MBINU 6 ZA KUHARAKISHA MAFANIKIO YAKO | Victor Mwambene.

  Рет қаралды 5,458

Victor Mwambene

Victor Mwambene

Ай бұрын

Tafadhali Usiache Ku-SUBSCRIBE na kubonyeza alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata taarifa ya somo jipya tunapo kuwekea.
.
KUMBUKA, Masomo haya yanakujia kila siku ya J’pili yenye lengo la kukusaidia kuwa na akili ya fedha pamoja na akili ya Biashara.
.
Kwa Mafunzo au Kupata Vitabu vyangu vya Fedha na Biashara Tafadhali wasiliana nami kwa 0744126640.
KUPATA VITABU PIGA 0744126640 / 0658503737.
1. KANUNI 20 ZA FEDHA.
2. JINSI YA KUANZISHA NA KUKUZA BIASHARA.
3. NGUVU YA KUJUA.

Пікірлер: 26
@ChickenPoultry-xc1pm
@ChickenPoultry-xc1pm Ай бұрын
Kaka nakuelewa sana Asnate sana mungu akubaliki maana nafaidika sana na kujifunza vitu vungu juu ya mafanikio ya fedha❤❤❤❤
@rabanphotostudionyakanazi_4115
@rabanphotostudionyakanazi_4115 Ай бұрын
Safi kabsa
@SamweliAbasi
@SamweliAbasi 5 күн бұрын
Mimis sijui kipaji chang
@CHAIRMEDIA1996
@CHAIRMEDIA1996 Ай бұрын
Kiongozi saut iko powa, content iko powa ,picha jamaa anatua rangi nyingi sana ,kuwa natural inavutia sana. Color au lut anayo tumia adjust kidogo sana. Inakufanya unakuwa mweupe sana . Tunapoteza muonekano mzuri. Broo ushauri tu. Lkn mko powa sana
@victormwambene
@victormwambene Ай бұрын
Asante kaka, Tutafanyia kazi hili, Japo hii video haija Editiwa Rangi kabisa. So tuliweka kama tulivyo record kwa sim.
@HusseinHaule-pr5ov
@HusseinHaule-pr5ov Ай бұрын
Nimekuelewa bro
@JamalieDaniel
@JamalieDaniel Ай бұрын
Safi sana nikweli Mungu akubari sana
@abdullahkotti3945
@abdullahkotti3945 Ай бұрын
Kaka mungu akubariki kwa mafunzo yako nikisikilza lazima nitoke na kitu kaka
@Baltoh21Mrema
@Baltoh21Mrema Ай бұрын
Hiyoo elimu ya pesa kak tunaipatajee
@PoliteBoy-em8vw
@PoliteBoy-em8vw 19 күн бұрын
Ivyo vitabu twavipataje npo kenya
@masudibaja
@masudibaja Ай бұрын
Elimu kubwa sana Mwalimu
@DanverDanny
@DanverDanny Ай бұрын
Kaka nmekuelewa sana,wale tupo ulaya ya kati hii inatufaa sana
@MamakhayKhay-fm9dy
@MamakhayKhay-fm9dy Ай бұрын
Najiona Mimi 😢 thank
@FestorMahika-mp7mu
@FestorMahika-mp7mu Ай бұрын
Thank you 💕 so much my
@user-gp2ue3hj8z
@user-gp2ue3hj8z Ай бұрын
Sawa kaka tipe vitu
@user-uj3ld6ni1s
@user-uj3ld6ni1s Ай бұрын
🎉🎉🎉
@MtazameKristoTv
@MtazameKristoTv Ай бұрын
Ahsante nitafanikiwa nikiwa na miaka 30 ninaendelea kuharakisha mafanikio yangu
@MrRashidMsalilwa
@MrRashidMsalilwa Ай бұрын
Genius Mwambene....
@MtazameKristoTv
@MtazameKristoTv Ай бұрын
@@MrRashidMsalilwa Hakika
@jindelaizer470
@jindelaizer470 20 күн бұрын
Njoo niwe mentor wako
@smhina18
@smhina18 Ай бұрын
🙏
@timothyemmanuel3522
@timothyemmanuel3522 Ай бұрын
Sasa broo sisi wengine menter ni wachawi wetu unawezaje kumshirikisha menter mambo yako yy mwenyewe ataki ufanikiwe tena umzifi
@vanviccatv9977
@vanviccatv9977 Ай бұрын
Kinapatikana wap
@samsonaciita6395
@samsonaciita6395 Ай бұрын
Mwalimu Niko Kenya naomba kujua njia ya kupata vitabu vyako nifanye aje?
@victormwambene
@victormwambene Ай бұрын
Tuwasiliane WhatsApp kwa 0744126640.
@AlphaMosses-vy4ed
@AlphaMosses-vy4ed Ай бұрын
Njia 4 Rahisi Za Kujenga Nidhamu Ya Fedha Ili Utimize Malengo Yako
7:52
Must-have gadget for every toilet! 🤩 #gadget
00:27
GiGaZoom
Рет қаралды 11 МЛН
World’s Deadliest Obstacle Course!
28:25
MrBeast
Рет қаралды 140 МЛН
TOFAUTI KUBWA 6 KATI YA MATAJIRI NA MASIKINI | Victor Mwambene.
16:04
Victor Mwambene
Рет қаралды 3,6 М.
MAKOSA YAKO YA JANA YASITAFSIRI KESHO YAKO
12:15
Pastor Tony Kapola
Рет қаралды 163 М.
MAKOSA 6 YA KUEPUKA UNAPOANZISHA BIASHARA - Victor Mwambene.
13:13
Victor Mwambene
Рет қаралды 6 М.
SIRI KUBWA 6 ZA KUFANIKIWA KWENYE MAISHA | Victor Mwambene.
23:41
Victor Mwambene
Рет қаралды 6 М.
MAMBO 6 YA KUACHA ILI UFANIKIWE | Victor Mwambene.
10:12
Victor Mwambene
Рет қаралды 2,4 М.
Namna gani unaweza kuongeza kasi ya kutimiza maono yako
26:17
Joel Nanauka
Рет қаралды 153 М.
MAENEO 10 AMBAKO FEDHA HUJIFICHA - Victor Mwambene.
12:23
Victor Mwambene
Рет қаралды 4,2 М.