Mboyoyo na kazi ya Promoshen (jambonavijambo)

  Рет қаралды 229,824

Wasafi Media

Wasafi Media

4 жыл бұрын

#wasafi#Mboyoyo na kazi ya #Promosheni

Пікірлер: 548
@lameckntahondi8073
@lameckntahondi8073 4 жыл бұрын
Aliyerudia hiii Mara mbili aweke like tujuane
@salimsaidi645
@salimsaidi645 3 жыл бұрын
zaidi ya mara mbili....nawakubali xana hawa jamaa
@ajmilee4204
@ajmilee4204 4 жыл бұрын
Mungu kajaaliwa baadhi ya watu hapa Duniani wasipate Taabu😀😂 asa mtu km maneno 10 analaleje njaa😂😃😅😅😅😅
@Richesfam
@Richesfam 4 жыл бұрын
“Na Bruce lee” 😂😂😂😂😂Omg this guy is sooo funny
@thomasraiton7760
@thomasraiton7760 Жыл бұрын
Nimepitia hapa tena leo 13/10/2022 kupata burudani hii tena karibu ku like kama nawe umeirudia
@erickmidomsodock8716
@erickmidomsodock8716 11 ай бұрын
Nimepita leo 28/08/2023
@allybinmaliki1467
@allybinmaliki1467 4 жыл бұрын
Daaah hao wa matangazo matapeli Sanaa Kama auna kazi waweza pagawa serikali waingilie kati wanyanyasaji xana waongo kinouma
@JackSparrow-ih5es
@JackSparrow-ih5es 4 жыл бұрын
Mungu awajalie Jambo na vijambo nawakubaki Sana
@barakachawe6241
@barakachawe6241 4 жыл бұрын
Kwa mara ya kwanza mboyoyo kapewa hela. 😂😂😂😂😂😂😂
@epiphaniafrank8828
@epiphaniafrank8828 2 жыл бұрын
This guy is awesome his ability is outstanding.
@elminofisho7675
@elminofisho7675 4 жыл бұрын
Huu uigizaj never seen 🙌🏾🙌🏾😹😹mnajua
@hassanichijumba7222
@hassanichijumba7222 4 жыл бұрын
Huyu jamaa ukiachana na kuigiza, ni muongo kweli huyu aisee
@newprinceisaya6131
@newprinceisaya6131 4 жыл бұрын
😂😂😂😃😃😁😁😁
@hamiduissa8089
@hamiduissa8089 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@triplea3463
@triplea3463 4 жыл бұрын
😂😂😂
@ericernest2099
@ericernest2099 4 жыл бұрын
Dadadaa
@Its_jozeeeh
@Its_jozeeeh 4 жыл бұрын
🤭🤭🤭
@fransismodestus9070
@fransismodestus9070 4 жыл бұрын
Bongo tu tunavip promo vsivyowez ila awa jamaaa kama uyu mboyoyo tungemwamn kama akna joti, kitale, maufund..naamn angepeprush bendera vzr coz aina ya uchekeshaj wak n unique cna...
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 4 жыл бұрын
Kabisa
@fransismodestus9070
@fransismodestus9070 4 жыл бұрын
@@shaabanramadhan6770 jamaa anajua sana uyu
@modricrushdiy2089
@modricrushdiy2089 4 жыл бұрын
Sure
@aceotz2579
@aceotz2579 4 жыл бұрын
Wasafi hamjawahi kudisappoint jmn😙😙😙❤❤❤unayesoma comment yangu NAKUPENDA❤❤❤😙😙😙❤❤❤😍😍😍❤❤❤😙😙😙
@ektv499
@ektv499 4 жыл бұрын
Mi pia nakupenda
@suleymanmakiwa1651
@suleymanmakiwa1651 4 жыл бұрын
Nakupenda zaidi
@kimtagutz3306
@kimtagutz3306 4 жыл бұрын
Nami pia
@twariqzungu5001
@twariqzungu5001 4 жыл бұрын
Nakupend pia km vp nipe n no kbx
@amosimniko4001
@amosimniko4001 4 жыл бұрын
Nashukuru kwakunipenda
@danielwilfred2609
@danielwilfred2609 4 жыл бұрын
"asituletee mambo ya instagram apa, mambo yakuvalishana pete"😂😂 uo mstar n relevant
@swalehetwalibu3873
@swalehetwalibu3873 4 жыл бұрын
this guys is so dope
@buluush9741
@buluush9741 4 жыл бұрын
Tiibag feleeshen NIMESEMAJE? tiibag feleeshen 🤣🤣😂huyu mbwa nimuongo kuliko hamorapa😂😂🤣
@abubakarmpole4000
@abubakarmpole4000 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@kisura299dinno4
@kisura299dinno4 4 жыл бұрын
Kwel uyu jamaa nimuongo kinyama
@watakaniitaje1215
@watakaniitaje1215 4 жыл бұрын
😂 😂 😂
@tildahongkong6086
@tildahongkong6086 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka kisenge
@khadijaahmada2544
@khadijaahmada2544 4 жыл бұрын
Samahani kama nitakukwaza my bro tunaburudika na utani ndani yke ila zambi kubwa kumuita binaadam mwezio mbwa hata kama kwa utani..nisamehe lakini kama nitakukwaza
@tushia643
@tushia643 4 жыл бұрын
😂😂😂Hawa jamàa. Sema hicho walichosema hapo ni very true...nshawahi kwenda kwenye hizo kazi😂😂😂😂😂
@takuruabdalla5729
@takuruabdalla5729 3 жыл бұрын
😁😁😁😁🙏🙏🙏🙌🙌🙌
@takuruabdalla5729
@takuruabdalla5729 3 жыл бұрын
Yah nilipitia huko alichosema hapo hajaongopa hata kidogo
@officialnanaah7543
@officialnanaah7543 4 жыл бұрын
Yaan nmechekaaa walahiiiiiii big up wasafi....................big up jamboo n vijambo.........mnajuaaaaaa
@johnsilima6789
@johnsilima6789 4 жыл бұрын
MUONGO NAMBA MOJA TANZANIA NZIMA DU!
@immanueldavd5631
@immanueldavd5631 4 жыл бұрын
Nyie ni mafundi Wa kuingiza hatr
@babylonebeckaexavery10
@babylonebeckaexavery10 4 жыл бұрын
Leo umefanikiwa kupata BUKU ulizokua unaomba salute kwao
@TALLUBOY
@TALLUBOY 4 жыл бұрын
Kaz ih ngum sana Jaman nimewai kufanya Nilikuw nafanya kwenye company Ya ADAM GENLATION SUPERMARKEN GROUP Nikapewa mtu nifuatanenae Apite kuni train Mzee niliteseka Sana sana tulienda VIANZ vikindu Hatal wana gonga changalawe Siyo mchezo
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 4 жыл бұрын
Pole mkuu
@khafidhsalum1107
@khafidhsalum1107 4 жыл бұрын
Oya yani acha mzee baba mm nilishawahi fanya pale kinondon Biafra Pana kampun inatwa British contact wanauza sabuni mafuta shampoo nk nilisota wiki2 mshahara kila ukidondosha pisi 1 yako ni 💯 yalinishinda niakaachana nayo ili kuwa siend kuuza maeneo ninayoish najiskia aibu kinoma 😀😀😀
@emmaleejr6670
@emmaleejr6670 4 жыл бұрын
Sahihi
@Rashid-sg2mw
@Rashid-sg2mw 4 жыл бұрын
Me niliambiwa nimfuate jamaa mmoja hv, tukapanda gar tukashukia tabata gerej tukaingia mtaan nilishangaa jamaa kawafata wadada wanasukana anatoa dawa za mswaki na vipodoz alivyoangalia nyuma hakuniona tena
@raymondclaud6026
@raymondclaud6026 4 жыл бұрын
Rashid Hassan hata mimi nilikimbiaga baada ya kuona hiyo kazi
@salumuhafidhimtabe420
@salumuhafidhimtabe420 3 жыл бұрын
Nimeskia home kwetu Vikindu Daaah keep it up bro
@alexjeremiah8389
@alexjeremiah8389 4 жыл бұрын
God job 🔥🔥🔥
@shabanimwinchea2696
@shabanimwinchea2696 4 жыл бұрын
Mboyooooo n zaid ya coronaaaa😂😂😂😂
@officialmologa
@officialmologa 4 жыл бұрын
Hapa sio kichekesho ,huu Ni uhalisia wa maisha
@emiliusfrance8286
@emiliusfrance8286 4 жыл бұрын
Hakika
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 4 жыл бұрын
Nishawah kuwafuata hawa watu
@muryd6999
@muryd6999 4 жыл бұрын
Fact
@samweliwapili5844
@samweliwapili5844 4 жыл бұрын
Duu wapi like kwa beseni jamniii
@shedrackslyvester8684
@shedrackslyvester8684 2 жыл бұрын
Hakunagaaaa kam mboyoyoyoooooo
@heshima9935
@heshima9935 4 жыл бұрын
Dahh hii .imenikumbusha mbali saana ...CV barua ya serikali ya mtaa ...Naomba serikali itazama huu udanganyifu unao fanya na haya makampuni ...
@emiliusfrance8286
@emiliusfrance8286 4 жыл бұрын
Nakumbuka siku mzima nilikuwa nahangaika serikali za mtaa na kutafuta wadhamini kisa hawa jamaa
@juliusfocus8539
@juliusfocus8539 4 жыл бұрын
GKartCLUB 1 kweli wise mm mwenyewe
@maulidipeter6124
@maulidipeter6124 4 жыл бұрын
Ugonjwa Wa Bruce Lee duh xo powah Madini ya soda
@samueljaluo3203
@samueljaluo3203 4 жыл бұрын
Dah!!! Awa jamaaa wanatisha hatar konk fire liquid
@seifzongo320
@seifzongo320 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😁😂😂😁😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😁😂😂😂 hao jamaa leo mmewalipua walinidanganya mshahara laki 5 kudadeek nkatembea na mpak miguu ikaomba Pooh nkasepa na mizigo yao hawajaniona mpak leo ,nkiwaona mtaan huwa nacheka sana ,unatembea na tai haraf hata kura hujala 😂😂😂😂
@wazirikipanga325
@wazirikipanga325 4 жыл бұрын
☺️☺️
@Marwawilliam
@Marwawilliam 4 жыл бұрын
Hahaaaa na mm umenkumbusha mwaka 2008 nilijichanganya kwenye kampuni moja inaitwa the Canadian company group baada ya kuona tangazo la kazi mshahara 260000 kumbe kazi yenyewe ndy kama hiyo nilisepa na vyombo vyao
@seifzongo320
@seifzongo320 4 жыл бұрын
@@Marwawilliam 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 warudishie vyombo vyao,wanafikir Kila mtu muuza vyombo 🤣🤣🤣
@abdulfahadog1458
@abdulfahadog1458 4 жыл бұрын
Haukudanganyw sema ni ww tu baada y kupewa plan na kutokan n uvivu wenu wa Tanzania ukashindwa kutimiza goal
@seifzongo320
@seifzongo320 4 жыл бұрын
@@abdulfahadog1458 😂😂😂wewe huwezi nitembeza na vyombo mshahara dematch ,Bora niuze machungwa na maji ya kandoro siyo huo upuuz,besen unalililipia kweny gar haraf unaliuza kw taabu haraf jamaa wanakuwekea buku tu 🤣🤣🤣🤣 kwa elimu nliyonayo wale nlitakiwa kuwashtaki shwain kabisa
@chipembelesaid
@chipembelesaid 4 жыл бұрын
Glass zilizotengenezwa kwa mchanga wa vikindu, bruce lee umo umo halafu kumbe anaishi kibamba na nauli hana dadeeki!!!😂
@majidkipati6196
@majidkipati6196 3 жыл бұрын
Daaah nimecheka sana
@busegamediatanzania
@busegamediatanzania 4 жыл бұрын
Nimesemaje 'Tea bag peleshee' 😀 😀😀 sema huyu jamaa ni mjinga sana
@mirajimwango5763
@mirajimwango5763 4 жыл бұрын
KAZI HII KWA SISI WAHANGAIKAJI TUSHAOMBAGA HAHAHAHA, YAANI NOMA SANA
@TeamKRX
@TeamKRX 4 жыл бұрын
Huyu mroho anaroho ya huruma anaonesha ukiachia mbali na comedy 😅😅😅
@emmanuelmtoi487
@emmanuelmtoi487 4 жыл бұрын
😂 dah ila huyu mwamba
@subo2667
@subo2667 4 жыл бұрын
"Hujasoma ila mshahara kama ulivyotaja" 😂😂😂😂🤣
@dullahmbabe3869
@dullahmbabe3869 4 жыл бұрын
Shati lako umelipiga pasi.. Hayakuhusu kuwa uyaone
@pareboy4209
@pareboy4209 4 жыл бұрын
Nmecheka kifaraaaa
@lamela2798
@lamela2798 4 жыл бұрын
😂😂😂
@eliasjosiah1024
@eliasjosiah1024 4 жыл бұрын
Wa kwanza like jaman
@yahyamrangi9438
@yahyamrangi9438 4 жыл бұрын
Duu huyu jamaa ni muongo dunia nzimaah
@hassaniramadhani6521
@hassaniramadhani6521 4 жыл бұрын
Uyu jamaaa kutangaza biashara anaweza kama unamkubali basi gonga hapo like yako
@BigZhumbe
@BigZhumbe 4 жыл бұрын
Jaribu tena na hiyo 🤣🤣
@wardabilal2839
@wardabilal2839 4 жыл бұрын
Jaribu ni mpakan mwa rifiji bhn
@annamansur3836
@annamansur3836 4 жыл бұрын
My favorite video 😘😍🤣😂
@neylumujr4876
@neylumujr4876 4 жыл бұрын
Kama umesikia ukiweka chupa kwenye uji huu gonga like
@MenTPL
@MenTPL 4 жыл бұрын
Kwa promotion hii,lazma ununue, Jamaa muongo eti hata unaweka povu glass yenyewe inaleta maji😂😂
@tpltanzania686
@tpltanzania686 3 жыл бұрын
Nakubal
@subo2667
@subo2667 4 жыл бұрын
Acrobatic veso 😂😂😂 huyu jamaa haigizi,,ni muongo kweli katika maisha ya kawaida
@samcharzy4657
@samcharzy4657 4 жыл бұрын
Sema Nini hii kazi serikali iangalie vizuri Kuna vijana wanatumikishwa kiboya Sana na hawana jinsi
@dullybrown3635
@dullybrown3635 3 жыл бұрын
😃😃😃Ile furaha angu nilitamani ni like comment zote ila ni nyingi sooorrry
@alluminiumexperttz.12mview13
@alluminiumexperttz.12mview13 4 жыл бұрын
😂😂 huyu jamaa kweli sfteNOMAtSANA. NIMESEMAJE HAPO?
@geofreylucas9469
@geofreylucas9469 4 жыл бұрын
Hahahaha! Dakhhh huyu jamaa ananikumbusha mbali Sana na hii kazi ase me nilipewa fuko la lambo Lina vipodoz na sabuni mdomo wako ndo riziki yako Nan aliyeingia choo cha kike kwenye hizi kazi Kama mm
@isamaboe3495
@isamaboe3495 3 жыл бұрын
Hata me
@immanueldavd5631
@immanueldavd5631 4 жыл бұрын
Huyu mboyoyo ni muongo dunia
@yusuphmoody2323
@yusuphmoody2323 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣Huyu Wallah Mndengeleko ahhh
@goodluckymartin334
@goodluckymartin334 4 жыл бұрын
Mnatishaaaaa cnaaaaa nawakubaliiiii xnaaaa asehhhhhhhhh Jambo na vijambo
@Commentsplus
@Commentsplus 4 жыл бұрын
Wasafi hiki kipindi kiendelee kuwepo hata nikifa
@hamiduissa8089
@hamiduissa8089 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@isihakaibrahim5667
@isihakaibrahim5667 4 жыл бұрын
😂😂
@edkasto.9031
@edkasto.9031 4 жыл бұрын
Ataliii xan
@ibni_H2TL6r
@ibni_H2TL6r 4 жыл бұрын
Nimesemaje....!??TEEBAG FELENSHEN
@samorapeche9413
@samorapeche9413 4 жыл бұрын
Mboyoyoo 🔥🔥🔥🔥🔥
@salummayoga8229
@salummayoga8229 4 жыл бұрын
Nani aliye sikia na Bruce lee
@hamidumpande5509
@hamidumpande5509 4 жыл бұрын
Dah.? We jmaa atr jarbu karbu na bungu rufiji
@ibrahamkalu9069
@ibrahamkalu9069 4 жыл бұрын
Hayakuhusu kua uyaone 😂😂😂😂
@binmweritz6843
@binmweritz6843 3 жыл бұрын
IS good
@wazirmasokola5951
@wazirmasokola5951 4 жыл бұрын
Dah unajuwa sana mpaka unaboa
@nuruhero0740
@nuruhero0740 4 жыл бұрын
🙄🤣🤣🤣bruce leee yaaaniii huyu n muongo kuliko amber lutty
@elbawazeky7113
@elbawazeky7113 4 жыл бұрын
😂😂 hii sijaweza kumaliza kuangalia mbavu zimekataa😂😂😂
@maestroally7201
@maestroally7201 4 жыл бұрын
Mjuba yupo field 🤣🤣🤣
@stepheneliasmihayo9896
@stepheneliasmihayo9896 4 жыл бұрын
Sasa akihitimu itakuwaje
@paulmgoli4853
@paulmgoli4853 4 жыл бұрын
Nikishamuona tu naanza kcheka ila uyu msenge mwisho 😂😂🙌
@shabanijuma2085
@shabanijuma2085 4 жыл бұрын
Tanzania One comedian
@samwelieliazely967
@samwelieliazely967 4 жыл бұрын
They are best in tz
@JohnChalres-kb7ix
@JohnChalres-kb7ix 22 күн бұрын
Kampuni inaitwa "Mirror of the witch" 😅😅😅😅
@tomexman1345
@tomexman1345 4 жыл бұрын
Respect👏
@aboueid893
@aboueid893 4 жыл бұрын
Mwamba ni muongo sana 😂
@eastafricabuzzfeed
@eastafricabuzzfeed 4 жыл бұрын
I love this guys 😂😂😂
@ghaamidabdulbasat3747
@ghaamidabdulbasat3747 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 kuwa uyaone😂😂😂🙌🏼. Meneno kumi una hatari sana
@mataamiry6720
@mataamiry6720 4 жыл бұрын
Hawa ndo vipaji sio hao wakina jot
@drdaonstyne3166
@drdaonstyne3166 3 жыл бұрын
Hakuna kazi isiokua na changa moto ata wachezaji wa filamu za ngono wao upitia changa moto hivyo maisha nikujaribu
@hastatz
@hastatz 4 жыл бұрын
mambo ya kazi
@tynoblack5996
@tynoblack5996 4 жыл бұрын
😂😂😂😂niko field
@sixbatan
@sixbatan 4 жыл бұрын
UYO NDIO MBOYOYO 🤣🤣💋💖 GONGA LIKE TWENDE SAWA
@michaelmagash1832
@michaelmagash1832 4 жыл бұрын
Kazi nzuri
@simonnembomadola7512
@simonnembomadola7512 3 жыл бұрын
Hii combination ilikuwa Bora Sana.
@Tekashiixine-xz2wt
@Tekashiixine-xz2wt 4 жыл бұрын
Mirror of the witch 😹😹
@joelmanala5053
@joelmanala5053 4 жыл бұрын
😂😂 kampuni kubwa hiyo
@reganlekey4203
@reganlekey4203 4 жыл бұрын
Tishaa
@mdigotozy273
@mdigotozy273 3 жыл бұрын
Maneno kumi bro unajua sna bro unajua nilikuwa nimeboleka hapa lakn umenifanya niwe na uchesh gafla
@affaanothmaan6287
@affaanothmaan6287 4 жыл бұрын
"Kiatu kimeisha upande mmoja mpaka nakua mlemavu"😂😂😂😂
@najmaawadh1359
@najmaawadh1359 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😅😅😅😅
@najmaawadh1359
@najmaawadh1359 2 жыл бұрын
Ameanza kulaumu mjomba
@maxmatic3331
@maxmatic3331 4 жыл бұрын
Super🔥🔥💯⚡💫
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 4 жыл бұрын
😂😂😂😂 Jalibu kalbia na bungu Rufijii😂😂😂
@stansilauseliasi7883
@stansilauseliasi7883 4 жыл бұрын
Nyie ni noma sana
@halimaabdi1721
@halimaabdi1721 4 жыл бұрын
Jamani kampuni ya Mirror of the witch?🤣🤣🤣🤣🤣 si movie hyo jmn😂😂😂😂
@ivankomba3795
@ivankomba3795 4 жыл бұрын
Mshenz sana uyu
@emiliusfrance8286
@emiliusfrance8286 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 katuingiza chaka
@lucymassawe3735
@lucymassawe3735 3 жыл бұрын
off blifing😹😹🤣🤣🤣🙌🏽🙌🏽🙌🏽tea bag fleshen😂😂uwiiiii
@omaar5693
@omaar5693 4 жыл бұрын
3:24 doh magonjwa menguline musiyataje
@anomwillama8416
@anomwillama8416 4 жыл бұрын
Hahahah dadeki
@alenabelkinoni6571
@alenabelkinoni6571 4 жыл бұрын
Duu uyu jamaa cjui maneno anayatoa wap
@adamclassic8426
@adamclassic8426 4 жыл бұрын
Ahahahaha Nyie Jamaa Mnajua sana
@charlesambrose1708
@charlesambrose1708 4 жыл бұрын
Hahahahahah nipo field
@goodluckgeorge6007
@goodluckgeorge6007 4 жыл бұрын
Noma sana
@nelsonthadei5056
@nelsonthadei5056 4 жыл бұрын
wasafi mmenishika
@carloskallomo6929
@carloskallomo6929 3 жыл бұрын
Huyuu jamaa ni shidaaaaa🤣🤣🤣
@omaryteddy7237
@omaryteddy7237 3 жыл бұрын
Good good 👍
@mrstephanompaki5264
@mrstephanompaki5264 4 жыл бұрын
+10
JAMBO NA VIJAMBO : MBOYOYO ANASA KWA MATAPELI MJINI
7:55
Wasafi Media
Рет қаралды 91 М.
Schoolboy - Часть 2
00:12
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 4,5 МЛН
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 10 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 68 МЛН
Mboyoyo na Rais Trump uso kwa uso deni la 800,(JAMBO NA VIJAMBO)
10:48
Bamesi msirekere
10:37
BARASA 039
Рет қаралды 456
DOCTOR_MANENO 10 | 1 |
10:27
Maneno 10
Рет қаралды 16 М.
KIKAO NA MWENYENYUMBA
18:35
CHEKESHA TV
Рет қаралды 17 М.
LEONARDO ALIVYOWAVUNJA MBAVU WAFANYAKAZI WA CRDB!
17:39
Visit Tanzania
Рет қаралды 283 М.
NAMTAKA HUYU
10:37
Joti TV
Рет қаралды 773 М.
"Hizi hesabu mnaona nazidisha mimi nilipata F ya hisabati"
33:56
BBC News Swahili
Рет қаралды 121 М.
JAMBO NA VIJAMBO : MBOYOYO AFUNGUA OFISI YA MISIBA
18:53
Wasafi Media
Рет қаралды 114 М.
Waka Waka 💦💃😁 #funnyshorts #rianashow
0:14
RianaShow
Рет қаралды 18 МЛН
Смотреть до конца!
0:19
Привет, Я Ника!
Рет қаралды 1,3 МЛН
Waka Waka 💦💃😁 #funnyshorts #rianashow
0:14
RianaShow
Рет қаралды 18 МЛН