Rayvanny X Harmonize - SENSEMA (Official Lyric Audio)

  Рет қаралды 1,443,927

Rayvanny

Rayvanny

14 күн бұрын

Follow Rayvanny On:
Twitter : / rayvanny
Instagram : / rayvanny
Snapchat: Rayvanny chui
Tiktok: www.tiktok.com/Rayvanny_chui/
Follow Harmonize
Instagram: / harmonize_tz
Twitter: / harmonize_tz
Facebook: / harmonize255
TikTok: vm.tiktok.com/JYFv7PN/
For Bookings:
Email: rayvannymanagement@gmail.com
#rayvanny #harmonize #sensema #music #new #NextlevelMusic
Copyright ©2024 Next level Music. All rights reserved.

Пікірлер: 5 600
@mashabikiwaharmonize
@mashabikiwaharmonize 12 күн бұрын
Kama unaamini KONDE BOY kamfunika mwenye wimbo CHUI weka like hapa ❤ harmonize baba lao
@diemekingrecord4324
@diemekingrecord4324 12 күн бұрын
harmonize haku imba sana 😂😂 uko mnafki
@SILAMANUNGU
@SILAMANUNGU 12 күн бұрын
Kweri konde kaua
@rsl7104
@rsl7104 12 күн бұрын
Umeshindwa kabsa kuisifia nyimbo umeamua kuleta mpasuko acha ushabiki maandazi
@kdpretoria780
@kdpretoria780 12 күн бұрын
Wimbo ni wao wote wameshirikiana
@sammasika3627
@sammasika3627 12 күн бұрын
Hii kwel sensema
@MATEOJOSEPH-nc8gf
@MATEOJOSEPH-nc8gf 12 күн бұрын
Kama ww umefurahishwa kumsikia Rayvanny na Harmonize wakiimba pamoja tujuane Kwa Like 🎉
@neyliciousofficial
@neyliciousofficial 11 күн бұрын
Wow i seee🎉🎉🎉
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 10 күн бұрын
Mimi hapa
@waziri-gl3xn
@waziri-gl3xn 9 күн бұрын
Fg
@josinatorngau
@josinatorngau 4 күн бұрын
Niko apa 💪
@KibweOnlineTv
@KibweOnlineTv 11 күн бұрын
Hivi hapa nani kamfunika mwenzake, wimbo mkali sana...🎉🎉🎉
@congolywoodtv
@congolywoodtv 9 күн бұрын
kzfaq.info/get/bejne/gcyCna5yyrerfaM.htmlfeature=shared
@tovinent1414
@tovinent1414 11 күн бұрын
hii ndio tunaita brotherhood sasa much love from 🇰🇪🙏🙏
@alberiaTarimo
@alberiaTarimo 12 күн бұрын
Konde boy call number one..🎉🎉🎉 kama unaamini konde ana melody kali gonga like apaa nauchukue mauwa yakoo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 🎉🎉🎉🎉🎉 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 🎉🎉🎉🎉
@JoshuaMwaka
@JoshuaMwaka 12 күн бұрын
Nilijua tu. Nipee likes za konde gang na chuiiiii
@kbrown8ight7even87
@kbrown8ight7even87 11 күн бұрын
1M in one day 🤯👏🏿 atakaye jitia kiherehere kuachia kanyimbo kake atajuta itabidi wasubiri upepo wa ili goma litulie 🫡💥
@congolywoodtv
@congolywoodtv 9 күн бұрын
kzfaq.info/get/bejne/gcyCna5yyrerfaM.htmlfeature=shared
@StephenMwavuo
@StephenMwavuo 11 күн бұрын
Konde utatuuwa Sisi mafans....hii nayo ni Moto🔥🔥🔥🔥...nimekubalii🔥🔥
@josephusekwelas9743
@josephusekwelas9743 12 күн бұрын
Mashabiki wa chuiii muko wapi 🎉🎉 hit song yakimataifa iyi apa 😊✌🏽🇨🇩🇨🇩
@MuntazySaidy
@MuntazySaidy 12 күн бұрын
Hii ngoma Tamu Sana Aisee Hawa Jamaa wamemshangaz had Mondi
@symochanji6896
@symochanji6896 12 күн бұрын
Konde boy ni king wa Amapiano Tanzania,kama unamkubali nipe like.much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
@IbrahDeDonny-lv2lo
@IbrahDeDonny-lv2lo 12 күн бұрын
Komma Ca' Ca' 🇰🇪🇰🇪
@AshaHadhidha-hj3oo
@AshaHadhidha-hj3oo 12 күн бұрын
Komasava ​@@IbrahDeDonny-lv2lo
@fadhilingari4427
@fadhilingari4427 11 күн бұрын
Nyimbo kali sana Uku kenya kila mahali sensema buana🇹🇿🇹🇿🇰🇪 🇰🇪
@user-uf7oh5eu4v
@user-uf7oh5eu4v 9 күн бұрын
Aaah 😂ah goma Kila mtaa linapigwa sio uko kenya
@iamJuma_
@iamJuma_ 10 күн бұрын
Kama wewe ni Fan wa Rayvanny basi nigingee Like Hapo chini na pia before 2 million views ahija kifa basi GONGA LIKE HAPO 🙏🙏
@latifaally2429
@latifaally2429 12 күн бұрын
Nimefurahi kuwaona tena konde na chui ❤❤
@NDAbruncetz
@NDAbruncetz 12 күн бұрын
Jamani leo nimewahi kuwa number one 1⃣ naombeni like kwa rayvanny🐅 na harmonize🐘 ❤❤❤🇧🇮💯🇨🇦
@AristideDk
@AristideDk 12 күн бұрын
Nihondii mutaa
@jaycburundi257
@jaycburundi257 10 күн бұрын
Sensema ndo yimbo ya Summer ❤ Weka bendala Na ugonge likes kwa hiii comment basi tuendeleye kujuana Zaidi Mie na Anza Na inchi yangu🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@FranckMk-cc1mv
@FranckMk-cc1mv 11 күн бұрын
Watu wangu wanakiwasha pamoja nawakubali kinoma 🔥 toka 🇨🇩 x 🇹🇿
@congolywoodtv
@congolywoodtv 9 күн бұрын
kzfaq.info/get/bejne/gcyCna5yyrerfaM.htmlfeature=shared
@KellyMwami243
@KellyMwami243 12 күн бұрын
Wakwanza toka❤❤ Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 nipeni likes zangu Kama unaipenda iyi ngoma❤❤❤❤
@congolywoodtv
@congolywoodtv 9 күн бұрын
kzfaq.info/get/bejne/gcyCna5yyrerfaM.htmlfeature=shared
@BigirimanaAndre-fn6jz
@BigirimanaAndre-fn6jz 12 күн бұрын
Kama weye imefurahia rayvanni na harmonize gonga like apo Burundi tunawapenda sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇧🇮
@AlinaniSiame-yq1nk
@AlinaniSiame-yq1nk 11 күн бұрын
CONGRATULATIONS HARMONIZE AND RAYVANNY 🇿🇲💤❤❤
@katambomangale2185
@katambomangale2185 11 күн бұрын
Eeeh tangu mwaka uanze sijaona Ngoma umefikisha 1m ndani ya siku moja hapa Africa mashariki wapi like za hawa wakali❤
@britonboykondegang5708
@britonboykondegang5708 11 күн бұрын
Walai hakuna na ni audio si at video 😂😂😂😂hii nikalinsana
@richlymo
@richlymo 10 күн бұрын
Harmonize wa moto sana ❤❤
@LovelyGiraffe-sm2yi
@LovelyGiraffe-sm2yi 10 күн бұрын
Mapoz 😂
@DjVoizzmixes
@DjVoizzmixes 11 күн бұрын
Kusema ngoma kali...safiiii...kukosa kugonga like. Mbaya ioooo🧘🧘🧘🤣
@officialmadoshi5824
@officialmadoshi5824 10 күн бұрын
😂😂😂
@Arrowfocus
@Arrowfocus 12 күн бұрын
If you are number one fan of harmonize nigongee like hapa before mahater wafikiwe🙏🙏
@vincyrichard8737
@vincyrichard8737 12 күн бұрын
Kumalamamaaakooooo ngomaa konyoooo 💥💥💥 hatariii nyie wasengee mmeuaaa
@yusuphstick6777
@yusuphstick6777 12 күн бұрын
Yan ili goma ni la moto sanaa wenye vinyimbo uchwala kama luludiva watulie kwanza😂😂😂😂
@TellaaxisTz
@TellaaxisTz 12 күн бұрын
Sensema #tellaaxistz
@GodfreyKunambi
@GodfreyKunambi 12 күн бұрын
😃😁​@@vincyrichard8737
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 12 күн бұрын
​@@yusuphstick6777sasa jamani lulu diva si muimbaji wa vigodoro utamfananisha na watu kweli.
@Daud0000
@Daud0000 11 күн бұрын
Ni kitu nilikumiss kuskia awa wawili kuimba pamja tena❤❤❤❤
@djkenny2549
@djkenny2549 11 күн бұрын
Harmonize alifunikaaaaaaa.......KENYA tumeikubali hii.....💥💥💥
@user-ty9jb7mo2v
@user-ty9jb7mo2v 12 күн бұрын
Mimi wakwanza kutoka zambia much love gonna like hapa❤
@user-ty9jb7mo2v
@user-ty9jb7mo2v 12 күн бұрын
King Moze
@user-ty9jb7mo2v
@user-ty9jb7mo2v 12 күн бұрын
Nawala haitakuja tokeya kama hii 😂 ni moshiiiiii ckho ckho yao yao chui hhhhhhhh😂 raha tuuu
@sullenzo2615
@sullenzo2615 12 күн бұрын
Mashabiki wamefurahi
@user-uf7oh5eu4v
@user-uf7oh5eu4v 11 күн бұрын
😂​@@user-ty9jb7mo2v
@user-fd7ky4sm6w
@user-fd7ky4sm6w 11 күн бұрын
Ni moshiiii
@drim_tv
@drim_tv 12 күн бұрын
RAYVANNY KWENYE HII NYIMBO KARUKA RUKA TU, ILA KONDE KAUWA SANA 🙌🔥🔥🙌
@javandaudi5553
@javandaudi5553 12 күн бұрын
Shenzi acha ukuma
@SawariaMwaitete
@SawariaMwaitete 11 күн бұрын
Chui na Tembo 💯🔥🔥🔥
@NdayisabaValens-gh7kb
@NdayisabaValens-gh7kb 10 күн бұрын
Sensema hano mu Rwanda iri kutwemeza🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼asante Rayvanny kwa huu wimbo ndio bora wa Amapiano.
@vinniebwouy2186
@vinniebwouy2186 12 күн бұрын
Hivi wakenya tunapenda tz sana hili ngoma tulipelekeni no moja..likikubamba nipe like.
@chugaboytz7763
@chugaboytz7763 11 күн бұрын
😂😂😂TAYARI
@JumaYusuph-dv3ot
@JumaYusuph-dv3ot 12 күн бұрын
Sawaa....nmechelewaa Ila Ndioo msinipee likes kweliiiii...🙌🙌🙌
@Aque-Boy
@Aque-Boy 11 күн бұрын
Kutoka 254 nmewakubali nyie marole model wangu hii Ni kali
@PopoEmpty-cd9gx
@PopoEmpty-cd9gx 11 күн бұрын
jamaaaa hawa wanajuaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@miracletv7749
@miracletv7749 12 күн бұрын
KONDE MMMH WEWE NI JINI AU MSANII🙌🏾🙌🏾🙌🏾🔥🔥🔥
@Steven_msomba
@Steven_msomba 12 күн бұрын
Uuuuuu wakwanza leo naomba like zangu k1000
@257news5
@257news5 12 күн бұрын
kzfaq.info/get/bejne/p8txZrmL1rrRp6c.htmlsi=vluCtld2xIyMFnrP
@julzd2020
@julzd2020 11 күн бұрын
The defination of a masterpiece we missed such a collabo
@Back-and-4th
@Back-and-4th 9 күн бұрын
Hii ndio inabamba sasa❤
@kally__kenya7106
@kally__kenya7106 12 күн бұрын
Kenya bendera yetu lazima ipepee...🇰🇪🇰🇪
@user-xk5ub6bq8p
@user-xk5ub6bq8p 12 күн бұрын
Jaman wakwanza from Burundi 🇧🇮🇧🇮❤❤naomb like zangu
@MPHINEIBRAHIM
@MPHINEIBRAHIM 11 күн бұрын
Kasikiye kode kilitesa vasi mkili yule mbadi sana ❤❤❤❤🎉🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@user-uh6og9fj7b
@user-uh6og9fj7b 11 күн бұрын
Ngoma kali sanaa❤❤❤
@manyweretv5177
@manyweretv5177 12 күн бұрын
Tuliorudia kipande cha konde boy maranyingi tujuane kwa like hapa
@osmansuleiman2835
@osmansuleiman2835 12 күн бұрын
Imagine
@user-rj3mb6wb1m
@user-rj3mb6wb1m 12 күн бұрын
Kwa wingi mbona Niko hap🎉🫵🤠
@zalelbalawy2459
@zalelbalawy2459 12 күн бұрын
Mm apa
@ValeryMungaSawamba
@ValeryMungaSawamba 12 күн бұрын
Tupo
@kakaaignas3675
@kakaaignas3675 12 күн бұрын
Nipoo
@imranihsan571
@imranihsan571 12 күн бұрын
Big up brother kama umeinjoy hii weka hapa like❤
@johnbenson1516
@johnbenson1516 9 күн бұрын
Ngoma Kali🔥🔥asanteni kwa kuwa together...tunaomba mcombine kwenye wimbo wenye hisia kama vile mbeleko ya vanny na nishapona ya harmo...tutaipenda sana❤❤❤
@IamFashP
@IamFashP 11 күн бұрын
Wale wanaokubali kucheat Safi na hawajawai fumaniwa ikawa mbaya iyo tukusanyike hapa na likes 😁😁💥
@RosetteAlain-ib7mc
@RosetteAlain-ib7mc 12 күн бұрын
Kama unamukubali rayvanny piga like apo
@AlexMathiasPaul
@AlexMathiasPaul 10 күн бұрын
Shida ya Rayvanny Ana dharau sana
@DrGiddie
@DrGiddie 10 күн бұрын
Hana dhaaaaarau,
@Official_bizedd
@Official_bizedd 10 күн бұрын
JZbvzvzhbsznzbxdsvshudvxbxjxnxmxkbSzzzz​@@AlexMathiasPaul
@mrlau23
@mrlau23 12 күн бұрын
Wanangu vipii chui na tembo kweli mnafana Kama pacha ......Wapi like kutoka 254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@temboflani254
@temboflani254 11 күн бұрын
If you stream this ⚡Banger more than 2 times a day these legends deserve our likes🐅🐘
@geniusgangkenya8732
@geniusgangkenya8732 11 күн бұрын
They aren't pregnant but they always deliver ❤️💯🚀🔥🙌
@user-kf7kv7nc2c
@user-kf7kv7nc2c 12 күн бұрын
Oy namba mbili naomba like jamaan kama unamkubali konde
@anjuadnani2607
@anjuadnani2607 12 күн бұрын
Uwiiii kweli dudu baya alisema muziki wa sasa hizi sio kazi. Kwelj yaani wasanii wamechoka kuimba wanakurupuka tu biti inaongea msikurupuke mradi muimbe angalieni mliko toka na sasa wapi ba wapi. Yaani maahabiki wao kazi yao kukungonga tu kibaya kizuri kizuri kizuri jamani ukifunguaTv manyimbi mabayaaa. Hamoniz na Rayvan wa mwanzo sio hamoniz huyu wala Rayvan huyu
@lankitonsimon1911
@lankitonsimon1911 11 күн бұрын
💝
@CoastDopestcutz
@CoastDopestcutz 11 күн бұрын
Sisi wakenya ngoma tumeipokea nyvema… Ila diamond asije kuachana na zuchu ndio ngoma ikwame!!!💔
@ShadidaSaidi-bs5os
@ShadidaSaidi-bs5os 11 күн бұрын
❤❤❤❤
@BarakerZeonlist
@BarakerZeonlist 11 күн бұрын
@RAMADHANIALIMWIKE
@RAMADHANIALIMWIKE 12 күн бұрын
Kwa kweli konde boy kamfunika mwenye Ngoma chui au munaonaje kama kweli toa ❤ apoo
@StopperPlatnumz
@StopperPlatnumz 11 күн бұрын
Since 2019❤ finnally chui vs Tembo are doing this again❤
@DOGOABDULI7
@DOGOABDULI7 11 күн бұрын
Vivanny boy umeuasana kwenyeii Ngoma harmonize umeuwa jeshiii😂🙏🙏🙌
@Melvy-kb3lc
@Melvy-kb3lc 12 күн бұрын
Weeeeeer hatari sema wote 🔥 ngoma nayo ni 🔥 much love from 🇰🇪 team strong hello hamjafika huku na unaskiza ukiwa wapi watu wa Australia 🇦🇺 mambo vpi ondokeni nje tukaskize hi pamoja sasa😂😂
@ElizabethMohamed-hh5ic
@ElizabethMohamed-hh5ic 12 күн бұрын
Team strong kuchelewa ni balaa ❤😂
@user-sf8pw6jr3i
@user-sf8pw6jr3i 12 күн бұрын
Chui atali bwana akawuwa umo🙌🙌🙌🔥
@user-sf8pw6jr3i
@user-sf8pw6jr3i 12 күн бұрын
❤❤❤
@officialdavidoh
@officialdavidoh 12 күн бұрын
Urongo chui kafunikwa😂
@user-sf8pw6jr3i
@user-sf8pw6jr3i 10 күн бұрын
Apana bro chui akawuwa
@MaranAtha-eo9tq
@MaranAtha-eo9tq 11 күн бұрын
Apo kweli chui na tembo kaka mumewesa iyo ngoma moto wapi like zao kwa 254
@sisisote23
@sisisote23 10 күн бұрын
Im from Madagascar ,sielewi lugha lichotumiwa. Ila ngoma nzuri jamani
@emmanuelnestory7216
@emmanuelnestory7216 12 күн бұрын
KISUKUMA TO THE WORLD kama ni Msukuma gonga like apa
@luluray2115
@luluray2115 12 күн бұрын
Kisukuma Tena hiki ni kinyakyusa baba
@abdultaddy2729
@abdultaddy2729 12 күн бұрын
Amemaanisha nn Mkuu!? Kipeleke kisukuma duniani
@johnsilima1629
@johnsilima1629 12 күн бұрын
Acha ukabila kenge wew Tanzania hatunaga ukabila😮😮
@user-lv1zk9jc2r
@user-lv1zk9jc2r 12 күн бұрын
Kisukuma pia kipo ivo
@afcambassador4566
@afcambassador4566 11 күн бұрын
Nse nse ma malundi sensema awa mwa kyela hapo ndo nicheze namba nane duuu kyela hyo tukuyu hatari sana uwanjan kwa mashabk
@user-ie2ww6vq5o
@user-ie2ww6vq5o 12 күн бұрын
Nilijua tu konde lazim alipe mapigo kw ray 😂😂 🔥 mmeuwaaaaa woteee wabayaaaa sensema habar ya mjini kubabake 🎉🎉🎉❤😊
@agaboy
@agaboy 11 күн бұрын
Ni balaaa la Mwaka hili 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@tresorwatanga870
@tresorwatanga870 11 күн бұрын
Two boys talented in the kitchen❤️❤️🔥🔥🔥 Listen what they cooked. Proud of you guys❤
@mpeletadashine2652
@mpeletadashine2652 12 күн бұрын
Good Melody 🎉 Kila mmoja katembea kwenye Njia yakee safiii japo binafsi ningependaa msinge tumia beat ya Amapiano
@dominicomari7040
@dominicomari7040 12 күн бұрын
Ndani ya konde boy❤❤❤❤upendo number moja kutoka Kenya ninawaomba like ❤❤❤
@Official_bizedd
@Official_bizedd 10 күн бұрын
Sensema malunde sense sensema ni kisukuma bwana kumbe wasukuma wajanjaa eee gonga like hapo kama unawakubali wa ngoshaaaa
@albinhohasla7531
@albinhohasla7531 11 күн бұрын
Akuna fan wa CHUIII NA KONDE anaweza pita bila ku like 🎉🎉leta emog za ❤❤❤❤
@OfficialLizo-bi1tp
@OfficialLizo-bi1tp 12 күн бұрын
Yaani sio chui wala konde wote wameuwaa🎉🎉 mamaaaayoo
@samweli1995
@samweli1995 12 күн бұрын
Wote wakazaliwa toka Wasafi, wakaenda nje kujitafutia riziki wenyewe mmoja akajijenga ufalme wa Konde na mwingine CHUI Sasa wamekuja kutana tena, BWANA ASIFIWE💯🔥
@fridahsambi1202
@fridahsambi1202 12 күн бұрын
Chui alishatoka WCB kwani
@samweli1995
@samweli1995 12 күн бұрын
@@fridahsambi1202 yes tambo sana akajifungulia lebo😁
@davidmwamelo6525
@davidmwamelo6525 11 күн бұрын
Nimesikia kinyakyusa hapo,, home boe umetisha 💪
@MkorofiOg12
@MkorofiOg12 10 күн бұрын
Kama na wewe unawachukia wanaoomba like gonga like tujuane
@GloireJeremykarhendezigloire
@GloireJeremykarhendezigloire 12 күн бұрын
Nimesha ifata sana Toka Africa ya kusini 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦
@majalaworldwide
@majalaworldwide 12 күн бұрын
Ndugu wa Damu Wamekomboa nchii❤❤ let's go Ila wimbo sijaupenda😂😂
@KennethyKiprono
@KennethyKiprono 10 күн бұрын
Aky nimekuwa nikiomba mungu kila siku raivanny na harmonize warudi kama kitambo but my prayers 🙏 have been answered thanks 😊 🙏 God
@lenoxomondi-vp5nq
@lenoxomondi-vp5nq 11 күн бұрын
Kama ulingojea sanaa hawa wawili si unipee like ukipita jamani😢😢😂😂
@Captain_film
@Captain_film 12 күн бұрын
Ukitulia utaelewa rayvan katulia sana humuu ...nawambia ivii ray hanaga tungo nyepesii nipeni wiki moja mtaelewa vizurii
@user-mo4up9mv9k
@user-mo4up9mv9k 12 күн бұрын
Pamoja kaka
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 12 күн бұрын
Kabisa yn
@user-pw7hr7ot3z
@user-pw7hr7ot3z 12 күн бұрын
Niwakwaza Leo kutoka Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿 konde boy ft chuwiiiii🔥🔥🔥🔥
@raydboy
@raydboy 10 күн бұрын
Big UP nime chelewa Ila nime kubali kitu daddy konde baba wa Imani pamoja na pacha hangu mbarikiwe
@allyallymakius1133
@allyallymakius1133 8 күн бұрын
Iii ngoma imetisha ndo ipo trending 1 na 2 hapa youtube
@juijiang6833
@juijiang6833 12 күн бұрын
Kumamakeee konde 🐘utasema nakutukana kumbe nakupa respect yako umeeuwaaa alafu chuiiii 🐅 kamaliza🔥🔥🔥🔥🔥
@Graciousmom679
@Graciousmom679 12 күн бұрын
Kwa mala ya kwanzaa umetukumbuka wanyakyusa 🙌🙌🙌🙌
@kadilamore802
@kadilamore802 12 күн бұрын
Kisukuma hicho 😂
@PopoEmpty-cd9gx
@PopoEmpty-cd9gx 11 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@noahchepe8036
@noahchepe8036 11 күн бұрын
vanny boy ni mnyakyusa​@@kadilamore802
@Realtivoh
@Realtivoh 11 күн бұрын
Next mtupe ladha ya bongo❤
@chaindifu3233
@chaindifu3233 9 күн бұрын
All the way from kenya# ukunda...goma nalikubali
@Olly.brown25
@Olly.brown25 12 күн бұрын
Mwakaaaa Ndohuuuuu Wata Juwa Hawajuwiii🎉🎉🎉🎉
@kadala06
@kadala06 12 күн бұрын
Kumbe nimechelewa kukomenti.... Tembo na Chui 💯🔥☄️
@JeshiSaidoh
@JeshiSaidoh 10 күн бұрын
Hio ndio inatakiwa tuwe wamoja tuache bifu tupige kazi kwa pamoja,hongera sana kazi nzuri🎉🎉🎉👏👏👏
@samwelmaqala
@samwelmaqala 11 күн бұрын
Hawa jamaaa wameua sanaaa nani alitegemea goma kaliii kama hili kutoka kwa Ray na harmo 🎉
@MarkKiplangat-qd2mh
@MarkKiplangat-qd2mh 12 күн бұрын
msininyime Likes za Tembo mandugu.....from Kenya❤️❤️🇰🇪♥️
@Collmantz
@Collmantz 12 күн бұрын
Kubwa hiii ndo tunaitaji game iwe hivi let's gooooo ❤❤❤❤
@user-yc1sh6ow8k
@user-yc1sh6ow8k Күн бұрын
Wenye tunamkubali konde boy..let's hv a meeting here❤❤❤❤❤❤❤
@Mazoya10tv
@Mazoya10tv 11 күн бұрын
Yani siku moja views M1 hangera kwa kazi nzuri hapo bado video
@mkmsapoofficiel1437
@mkmsapoofficiel1437 12 күн бұрын
Watu wa Congo mko Wapi goga liké🇨🇩🇨🇩
@user-ir6ch8nt6g
@user-ir6ch8nt6g 12 күн бұрын
This is what I was waiting for...now tanzanian songs will be hitting..wapi like za chui na mmakonde please..much love all the way from 🇰🇪 🇰🇪.
@omarmasoud5808
@omarmasoud5808 11 күн бұрын
National Anthem 🇰🇪🇹🇿🇺🇬
@afrodavidtv
@afrodavidtv 9 күн бұрын
Huu wimbo hatari sana...chui na Ndovu👊💥🔥 comeback
@AhmadAmran-ch1sx
@AhmadAmran-ch1sx 12 күн бұрын
Rayvanny sahiv anajisahau kabasa me sjaona uzuri wa hii ngoma na mchukuliaga kama star ⭐ mkubwa ingependeza kwa sasa akawa anakiwasha kwel kwel kifupi amepoa sana.....
@PanchoValentino-wh7wt
@PanchoValentino-wh7wt 12 күн бұрын
Aweee Gomaaa Kaliii Kinomaaaa 💯💥🔥💪📡
@geoffreyembasa8483
@geoffreyembasa8483 11 күн бұрын
Watanzania wameiga south Africa Sana siku hizi
@samwelmakuni8079
@samwelmakuni8079 11 күн бұрын
No maraa waaaa😂😂 kikubwa tuna enjoy
@richbashantiofficiel820
@richbashantiofficiel820 10 күн бұрын
iyo kali sana hit song kutoka tz 🇹🇿 mpaka Drcongo 🇨🇩💪🎶🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@Yushimelody
@Yushimelody 12 күн бұрын
Kama ww n shabiki ya chui na tembo gonga like tukisonga❤❤
@DTS-DANCE-CREW
@DTS-DANCE-CREW 12 күн бұрын
Nimechelewa lakini nimefika love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Si mnipee like atakama ni moja
@onesmusshee7036
@onesmusshee7036 11 күн бұрын
This song is sooo huge that it already haters 😂😂😂😂
@tekitonicofficial6717
@tekitonicofficial6717 9 күн бұрын
Sijui kwanini siku hizi amapiano music imeteka tzz
Rayvanny X Harmonize - SENSEMA (Official Dance Video)
4:18
Rayvanny
Рет қаралды 2,2 МЛН
Sprinting with More and More Money
00:29
MrBeast
Рет қаралды 191 МЛН
Luck Decides My Future Again 🍀🍀🍀 #katebrush #shorts
00:19
Kate Brush
Рет қаралды 7 МЛН
3 wheeler new bike fitting
00:19
Ruhul Shorts
Рет қаралды 48 МЛН
Sadraddin - Если любишь | Official Visualizer
2:14
SADRADDIN
Рет қаралды 667 М.
6ELLUCCI - KOBELEK | ПРЕМЬЕРА (ТЕКСТ)
4:12
6ELLUCCI
Рет қаралды 785 М.
Райымбек Нысанбек - Сүйдім аруды
3:39
Райымбек Нысанбек
Рет қаралды 58 М.
ҮЗДІКСІЗ КҮТКЕНІМ
2:58
Sanzhar - Topic
Рет қаралды 3,6 МЛН
QANAY - Шынарым (Official Mood Video)
2:11
Qanay
Рет қаралды 134 М.