No video

🚨 EXCLUSIVE : CHUMBANI KWA LULU DIVA | JINSI ANAVYOVAA | NGUO ZAKE NA VIATU ALIVYONAVYO

  Рет қаралды 140,147

ST BONGO TV

ST BONGO TV

Күн бұрын

►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

Пікірлер: 102
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 10 ай бұрын
Mimi nampenda lulu diva divana❤❤na kuangalia interview zake pia napenda sanaa❤❤❤mung akujalie atokee bwana mweny akili na maadil mema akuoe❤
@NissileStephen
@NissileStephen 10 ай бұрын
2lia Ivyo Ivyo Dada yangu Mungu akubark na kukujaria mwanaume anaye jielewa
@AminaSadallah-yi1dv
@AminaSadallah-yi1dv 10 ай бұрын
Nyumba ya femi na luka
@aishaimam1442
@aishaimam1442 11 ай бұрын
Nampenda Lulu
@TaarabChannel
@TaarabChannel 11 ай бұрын
Mrembo
@chany9950
@chany9950 11 ай бұрын
Ona iyo garde robe jmn kabati kabaya toka
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 11 ай бұрын
Ahaa Wana duka kumbe nikajuwa kashona yeye anapena dizain Kama mimi
@user-ob4tv2wv4q
@user-ob4tv2wv4q 6 ай бұрын
Hongera lulu diva
@coreyplatinum
@coreyplatinum 11 ай бұрын
Huyu Demi jini 😂 macho hayo vipi? Au Ndo umevaa eye lenses 😂😂
@user-bo3nt4ji2c
@user-bo3nt4ji2c 11 ай бұрын
Mbona nguo zenyew umepanga ovuoovya chumba hakielewek
@FatmaMwinyi-jt2rr
@FatmaMwinyi-jt2rr 11 ай бұрын
Chako kinaeleweka
@nasraniko-mr2lv
@nasraniko-mr2lv 11 ай бұрын
​@@FatmaMwinyi-jt2rrm mwenyew nashangaa
@queenhenagu3496
@queenhenagu3496 11 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣tuje kwakoo tuone dear
@powervoice2193
@powervoice2193 11 ай бұрын
​@@FatmaMwinyi-jt2rr😂😂😂😂 unaweza kuta mabeseni yapo juu ya besela😂😂😂
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 10 ай бұрын
😂😂😂 mtihani
@user-rj9xu4uv9f
@user-rj9xu4uv9f 10 ай бұрын
ni location ya femi kwa jua kalii
@queenpeter9809
@queenpeter9809 10 ай бұрын
Yeah no yenyew kabisa
@WinfridaZakayo-mj7co
@WinfridaZakayo-mj7co 10 ай бұрын
Kwann wasanii wakiulizwa hiki kitu umenunua shingap wanasemaga dora kadhaa😢😢😢😢 mm huwa sipend
@nancyg8664
@nancyg8664 10 ай бұрын
Si ili wakuchanganye😆😆
@scolamisunza9581
@scolamisunza9581 10 ай бұрын
Wakiumwa utasikia tuchange
@WinfridaZakayo-mj7co
@WinfridaZakayo-mj7co 10 ай бұрын
@@nancyg8664 ushamba unawasumbua tu
@WinfridaZakayo-mj7co
@WinfridaZakayo-mj7co 10 ай бұрын
@@scolamisunza9581 waache utakuta wanajioneshatofauti kwenye mitandao na maisha Yao yako tofauti
@user-qb3hx2ku9v
@user-qb3hx2ku9v 10 ай бұрын
Nimeona nguo 😢😢 jamii nimesikia weka hapa dada atakuja kukuja
@Shalom2018
@Shalom2018 11 ай бұрын
Yaani hapo hayo macho yakiharibika utamlaumu nani?wakati Mungu kakuumba na macho yote mawili mazima
@tabiangonyani3526
@tabiangonyani3526 8 ай бұрын
Wanaume huwa wanamgawia kiatu mtangazaji na wew unampa ipi mtangazaji kama mfano
@user-kg7mv7il8z
@user-kg7mv7il8z 6 ай бұрын
Acheni wivu nimpambanaj lulu diva
@pikanaauntzuu1466
@pikanaauntzuu1466 10 ай бұрын
Yani unachumba cha nguo lkn umeshindwa kupanga nguo vizuri coz ch8mba kimekuwa km karume haipendeza mdada mrembo pangilia chumba chako manguo umefanya kufunika na Kitenge tu😅😅😅😅na ulijua wanakuja watu wafashion unajua lazima waingie ndani kuangali nguo na viatu hayo mabegi na nguo ungefungia hata store au hata chumbani kwa huyo dada wako wa kazi na hio mibeg lkn we umesambaza chumba kizima 😮😮😮cjapenda
@SekelaJakson-ls7dd
@SekelaJakson-ls7dd 10 ай бұрын
Afu uyu kwa mbal anafanana na wema
@user-hq7pp3te3w
@user-hq7pp3te3w 5 ай бұрын
hongera dada naomba unitumie namba yako napenda xan unavyo igiza
@elizabethwanjiku7831
@elizabethwanjiku7831 10 ай бұрын
Chumba kama ghala la mahindi jamani superstar hujui kupanga chumba😳
@arbinuwamahoro7370
@arbinuwamahoro7370 10 ай бұрын
Nimependa chumba hicho kina viatu na nguo nyingi dada lulu ikikupendeza unigawia mavazi mimi masikini ukisoma kometi yangu unijibu nikufate imbox ya istagramu ukinipea ata nguo mbiri tashukuru❤
@BerthaModest
@BerthaModest 8 ай бұрын
Masikin una smartphon acha kukufuru ridhika wew
@SamiraDijah
@SamiraDijah 2 күн бұрын
Fanyakazi acha kuomba nguo maskini anapata wapi bando au unajizalilituu
@user-eq8dd6sl7u
@user-eq8dd6sl7u 11 ай бұрын
❤❤
@user-fy9pw2zr8l
@user-fy9pw2zr8l 11 ай бұрын
Hayo macho kama jini
@Martha-gs3in
@Martha-gs3in 10 ай бұрын
Nyumba ya femi hii mbona😅😅😅😅
@fatmakhamis3779
@fatmakhamis3779 10 ай бұрын
Nguo zimekaa kama sokon
@nicolemweny5574
@nicolemweny5574 10 ай бұрын
Ako na dada and she's so disorganized 😮
@DeboradoubleStiven
@DeboradoubleStiven 11 ай бұрын
❤❤❤❤
@sarahmcharo1548
@sarahmcharo1548 10 ай бұрын
hii nyumba ya luludiva ni ile ya femi anayoigizia
@fatumasirakwi3700
@fatumasirakwi3700 10 ай бұрын
Upo Makin sana had hiyo meza nahicho kiua
@naswrahmsemo3901
@naswrahmsemo3901 11 ай бұрын
Nguo ambazo hutumiii siunitumie mm jmn na viatu
@user-ro3jr4jm4x
@user-ro3jr4jm4x 7 ай бұрын
Shikamoo naitwa morice nampenda kuigiza naomba tuwasiliane nimesha mtafuta lamata
@raphaelmussa1378
@raphaelmussa1378 11 ай бұрын
Kumbe nyumbani Kwa Femi ndo nyumba ya luludiva
@charlespeter8309
@charlespeter8309 10 ай бұрын
Photo lab😂
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 10 ай бұрын
​@@charlespeter8309😂😂😂😂 Tanzania nchi yangu
@sidikassim6759
@sidikassim6759 11 ай бұрын
yni umekaa kma zile movie za vampaya au drakula unzjua macho Yao kma yko vle vleee😂
@happylynguya3464
@happylynguya3464 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 10 ай бұрын
Makasiriko ayooo
@sidikassim6759
@sidikassim6759 10 ай бұрын
@@nahlahassan-fd6le makasrko kw macho yle km vampaya😂
@happylynguya3464
@happylynguya3464 10 ай бұрын
@@sidikassim6759 Etiiii 😂😂😂
@happylynguya3464
@happylynguya3464 10 ай бұрын
@@sidikassim6759 Anatisha hatarii 😂😂😂
@OfficialNessa26
@OfficialNessa26 10 ай бұрын
Uwezi kusema ila ukanunua Kwa Dollar 😂😂😂
@priscapaulpaul6254
@priscapaulpaul6254 11 ай бұрын
Mbona kama kwa femi wa juakali
@victoremanuel29
@victoremanuel29 10 ай бұрын
Ndio hapo anapoigizia Femi ila ndo nyumban Kwa lulu
@fadhilaadnanmohammed7804
@fadhilaadnanmohammed7804 7 ай бұрын
kah hapa si kwa femi wa luka jamani
@mamanabdoul4397
@mamanabdoul4397 2 ай бұрын
Iyo ni israfu.kuna watu wanaenda uci suwagawiye upate swawabu
@BakariMtomae
@BakariMtomae 9 ай бұрын
Hii nyumba mbn ip kweny jua kali😅😅
@ScolaMussa-il4fs
@ScolaMussa-il4fs 11 ай бұрын
Hayo macho cjui lenziii unachekesha
@sarahmcharo1548
@sarahmcharo1548 10 ай бұрын
sio umeshona mwenyew sas
@edithakiondo4158
@edithakiondo4158 10 ай бұрын
Umepangaje huko kwako?
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 11 ай бұрын
Haha Corey.
@ummusalim1991
@ummusalim1991 10 ай бұрын
Sijui kwa nini unaweka nguo nyingiii hivyoo jamanii wakati kuna watu hawana za kuvaa.... Kwa nn nguo kama waona huivai utoe uwape wale wanaohitaji????.... Hii tunaita israaf... Kuweka kitu kinajaza kabati tuu kuvaa huvai na kutoa hutoi😢 Sio vizury hivyooo🥹
@aggyparty2990
@aggyparty2990 9 ай бұрын
Sasa atampa nani na wanavaa nguo za uchi
@ummusalim1991
@ummusalim1991 9 ай бұрын
@@aggyparty2990 hakosi wa kumpa..... Ikiwa ni fupi aweza kuvaa na suruali ndefu yule ampae,hakukosekani namna kabsaa.... Ni mtu kutaka na kutotaka😊
@norahfred6450
@norahfred6450 10 ай бұрын
Pako hovyo
@fatumamroki2716
@fatumamroki2716 11 ай бұрын
Kupanga dada
@user-ro3jr4jm4x
@user-ro3jr4jm4x 7 ай бұрын
Pleaseeeeeeeeeeeee😢😢😢😢😢😢😢😢
@EstherGideon-ih1yw
@EstherGideon-ih1yw 11 ай бұрын
Hujui kupanga chumba....Yani bags hujazipanga vizuri....sijalike
@RamsyPesa-wc9ov
@RamsyPesa-wc9ov 10 ай бұрын
tLfGzat8CZuRZ
@mrsbatteseguja2719
@mrsbatteseguja2719 10 ай бұрын
Nimara nyingi sana nimeona chumba chake wala hakijawahi vutia
@neemamwambete-ij2jg
@neemamwambete-ij2jg 10 ай бұрын
Nampenda sana Lulu 😍
@ZulfaJuma-px2uv
@ZulfaJuma-px2uv 10 ай бұрын
nyie mnazo hata hiz achen unafk mtu Yuko biz semen tu mnataman
@NissileStephen
@NissileStephen 10 ай бұрын
Wanafki mlkuwa bado muache lulu D
@housnayousif780
@housnayousif780 11 ай бұрын
Hujui kupanga kabat
@user-bm2qw9yb5x
@user-bm2qw9yb5x 11 ай бұрын
Kampangie
@FatmaMwinyi-jt2rr
@FatmaMwinyi-jt2rr 11 ай бұрын
​@@user-bm2qw9yb5xHapo chacha usikute chake kama mtumba wa nguo za Tandika
@fatumaisiaka2926
@fatumaisiaka2926 10 ай бұрын
😂
@MAJChannel-01
@MAJChannel-01 10 ай бұрын
😢
@user-nz5sx9xl2v
@user-nz5sx9xl2v 10 ай бұрын
Nakupenda xan dada hakun kazi huko nahitaji
@stellawandiba7560
@stellawandiba7560 11 ай бұрын
Shoga au tugawie wenzio
@mariamgodfrey53
@mariamgodfrey53 11 ай бұрын
Kiatu chake gauni lake akikupa huwezi kukivaa labda kama na wewe ni msanii
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 10 ай бұрын
Mhh
@colethamkasa5821
@colethamkasa5821 10 ай бұрын
Nikitazama aya macho machoz yanitoka na kuuma pia,duh!
@hidayamotto7210
@hidayamotto7210 10 ай бұрын
Kabat km la msela😂
@user-kp1qp4oq5g
@user-kp1qp4oq5g 10 ай бұрын
😂,,,😅😅😅😅😅
@sperabais
@sperabais 10 ай бұрын
Duh nikajua uvivu wa kukinja nguo tz haupo😂😂
а ты любишь париться?
00:41
KATYA KLON LIFE
Рет қаралды 3,5 МЛН
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 83 МЛН
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 49 МЛН
LULU DIVA ACHUKIZWA NA KAULI YA LAVALAVA KUSEMA HAKUMKUTA NA BIKRA
3:28
LIST YA WATOTO WA MASTAA WAZURI NA WALIOPENDEZA ZAIDI 2023,UTAWAPENDA
11:38
а ты любишь париться?
00:41
KATYA KLON LIFE
Рет қаралды 3,5 МЛН