►Instagram / stbongotv ►TikTok / stbongotv.tz ►Facebook / stbongotv ►Twitter / stbongotv ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder
Пікірлер: 51
@Loshiphameliyomoleli2 ай бұрын
Muheshimiwa makonda hongera.kwazi unayo fanya. Wenzako wanafaa kuiga mfano wako. Nchi iyo ya Tanzania 🇹🇿. Itasonga mbele sana
@jumanesaidi76352 ай бұрын
Namuona mwanasheria anakazana kumnyang'ana mkataba mwanasheria mwenzake, asiuome mkataba wake wa ovyo akaumbuka.
@shadrackhelemani346Ай бұрын
Nammm bro
@godfreymwandara2 ай бұрын
Yaani hii nchi dah Sasa huyu anakuaje lawyer wa wilaya alafu hajui ata sheria😢
@fatemafatema47802 ай бұрын
Makonda mimi unanifurahisha sana niko tayari ku subscribe all your program pamoja na mama samiha na viongozi wote wa serikali mimi nawapongeza sana kwa kazi nzuri mnoifanya mashallah mungu awabarik kazi iendelee