allah ni muweza wa yote icho ..matatizo kwa sisi waja ni kipimo chake allah kwahyo usichoke kumuomba wala asiache kumshukuru maan yy ndo muweza wa kila kitu. pole san dada angu kiukweli nimeumia san imeniuma, unteseka pole mwaya allah atakusaidia utakua sawa jman pole sana😭😭😭🙏🙏🙏🙏Eeh mwenyezi mungu sikia kilio cha uyu dada anateseka sana mjalie afya njema na umjlie uponyaji kwa hiki kinacho msumbua🙏
@MagoliDickson
@MagoliDickson 3 ай бұрын
Mwenyezi mungu akusaidie dada angu mwenyezi mung akufanyie wepesi uridi kwenye hali yako 🙏🙏❤️
@ruwuianjojorachide189
@ruwuianjojorachide189 7 ай бұрын
Inshallah. Akuna kinatcho chindikana mbele wa allah 😢 Inshallah utapona ndugu wango umwamin allah
@fatumakidoa4006
@fatumakidoa4006 7 ай бұрын
Fanyiwa Dua mpenzi na Allah akupe shifaa ya haraka inshaAllah
@habibalukinga1575
@habibalukinga1575 7 ай бұрын
Hakika mimi pia nilipitia iyo hali nyuzi zilikuwa zinafumuka tu ila mungu alinivusha na yeye akipata dua atamvusha amin inshallah
@user-om7xn1fl4l
@user-om7xn1fl4l 2 ай бұрын
Pole Sana Dada hawa Allah atakuafuu in Sha Allah
@flm1530
@flm1530 7 ай бұрын
Huyu dada ni kifungo cha kiroho na kuna mtu anamtesa kwa nguvu za giza aje kwa YESU KRISTO apate uzima na aokoke kabisa bila ivyo hatapat uponyaj
@IbrahimuLikolinji-ly2tp
@IbrahimuLikolinji-ly2tp 7 ай бұрын
Wewe mtu anaumwa badala ya kumsaidia unaleta habari za Giza
@JuiceMe-ij2zq
@JuiceMe-ij2zq 7 ай бұрын
Mwnaisha nenda kwa kiboko yawachawi buza kwa lulenge utapona kabisa na hayomakovu yote yatafutika nautamjua anaekutesa
@Mkombozi255
@Mkombozi255 7 ай бұрын
Acha usenge wewe kuma la maaako,mtu anaumwa unaleta usenge
@teedullah5708
@teedullah5708 7 ай бұрын
Kweli Tena masikini munqu atamuenuwa
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 7 ай бұрын
​@@Mkombozi255mwenyenz mungu akusamee
@KULWAMOYOWENE
@KULWAMOYOWENE 3 ай бұрын
Mungu yupo p1 nawe kwan yy amekupa maradh na yy ndie atakaekuondolea maumivu na maradhi kwa muda autakae ishaallah my dear mungu atakuponya
@beniardajuna2580
@beniardajuna2580 7 ай бұрын
Dada pole mungu akupe uponyaji mwema 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@user-rr3qb5oi9e
@user-rr3qb5oi9e 2 ай бұрын
Jamn watanzania haw Ana wafuasi Zaid ya million 4 lkn tunashindwa kusaidiia ata 1000 kwa Mt mmoj kwel hem tutowe. Kwa ajili ya mung icho nikiumbe chak na yy sio sisit naamin kwa wafuas alionaw haw tukimchangia 1000 t bc Hawa haombi ten man wafuac Zaid ya million 4 sio kidg mung Yuko pamoj na ww Hawa ishllh nakupend san❤❤❤❤❤❤❤
@user-vr1gj4gn8t
@user-vr1gj4gn8t 6 ай бұрын
May you get healed in Jesus mighty name,you are a strong girl.
@AzizNgitu-wk3ey
@AzizNgitu-wk3ey 6 ай бұрын
Nikimuangalia huyu dada namuona mwana jeshi mkubwa sana yani kiroho huyu dada anaonyesha ulimwengu kuwa yeye sio wakawaida kabisaa njia yake sio ya kitoto
@user-pu8ki7hd4y
@user-pu8ki7hd4y 4 ай бұрын
Dada angu me nakushauri tu nenda kanisani, au kuza imani yako maana ilo gongwa sio la kimwili wamekutengeneza kiroho sasa hospital unamaliza pesa mwambie Mungu YESU anaweza dada yangu ndyo maana usiku unateseka ni nguvu za giza jaribu YESU ndiyo dawa please 🙏 Mungu anahaja na wewe ndy maana una survive please 🙏🙏 nenda kanisani Carolina nenda kanisani
@athumankagoro4187
@athumankagoro4187 6 ай бұрын
Mwenyezi mungu,,anakupenda sana hawa ndugu yangi,,Allah akupe shifaa
@user-vu6wk7bt5y
@user-vu6wk7bt5y 6 ай бұрын
Amin Allah amjalie kabis
@user-gv1op1oh2c
@user-gv1op1oh2c 7 ай бұрын
Pole sn mpendwa mungu atakufanyia wepesi utapona insha'Allah sote tunakuombea 🙏🙏🙏🙏🙏
@elizabetty-rt7py
@elizabetty-rt7py 7 ай бұрын
Carin ninachokushulii ndugu naomba nenda madhabahuu yaakawe maana kama niugonjwa wa mungu kwajiisi unavyoteseka using kuwepo, hili ngonjwa uliopeewa nimkono wamuuovu ambao faahaa. Yakee kukuona. Wewe unateeseka wewe ukillia kila siku wewe ukiombaomba msaada bas yeye. Anafurahii sana, mdogo usilie ntena nakuomba chukua atua mwamiini mungu alie kuumba, mtukuze mungu atakwachangamoto hio alio kupa mwambie. Mungu Asante sangineo anataka ujifunze kitu kwake, au watanzania wengine kupitia wewe. Wapate kumjuwa mungu nenda madhabahuu yaakawe uponyaji wako utaupata, watu wanaponywaa. Kasa watu wanaponywaa ukimwi. Mavimbe wagumba wanazaa,, wengine Toka kuzaliwa walikuwa ajavunja ungo mpaka. Anafika miakaa alobaiini siku yamkesha ya vuuka na choko kapoke chake, Hilo tatizo lako nidogo sana, nenda kawe. Umepon
@elizabetty-rt7py
@elizabetty-rt7py 7 ай бұрын
Nenda kwa mtume mwamposa tatizo lako nidogo utapo Cali nenda kapokee afyaa yako nenda kachikuwe maisha yako yonte, nenda kachikuwe nguvu zako ulizopoteza wakati unaugua madhabahuu ya mtume mwamposa yanweza yakakubdilisha maisha yako mpk alio kuludisha nyuma kimaisha kiafya atakuja naatakuomba msamahaa ,huu ugonjwa naukataa sio mungu alio kupa unateeseka bule kwa kukosa mwanga, dugu miye niko tabola, nakuomba chukua atua yaimani kimbilia madhabahuu ya mungu kawe calin unapona, usiteseke bule tunaitaji wanzania tukuone calin katika muonekano wako wafilam katika kazi zako ss kama wantanzania wako tunakuombe mungu akuponye kwajina la yesu naami calin umepokea uponyaji Amen 🙏
@catherinemasungulwa6626
@catherinemasungulwa6626 7 ай бұрын
Kawe alienda mwanzoni sema akaghaili.
@elizabetty-rt7py
@elizabetty-rt7py 7 ай бұрын
@@catherinemasungulwa6626 mwambie achukue nguvu ya Imani aludi Tena, lazima apone, tatizo lake madhabahuu ya mtume mwamposa, ilosio tatizo, sema Imani ana ndio maana anateseka, caren ongeza guvu yaimani huyo pepo anaekuambia uwezi pona anakudanganya, ndugu yangu mtanzania mwenzangu usiteseke, unaugonjwa nipepo tuhuyo bado unamkmbatia, lakini Leo hii ukavunja madhabahuu yake, ukasimama nakusema Mimi sio mgonjwa Tena, simama na maombi kama chakula mda wonte caren wewe sio mgonjwa wewe ni mzima,
@NoorynMuddy
@NoorynMuddy 7 ай бұрын
​@@elizabetty-rt7py Unatuchosha na migazeti yko hyo mwamposa huo utume ulimpa ww?
@elizabetty-rt7py
@elizabetty-rt7py 7 ай бұрын
@@NoorynMuddy masiki sheni mbaya sana, siio akili zako kunijibu hivyo, huyo ni pepo,
@TatuHusseni-hs7mu
@TatuHusseni-hs7mu 5 ай бұрын
Ya Allah mponye huyo dad kwa kwa Karima zako Allah mjalie afya njema na yenye Subra YAALLA bi tunakuomba hakuna msaada ipokua Rehema zako Allah 🙏🙏
@user-gi9vu9gd3m
@user-gi9vu9gd3m 6 ай бұрын
Naamini utapona dada yangu mungu Yuko anaweza xiku hata jibu uishi miaka mingi na hero duniani amina
@VellahBeauty-wg3ob
@VellahBeauty-wg3ob 7 ай бұрын
Siku ni moja tu utapona naamini Mungu, Si mwanadamu akisema saw, utapona at wawe wamekufanyia nn amini utapona mumy
@SharifuAbdallah-pk6wg
@SharifuAbdallah-pk6wg 4 ай бұрын
Mungu akuponye kwa ushauri wangu naomba ufike kwa kuhani must kimara temboni naamini uponyaji utapata pale amina
@SalmaAs-wl5bn
@SalmaAs-wl5bn 7 ай бұрын
Nenda Kwa Mwamposa au kuhani Mussa dada hizo no nguvu giza a mini hilo.Hila tumaini lako na imani yako weka Kwa Yesu aliye hai.Uzima wako upo mikoni Mungu.Mpe Yesu maisha yako na Catalonia mikononi kwa hao maadui zako. Naamini utapona tu yataisha.Nakuombea nimefunga Kwa ajili yangu na yako pia .Ngoja hawa nizungumze na Mungu.
@DoreenLaizer-gq9te
@DoreenLaizer-gq9te 7 ай бұрын
Mungu akuponye inshallah wifi yangu 🥺❤tunakupenda sana
@user-fi9gm2et5r
@user-fi9gm2et5r 7 ай бұрын
Mwenyez mungu ampe taafif anapitia wakati mgumu sana mpaka roho inauma hakika mungu ni mwema utasimama kwa uwezo wa Allah
@faridadumasalhathoseni
@faridadumasalhathoseni 3 ай бұрын
Yarab mungu inatosha sisi wakosefu kwako tunakiri lakini ,tunaomba mfanyie shufaa hawa inatosha mungu wetu mwenye huruma 😢
@AzizaKhamis-nj2ku
@AzizaKhamis-nj2ku 3 ай бұрын
Assalaam Aleykum, Allah Akufanyie wepesi ,inn Sha Allah. Na akutie nguvu , uweze kuswali ukiendelea kumbuomba Allah
@HajraAli-zu9ik
@HajraAli-zu9ik 3 ай бұрын
Allah atamfanyia wepesi inshallah kwa kudra zake atapona
@MatataCzar-ww6ov
@MatataCzar-ww6ov 4 ай бұрын
Nani kama Mungu hakuna. Naandika hii sms kwauchungu Sana.,,, Kisha nasema Mungu Mungu nakuomba sana,, msaidie huyu dada apone,, sijawahi sikia katika maisha yangu MTU anapasulia hivi.,,, na huwo mkono wa shetani nauchokwa kwakina kuu la mwenyewe Mungu,,, eeeee baba yetutunamukabidhi dada yetu kwamuda huwu Kila atakayo nyoosha mkono wagiza kwake akachomwe
@doricewairanga6805
@doricewairanga6805 7 ай бұрын
Ndugu wakaribu wa huyu dada naomba mfunge sku saba kwa ajiri ya huyu dada kl mtu kwa Imani yake naamini Mungu alie umba vyote Duniani atapona
@MoureenPresiours
@MoureenPresiours 7 ай бұрын
Kama ulivyosema na iwe kwa jina la Yesu Kristo
@user-hd7lo6yq7z
@user-hd7lo6yq7z 4 ай бұрын
Pole sana dada Mungu atakuponya , utainuka tena
@CharlesPeter-lp5lf
@CharlesPeter-lp5lf 3 ай бұрын
Mungu amsaidie huyo dada kiulimwengu wamwili mnaweza mkatumia nguvu nyingi San zakipesa lkni bado shetani yuko kazini Mimi naomb nimshauri aje kanisani kwetu kwakiboko yamagonjwa nakila kazi zote za shetani aje kwa KUHAN MUSA hapa kimara temboni naatapona naatakuja kunitafuta anishukuru cz haiwezekan oparation zote hizo wenda kunavitu vyengine vinafanyika ktk ulimwengu waroho kunamtu anasababisa hayo
@dramakid7569
@dramakid7569 7 ай бұрын
Pole dada unajipa moyoa na uso wa tabasam..kiatu chako siwez kukivaa..ht ivo maumivuvyote ht hujakonda kutisha...mm nadhan ningekuwa skeleton
@mariamega8337
@mariamega8337 7 ай бұрын
Pole sana dada mungu akupe afueni akuondoshee huo mtihani inshaallah
@NelhamNelxon-cp9gy
@NelhamNelxon-cp9gy 7 ай бұрын
Allah akuponye inshallah utasimama Tena🙏🙏
@SophiaAlly-ry2nd
@SophiaAlly-ry2nd 3 ай бұрын
Mungu msimamie uyu dada apate kusimama ewe mungu baba muinue uyu dada apate kuilinda familia yake
@user-ki3lz2uc3x
@user-ki3lz2uc3x 4 ай бұрын
Mungu atakusaidia utapona muamini yy tu simama katika maombi yupo na wewe mahali pote hilo ni jaribu utalishinda kwa jina la yesu.
@Bnurmwabora
@Bnurmwabora 5 ай бұрын
Mama afunge kil week cku 3 mungu atasaidia pia n maombi n allah akujalie shifaa y harka🤲🤲
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 7 ай бұрын
Hawa ipo siku nzur kwako Allah anakuandalia utashangaa ❤❤❤😊
@HajraAli-zu9ik
@HajraAli-zu9ik 3 ай бұрын
Allah akufanyie wepec ishaallah kwa uwezo wake utapona
@glorydaniel8624
@glorydaniel8624 6 ай бұрын
Mnamsumbua Sana ,, huo muda mnamhoji mngekuwa mnafaya maombi ,,,Duhhhh Mungu akuponye akuvushe kwa Hilo jaribu
@zawadisepetu1014
@zawadisepetu1014 7 ай бұрын
Allah Allah nakuomb mlinde huyu dada allahumma amiin
@AAa-it7nx
@AAa-it7nx 6 ай бұрын
Pole sana dada yetu Mungu akupiganie iwehiyo niyamwisho naukuepushie na maradhi yoyote kwenye mwili wako Amina
@happynessshomari7438
@happynessshomari7438 2 ай бұрын
Ewe nyezi mungu mpemoyo wa ujasili kipindi ichi anachopitia mjawako umponye 😭😭
@saidahamid1178
@saidahamid1178 7 ай бұрын
Pole dada allh atakufnyia wepes utapona ❤❤❤❤❤
@MariaThomas-wm9iq
@MariaThomas-wm9iq 5 ай бұрын
Mpka nmelia jaman😥😥kunawa2 wanajua kutesq wenzao
@hasnaaliy5872
@hasnaaliy5872 6 ай бұрын
Kwanza pole dada angu lapili ayoo maradhi yapo kwenye mikono yawatu lazima utibiwe na pande yapili uzunguke m buyu dada Allah atakusaidi inshaallah usijali unapitia wakati mgumu sana lkn Allah yupo pamoja na ww
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 7 ай бұрын
Daimond msaidie huyu dada kwakwer najua unaweza
@catherinemasungulwa6626
@catherinemasungulwa6626 7 ай бұрын
Diamond amsaidie yeye MUNGU au doctor.
@adharinamwaisaka
@adharinamwaisaka 3 ай бұрын
Mung atakuponye dad Ang, adi apo mungu mwenyew ametenda, na atazidi kutenda, mungu ni mwenye haki
@mariamjohn5399
@mariamjohn5399 7 ай бұрын
We ni jasiri sana dada mungu yupo pamoja nawe naamin atatenda
@Halima-ht9fq
@Halima-ht9fq 7 ай бұрын
Swal sana my dear allah ndie mwenye jib la matatizo yako utapona inshaallah
@rosehaule6765
@rosehaule6765 7 ай бұрын
Mungu akuponye dear❤ nakupenda na tunakuombea
@khamoshmikidadi618
@khamoshmikidadi618 7 ай бұрын
Allah atakuwaf dada kw mng hakuna kubwa🤲
Ross Perot 1992 presidential run | WFAA coverage
23:19
Gunshots at Donald Trump Rally | 7NEWS
6:17
7NEWS - Australia
Рет қаралды 292 М.
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 22 МЛН
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 103 МЛН
Widespread tech outages having nationwide impact
20:39
The National Desk
Рет қаралды 7 М.
Помог🤣#сериалы #фильмы
0:28
Кинокомбо
Рет қаралды 2,6 МЛН
She got an idea 😂😂 #shorts #viralshorts #funny #comedy
0:46
HRA CHALLENGE
Рет қаралды 9 МЛН
Зачем он туда залез?
0:25
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 2,9 МЛН
Bacho Ne Ye Kar Liya 😱🥲
0:13
Sunnyy Rawal
Рет қаралды 11 МЛН