No video

ZUWENA WA DIAMOND AIVYO FUMANIWA, CHANZO NI MUME WA MTU, ONA UGOMVI WAO

  Рет қаралды 6,134

Mbengo Tv

Mbengo Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 32
@user-ri3dm7fh6u
@user-ri3dm7fh6u Ай бұрын
Wewe mwanamke wacha ujinga, ata mwanaume anskuweka mjini, uko n mikono miwili huwezi kufanya kazi so sahivi ukiachika utarudi kijijini, sai wanaume si wakupiganiwa funguka wee kupe, tafta kazi acha kutengemea wanaume nyoo 💃🤗🤣🤣🤣
@johanjoha5262
@johanjoha5262 Ай бұрын
Zuchu kaa hange na zuwena,anamapenzi ma kali utaweza kumkosa diamond😅😅😅😂😂😂
@rqiyaabdallah840
@rqiyaabdallah840 Ай бұрын
Myangazali mashallah Allah Akuongoze unajihifadhi Adiraha toka iishe ramadhani mashallah Ujarudi tena nyuma
@umranim5854
@umranim5854 Ай бұрын
manshallah ashura ni mzuri ila wanaume mtihani ridhika na chako
@rqiyaabdallah840
@rqiyaabdallah840 Ай бұрын
Wanaume bwana yaani A naweza Akawa namwa a mke mzuri Akamuacha Akaenda kwa mwanamke wahovyoo sasa uyo zuwena Alivyo kama kibabu duu
@DaheerK
@DaheerK Ай бұрын
Viuno ndugu uzur sisura kujishuhulisha 😅😅
@simonkimathi-ld7lq
@simonkimathi-ld7lq Ай бұрын
Huyu mwanamke ni mrembo kuliko Zuwena japo huyo mwanaume anamtaka Zuwena ni famous kumliko huyu mwanamke
@user-fl6nc2kt9c
@user-fl6nc2kt9c Ай бұрын
Wewe dada wa mbengo naomba namba yako
@OmanOman-ji1iy
@OmanOman-ji1iy Ай бұрын
Kweli
@rachelsamwel5359
@rachelsamwel5359 Ай бұрын
Watangazaji mna maswali ya kipumbavu
@johanjoha5262
@johanjoha5262 Ай бұрын
Wanaume hawajuwagi wanacho kitaka ju mwanamke muzuri kama uyu anachangwa n'a mwanamke kama zuwena
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z Ай бұрын
ww ni pisi kuliko uyo zuena wanaume ni watu wa kutamani tamani...we tulia fanya michakato yako..kikubwa lazima ulipwe hapa hapa duniani
@marryngaiza2061
@marryngaiza2061 Ай бұрын
siku hizi hamna ushoga binti, hayo ya ushoga yamepitwa na wakati!
@rachelsamwel5359
@rachelsamwel5359 Ай бұрын
Sijawahi kukuona unauliza maswali ya kipumbavu kama leo
@celinefrancis3651
@celinefrancis3651 Ай бұрын
Alonichekesha mtangazaji et hajafikia kwenye engo z kua na mabwanaaaa bint mdogo naomba uolewe na kaka angu😅😅
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 Ай бұрын
Huyu mtangazaji Leo amezingua utatembeaje na bwana wa rafiki Yako?
@johanjoha5262
@johanjoha5262 Ай бұрын
Mbona kama kiki tu
@OmanOman-ji1iy
@OmanOman-ji1iy Ай бұрын
Hata mie nikiacha uwasiludii
@KomboSalim-sx2vy
@KomboSalim-sx2vy Ай бұрын
😮😮😮
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 Ай бұрын
Ila wanaume bwana huyo zuena mbona kama kajini anatisha piga Kazi Dogo achana na wanaume kama yupo na huyo zuena
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 Ай бұрын
Dada tafuta hela achana na hawa wanaume,Hivi unapata wapi muda wa kupigana kisa mwanaume.Huo muda ungetafuta hela ungekuwa mbali
@user-jg3mc1ox6l
@user-jg3mc1ox6l Ай бұрын
Ray huna baya umependeza sana unavo vaa hiv pia napenda sana utendaji wako wakazi
@Mery-st4nu
@Mery-st4nu Ай бұрын
Kwani huyu demu si alikuwa analilia penzi la kicheche
@GerladSimon-me3sc
@GerladSimon-me3sc Ай бұрын
Nyie niwashamba tu mnapigana kisa mwanaume
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk Ай бұрын
Kweli usipokua na kazi ibilis anakupa kazi tafuteni pesa hayo yashapitwa na wakati ukiona hivyo hakutaki nawewe kubali matokeo
@mundelejudith3940
@mundelejudith3940 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Ай бұрын
Why Diamond hapo kati. Huyo Zuwena hana jina lingine guys?
@khadijachacha3156
@khadijachacha3156 Ай бұрын
Jina analo lakini alitumii analitumia zuwena limempatia umaarufu kwa nyimbo alofanya na diamond
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Ай бұрын
@@khadijachacha3156 Zuwena ni Wimbo yeye anajina lake na nshamuona mara kazaa anashinda studio za cho choroni na anadharau watu kisa alifanya collabo na smetimes anamsema Diamond vby kisa ya njaa zake. Na waandishi wameshidwa kbs kumuuliza jina lake wamekazania Zuwena wa Diamond Hivi heshima ya Diamnd iko wapi. Kutwa kumuharibia mshkaji alafu mkiona anajipendekeza Duniani huko mnamtukana na hakuna hata moja kwenye koo zenu mpaka familia mmejaribu hata kufika tu East Africa kwa lo lote pumba kweli. Mtu uaweza ukawa unaheshimika ila ukakosa imani kwa watu kisa jambo dogo tu la uzembe. Zuwena saivi choko tu kashaloose umaarufu umemkataa binti wawatu anaimba eti. Ngojea apotelee kwenye madawa mje mseme Mondi amsaidie kumbe mnampoteza wenyewe.
@nurumwinyi796
@nurumwinyi796 Ай бұрын
😂😂😂
@Gloriarespiki
@Gloriarespiki Ай бұрын
Aloooh me stk marafiki 😅😅😅😅
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 20 МЛН
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 19 МЛН
MANENO YA ANGEL YAMTOA MACHOZI ZUCHU BAADA YA KUPEWA GARI
8:57
BILLIONEA ALIYEFIRISIKA NA KUWA MUUZA GENGE ASIMULIA MAZITO
51:17
PHATIE TODAGAMU KUMANYIRA SSENGA WO
1:09:25
Save A Soul-Taasa Omwoyo
Рет қаралды 158
MTOTO WA MIAKA 7 ADAIWA KUBAKWA NA JIRANI, MTUHUMIWA AACHIWA
16:03
KACHUKUA MPENZI WA MWENZAKE Pt2
8:59
Mr Uky
Рет қаралды 188 М.
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 20 МЛН