Apo jamani panatisha Sana kwa kuliangalia kwa picture sa ukifika unaweza usiludi
@nyamwendamassamba48852 жыл бұрын
Mimi nimekwenda Ziwa Ngozi kutokana na hali ya ukungu sikuliona ziwa ikabidi nishuke chini mpaka ziwani nikaone na kuchota maji. Ilituchukua zaidi ya saa moja
@peterjairours71943 жыл бұрын
Daaaah 2011 tuliogelea hapa aiseeee,,maji ya chumvi na kuna bata mto,,nyani wapo mpka raha
@beatricekalamata902910 ай бұрын
Labda ulioga panatitia sana uliogeleaje??????
@tzobedytzbedy97754 жыл бұрын
Naona Africa
@DavidFaiton3 жыл бұрын
Nimefika mwaka jana hapo panatisha mno aise mwiili unasisimka naturally
@andulilemwakihabha20483 жыл бұрын
Mimi hata bule siendi apo
@NeroForte_ Жыл бұрын
nice brother nice.
@edgaredward349010 ай бұрын
Hapo hadi majini wapo hiyo siyo sehemu yakuchezea jamani 😢
@crystalseth91085 жыл бұрын
like ramani ya Africa
@mudyguymnyama85003 жыл бұрын
tuschoke kwenda
@lovenessibrahimu67304 жыл бұрын
Nimekumbuka Study Tour Geography
@ezekiaomary97615 жыл бұрын
inapendeza mbeya yetu
@barakajpilly69005 жыл бұрын
Du zamani wakat nikiwa mdogo mbeya tulikuwa tunadanganywa kuwa il ziwa lilihama na linamaajab sana pia walituambia kuna bata anaishi ktkt ya maji
@lovenessibrahimu67304 жыл бұрын
Rungwe Limebaki Shimo Mlimani Ni Kweli Lina Maajabu Hawaogi Hayoooo Maji Yake
@barakajpilly69004 жыл бұрын
@@lovenessibrahimu6730 du kumbe kwel niljua uongo bhana
@andulilemwakihabha20483 жыл бұрын
Itakua kweli hata Mimi niliwahi kusikia hivyo
@barakajpilly69003 жыл бұрын
@@andulilemwakihabha2048 itakuwa kweli
@omarymakota22765 жыл бұрын
aisee pazuri sana
@daudinyello40335 жыл бұрын
DUBAI....!!!....MR LUPEMBE UMECHAPIA AFRIKA KUNA DUBAI?
@mariamukasyupa27825 жыл бұрын
Duuh
@kingswebe32515 жыл бұрын
Mbona linatisha sana
@israelsalim43225 жыл бұрын
mbeya yetu juuuuuuuuu
@lovenessibrahimu67304 жыл бұрын
Halitishi Ni Mzuri Ila Mpk Ufike Ziwani Kuna Steep Slope Balaaaa Kushuka Chini Hatushuki Na Viatu Tulitumia Soksi
@bungemwinuka4473 жыл бұрын
Ziwa linavutia
@gabrielcathabet17873 жыл бұрын
mbeya yetu
@omarymakota22765 жыл бұрын
tunashukuru mbeya yetu media mjawahi tuletea habari za kubabaisha
@2003silla5 жыл бұрын
ni wilaya ya mbeya na siyo lungwe
@musasamwel95785 жыл бұрын
hiloziwa liko mbeya vijijini sio wilaya ya lungwe kutoka iwalanje kufika kwenye hilo ziwa nikilometa kama 10
@saromekamwambi66895 жыл бұрын
Ni wilaya yalungwe sio mbeya wilaya yalungwe imeishia namba wan ko hili ziwa liko upande wa rungwe wewe, mkoa wambeya