Onyesha mfano wa ulichokifanya kwenye Chadema basi tuige mfano wewe Mwenyekiti wa Chama wa Milele
@AiserAli-mq6sz2 күн бұрын
Wacha kudanganya watu wa tanga umepewa mke na chama ruzuku yote chama unakula mwenyewe subiri watu watakuachia chama na family yako ya wamachame wenzako siku nyingi lisu ataondoka
@rukiyyarukiyya63172 күн бұрын
Mmmmh mbowe kwahiyo nasi tupigane
@henryndosi20022 күн бұрын
Wewe DJ acha uongo ruzuku unapewa Kila mwezi sio Kodi yetu??
@alphoncewilliam43252 күн бұрын
Mwenyekiti wa kudum
@AllyMandunda-tj9jc2 күн бұрын
Ccm hii inatutesa sana elimu hovyo, ajira hakuna, elimu mbovu, matozo mengi, Tuikatae ndani ya sanduku la kura 7:19