Pore Sana Dada angu maisha ndivoyalivo polesana. Umenigaya namimi nilie 😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏 mungutayali amesha sikia kilio chako pore San kipenzi changu zuchu nakuombea Sana kwamungu azidi kukufungulia milango yaliziki 🤲🤲🤲
@ritahcherotich6595 Жыл бұрын
My role model,,Nakupenda sana zuchu,mungu akulinde sku zote❤❤❤
@HusnaKanga10 күн бұрын
Be strong zuchu...we love you from kenya❤❤❤❤
@Clifftonechesoni11 ай бұрын
Is a bite emotional 😂😂Tanzania achaneni na kizungu😅🇰🇪
@aishaisha-ph4pi Жыл бұрын
We love you from Kenya like mother I love this hadija kopa
@KhadijaMohamed-xz5de Жыл бұрын
Katika watu 💯 wanaweza wasikupende but me nimmoja wa watu wanao kukubali
@hawaomary8486 Жыл бұрын
You no nyingi lla pole
@sophiamartin5599 Жыл бұрын
Nakukubali 💖💖💖💖
@peterandjanecomedy8457 Жыл бұрын
Pole
@KaviraMerveille-ev4qg Жыл бұрын
You know pole dear u know😅
@kalunkumyah2640 Жыл бұрын
Pole sana kipenzi Cha watu
@mamawatoto9032 Жыл бұрын
Be strong Zuchu
@zabibunkya3690 Жыл бұрын
Be strong zuchu muamini Mungu vumilia subra minnallah.
@user-dk7kt4mz3w Жыл бұрын
Kuwa na Subra Zuchu
@NEEMATOBIAS-zz4fu Жыл бұрын
😢😢 katika maisha hakukosekani matatizo dada yangu pambana mungu akulinde nakupenda cana tu hata ukiwa mwema kiasi gani wengine watakuona Kama shetani kikubwa pambana mungu yupo pamoja nawe
@benedictjohn38011 ай бұрын
😅😊😢
@adammjomba5814 Жыл бұрын
Zuchu ni msomi tena amesoma vizuri sana Lugha ya KINGEREZA sio kwa kubahatisha . Ni watu wengi sana hasa hasa wanawake hua wanapenda kuchomekea KINGEREZA j
@mwitaagness455 Жыл бұрын
Kiruuu....hapo you know imeingia kwa wapi, mhhh, hiyo shule aliosoma ifungiwe.
@abuutasniym2675 Жыл бұрын
Kwani amesema you no au ni you know? Ni ipi kati yahizo mbili Najee inawafikiana namaneno aliyomalizia ktk tungo? Mimi ningemuuliza maana zimekua nyingi hizo you no you know
@mwitaagness455 Жыл бұрын
@@abuutasniym2675 anamaanisha you know, na haingii popote, hlf zimekuwa nyingi mnoo.....hazileti maana, ustar ni kazi sana, kwan angeongea kiswahili fluently angekuwa nini?? Waiiii....eti you knowww, fyuuuuuu
@edyteemba1918 Жыл бұрын
@@mwitaagness455 hahaha hamani kazoea dah c ata bahati wa Kenya anapendaga kusema you no jamanii wah
@mohamedsaid3226 Жыл бұрын
Kasoma sana. Namuamini you know. Lakini you know. Mama kamziwia you know. Yaani you know Acha Tu wewe. Wewe umeona huyu kasoma saana. you know. Pole
@ChristinaMollel-cj7xz Жыл бұрын
You know😢
@dayadaniel4968 Жыл бұрын
Haki ya nani you nooo😅😅😅
@thuwaybamasoud6064 Жыл бұрын
Mmhh pole mpenzi Dunia haina mazuuri mtupu yatapita tu
@estermuganda9298 Жыл бұрын
😅
@joynasenya2457 Жыл бұрын
Yeah kabisa you nooo😂😂😂😂
@wendie954 Жыл бұрын
@@joynasenya2457 lkn you know😢😢😢😢 eeeesh
@halimasulaiman3229 Жыл бұрын
Kasoma India tena sasa baki hivyo acha roho mbaya
@CalifaJuck Жыл бұрын
Abdax❤
@vestinapauline3023 Жыл бұрын
umenifanya nilie japo cjui hata nalilia nini ila pole sana zuu
@wendie954 Жыл бұрын
Lakini hixi you know ,haziingiii popotee😂😂😂😂 eeesh you know
@emmaculateakinyi6478 Жыл бұрын
U have made my day 😂😂😂u know 😂
@lucyanyango6674 Жыл бұрын
You know, you know lakini you know
@HusseinHassan-sn8yq Жыл бұрын
Sina mbavu leo haki you knoooooow😂😂😂😂😂😂😂
@azooztv2228 Жыл бұрын
ooh no my friend 😭😭
@asiaasia1069 Жыл бұрын
😢😢😢unaliza watu zuchu dah
@zaynabomary4359 Жыл бұрын
YOU KNOW ZUCHU YOU MAKE ME CRY TOO YOU KNOW 😢😅😢😊
@aminaboniphace327 Жыл бұрын
You know
@ngumbaohalimah65 Жыл бұрын
You know you jikoroga na mapenzi..mapenzi na kazi you know😂😂😂😂