#sautdigital l #habari l #RadioSautFm l #sautdigitalupdates#chademamedia #ccm
Пікірлер: 181
@jafarmlawa96276 күн бұрын
Hizo siyo hoja kama cdm mambo yenyewe ndo haya badilikeni tuende na wakati mtu akijiondoa tusi mpelekee kashifa
@user-tb8zb4rv6h6 күн бұрын
Mwema kuhamia chama msigwa sio wakwanza Lema Lisu walikua NCCR mageuzi leo wako chadema
@richardnganya23116 күн бұрын
Ipo tofauti kati ya CCM na NCCR Mageuzi
@MnubiMm5 күн бұрын
@@richardnganya2311Mapenzi yanakutia upofu na ULEVI wa Akili unekufikisha hapo lakini nakubaliana na wewe kabisa hivyo vyama ulivyo vitaja ni tofauti kabisa na CCM na Wala haviwezi kuwa sawa kabisa pamoja na chama chako kwa Kila kitu
@hawaelymaricca76026 күн бұрын
Hatq mimi siwez kulala na njaa kila siku wakati baba Yangu na mama yangu hajanifukuza nyumbani.
@Zainabnoor0087-ze4 күн бұрын
😂
@aronimanirakiza56554 күн бұрын
Asante Sana. Kwamajibu. Yako
@football-games2056 күн бұрын
Chadema ni chama cha hovyo hakuna duniani
@richardnganya23116 күн бұрын
Kipo sayari gani ,?
@godfreymeagisa18716 күн бұрын
Wewe ndiyo wa hovyo Sana kazi ni uchawa tu
@halimamasai22345 күн бұрын
Tena ni hovyo kweli eti demokrasia kumbe hakuna lolote bora Msigwa katoka Hongera sana Msigwa
@faustinebahenobi34124 күн бұрын
Mtasubirisana mwendazake kachemka sembuse mama kizimkazi😅😅😅😅😅
@AliSalim-yu4mo6 күн бұрын
Kwani ugomvi wa Zitto n Mbowe ulikuwa nini?mpaka Zitto akaunda Chama!🎉🎉🎉
@allymganga32235 күн бұрын
Iko chama cha zito Leo bado anacho ebu tutajie chama cha upinzani kwa uku Tanganyika
@AliSalim-yu4mo5 күн бұрын
@@allymganga3223 Chama sio Mali ya mtu!Kwa utaratibu ulivyo,yeye alianzisha na sasa kawaachia wengine je cha Mbowe ndio ilivyo?
@upendoeliya93293 күн бұрын
None sense
@AliSalim-yu4mo3 күн бұрын
@@allymganga3223 ulitaka awe mfalme kama Mbowe!
@ChristmasMaheri6 күн бұрын
Wow!
@user-ib3kq7kf1w5 күн бұрын
Wewe wacha uongo uoo chadema demakrasia ni jina tu lakini hamna demokrasia nyinyi mnazani mumnyime uwenyekiti mboe leo hii na yeye atabaki hapo?
@faustinebahenobi34124 күн бұрын
Mbowe ni tishio Tanzania kwanza ni tajiri mkubwa chama atuwezi Kumpa mwenye njaa ata USA 🇺🇸uwezi uwa raisi mwenye njaa utajiri nayo inaumuhimuwake
@user-ox4fv4cf5l6 күн бұрын
Mmezidi uhuni na hyo saccos yenu
@upendoeliya93293 күн бұрын
Saccos ni hiyo uliyopo CCM mnaiba fedha za miradi ya Wananchi na hawashitakiwi
@verdianabanabi22056 күн бұрын
Kuhama ni ihari na penyewe akipachoka aende kwingine mpeni cheo huko ccm . Mungu amtangulie katika uhamaji wake.
@samwelmachaka9366 күн бұрын
Wahuni chadema
@abubakarimussa91315 күн бұрын
Wewe pia muhuni
@faustinebahenobi34124 күн бұрын
Ila ccm ndo kweli et
@Kalunirashidi6 күн бұрын
Tuwaona wakati wa zitto mlimaliza maneno sasa Leo ote mpo ccm zitto anachachake
@user-gw6ir4gy4r6 күн бұрын
Safi mchungaji!!!huna baya,,,
@adammbuba72306 күн бұрын
Msigwa umefanya jambo la kishujaaaa
@zengomikomangwa92646 күн бұрын
Figisuzilizo tokea kwenye uchaguzi kanda ya Nyasa tunazijua. CHADEMA mjirekebishe . Ukweli Demokrasia na kuifuta Katiba ni hafifu sana. Ushahidi wa misemo nk unajidhihirisha.
@richardnganya23116 күн бұрын
Ukikosa uongozi unahama ,?
@Kalunirashidi5 күн бұрын
@@zengomikomangwa9264 kila anaendikaga chadm msaliti zitto walisema msalit sasa nyie nauyo meenyekiti wamilele
@faustinebahenobi34124 күн бұрын
Katiba mpya ni sasa chadema ni ndogo sana kuliko taifa tupate katiba mpya kwanza tuokoe watu zaid ya mil62
Nina hakika hata ww ukikosa hayo madaraka uliyonayo utahama pia!! Tanzania hatuna wapinzani wa kweli bali njaa tu. Njaa yenu na uoga wenu ndio sababu ya CCM kutamba miaka yote hiyo
@nikodemmwahangila33346 күн бұрын
Heeeeee msigwa mwenyewe naemfahamu kahamia CCM kweli CCM baba lao heeeee Basi na mbowe nae atahamia CCM lisu nae atahamia CCM wewe unasema hamshangai
@user-nz6rs9vn3t5 күн бұрын
Lissu mbowe mhhh ni majayanti syo kina msigwa,wataka vyeo
@Shokolokobango93855 күн бұрын
Hata zito aliondoka hivi kuna tatizo gan apo chade
@user-nz6rs9vn3t5 күн бұрын
Tamaa za pesa
@faustinebahenobi34124 күн бұрын
Kwani lowasa je sumae je au umesahau
@PetreSichalwe5 күн бұрын
Tuskate tama kuondoka kwa msigwa
@alphoncewilliam43255 күн бұрын
Safi sana mtaongea sana lakini pigo
@abubakarimussa91315 күн бұрын
Kama lipi
@halimamasai22345 күн бұрын
Tena bonge la pigo wanajishaua bure Msigwa kawakeraaaaaa na bado 🤣🤣🤣🤣
@faustinebahenobi34124 күн бұрын
Chadema wameondoka watu wengi wakubwa kuzid msigwa je unawajua? Mbona bado ipo@@halimamasai2234
@user-ye3xp1lf7i5 күн бұрын
Ndoma.watanzania wengi huwahawangari tivi kwasababu hatuoni chenyemaana
@ce-084 күн бұрын
Nikuendelea kujiumza wenyewe tu 😂😂
@user-ge3ni4qn4u6 күн бұрын
Chadema kimesha kosa mwelekeo,
@mohddelo6 күн бұрын
Chadema mashoga viongozi wao
@dionismutayoba35426 күн бұрын
Acha ujinga thibitisha kimeishaje?Kuondoka kwa Msigwa hakuna athari yoyote ndani ya taasisi ya Chadema.Ndo kwanza ameimarisha chama
@godfreymeagisa18716 күн бұрын
Wewe ndiye umekosa mwelekeo,uzuri tupo ndani ya gari moja tutatumbukia shimoni wote,na uzuri hata nyama wote Ni bei moja tu hakuna Cha mwana Ccm ,Chadema Wala Caf Wala asiye na chama wote tunaisoma namba
@halimamasai22345 күн бұрын
Msigwa bora umetoka huko maana hao ni mashoga na wewe ni mtu wa dini bora CCM 🤣🤣
@kwisa48996 күн бұрын
Yupo sehemu salama
@abubakarimussa91315 күн бұрын
Upo yoyo tu
@halimamasai22345 күн бұрын
Tena salama sana Hongera sana Msigwa
@margarethpolepole74386 күн бұрын
Ukweli ni kwamba wamemchoka Mbowe kuwa Mwenyekiti yeye kila siku humo ndani ya Chadema kuna firigisu sana wamemchoka Mbowe mbona Zito katoka tatizo ni huyo Mbowe na wataondoka wengi kwanini asichsguliwe mwingine
@ibrahshifta15956 күн бұрын
Mbona huisemi CCM kukaa madarakani toka Dunia imeumbwa ,unashangaa Mbowe kua Mwenyekiti? Acha hizo fikra
@user-nz6rs9vn3t5 күн бұрын
@@ibrahshifta1595Hadi cdm iongoze nchi ndo atatoka
@faustinebahenobi34124 күн бұрын
Safisana@@ibrahshifta1595
@faustinebahenobi34124 күн бұрын
Ccm wao ni mpaka lini tumewachoka
@sarahkadugu43675 күн бұрын
Aliapa Kuwa yeye akienda ccm wananchi wachome nyumba yake na magari yake. Alijihukumu mwenyewe ulimi unauba. Wanasiasa mungu awahurumie. Ss kazi yetu ni kumwomba atupe mwisho mzuri
@imanmwashitete52436 күн бұрын
Muacheni ameamuwa yeye kalibu ccm msigwa
@abubakarimussa91315 күн бұрын
Kwamajizi na majehu
@rahimsadru-ct4ot4 күн бұрын
Machaga yametawala ndan ya chadema ,,,wtz tuiepuke HII chmaa
@JoyceKabula-in1sh2 күн бұрын
Aende zake wala hajatukomoa alitaka awemwenyekiti wa kanda milele aende zake wala hajatutingisha tupo sawa taalifa zimfikie
@GivenSinyangwe-l3r14 сағат бұрын
Mrema huna majibu kwanza wew ni tatizo kubwa kwenye chama hiki unapaswa kuachia hiyo nafasi hayo siyo majibu ya kitalaam
@emanuelmaraki97586 күн бұрын
Yani mnashangaa mbowe kuwa mwenyekiti amshangai ccm kuwa madarakani miaka62 watanzania bwana mnajisahau sana duuu mungu niweke salama nione mengi sana 💪💪✌️✌️
@sskondopoleani96166 күн бұрын
Sasa kama CHADEMA mtachukuwa dola mnategemea kukaa muda gani ???
@Hussein-gx4qu6 күн бұрын
@@sskondopoleani9616 na kwanini mboe ni fisadi mi sio ccm lakin hata chadema mnazingua
@yassinnabwera42735 күн бұрын
Sio kwamba wanajisahau isipokuwa Wanaccm wengi wanajiona wao wana haki ya kututawala wapendavyo Watanzania.
@yassinnabwera42735 күн бұрын
@@sskondopoleani9616 wapigakura ndio wenye maamuzi sio nyie CCM mnakaa madarakani kwa wizi wa kura na ulaghai
@drgeraldcubwa4815 күн бұрын
Hoja yako mfilisi.CCM Iko madarakani muda mrefu kwa sababu Kuna vya vyama vya upinzani vya wachumia tumbo!! Imagine mlicholichokifanya 2015 kwa kupokea mliyompaka matope kuwa ni fisadi mpaka mkaharibu maisha yake ya kisiasa .shame on you.
@sophiamalinga184 күн бұрын
Msigwa nakuonea huruma Mungu atakurudisha chadema soon so uwe na break kt kuongea
@Kalunirashidi6 күн бұрын
Angela usimalize maneno kazi uako
@user-ox4fv4cf5l6 күн бұрын
NYIE WAPUUZI TU MNAWAFANYA WATANZANIA MACHIZI, HIYO DEMOKRASIA MBONA IPO MIDOMONI TU NA SI KTK VITENDO?? MBONA MBOWE KWENYE NAFASI YA UENYEKITI HAGUSWI SASA HIVI MIAKA 20??
@KudraWanguvu-em1xw4 күн бұрын
Mbowe mwenyewe hataki kuachia uwenyekiti kwani kila ae onesha nia yakutaka uwenye kiti lazima aoneshwe njia ya kuondoka
@AthonySaimon6 күн бұрын
Kumbe hili jamaa ni jinga raan chama la CCM limeoza ufisadi ndo anaamia bora angeama kipndi cha magufuri ningemuelewa😅😅😅😅😅
@JofreySanga-lu8pn5 күн бұрын
Ukiwa chadema ulikuwa unatuchafuria ccm yetu na Leo umekuja hukuhuku ccm sijui chadema yako nayo utaichafuaje msigwa. Nyerere. Alisema kunawanasiasa maraya maraya kama msigwa
@user-xc5ie8cp7o3 күн бұрын
Chadema hamna demokras mbona mbowe hataki kuachia chama wakati vijana wapo tena wenye elimu kumuzidi yeye
@sadikidaudi4605 күн бұрын
Chadema kwanini msijitathmini nakuangalia hoja yamsigwa mwenyekiti wamilele ndio demokrasia?
@ramadhankhatwib85615 күн бұрын
Siasa ni uongo na unafiki
@MageAwe-hl5zb4 күн бұрын
Wanasiasa ni waganga njaa tu na tamaa ya madaraka lakini mungu mwenye haki atabaki na wenye kupenda haki
@amosmbwambo5 күн бұрын
Chama Cha wachaga munaumia utapeli mtupu mmeua mageuzi kwakupenda pesa
@Abasi-ej9qw6 күн бұрын
Ndio mahana nawachukia wanasiasa sio wakweli wapo kwa masilai yao
@faustinebahenobi34124 күн бұрын
Na ni mchungaji et
@swahilimoves33485 күн бұрын
Mbona mboe hatoki
@isayakihongile49215 күн бұрын
Atoke aje kwako unanafasi ya kumuweka au atoke uenyekiti apewe msigwa auze chama?
@JohnValle-xn1dx5 күн бұрын
CCM WAWE MAKINI HII MBINU WANAITUMIAGA SANA WAO WENYEWE , KITENDO CHA KUMPOKEA MSIGWA MBINU ZENU ZOTE ZITAKUA HAZARANI
@hajimnubi45815 күн бұрын
Hii kama waliyomfanyia sumaye chadema
@knight67576 күн бұрын
😂 amekwenda..huko huko alikuwa anawasema😂😂
@SarahEdithchambo5 күн бұрын
Kuondoka kwake chadema ni maamuzi yake mwacheni asaidie kupiga kampeni Kwa sababu chama alichotoka anakijua hakinautendaji
@audaxbizimana80845 күн бұрын
Mbowe miaka 6000 ni mwenyekiti nani anapenda vyeo😅😅😅😅😅😅😅
@hamisimwinzagu66245 күн бұрын
Nchi za wenzetu wanafokasi kwenye uchumi ili wananchi wake wawe na maendeleo mazuri ya kimaisha sisi uku kila siku vikao vya ovyo tu ambayo avina mantiki yoyote kwa wananchi wake na ndio maana mda wote wanawaza kuiba fedha za watanzia tu shnz taipu
@user-jc8vt7ct9t5 күн бұрын
Atapewa cheo hiyo ondoa shaka
@ZaitunAbdallah-ol1bb6 күн бұрын
Amenunuliwa kwa hela kama lipumba na baadhi ya wengine
@gabrielmoses68605 күн бұрын
Hajanunuliwa(Nadhani hujajua), mchungaji Msigwa Yuko Smart na anajua anachokifanya!. Cha msingi Chadema hakuna Democrasia,,wana mwenyekiti wa maisha.
@lgf72975 күн бұрын
Huyu Mrema ndiye aliyetumwa na Mwneyekiti Mbowe kwenda kuvuruga uchaguzi Jimbo ampate Sugu
@amosmbwambo5 күн бұрын
Mtabaki wachaga wenyewe nawajinga wachache ka Hechi Sugu Lisu anaondoka ACT
@stanastana31994 күн бұрын
Godless lema pia naskia huu mwezi anajiunga na ccm
@FelixMkini5 күн бұрын
Kaka Msigwa hongera sana kuuenzi unyalu kwa hasira nzuri , maana hujajinyonga! CCM watakufariji kakayangu
@fidelmbai36425 күн бұрын
Chama kina dikteta hicho siyo Cha kidemokrasia
@jimmysameji36024 күн бұрын
Tanzania tuna bahati mbaya ya vyama vya upinzani vilivyopo ni mamluki we ccm. Msigwa umekwazwa na hao mamluki wenzio halafu unahamia tena kwa hao kausha damu umefanya mini sasa, si bora ungeacha na siasa kama mzee W.Slaa tungekuelewa, Kuna nini cha maana kwa ccm hii, zaidi ya kukamua wananchi na kuwabomolea makazi yao na kuwaacha wakiwa.
@thaddeojude75115 күн бұрын
Halafu baadaye mtuombe kura......nani awapigie kura?
@hafidhnzota21425 күн бұрын
Chadema ingeyumba Wakati wa Magufuli ndiyo kwanza IMEKAMILIKA.Msigwa mpuuzi tu njaa sana njaa itamuumbua.Mwache apande majukwa atukane kama HAJ manara..mpira urapigwa MWINGI sana Dunia itaelewa
@thaddeojude75115 күн бұрын
Endeleeenikyimba wimbo wa njaa....baadaye mtampata mchawi wenu..na bado watahama wengine....waje kuanika madudu yenu
@gracekagoma32315 күн бұрын
Mwenye akili timamu hawezi kuwa na chagadema kulikojaa machizi ,wezi nduma kuwili wakubwa pamoja na usenge mkubwa .Lissu na Lema balaa tu
@SimonLaizer-c2u6 күн бұрын
Msigwani mshamba tu uyo anatumia jina la uchungaji bure uyo kajawa na uchu wa madaraka uyo
@rashidhemed53314 күн бұрын
Mbona mbowe mpaka Leo ni mwenyekit inmaana yeye Yuko sawa wengne hamna sifa za kuongoza achen ukanda
@KajoSalali4 күн бұрын
Msigwa achaende mloho wa madalaka wann aende zake huko
@alikadamon92646 күн бұрын
MSIGWA CHADEMA ARIPOTEA MDAMLEFU SISHUTUKI
@youngsachafurniture54825 күн бұрын
😂😂😂😂ubongo kids huo
@dicksonmtandi88065 күн бұрын
ulikwii
@SalambaPeterКүн бұрын
Tupoteze imani na chadema kwa kuhama baadhi ya viongozi wenye tamaa ya uongozi na masilahi ya fedha amehama yeye tuliobaki ni wengi klk msigwa na wengine hata wana wa israel kutoka misri hawakufika wote tusonge mbele
@mbatatakiazi16785 күн бұрын
CDM wajitafakari, wakitoka mnawanaga, ila huwa siwaoni wakirejea. TUJIFUNZE NA TUJIREKEBISHE kwa mapenzi mema ya nchi hii.
@user-md7sd3hk6l6 күн бұрын
katika wana siyasa ninao waamini uyu mlema uwa na mkubali sana angeli kuwa mwengine na yeye asha ama nukiongozi mdogo lakini ana tamaa mungu aendelee kukupa moyo uo uo tupamba nie wa tanzania wezio
@AthonySaimon6 күн бұрын
Yaaa watanzania wangekuwa kama wakenya CCM ingekuwa ishatoka madarakani zamani ila kwa kuwa mambumbu ni wengi mpaka mwisho wa dunia😅😅😅😅😅 itatutawala
@MageAwe-hl5zb4 күн бұрын
Wala hana lolote huyo alikuwa kibaraka wa CCM muda chadema hamkujua kuvuka chama hadi chama kingine hakuna pengio
@shukurukihwelo30845 күн бұрын
Kuna siku hata mboe atahama chama
@user-bz5ti6op6z5 күн бұрын
Nanyi chukueni Mpina
@AliSalim-yu4mo5 күн бұрын
Kwani Mpina ana nini?au kusimamia Serikali isifanye ufisadi ndio loss lake na kumfananisha na Msigwa?yaani Watanganyika wasiojielewa bhanaaa!
@user-gr9wc7bc2m6 күн бұрын
Njaa tu hao
@manasecharles8946 күн бұрын
Wivu tu 😂😂
@ndukulusudikucho_5 күн бұрын
Chama gani Kina watu wa ukoo mmoja tu, jamaa hata kula kipofu hawawezi, wana roho ngumu saaaana , eti Chama cha democrasia, nimehama na Msigwa nani anapenda mizengwe na bakumashi , kadi yao nairudisha Kwa DHL
@@user-tb8zb4rv6hCCM je...kuna mtu anaweza kupinga fikra za Samia ziwe nzuri au mbaya? Kuchangia mijadala ya kijamii ni haki yako na kila mmoja ila usichangie kwa mihemuko hata usivyovijua, utajiaibisha kama comment yako hii....haina mashiko
@illomowerner76906 күн бұрын
@@user-tb8zb4rv6hhow, can you prove us that CHADEMA is a single person private company? Stop stupidity
@godfreymeagisa18716 күн бұрын
Kweli wewe ni kilaza haswa,umesahau kuwa Hayati Magu alisema ataua upinzani wewe umeona upinzani umekufa? Mnaongea Kama watu wasio na akili kabisa kwanini Ccm wanalazimisha akina mdee kubaki bungeni Kama upinzani hauhitaji,watu wajinga Ni wajinga tu.
@JacksonMartin-pb2vq6 күн бұрын
Kwani wewe msemaji ni kabila gari maana msigwa kitu kingine anachojaribu kukisema ni ukabila ndani ya chama
@leonardkapati31256 күн бұрын
MPINA CHADEMA NA MSIGWA CCM
@husseinmkanga77945 күн бұрын
Kama chadema watamuacha Mpina agombee uraisi na wakimuacha amrudishe Magufuri kwenye mawazo yetu atawasumbua CCM. Kwa sababu Magufuri amewavua nguo CCM.
@kisinza60776 күн бұрын
Bado COVID-19 ahadi inaendelea
@ibrahimabdullah18876 күн бұрын
Yatizame sura kavu
@Aminmwansile-we8vn5 күн бұрын
Safi Sana John mrema msigwa ccm asipopewa cheo haawezi kudumu huko
@user-ej5ir5pu7r5 күн бұрын
Mbowe mbona yeye hatoki zito mlimfanyeje wadini nyie
@philemonkafyulilo71286 күн бұрын
Nccr ,Tlp ,chadema then ccm
@upendoeliya93293 күн бұрын
Msigwa ni umetufhihiridhoa Wananchi kuwa wewe kuanzia sasa ni mchumia tumbo Miaka 15ys Uongozi Chadema ukashindwa hta kujenga Ofisi za ya chama tutakukumbuka kwa lipi?? Shame on you 😂
@freddykulwa81906 күн бұрын
Unaonya ccm kivipi
@godfreymeagisa18716 күн бұрын
Sugu alisema haaminiki Ni kweli kabisa huyu alikuwa hatari kwa chama
@TumtukuzeMbise6 күн бұрын
Chida anaamia ccm mmja ccm wanahamaga wengi
@user-yh3dv2bl7u5 күн бұрын
Chadema hatutetereki hata kidogo
@issacklyandala70235 күн бұрын
Hakuna pengongo, msikwa ni mwanasiasa naniinaniiii
@youngsachafurniture54825 күн бұрын
MADARAKA MADARAKA MADARAKA YA KULEVYA
@rebekakulwa61595 күн бұрын
Mnasema mbowe mwenyekiti utalinganisha na lifisiemu miaka.64 wanatunyonya wanauza nchi yetu bila huruma kwani mbowe ameuza kitu gani sana yeye kadhurumiwa mali zake na mafisiemu amefungwa vya kutosha ili aachane na chadema mna uchungu naye kwa.sababu kakilinda chama fikiria mwenyekit angekuwa msigwa tayari angelikwisha kutuuza
Huyu nimroho wamadaraka anataka vyeo tena ni mchungaji jaman hii niaibu
@didaslunkoto6 күн бұрын
Mchungaji msigwa huo ndo mwisho wako kisiasa. Umeamua kitoto wakat we ni mtu mzima
@user-io6yj9fs2h5 күн бұрын
Kala matapishi yake wajinga wenzie ndo watampongeza maana wana siasa kama hayupo kwaajili yajamii kama alivyo kuwa analopoka jukwaani yupo kwaajili ya family yake natumbo lake wanasiasa wa tz wasikilize jukwaani usitunze neno lao hata moja siasa maji taka tz hakuna jipya
@Kanyawela6 күн бұрын
Vyama vina akili sasa msigwa katumwa ccm na mpina atakuja kutumwa chadema siasa sasa basi
@illomowerner76905 күн бұрын
Si kweli Kanyawela, can you prove us
@Kanyawela5 күн бұрын
@@illomowerner7690 mara nyingi utokea wakati wa uchaguzi hukuona kwa Nyarandu?
@AnosisyeMwaigomole-i5s6 күн бұрын
Mrafi wa madaraka hafai?
@robertzingu98895 күн бұрын
Ni ngumu sana mtu mwenye akili timamu kuhamia CCM bila kushikishwa mpunga mrefu au kuahidiwa kupata cheo. CCM sio chama cha siasa bali ni chama cha kwenda kupigia pesa mambo mengine baadae.
@isayakihongile49215 күн бұрын
Ngoja aende atakakotendewa haki kwendraaaa shubamiti sarti kubwa jinga