No video

Mbinu za kusoma na kufaulu masomo magumu kwa wanafunzi wa aina zote.

  Рет қаралды 13,268

TUKI - Kuza Akili Yako

TUKI - Kuza Akili Yako

2 жыл бұрын

kutokana na kuwa wanafunzi wengi wanapata shida kusoma na kufaulu kutokanan na mbinu wanazotumia wakati wa kusoma, leo utajifunza mbinu za kuzingatia ili upate wepesi wa kusoma masomo yako haijaalishi yatakuwa na ugumu wa aina gani.
kwanza kabisa utajifunza mambo makuu matatu ambayo hujitokeza katika ubongo wakati wa kusoma na kupelekea wanafunzi kutofaulu vizuri mitihani yao pamoja na mbinu za kufanya ili kuyatatua.
mbinu zenyewe ni
Displacement
inteference
Neurone decay
Displacement: hali hii inatokea pale ambapo mwanafunzi anasoma mada yake na mara tu mada aliyosoma kabla yake hupotea kutokana na kuondoshwa kwa maelezo ya mwanzo katika ubongo.
unachotakiwa kufanya ni kusoma kwa vipindi, kwa mfano unasoma kwa daika 25 au 30 halafu unapunzika kwa dakika 5 au 10 halafu unaendelea kusoma.
interefence
Huu ni mchanganyiko wa maelezo ya mada katika ubongo wako na tatizo hili huondolewa kwa kupata maelezo ya kutosha kuhusu mada husika
Neurone decay
hii ni hali ambayo neurone za ubongo hukosa nguvu na kushindwa kuweka maelezo katika ubongo. unaweza kupunguza tatizo hili kwa kunywa maji ya kutosha na kula chochote kabla ya kusoma hata kama biskuti
Ukisikiliza kwa umakini video hii hapana shaka utajifunza ndani yake mbinu amazo AMABAZO zitakusaidia katika kusoma masomo ya aina zote yakiwa magumu au hali ya kawaida tu.
Mr. TUKRIM AMEIR KHAMIS

Пікірлер: 20
@user-ys4cx8zk9j
@user-ys4cx8zk9j 5 ай бұрын
Ahsante sana
@tuki-kuzaakiliyako2381
@tuki-kuzaakiliyako2381 3 ай бұрын
KARIBU SANA NDUGU
@user-xy8ev8dp5w
@user-xy8ev8dp5w 2 ай бұрын
Asante sana mungu akubaliki🙏🤦
@tuki-kuzaakiliyako2381
@tuki-kuzaakiliyako2381 2 ай бұрын
Karibu Sana ndugu
@giggsmsogoya4406
@giggsmsogoya4406 9 ай бұрын
Asante sana
@tuki-kuzaakiliyako2381
@tuki-kuzaakiliyako2381 3 ай бұрын
KARIBU SANA
@user-ji1wr3oh7w
@user-ji1wr3oh7w 6 ай бұрын
Thank you brother🎉
@tuki-kuzaakiliyako2381
@tuki-kuzaakiliyako2381 3 ай бұрын
Karibu
@user-pu3km4ov5e
@user-pu3km4ov5e 11 ай бұрын
Shukran sana
@tuki-kuzaakiliyako2381
@tuki-kuzaakiliyako2381 3 ай бұрын
KARIBU SANA
@user-nn9dx9ex1v
@user-nn9dx9ex1v 4 ай бұрын
Thanks bro
@tuki-kuzaakiliyako2381
@tuki-kuzaakiliyako2381 3 ай бұрын
KARIBU SANA NDUGU
@user-zm3oz2bu4o
@user-zm3oz2bu4o Жыл бұрын
Naitaji hili habari Mimi nikokwenye mtuyani wa exam
@tuki-kuzaakiliyako2381
@tuki-kuzaakiliyako2381 2 ай бұрын
KARIBU KUENDELEA KUJIFUNZA
@cabdicasisxusein7732
@cabdicasisxusein7732 Жыл бұрын
Abari
@tuki-kuzaakiliyako2381
@tuki-kuzaakiliyako2381 3 ай бұрын
Poa
@balelebususa6194
@balelebususa6194 2 жыл бұрын
we nkaongo boya ww
@tuki-kuzaakiliyako2381
@tuki-kuzaakiliyako2381 Ай бұрын
Kumbe
@user-ji1wr3oh7w
@user-ji1wr3oh7w 6 ай бұрын
Thank you brother🎉
@tuki-kuzaakiliyako2381
@tuki-kuzaakiliyako2381 2 ай бұрын
My pleasure
MBINU ZA KUKUZA UWEZO WAKO WA AKILI/IMPROVE YOUR BRAIN POWER FOR MORE SUCCESS
14:32
Lehanga 🤣 #comedy #funny
00:31
Micky Makeover
Рет қаралды 28 МЛН
Jinsi ya kutoka kwenye madeni sugu.
1:03:49
Joel Nanauka
Рет қаралды 108 М.
Vyako bora kwa ajili ya kuimarisha ubongo, kuongeza akili na kumbukumbu
10:37
TUKI - Kuza Akili Yako
Рет қаралды 4,9 М.
NJIA 5 ZA KUONGEZA AKILI ZAIDI
12:06
Success Path Network
Рет қаралды 195 М.
Jinsi Ya KUKARIRI HARAKA Unachokisoma|mbinu za kutunza KUMBUKUMBU HARAKA|#NECTA #NECTAONLINE
8:26
Fahamu Mbinu izi ili  kujitunza miaka 30+
9:51
Kijweni na Winnie
Рет қаралды 222
Jinsi ya kusoma advance na kufaulu mitihani ya NECTA
21:36
Dr. Mlelwa Lectures
Рет қаралды 2,5 М.
Lehanga 🤣 #comedy #funny
00:31
Micky Makeover
Рет қаралды 28 МЛН