MASOUD MASOUD : NGURUMO HAKUWA VILE / WATANGAZAJI HAWASOMI

  Рет қаралды 83,235

Gangana Info Channel

Gangana Info Channel

4 жыл бұрын

Пікірлер: 144
@BICCOPROTAS
@BICCOPROTAS 6 күн бұрын
Bicco PROTAS,ilula iringa Mzee masoud ikiwezekana fanyanao semina bongo freiva
@respjames590
@respjames590 3 жыл бұрын
Watangazaji wengi siku hizi ni vilaza, hilo halina ubishi. General knowledge hawana, shukran sana Masoud Masoud.🤗
@hassanali4838
@hassanali4838 Ай бұрын
Hatari sana masoud masoud
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 4 жыл бұрын
Mshauri mzee masudi anzishe vlog yake ya mziki wa zamani.Yuko vema Sana kwenye tasnia ya music
@felixmganga2121
@felixmganga2121 2 жыл бұрын
Masoud masoud na halid gangana nawaelewa Sanaa♥️♥️♥️
@georgematahimba5242
@georgematahimba5242 3 жыл бұрын
Huyu MOSOUD MOSOUD ni very bright sana ni mjuzi sana isitoshe ana sauti nzuri sana.
@silvestermanase6101
@silvestermanase6101 3 жыл бұрын
Tatizo tunazeeka, tunakufa, watu wenye vipaji na sauti kali kama hii wanapotea, namkubari sana masoud masoud, namkumbuka pia mtangazaji marehemu julius nyaisanga, nae alikuwa na sauti nzuri sana
@Winstonfying
@Winstonfying 3 жыл бұрын
Gwiji Masoud!, tunaomba kipindi kirefu zaidi, tupate madini ya kutosha ya mzee wetu huyu
@mauriceswaga9769
@mauriceswaga9769 Жыл бұрын
Masoud Masoud habahatishi ni mtangazaji nguli hasa muziki wa zamani anatoa elimu sahihi,hongera Masoud Masoud
@princeigolonjolonjolo9198
@princeigolonjolonjolo9198 4 ай бұрын
Asalam ghalykum masud nipatie namba yako
@classicliffestyletv6642
@classicliffestyletv6642 2 жыл бұрын
Kipindi ni kizuri. Naomba vipindi vya manju wa muziki viwepo KZfaq. Nimeanza kumfuatilia tangu kifo cha maiko Jackson na kile kipindi Cha mama wasimlizi akiwa na edina rajbu. Naomba sana vipindi vya manju viwepo social network.
@FredrickChristonsia
@FredrickChristonsia 2 ай бұрын
Kakaa,,Bingwaa
@athumanmfangavu7320
@athumanmfangavu7320 6 ай бұрын
Mwalimu wangu huyo masoud masoud alinifundisha soma la bendera na aina ya majina kila bendela ya nchi husika ina jina lake mfano ya hapa kwetu Tanzania inaitwa uhuru na umoja nitoe na mimi kafaida hako asante mwalim❤
@cyliruta5021
@cyliruta5021 3 ай бұрын
Hongera kwa kuvuna busara za mzee
@amanijuma5486
@amanijuma5486 4 жыл бұрын
Tupe history yake, masud masud, tumjue zaidi
@NelsonMesha-wp9ks
@NelsonMesha-wp9ks 3 ай бұрын
Masoud Masoud namkubali mpaka basii.
@victormkello9575
@victormkello9575 Ай бұрын
😂😂😂😂 Watangazaji siku hizi tunatambulisha jina la wimbo, mwimbaji na Producer. Utasikia Ngoma imesukwa na S2kizzy, inaitwa Sensema, Rayvan akiwa na harmonize. 😂😂 Hakuna cha kutaja mpuliza saxophone wala mpiga tumba. Na kuhusu ujumbe ndani ya wimbo, msikilizaji atajipambanulia mwenyewe 😂😂😂 kizazi chetu bwana!!! #Gangana
@adelasauwa422
@adelasauwa422 7 ай бұрын
Hongera sana Mzee Masoud Masoud kwa kutuletea miziki ya zamani. Inaelimisha sana
@Nyanda506
@Nyanda506 3 жыл бұрын
Huyu jamaa hatari sana ....bravo
@mussaisaac
@mussaisaac 3 жыл бұрын
Masoud masoud uko vizuri mzee huwa nakusikiliza tu zilipendwa tbc taifa,nashukuru nimekuona live kwa gangana.
@shafiiismail2654
@shafiiismail2654 2 жыл бұрын
kinakuaga lini icho kipindi na saa ngapi?
@amediuskipera4833
@amediuskipera4833 3 жыл бұрын
Mzee anaujua muziki mpaka sio vizuri! Watangazaji wa vipindi vya burudani wangekuwa this deep, vipindi vingekuwa vitamu zaidi!
@dominicrobert266
@dominicrobert266 Жыл бұрын
kama kuna mtu nampenda ktk kuuelezea muziki basi ni Manju Masoud Masoud, big sana manju.
@Mkupe_TechSolutions
@Mkupe_TechSolutions 3 ай бұрын
Music ni zamani na this dayz nao wanaimba kwa jinsi yao ila si taaaamu
@omarali797
@omarali797 6 ай бұрын
Nampenda sana Hercule Poirot, belgian detective. Hii orodha ya vitabu ulivyo vitaja akina Agatha Christ nk ❤❤❤ Usirudi kumuhoji kama hujasoma vitabu alivyo kutajia, utapotezea wakati wake
@danstanpanga8490
@danstanpanga8490 7 ай бұрын
Massood Massood Manju wa Muziki....Mwambaa anajua kwelikweli kuhusu muziki
@josephgomalo41
@josephgomalo41 6 ай бұрын
Duuh.. nilikuwa namfikiria sana Masooouudd Masooouud.. ! Nimefurahi kumuona yuko TBC.. ! I will pay a visit.. I need to talk to Masoud! THE GREAT!
@abassking8296
@abassking8296 4 жыл бұрын
Masoud masoud ni manju wa muzik hatari Sana huyu mzee anajua Hadi muzik wa country jazz salsa halafu Ana swag hasa ya utangazaji
@amadisandaku3131
@amadisandaku3131 3 жыл бұрын
Good Masoud masoud Vijana chukueni madini Hayo ya Mzee wetu..
@humphreypeter4507
@humphreypeter4507 4 ай бұрын
Huyu mzee ni kiboko anajua sio tu muziki wa Tanzania hata wa duniani huko
@fadhilmohamoud
@fadhilmohamoud 4 жыл бұрын
uyo mzee mkongwe sana na anajua aisee
@zwinsalhabsu264
@zwinsalhabsu264 4 жыл бұрын
Maneno ya huyu kaka ni kweli zamani hata jirani analea mtt wa mwenzie
@hammybrown6313
@hammybrown6313 3 жыл бұрын
Nakukubali sana kaka masoud masoud....
@rogermgaya4119
@rogermgaya4119 7 ай бұрын
Masoud Masoud.......Manju.
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Жыл бұрын
Haridi Kuna kusubiri Jkt, Pamoja na JenJohn na Ana mwasoke,Vumilia Mwasha na Wenye viti wa Jambo Tanzania.Nawapenda sana👍👍❤❤
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel Жыл бұрын
😁
@allybamba3110
@allybamba3110 2 жыл бұрын
Sawa nguli munguakupe maisha mareeefu
@georgemwasyeba1891
@georgemwasyeba1891 2 жыл бұрын
Sababu Moja wapo ya Muziki kuwa na ujumbe mzuri ni kwamba Bend ilikua haitoi Muziki au wimbo bila kukaguliwa na Baraza la Muziki la Taifa
@silasdominic5309
@silasdominic5309 Жыл бұрын
Salute sana kwako MasoudMasoud
@ericknkonya5682
@ericknkonya5682 11 ай бұрын
mkuu i am fan wa hizi content za old school kama unaweza kumkaribisha tena kuchambua mawili matatu
@evelinesamwel8503
@evelinesamwel8503 2 жыл бұрын
Nakukubali sana kaka masoud sijuhi kama kuna aina ya muziki usioujua huwa napenda sana unapochambua muziki wa maazi yote kuanzia reggae na kuendellea
@AliAli-rx6wu
@AliAli-rx6wu Жыл бұрын
Eveline unitafute please!!!
@husseinchai1133
@husseinchai1133 Жыл бұрын
Mzeee leo ndyo nakuona sura yako ahsante ganganatv
@marianmartin7483
@marianmartin7483 2 жыл бұрын
Namkubali sana huyu mzee.
@deviddaniely3993
@deviddaniely3993 4 жыл бұрын
Safi sana
@batrumbeziks5946
@batrumbeziks5946 Жыл бұрын
Jamani hebu jifundisheni Kiswahili kabla hamjarukia mitandaoni. Wenye lugha wapo. Waulizeni.
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Жыл бұрын
Ni kweli mzee Massoud
@abdallahmwinyi2106
@abdallahmwinyi2106 Жыл бұрын
zilikuwepo bendi za binafsi kama Dar jazz western jazz kilwa jazz Tabora safari trippers Afro 70 orchestra njirima orchestra kids
@husseinponda
@husseinponda Жыл бұрын
Zilikuwepo na zingine kama vile moro jazz ,cuban marimba,kilosa jazz,tabora jazz
@JacksonTarimo-v7q
@JacksonTarimo-v7q 3 күн бұрын
Watangazaj wangu Bora ni Kam huyu Mzee na Charles Hillary hawa watu wanajua mpk sio vzri
@bookerwashington2161
@bookerwashington2161 Жыл бұрын
Great ......our true roots
@richardlasway5852
@richardlasway5852 3 жыл бұрын
Asante mzee Masoud, Mungu akulinde
@allybamba3110
@allybamba3110 2 жыл бұрын
Okay
@rumibarton2359
@rumibarton2359 Жыл бұрын
Masoud masoud manju wa muziki hatari sana mtu huyu
@hajihassan5433
@hajihassan5433 3 жыл бұрын
Big up Mzee Masoud Masoud
@rajababdul7257
@rajababdul7257 3 ай бұрын
Huyo masoud ni kiboko
@sobbyesmail5278
@sobbyesmail5278 4 ай бұрын
Kweli masoud sheitan ametawala dunia tumlaani sana
@cosmasdaud9088
@cosmasdaud9088 4 жыл бұрын
Huyu mzee Masoud ni hatari bonge la sauti dhahabu
@januarykunani6428
@januarykunani6428 Жыл бұрын
Namuelewa sana huyu mzee
@malelabmalela5016
@malelabmalela5016 3 жыл бұрын
Acha kabisa' nguli huyu namkubali sana' huezi choka kumsikiliza
@emmanuelmambarera141
@emmanuelmambarera141 2 жыл бұрын
Naaaaaaaammmm Mzee Masoud
@KichanjaKashindye
@KichanjaKashindye 4 ай бұрын
Anaujua mziki kwelikweli
@christinasuguta3088
@christinasuguta3088 3 жыл бұрын
Masoud ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@frankmaganga8930
@frankmaganga8930 3 жыл бұрын
Mzee yupo Deep mpk baas
@evaristmartin81
@evaristmartin81 2 жыл бұрын
Voice of voice
@hassanothman5390
@hassanothman5390 19 күн бұрын
Mwana acha wizi
@john255media
@john255media 4 жыл бұрын
Masoud Masoud🔥🔥🔥
@sobbyesmail5278
@sobbyesmail5278 4 ай бұрын
Majirani ilikuwa zaidi ya ndugu lkn sasa hivi wapiii dunia inaelekea mwisho
@husseinmhenga5497
@husseinmhenga5497 3 жыл бұрын
Manjuu...
@godlistenmuro9313
@godlistenmuro9313 11 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Manjuuu
@allywilson4155
@allywilson4155 3 жыл бұрын
Mzee yupo sawa sana
@ramsoadam2256
@ramsoadam2256 2 жыл бұрын
Ktk watangazi ninao wakubali ni huyu jamaa masoud masoud huyu jamaa anujua muziki na anajua kutangaza sijaona mtangazaji anaeweza kumfikia
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 2 ай бұрын
Sahizi hakuna watangazaji ila wapo ma Dj bwn
@reubensamwel4079
@reubensamwel4079 3 жыл бұрын
Living legend
@graysonkasaizi8253
@graysonkasaizi8253 3 жыл бұрын
Mzee nimepata kitu time signature hatari Sana sitachoka kukusikiliza jioni njema
@amanijuma5486
@amanijuma5486 4 жыл бұрын
Nakumbuka enzi zle akiwa na eddy rajab kwenye kipindi cha Country Music
@leonardkasambala5802
@leonardkasambala5802 Жыл бұрын
Hatari na nusu
@innocentblandina1549
@innocentblandina1549 3 жыл бұрын
Napenda ufanye interview juu ya mwanamuziki Mbaraka na Marijani Lakini pia atupe uchambuzi wa wawapiga rythm, solo na base gitaa
@maulidmwegio5704
@maulidmwegio5704 Жыл бұрын
Masuudi Masuudi, Je Sauti yake Na Utangazaji Wake Hautotokea TZ, Itunzwe Sauti Yake Kama Historia.
@husseinhussein9971
@husseinhussein9971 2 жыл бұрын
Huyu mzee huwa namkubali sana.
@abuusuleym7298
@abuusuleym7298 2 жыл бұрын
Huyu Jamaa namjua sana sio mtu wa kawaida akili yake ni kubwa sana hakuna kichwa cha kizazi cha sasa kinaweza kubeba akili hiyo na itachukua kama miaka 1000 hivi bongo uganda kenya kutokea mtu anajua muziki kama huyu jamaa
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 4 ай бұрын
Gangana usiseme wasanii hao wa zamani ni wanamziki baba
@uledihassan6065
@uledihassan6065 4 жыл бұрын
Jamaa anajua sana
@aliyissa9857
@aliyissa9857 2 ай бұрын
On the other side of the coi n mnamjua ? Chotara wa Kimanga huyu alumni bin maluuni
@ombenianton3611
@ombenianton3611 2 жыл бұрын
Mzee unajua had basi yani
@hakimabdul7494
@hakimabdul7494 3 жыл бұрын
Masoud 💯
@abbasmungia6107
@abbasmungia6107 2 жыл бұрын
Mzee yupo vema sana, huyu ni hazina sana asee
@mudiomari3007
@mudiomari3007 Жыл бұрын
Masouuud Masoud
@isackiddy9670
@isackiddy9670 3 жыл бұрын
Gaspar Kigala Wewe huna mfano wake
@newhopeacademykahama1843
@newhopeacademykahama1843 3 ай бұрын
Hii interview naiona mara kwa mara
@iddimalengawamjawiri1399
@iddimalengawamjawiri1399 5 ай бұрын
Hivi huyo Masoud ni MNYAMWEZI kweli???,
@aliyissa9857
@aliyissa9857 2 ай бұрын
I hate him betrayal
@samsonezekiel5239
@samsonezekiel5239 3 жыл бұрын
Namkubali ananifanya niendelee kumsikilizaa sauti poa
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 4 ай бұрын
Wabongo mmelogwa? Exclusive ndyo nn sasa? Acheni ujinga wa kitumwa
@amanijuma5486
@amanijuma5486 4 жыл бұрын
Tupo history yake huyu nguli manju
@ramsoadam2256
@ramsoadam2256 2 жыл бұрын
Huyu jamaa hata kazi ya MC anaiweza Sana
@shomolaacademy141
@shomolaacademy141 3 жыл бұрын
huyu masoud jaman Hana na haji Kuwa na mrithi kabsa
@habibnjowele7751
@habibnjowele7751 Жыл бұрын
NAKUMBUKA ALIPOKUJA BEENIE MAN MKALI WA RAGGAE KUTOKA JAMAICA YEYE NDIO ALIYEMFANYIA INTERVIEW!!KWANI WATANGAZAJI WENGI WALIOKUWA HAWAJUI KIINGEREZA CHA KI JAMAICA YAAN PIDGINS!
@user-cl8bz4zw1r
@user-cl8bz4zw1r 4 жыл бұрын
Said mabel au
@johnmwalwembe3036
@johnmwalwembe3036 Жыл бұрын
Manju wa mziki vipindi vyako.tafadhari vi wepo KZfaq tunaomba
@danstanpanga8490
@danstanpanga8490 9 ай бұрын
Mmoja kati ya watangazaji mahiri wanaoijua kazi yao hasa vipindi vya muziki fikiria Massood Massood akiwa na kina Enock Ngombale mzee wa Club Rahaleo Show na Malima Ndalema na tumbuizo asiliaaa. Daaah kipindi hicho ukisikia sauti ya Massood usingizi unakata
@NelsonMesha-wp9ks
@NelsonMesha-wp9ks 3 ай бұрын
Hiyo ni mashine ya kukoboa na kusaga kokoto hadi mwisho.
@isackiddy9670
@isackiddy9670 3 жыл бұрын
Masud hunamfano wewe ni mwosho
@jamaa2760
@jamaa2760 3 жыл бұрын
Ya kale dhahabu
@longinusnambole4615
@longinusnambole4615 3 жыл бұрын
Cha Ajabu wakianzisha semina za kuwapa elimu ya uzoefu na utangazaji watangazaji wa leo wanaitwa waliozaliwa Leo watoe uzoefu.Log Mwezeshaji in huyu Masoudmasoud jamani
@fatmaabdallah8743
@fatmaabdallah8743 4 жыл бұрын
Nimefurahi kumuona masoud masoud kumbe bado yuko hai? Jamani mbona choka mbaya hawa wenye mashirika ya habari hawawaenzi watangazaji?
@salvatorymtunga2802
@salvatorymtunga2802 3 жыл бұрын
Unasema choka? Huyo yuko mbali hata wewe huwezi kuvipata maishani kwako.
@erickdonald5443
@erickdonald5443 Жыл бұрын
Nikiskiaga hii sauti basi siendi tena mahala
@newhopeacademykahama1843
@newhopeacademykahama1843 Жыл бұрын
Fanya, umuitee tena, redioni ufanye nae kipindi tena, kama ulivyo ahidi mzee, unanikoseaa.
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel Жыл бұрын
Huyu mzee ngumu kumpata huwezi amini, ila bado napambania kombe
@newhopeacademykahama1843
@newhopeacademykahama1843 Жыл бұрын
@@ganganainfochannel Mzee, huyu ni hadhina kubwa kwa taifa, kiukweli namuelewaa sana, tangu kwenye vipindi vyake vya country music, wakina Kenny Roger's kwa kifupi mzee noma, pambania hilo, ufanye nae interview hata ya masaa kadha, mwingine ni mama Edna Rajabu wa hapo TBC nae alkuwaa kwenye kupindi cha County Music enzi hizo, wako wengine napendaa kujua wako wapi kwasasa wafanya kazi wa TBC ENZI HIZO MZEE. PLEASE BACK US THOSE DAYS
@graysonkasaizi8253
@graysonkasaizi8253 3 жыл бұрын
Kuna mtu wakulisi mikoba ya massud
T.B.T...IJUE HISTORIA YA JABALI LA MUZIKI MARIJANI RAJABU.
13:57
CHAKULA CHA UBONGO
Рет қаралды 18 М.
MZUNGU KANIZALISHA KISHA KAKIMBIA KISA DAWA ZA KULEVYA NAJUTA SANA
35:17
Lehanga 🤣 #comedy #funny
00:31
Micky Makeover
Рет қаралды 28 МЛН
My Cheetos🍕PIZZA #cooking #shorts
00:43
BANKII
Рет қаралды 25 МЛН
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 15 МЛН
Mkasi - SO7E06 With Masoud
28:46
MkasiTV
Рет қаралды 49 М.
MUUMINI AIBUKA! "Nimenyanyasika Mno Kwenye NDOA, Nakata Mauno Sana"
32:01
MFAHAMU MWANDISHI MKONGWE AMBAYE ZANZIBAR INAJIVUNIA 2
41:29
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 7 М.
KABUDI ASHUSHA HISTORIA MBELE YA RAIS SAMIA
17:46
Gangana Info Channel
Рет қаралды 59 М.
Lehanga 🤣 #comedy #funny
00:31
Micky Makeover
Рет қаралды 28 МЛН