Daaaaahhhh ingawa nimechelewa basi nipeni ata likes kumi tu jamani acheni ukunguru
@davidochieng29852 ай бұрын
Simba mjanja sana yaani ameona harmonize katoa disconnect ishindane na komasava, akona huyu mtoto mdogo hatanisumbua kwenye trendi acha nimtumie mercenary saivi yake mbosso kirungi😂😂🔥💯.
@Officialdekhan2 ай бұрын
Daaaah noma sana😂😂😂
@davidochieng29852 ай бұрын
@@Officialdekhan Simba mziki anaulewa vizuri nje na ndani😂💯
@Jofuboy2 ай бұрын
Anae amin kua zombie ni mkali kwa maapiano tujuan hapa🎉❤❤❤
@alexofafricanmusiccovers27342 ай бұрын
Mbosso huwa tunalike kwanza alafu tunasikiza sasa.... Hatari
@NEWMOVIES-ew2mc2 ай бұрын
kzfaq.info/get/bejne/ob90i5ppndaRlps.html
@frankub81072 ай бұрын
kweli namipia
@sunmoneytz51052 ай бұрын
Hatari wakati wote huyu MBOSSO
@digitalworld74512 ай бұрын
Wakenya weka like 🇰🇪 vs Tanzania weka comment 🇹🇿
@user-bv7rn2pl5z2 ай бұрын
Fukuza kunguru kunguru kunguru kunguru hatari hiyo
@user-vb9bc5cm3q2 ай бұрын
Tupo Ndaniii...kwa bosso
@FestorMahika-mp7mu2 ай бұрын
Owaah mboss sana yaan sana star
@Nicolasmosereta2 ай бұрын
Ukiipita hii comment bila kulike we ni kunguru
@kenyanstarofficial65482 ай бұрын
wapi like za wakenya wenzangu aki 😍😍baada ya kungoja sana kitu kitamu kilichoundwa kikaundika mwaaaaaaaaest 🎉🎉🎉🎉🎉🎉more love to mbosso from kenyaaa🇰🇪🇰🇪