No video

MBELE YA MAKONDA BIBI ALIA KUDHULUMIWA NA ASKARI POLISI NYUMBA TANGU MWAKA 2020

  Рет қаралды 26,775

KUSAGA TV

KUSAGA TV

Күн бұрын

Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
KZfaq : www.youtube.co...
Tiktok. www.tiktok.com...

Пікірлер: 88
@lugembesweya3288
@lugembesweya3288 2 ай бұрын
Makonda na kuelewa sana tungekua na viongozi wa namna hii kila ngazi tungeishi na amani na matumaini makubwa Mungu akupe maisha marefu insha allah
@user-oo1vz3zi1t
@user-oo1vz3zi1t 2 ай бұрын
Sikwenda Shule ila hii kesi naweza nikaiamua ukiskilza vizur niDhulma kubwa kea Bibi
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 2 ай бұрын
kwanini hukwenda shule sasa?
@florencemeza6540
@florencemeza6540 2 ай бұрын
Halafu utasikia wanaojifanya watetezi wa haki wanampinga makonda hovyooooo
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 2 ай бұрын
Wajinga kweli
@mwanamvuasaid9196
@mwanamvuasaid9196 2 ай бұрын
Tunakupenda sana makonda
@ramadhanishabani807
@ramadhanishabani807 2 ай бұрын
Sasaa viongoz wengne walikua wapi mpaka makonda aje kutatua
@jwisetv4833
@jwisetv4833 2 ай бұрын
Huyu mwanasheria anamsaidia sana makonda
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 2 ай бұрын
Huyo bibi arudishiwe eneo lake tafadhali
@mishiabdu7478
@mishiabdu7478 2 ай бұрын
Mungu akulinde
@HussainMaula-tz8dh
@HussainMaula-tz8dh 2 ай бұрын
Eeeeeeeeee Arusha mtanizeeeesha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@TittoMholwa
@TittoMholwa Ай бұрын
Rac makonda upo vzr sana
@bitunimsangi971
@bitunimsangi971 2 ай бұрын
Yani huwa nakuelewa sanaaaaa basi tu mwenyezimungu akuongoze Kwa Kila jambo MB zangu zinaishia kwako huna baya mkuu spana mbele Kwa mbele barikiwa sanaaaaa
@mishiabdu7478
@mishiabdu7478 2 ай бұрын
Hy alomdhumu bibi atakiwa atiwe ndani kwa kumtapeli bibi
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 2 ай бұрын
Very sad kama viongozi ndio wanatufanyia hivi sijui tunaelekea wapi Jesus
@danielmadenyeka4248
@danielmadenyeka4248 2 ай бұрын
Nyumba ya mil 22 upunguze sh.laki 5? Haaaaaaaaaaaaaaaaaaa arudishiwe Nyumba yake. Yn hp msomi kampiga bibi.
@MosiHassan-dx6gc
@MosiHassan-dx6gc 2 ай бұрын
Apewe haki yàke amedhulumiw kutokana na unyonge wake jamanii ewe mungu tutakaa wPi kesho kwa mungu
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 2 ай бұрын
Daaih mama tunaomba ikikubendeza mama yetu makonda kila mkoa awe anakaha miezi 4 si alusha tu na ss mama tunaomba
@JacquelineMahumbe
@JacquelineMahumbe 2 ай бұрын
Tanzania ina majambazi sana. So sad.
@msafiriomary893
@msafiriomary893 2 ай бұрын
Kwa utaramu wangu wa sheria huyo ni tapeli arafu thamani ya arthi inapanda kra cku
@jobungure7195
@jobungure7195 2 ай бұрын
Naomba makonda ama hapi mmoja aje awe Rais wetu Kenya
@ashajumanne2441
@ashajumanne2441 2 ай бұрын
Ni sahihi kbs nyumba irudishwe na adaiwe
@MohamedIbrahim-bn1gz
@MohamedIbrahim-bn1gz 2 ай бұрын
Leo nimefurahiiiii sana
@user-sw2fi1gu4j
@user-sw2fi1gu4j 2 ай бұрын
Nimekukubali sana makonda ,mungu akubariki sana,
@maharagendondo
@maharagendondo 2 ай бұрын
MAKONDA, HUYO MWANASHERIA PIA WAMEKULA PESA WANASHERIA HAMNA LOLOTE
@user-ui4oh8gf8n
@user-ui4oh8gf8n 2 ай бұрын
Ayoub Ayoub mwogope mungu
@user-ex9sd8wm4l
@user-ex9sd8wm4l 2 ай бұрын
Hakuna kitu kama hicho warudishe hiyo nyumba
@chande2k250
@chande2k250 2 ай бұрын
Duhh wizi mtupu miaka yote Hiyo kalipa laki tano haiwezekani vunjeni mkataba
@user-jf2wz2rm8u
@user-jf2wz2rm8u 2 ай бұрын
Njoo na mbeya makonda
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 2 ай бұрын
Dhuruma Kila sehemu
@jameslaiser6276
@jameslaiser6276 2 ай бұрын
Kwenye hili leo nimemwelewa Makonda.
@allymoshi2053
@allymoshi2053 2 ай бұрын
Hata mm kuna askar alinidhulumu sh.laki4 nilimuuzia gari aina ya ist mwaka 2022 nilifuatia wakawa wanalindana t nikaamua niache alikuwa Musoma anaitwa Khamisi Kabota
@user-lc9zf6jw1r
@user-lc9zf6jw1r 2 ай бұрын
😅😅😅
@benjaminpaschalkayombo2394
@benjaminpaschalkayombo2394 2 ай бұрын
Wachaga 🙌🙌
@HannanSomaiyah-wp7ny
@HannanSomaiyah-wp7ny 2 ай бұрын
Huyo mnunuzi ni Ukatili mnooo Toka Dunia imeumbwa sijawahi Kusikia Nyumba inalipwa kama Kodi,
@noahemanuel7015
@noahemanuel7015 2 ай бұрын
Nchi ngumu Sana mjomba
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 ай бұрын
Ushaambiwa masawe
@husseinshabani3306
@husseinshabani3306 2 ай бұрын
Mama samia tunakuomba makonda akae hapo arusha baada ya mwaka umuhamishie mkoa mwingine. Azunguke mikoa yoote amalize uonevu. Upo sehemu nyingi.
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 2 ай бұрын
Sio amthulumu ni amdhurumu nyumba!
@EsauSospita
@EsauSospita 2 ай бұрын
Mungu akubaliki mkuu wa mkoa alusha
@user-to3vc7vj4e
@user-to3vc7vj4e 2 ай бұрын
Asante Kwa apana hiyoooo
@DeoKimbe-gt4op
@DeoKimbe-gt4op 2 ай бұрын
Nkuombea mh makonda
@frankjohn8706
@frankjohn8706 2 ай бұрын
POLISI HATA YOHANA MNATIZAJI ALIWAONYA NI WABAMBIKIZIAJI KESI NA WADHULMAT
@marthaswai1185
@marthaswai1185 2 ай бұрын
Alikuwa anasubiri Bibi afe achukue nyumba.Alikuwa na nia ovu.Hii dunia hii,dah
@husseinshabani3306
@husseinshabani3306 2 ай бұрын
Kisheria mkataba wowote ukiwa na udanganyifu ni batili. Hivyo hakuna mkataba hapo. Mama apewe nyumba. Na huyo jamaa aongeze hela za kodi miaka mi4 laki 5 hazitoshi.bado anadaiwa kodi na hana nyumba hapo.
@user-ml9oe2ex4p
@user-ml9oe2ex4p 2 ай бұрын
Wengi wao hupenda vitu vya bwereree asee
@mishiabdu7478
@mishiabdu7478 2 ай бұрын
Na mm naitaji msaada wk mweheshimiwa.tumedhulumia nyumba
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 2 ай бұрын
Hata kama tukiukubali huo mkataba bado huyo mnunuzi ameshafanya breach of Contract. (Hiyo milioni moja kila mwezi alikua halipi na bado anafaidika na Kodi ya wapangaji Wakati yeye kalipa Laki 5 tu). Utapeli ni mwingi.
@user-to3vc7vj4e
@user-to3vc7vj4e 2 ай бұрын
Asant baba makonda yaani ningekuwa naendelea kuzaa ningekuZaa ila mungu akulinde Kila itwapo leo
@user-zp9qw7oi5w
@user-zp9qw7oi5w 2 ай бұрын
Ayubu alipe pesa na aludishe nyumba huyo ni mpangaji ...taperi mkubwa
@user-uo6zj2jm3e
@user-uo6zj2jm3e 2 ай бұрын
Kijana anazambi jamani
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 2 ай бұрын
sio zambi..ni dhambi
@ReganRingo
@ReganRingo 2 ай бұрын
Kamataaaa
@TittoMholwa
@TittoMholwa Ай бұрын
Ayubu gani mwizi huyo ni kain tuuu
@user-zp9qw7oi5w
@user-zp9qw7oi5w 2 ай бұрын
Huenda alikua anamtisha kama polisi ndio maana bibi alikua anaogopa achunguzwa ayubu.aludishe nyumba naashitakiwa tapeli mkubwa.
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 ай бұрын
Jina masawe😅 unategemea qnn hapo Ila hawa watu sijui wana shida gani Ni wadhulumaji mno
@zainabmohd6524
@zainabmohd6524 2 ай бұрын
Duh 😢
@ChigaBoy-dw8zc
@ChigaBoy-dw8zc 2 ай бұрын
Ayubu ayubu ayubu mbona waniudhi
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 ай бұрын
Huu ni wizi jmn Khaaaa Apewe hiyo laki 5 nyumba irudishwe
@denisshow522
@denisshow522 2 ай бұрын
Mwamba tunatamani kujiunga na nguvu ya pesa na jicho la tatu ila tuko mikoani itakuaje apo
@JeremiahMwalukosya-eh5nf
@JeremiahMwalukosya-eh5nf 2 ай бұрын
Nikija kupata mtoto wa kiume ntampa jina makonda kumuezi kamanda huyu
@ekyochisikitaya5354
@ekyochisikitaya5354 2 ай бұрын
Ni shida sana, akuna hutu wala huruma.
@user-cu9mj3xj8x
@user-cu9mj3xj8x 2 ай бұрын
uwiiiiii heeeeee,hii hakizabinadamu zinatuchelewesha,wangekuwa, wanafapigwa risas hazaranilikukomesha wahuni,adv,500000,kwenyeml20 shenzi kabisa
@annehaysanday9214
@annehaysanday9214 2 ай бұрын
Amlipe bibi siku alizokaa na arudishe nyumba kwa bibi.Mdhulumati mkubwa huyo!
@alexmusyokialeqiijunior5448
@alexmusyokialeqiijunior5448 2 ай бұрын
Mukuu wa wilaya tibim👊
@husseinmuha1850
@husseinmuha1850 2 ай бұрын
Sungurawamjininawakijijini
@joshuanizigiyimana8409
@joshuanizigiyimana8409 2 ай бұрын
❤❤❤❤
@samwelshedrack631
@samwelshedrack631 2 ай бұрын
Huyu ayubu ana roho mbaya sana
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 2 ай бұрын
Sasa kama ni mwaka wa 5 si pesa imeshuka thamani? 500, 000 ya nini arudishe eneo.
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si 2 ай бұрын
Makubwa kazi ya mahakama mmm
@user-to3vc7vj4e
@user-to3vc7vj4e 2 ай бұрын
Alipe hy ni tapeli
@user-ml9oe2ex4p
@user-ml9oe2ex4p 2 ай бұрын
Hamna masikini km huyo traffic ayubu na group lake pale arusha mjini wako na pikipiki mla rushwa mkubwa huyo komred komesha hilo
@florencemeza6540
@florencemeza6540 2 ай бұрын
Kuuona ufalme wa Mungu ni kazi saaana unamwibia bibi?? We Ayubu
@user-ex9sd8wm4l
@user-ex9sd8wm4l 2 ай бұрын
Hiyo ilikuwa nimkataba wa kupangisha tu maana huo niutapeli
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 2 ай бұрын
Na ndio wanafanya kazi na serikali😢😢
@ramadhanishabani807
@ramadhanishabani807 2 ай бұрын
Huu ni usenge
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 2 ай бұрын
Dk 2 mkutano wa. Nini
@chande2k250
@chande2k250 2 ай бұрын
Uvunjwe tu huo mkataba
@EmilianKomba-sb4kn
@EmilianKomba-sb4kn 2 ай бұрын
Mbona mnapost nusunusu afu patamu kwann
@user-cj2iq1qv6n
@user-cj2iq1qv6n 2 ай бұрын
MAKONDA ACHA UNAFIKI CCM NYOTE NDIO TABIA ZENU KUZULUMU. WANANCHI UKU MKIJIFANYA KUTETEA WANANCHI UOZO WOTE WA NCHI HII UMESABABISHWA NA CHAMA CHA MAPINDUZI
@MaulidiMsingwa
@MaulidiMsingwa 2 ай бұрын
sa wewe ulitaka afanyaje?jamani wamepita wakuu wa mikoa wangapi arusha mbona hawakufanya hili jambo?mwacheni makonda afanye kazi yake,hiki ndicho tunachokitaka nasi vinginevyo.
@JeremiahMwalukosya-eh5nf
@JeremiahMwalukosya-eh5nf 2 ай бұрын
Vichaa niwengi sana kwenye nchi yetu ko ulitaka makonda akae kimya tu kazi anayofanya makonda hata lisu hata mbowe hata nani ndani ya chadema hawawezi wote wamewai kuwa wabunge kipi walikifanya Cha maana Kwajili ya wananchi wao au kusikiliza kero zao tu upinzani mnaferi sana
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 2 ай бұрын
Uyo nitaper mtoto kamwibia mama yake
@hassaniibrahim300
@hassaniibrahim300 2 ай бұрын
MTOTO HANA HAKI YA KUUZA WAKAT MAMMA YAKE YUPO HAI
@danielmadenyeka4248
@danielmadenyeka4248 2 ай бұрын
Haaaaaaaaa
@hassaniibrahim300
@hassaniibrahim300 2 ай бұрын
YAAANI KUNA DHULUMIWA WATU MASKIN
@user-ml9oe2ex4p
@user-ml9oe2ex4p 2 ай бұрын
Kaenda kinyume na makubaliano hivyo arudishe nyumba ya watu na hela aongeze pumbafu kabisa huyo
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 2 ай бұрын
Kuna haja gani yakuwa na viongoz ambao wanakaa kwa ofisi hawafanyi kazi watu wanadhulumiwa kupita maelezo na pia miaka mitano inakuaje ? Makonda piga kazi huo ndio ukweli
Они так быстро убрались!
01:00
Аришнев
Рет қаралды 3,2 МЛН
Schoolboy Runaway в реальной жизни🤣@onLI_gAmeS
00:31
МишАня
Рет қаралды 2,8 МЛН
Lehanga 🤣 #comedy #funny
00:31
Micky Makeover
Рет қаралды 30 МЛН
MWAMBIENI MAMA MADINI YANAIBIWA   @YouTube  #500subs
5:57
IGO MEDIA
Рет қаралды 236
WANASHERIA WATIFUANI VIKALI MBELE YA MAKONDA
21:59
JAMBO TV
Рет қаралды 5 М.
Они так быстро убрались!
01:00
Аришнев
Рет қаралды 3,2 МЛН