Dah aibu hii alipaswa aombe hata msamaha ....ubaya hulipwa kwa wema hongera my dia love
@user-sb3cx2ku3p4 ай бұрын
Kataayar mbwa uyu astaghafir na ramadhan hii nimetuka lakin sio vizur kabisa kumkataa mwenzio kiivi aibu pia han wala hana stara
@tobosha32364 ай бұрын
Kijuso kimemshuka kwa tahayuri kweli adui wa mwanamke n mwanamke mm nakukubali sana mdogo wangu love songa mbele usikwamishwe n wasio kupenda
@SalmamashakaMashaka4 ай бұрын
Sio kijiso Tu nikijuso kwale Ata sura imemshuka
@tobosha32364 ай бұрын
@@SalmamashakaMashaka kisha ata hana aya wala aibu n kujuwa vibaya pia ajue akakubali kulipiwa bills zake n change pia akapokea 🤣🤣
@user-eo4hd8xu6d4 ай бұрын
Jaman dah mpk huruma 😢😢😢 love wawatu
@mashiassenga88494 ай бұрын
Haki wanadamu ww😂😂😂😂😂😂
@oman1oman1794 ай бұрын
Huo dada Mimi simpendi alivyo msema love utasema yeye ndo kamuumba mshenzi huo mmbea nimekuchukia msenge hata kama humpendi ungesema tuu simpendi basi sio mpaka useme maumbile yake
@hariethsamwel8948Ай бұрын
Nakupenda sana dada love,kwanza unajiamini unaigiza vizuri Mungu akubariki❤
@preciousjacob57424 ай бұрын
Mi kikweli namkubali love sana hata asiponipa hela yake anajua kuigiza haswa
@florafifi32654 ай бұрын
Nampenda Love anajiamini nafasi yake anaitendea haki sana chawa wa Anna😊. Dada sote ni wa Mungu thamani ya mtu ni utu wake . love you Love endelea kubarikiwa sana tu
@rosengiloi93814 ай бұрын
Nampenda Love mpaka,ananifurahisha mno anavyoigiza
@user-uu6pg2pi2p3 ай бұрын
Kwa kweliii love upo na moyo wa upendo na c Kila mtu akukubalii big up love
@ChikuChinga4 ай бұрын
Nimetoka TikTok mpaka hapa
@magrethdalema92843 ай бұрын
Hata mimi Yan daah
@hamzamohamedKeslivol4 ай бұрын
Anaekubali kuwa huyu mnafiki asiwache ku like comment yangu "Nasubiri chenji yangu si rafiki yangu amenilipia" huu unafiki. Gonga like kukubalina nami
@user-rz3co1ev1u4 ай бұрын
Tena unafki mkubwa 😭
@user-rk5hp8ci3e4 ай бұрын
Kwakweli mie binafsi nimejiskia vibaya Sanaa ,,huwezi kutompenda mtu hata hunasababu hata haweki stara!!!!!aibu imemshika
@DianaTesha-iz4pb4 ай бұрын
Nampenda love mimi jmn dah Cku nikikutana naw nitamuhag, huyo dada ni mnafki sana eti rafiki yangu lol
@IreneJoseph-bf3kl3 ай бұрын
Love Mimi nakupenda Sana uyigizaji wako umbo lako kila kitu dada yangu
@user-pt5xf6gc9u4 ай бұрын
Pumbavu wew mwonekano wako utakupeleka wapi aibu limekushuka hadi umelipiwa mwangalie vile nyokooooo
@user-hn6dm3ev5p4 ай бұрын
Mbona rafikiyako mwee atakuomba msamaa kameshindwa kajinga kweli ako
@ChikuChinga4 ай бұрын
Nimetoka TikTok mpaka hapa😂
@HasmaMachia4 ай бұрын
Huyu dada jamn ..cjapendaa ulivyo kuambia love hupendii alafuu unajishauwa eeet shoga angu duuh unafikii ni silka ya mtu achaa unafkiii wew dada ...
@adamapollo98592 ай бұрын
Tena kanafiki kweli kameona pena eti nakupenda😂
@user-yt1sq1xp6v2 ай бұрын
Maskn love Hana roh mbaya
@Mamysoudy014 ай бұрын
Duuh binadamu kuweni na akiba ya maneno dah😂😂baada ya kumsema vyote hivyo bado kakulipia na bill
@karibunyumbani38244 ай бұрын
Roho mbaya we dada muuaji kweli wewe dada mimi ningelia na magoti juu hata aibu hana na ofa anapokea
@ashurakiswamba70854 ай бұрын
Yani aibu tupuu mungu wangu yani yeye mwenyewe anauzuri ganii shetani mwenye mguu mmoja unaweza ukamuumba hata mende wa chooni mpk unasema humpendi binadam aliyeumbwa na mungu wako...duuh nimejiskia vibaya sanaaa.sjui moyo wako ulivyogeuka nyuma ulijiskiaje ila utakuwa umejifunza kituuu.umeumbuka.loveness nakupenda mdg wangu❤❤❤❤
@adrophinamwanguse15103 ай бұрын
Mi nakupenda mwaya love wangu ❤
@user-vn3dz8jd1m4 ай бұрын
Kizuri na kikubwa amelipiwa kitu ambacho hakiaribiki Leo wala kesho huo unafiki wake ataumia nao mpaka basi love Mungu akubariki hivyo ndo tunatakiwa kuishi
@katobacecylia30104 ай бұрын
Dada kadharirika hatari....
@diannaphabian74407 күн бұрын
Such a sweet soul💕🥳Love najua u’ll probably never see this ila sisi wengi tunakupenda❤️U are a gem and u are out here breaking standards zilizowekwa na watu. This girl is changing the mentality ya wabongo wengi and she is proving most of the people wrong ata wale waliodoubt uwezo wake. Apart from showing diversity in the industry which is something to be praised for. You go girl🥳🥳💎Love from the land of spices🇮🇳
@user-iu1ys2jt3r2 ай бұрын
Daaaah imeniuma san . Kwanza hajaomba msamaha then kamkuta love wa watu mpole.daaah😢🥺
@adamapollo98592 ай бұрын
Kana roho mbaya😂
@user-iu1ys2jt3r2 ай бұрын
@@adamapollo9859 ndyo 😭
@user-iu1ys2jt3rАй бұрын
@@adamapollo9859 ndyo🤣😣😣
@oman1oman1794 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ dada muombe love msamaha yani umeniuzi ulivyo mkauga sijapenda mshenzi mnafiki mkubwa
@EvaNicholaus-og4im3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂yey mwenyew Hana muonekano...nampenda love jmn ....sema wanawake alys❤x
@user-qg7qo3hh6r3 ай бұрын
Duh mkundu huyu dada ach roho mbay😢😢 huna haya mwisho wa ubaya aibu
@msatibongonyuzi144 ай бұрын
Lilivyo kuwa na roho mbaya bila aibu limepokea mbaka chenchiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@firdaussheikh48173 ай бұрын
Jamani love😢😢😢😢😢😢 thank you dear.
@SesiliaMkude12 күн бұрын
Jamani kiukweli tupendane mmekiona kisanga chadada huyu niabu tupu leo alali atakufa kwa kioro chefu mtoto wako atapendwa nanani mjingawe pumbavu
@user-cs4wh8ez7m4 ай бұрын
Jamani unawezaje kumchukia mtu hajakufanyia ubaya alafu bila haibu unachukua na vitu alivyokununulia haibuuu jamani love mungu akubariki
@ashamohdjuma63252 ай бұрын
Yaani na nauli kabeba yaani 😂😂😂😂 unafiki shikamooo
@salmamlokela19874 ай бұрын
Umeshindwa hta kuomba radhi dada mnafki huyuuu
@MswakySalmina2 ай бұрын
Dah m/mungu aendelee kuulinda ulimi wangu uwiiii
@user-fi2im7bt5g2 ай бұрын
Daaah kiukwel chozi la Moto limenitoka kwel unamchukia mtu ivyoo....yaan dada Alikuwa anamaanisha haswa ampendi love...Ila love yupo imara Sana nampenda nampenda Tena....Ila uyo dada daah kapat aibu ya mwaka.
@HalimaHalimaabdallah3 ай бұрын
Love nakupenda kipenzi
@user-hx3co4en6w3 ай бұрын
Daaaah huyu dada Mungu amsamehe jmn ,,hafai hata robo ety hana muonekano mweeeee😢 huyu dada kiboko mtu hamjui ety simpendi kutoka moyoni look hana hata haya wanawake tubadilike jmn hii ni funzo kwa wengine
@user-vu8hv7yo2m2 ай бұрын
Mungu akubariki love usirudishe mabaya kwamabaye ahende akajifunze uko
@AminaAlly-wo9ul4 ай бұрын
Msenge mkubwa wew hata haya huna ffara wew nataman nikupige aibu san nyooooooo kuma wew nimemekuchukia wwee dada
@user-me3so4pi4b3 ай бұрын
Nakupenda love
@jescachandarua58984 ай бұрын
Daaaah hii Dunia ngumu😥😢 respect love 💕
@SigilimbeKishamuri3 ай бұрын
Hata marafiki wa huyu dada wawe makini, ni mnafiki sana
@user-fc7vm5lk7u4 ай бұрын
Huo wote ni wivu tu km hajui kuigiza kwann director alimueka na tahayuri zako
@mwarabuhamisi66003 ай бұрын
Mm nakupenda love❤
@user-vz4xv7lg3x4 ай бұрын
Rafiki yako wap, hapo ungeomba msamaha tu na maneno yako mabovu...khaa!!
@mathacaristo42933 ай бұрын
Et baada ya kuambiwa analipiwa anasema et rafiki na shigaake how? Wanawake kwa unafki shkamoo, but hongera Sana love kwa kweli umeniispire❤❤❤ much love from me❤❤❤❤❤❤
@ndayisabaneema95144 ай бұрын
Yemwenyewe hana uzuli wowote nakujichubuwa kote hata hana mvuto Love Anakushinda nambali
@esthermuro62304 ай бұрын
Daah love jamn mm nakupenda mnoooooo mnooooooo
@AnnahElasti4 ай бұрын
Mh uyo dada mnafiki sana syuuuu ajafa ajaumbika
@sabihaibrahim1433 ай бұрын
looo ama kweli adui yako mfanyiye wema haki mafundisho ya Mtume wetu hayaanguki yani ukimfanyia wema utamsokota na kutafakarii mwisho nafsi itamsuta tuu atarudi kuliko kushindana naye kwa ubaya angeshindana basi angalipata bichwaaa kijiona mwamba pole love
@diva_201623 ай бұрын
Aibu naona mm uwiii 😊😊
@asnatabdallah4 ай бұрын
Unawezaje mchukia usie mjua jamani nizambi kubwa sana Allah atusamee
@henrymkondo85363 ай бұрын
I like how love react....maupendo kutoka kwa shabiki wako❤
@RehemaGirbet3 ай бұрын
kwakweli sisi wanawake wanafki sana nimetokwa hadi machozi love alivyoongea nimeumia,kwa kwel
@RawIsmail-br2rm3 ай бұрын
Kwel Duh cwez mchukia Ht km namjuw
@samwelmasunga82934 ай бұрын
Dada mwehu sana kwel kwel harin at aibu linapokea tu zawad za bule fala sana Mungu atalip hayo maneno ya chuki
@givenessdavid37433 ай бұрын
Huyu dada jamani mdangaji konkodi Mnafki mbele ya pesa mfyuuu
@VictorMsomal4 ай бұрын
Uyo dada n mtu na nusu duuu nmempenda mnoooo
@NasmaKidolezi-tu4jc2 ай бұрын
Huyo dada n mnafik sana anaonekana hata kwa maisha yake
@user-ly5pg4ot1s4 ай бұрын
😭😭😭😭daaaaaaah inauma ila dadaangu ana upendo sanaaa inamaanisha angemuonyeaha kama yeye ni shabiki yake bhasi huenda ange Fanya mazuri zaidi ya kumlipia
@SalamaNauthar2 ай бұрын
We dada una roho mbaya sana
@eliasmwaluanda74054 ай бұрын
Bwege mmoja uyo.Love sisi tunakupenda kwanza familia yng isipokuona siku iyo ata hatufurahi
Kapauka kwa roho mbaya,, ila katahayari vibaya mnooo
@user-eo4hd8xu6d4 ай бұрын
Ila nmependa love anajikubal mno.ngekuwa mie jaman mbn duka la watu lingevurugika ,,,sema love msomi kaumia ndan kwa ndan na kamtukana kizungu 😅😅😅kwa kumlipia bili .
@hikmatburhan50772 ай бұрын
mnafik mpaka mnafik tena Lol
@jenivanicas16133 ай бұрын
Piga kazi Love, nimependa ulivyomtreat huyo dada
@user-qg7qo3hh6r3 ай бұрын
Huna hats Aya mwanamke wwe sura mbaya hat kama humpendi Mtu siyo vizuri kuhanika hadharan KO tujue humpendi ili iweje ndy maan mweusi kama Giza la kiama
@nadyajuma3814 ай бұрын
Aaah love usingelilipia hashuo tuu
@celineceline23094 ай бұрын
Mwaisho wa ubaya aibu tuachage roo mbaya mtu hujawah kumuona alafu wamchkia 😏
@VeronicaMwalwanda-mt9so3 ай бұрын
Love wew ni mzuri sana
@FatmaSempeho-sf6rx4 ай бұрын
Jamn had aya naona mm jaman acheni roho mbaya mungu ajakosea kumuumba hivy
@user-vz3pc3qf7q4 ай бұрын
Upuuzi na ata Huna aibu Asante shoga angu Kwa ushoga upi shenzi ww
@rhodacharles88573 ай бұрын
Huyu dada hana hata aibu loooo tena lina jichekesha kabisa eti rafiki yangu 😏😏
@user-xl8qc9ds2o4 ай бұрын
Anacheka cheka kama kapata zote eti simpendi love dada lov🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@aminafideli81323 ай бұрын
Nimetoka tik tok nimuhone uyu dada na anavyojiami daa
@elizambetea8084Ай бұрын
Ni kweli mtu yuwaeza kuchukia bila sababu
@NeemaJoseph-uo2gw4 ай бұрын
Aibuuuu aibuuu aibuuuu 😂😂😂😂😂😂😂😂 ukomeeeeee weeeee
@user-vz4xv7lg3x4 ай бұрын
Aibu mpk basi yan
@user-km5fr7co1w4 ай бұрын
Jaman tuliotok TikTok ad KZfaq tujuan maan tumechom nauli😂😂
@SITIAHMADALLY3 ай бұрын
Kapauka kwa roho mbaya ila katahayari
@user-lx3nz5cq6x3 ай бұрын
Hatakuja kusahau😮
@user-jb8fx3iz6n4 ай бұрын
Daah we mdada una roho ngumu kweli
@clementinamsakwa72924 ай бұрын
Aibu nimeona mimi dah!🙊🙊
@juliethgodfreylusaulwa25433 ай бұрын
NAUTOA WAPI UJASILI WA KUMCHUKIA MTU KIASI HIKI JAMANI. ALAFU ANASISITIZA KABISA SIMPENDI MMMH
@theresiagideon21784 ай бұрын
Kwaaibu ningekuwa mimi nisingepokea hiyo zawadi, maana kumsema mwanadamu mwenzako hivyo vibaya aisee huyu dada Mungu amsaidie hiyo roho yake, unamchukiaje mtu kutoka moyoni hujawahi hata kuishi nae wala hata kuonana nae jamani kaaaaa.
@Helen-vl8lb4 ай бұрын
Hujafa huja umbika acha kuongea vibaya 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@emmanuelmmbaga52094 ай бұрын
Dada love Mungu akubariki kwa moyo wa kipekeee ee ul
@user-ex3ni4lp9h4 ай бұрын
Adi nimeumia mimi 😭jmn love wangu mahi
@glorymziray19154 ай бұрын
Minampenda kwanza anajiamini sana
@greenermichael20574 ай бұрын
Nmejifunza Love we ni mtu tena mtu tena huyo msichana atajua tu akishazaa ndio atakumbuka alichomwambia love liwekeni hili akilini Love umenifundisha kitu had namuombea mama aliyekuzaa amekulea ktk maadili ya kutokuwa na chuki UBARIKIWE MWANANGU "et rafiki yangu" Mungu tusaidie tuheshimu watu