Tupo MBASHARA kutoka hapa Kanisa la Waadventista wa Sabato DODOMA KATI
Пікірлер: 28
@AmossuleimanKijason-tn5wm2 ай бұрын
Mungu akubariki sna mtu wa mungu maana mmi huwa unibaliki sna ipo sku nitakuwa kama ww
@paulsemba_TV2 ай бұрын
BWANA AKUJALIE NA KUZIDI
@user-fd8kx7ml6e2 ай бұрын
Mze semba hapo kwa mjane wa serepta sijaelewa ulivojibu haswaa..rudia
@bamag-0215 ай бұрын
Barikiwa pr
@samsonelisha3885 ай бұрын
Pastor naomba izo mada za maisha ya kikristo natamani kuzifahamu hasa kusuka na kuna mafungu yanakataza kuwasha moto siku ya sabato, naitaji msaada wa uelewa huo Ahsantee pastor
@paulsemba_TV4 ай бұрын
MUDA UKIFIKA UTAZIPATA
@harunkija78874 ай бұрын
Muda ni lini?Mafunzo yako hayana kona nachelewa
@user-du2ug1wd7s5 ай бұрын
Mungu akubaliki pr
@jdm14595 ай бұрын
Namshukuru Mungu nimejifunza kitu ambacho nilikuwa sijui ,ubarikiwe sanaa pastor
@paulsemba_TV4 ай бұрын
AMINA
@stephanomuganga98725 ай бұрын
Pr. Semba, ubarikiwe sana Kwa ujumbe makini wa kumtegemea Mungu Kwa njia ya neno lake kujibu maswali ktk siku ya Sabato hapo Dodoma...
@paulsemba_TV4 ай бұрын
AMINA
@Nyanda_Jr5 ай бұрын
Pastor Mungu azidi kukuinua. Lile Neno WATUBIDISHA umelivunja kiyunani mara tatu na hubiri lote likakaa hapo ubarikiwe sana. Nimejifunza kuwa huwa tunasoma maandiko juu juu tu.
@paulsemba_TV4 ай бұрын
BWANA ATUJALIE NEEMA YAKE
@JacquelineMahumbe5 ай бұрын
Be blessed pr
@alicenyakawa24495 ай бұрын
May God bless your effort you have to educate Christians about Godliness of guiding to walk in peace with God
@paulsemba_TV4 ай бұрын
AMEN
@gloriamasaka76355 ай бұрын
Nimebarikiwa sana Mchungaji yaani maswali haya ni mbaraka sana kwangu, ni kama Randy Skeete na Doug Batchelor ulimwengu wa Kingereza wanajibu maswali ambayo yamenitatiza na mengine watu wananiuliza napatia humo, ubarikiwe sana
@paulsemba_TV4 ай бұрын
AMINA
@Truegospelchannel15 ай бұрын
Tunatazama kutoka Nyamaraga west SDA CHURCH Isbania Kenya
@paulsemba_TV4 ай бұрын
AMINA
@user-oz2vx7ul9u4 ай бұрын
Hakika
@zephaniasangala42754 ай бұрын
Pastor nakuombea sana na hogera kwa kazi kubwa. Ila nina ushauri kama ikikupendeza ukawa unafundisha mada mbalimbali hata kama siyo kanisani kama hivi halaf tukawa tunazipata online hiyo italeta mtiririko mzuri wa mada za kujifunza mfano nipo nasubiria zile mada za alphabet za mwisho wa dunia mpaka sasa naona bado
@paulsemba_TV4 ай бұрын
NI TAMANIO LANGU KUFANYA HIVYO. NINAENDELEA KUPAMBANA NA CHANGAMOTO YA MUDA NA FEDHA (MALIPO YA MTANDAO)