No video

Mbunge Ataka Serikali Iruhusu Kilimo cha Bangi | Eka Moja Milioni 120

  Рет қаралды 109,846

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

5 жыл бұрын

Mbunge wa Kahama Mjini, Jumanne Kishimba akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Kilimo ameibua hoja ya umuhimu wa kuruhusu kilimo cha Bangi nchini kwa matumizi ya dawa.
MSIKILIZE
#KutokaBungeni #CloudsDigitalUpdates

Пікірлер: 65
@ymusic1299
@ymusic1299 2 жыл бұрын
Kishimba ana hoja zakitofauti sanaa kumwelewa ni miaka mingi sanaa
@jumampunji6609
@jumampunji6609 2 жыл бұрын
Namkubali sana huyu baba
@rsoo0099
@rsoo0099 Ай бұрын
Mzee makini sana...
@sechongerashid7036
@sechongerashid7036 2 жыл бұрын
Hilo neno, uchumi wa nchi hutegemea uchumi wa mtu mmoja mmoja pendekezo ni zuri tuharakishe kuweka Sheria za kuruhusu zao hilo kwa manufaa ya nchi
@ibrahimshilinde6129
@ibrahimshilinde6129 2 жыл бұрын
Lima tuu mzee,maana unapoitumia inakupa ujasiri wa comment
@edwinmaruchu5566
@edwinmaruchu5566 2 жыл бұрын
Bangi ihalalishwe tuu jamani. Ilimradi matumizi yake yasiwe hadharani. We hautumii Mimi natumia. Kila mtu na maisha yake. Kwa nn tunafatana. Katiba ijayo hili liangaliwe.
@nabiimgongolwa8728
@nabiimgongolwa8728 Ай бұрын
MUHESHIMIWA KISHIMBA ANAJITAMBUA SANA.
@robertbutahe2835
@robertbutahe2835 3 жыл бұрын
Many thanks Mhe. Kishimba
@marconzilankoma7581
@marconzilankoma7581 2 жыл бұрын
Nakuunga mkono kabisaa
@MuyaMndiga-pq2gn
@MuyaMndiga-pq2gn 11 ай бұрын
Hawa ndo wabunge ninao wakubali sana 6:02
@richardmwandali7722
@richardmwandali7722 2 жыл бұрын
Point 👊🏿
@patrickdrader9592
@patrickdrader9592 4 жыл бұрын
Wavuta bangi 🚬👌 tujuane
@lugoratv1995
@lugoratv1995 2 жыл бұрын
Safi sanaaaa
@fuliwaog1741
@fuliwaog1741 2 жыл бұрын
Huyu mheshimiwa nmemielewa sana yuko vzr n professor kwel co kuunaunga
@francethomas8059
@francethomas8059 2 жыл бұрын
Ndio ilusiwe
@mawazoaliselemani
@mawazoaliselemani 2 жыл бұрын
Aisee kishimba una Akili sana..yaani Akili ni kubwa mnooo..watu wanacheka lakini hawajui umuhimu wa anachosema!
@user-fq2nu2fr2w
@user-fq2nu2fr2w 5 ай бұрын
Mbunge Mwenye Akili ya kuzaliwa ambae siku zote maneno yake yanamaanisha uhalisia wa maisha wala siyo hizo ngonjera za wengine hao Bungeni
@abdallahboffi1444
@abdallahboffi1444 2 жыл бұрын
Sawa
@amanimusa5744
@amanimusa5744 Жыл бұрын
Namkubali sana huyu m
@abdulmajidiibrahimu3338
@abdulmajidiibrahimu3338 2 жыл бұрын
Asant San
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 2 жыл бұрын
Ni kweli kwa macho ya nyama kishimba anaongeaga point sana lakini katika hili hapana
@edwinmaruchu5566
@edwinmaruchu5566 2 жыл бұрын
Mapana. na marefu jee?.
@gwakisamwasanjala7622
@gwakisamwasanjala7622 2 жыл бұрын
Baba uko sahihi
@sulemanramadhan6378
@sulemanramadhan6378 2 жыл бұрын
Haahahaj kweli kuliko wanavyo kataa wa wanawapa ulaji makachelo
@jossephsaimon6879
@jossephsaimon6879 5 жыл бұрын
Namunga mkono kusu bangi himekapowa sana mimwenyewe wazazi wangu wamenisomemesha nabang nagongo
@gregoryntibani6640
@gregoryntibani6640 4 жыл бұрын
Ndiyo maana unaandika hivyo
@amanafi1288
@amanafi1288 2 жыл бұрын
Me nashauri Viongozi wetu wazeni nondoo kama hizo vichwani mwenuu... Sio kuwaza kuwaendeleza Watoto wenu tu kielimu... Mwisho cku Mungu anakuja kuwalaani mitoto yenyewee inakuja kuwa "Mishoga"
@daltonmunguatosha1197
@daltonmunguatosha1197 2 жыл бұрын
Tupewe uwezeshaji hili ndo zao kulima na kutajirisha nchi faster. Kila mnyama anapenda ganja sio Kama tumbaku inapendwa na binadamu peke yake.
@jiiwolf2900
@jiiwolf2900 2 жыл бұрын
.Dah Qweli Ganja Dawa
@tanaboymbabe7935
@tanaboymbabe7935 Жыл бұрын
Iruhusiwe2
@abdallahboffi1444
@abdallahboffi1444 2 жыл бұрын
Nikweli ila selikali aitaki watanzania wawenakipato selikali inataka watanzania watokomeetusiokuendelea nahiyoye wafanyakaziwa selikali wanakula mishahara wabunge onernisanakutetea wananchi pichayamwisho mtatolewa nafaszenu kwakusema ukweli yukowapi ndugai yukowapi polepole
@omaryregga5315
@omaryregga5315 3 жыл бұрын
Ganjaaaa oyooooo
@aluwatanmaduhu8824
@aluwatanmaduhu8824 3 жыл бұрын
Kweli ina bidi ilimwe kwa wingi Na hata Mh Magufuri hataipata kodi yake vizuri bila utata mshaulin Rais jaman Tanzania kwanza tunaipenda nchi yetu sema tuko mbali na Bangi ndio Diri kokote pare.Mh Magu.. Haujaona...lita saidia pato la nchi
@CRMEDIA-yd7dp
@CRMEDIA-yd7dp 2 жыл бұрын
Bana hatutaki bangi sisi hapa
@CRMEDIA-yd7dp
@CRMEDIA-yd7dp 2 жыл бұрын
Hiyo hela ya bangi Lima ww tu
@daudlucian3850
@daudlucian3850 2 жыл бұрын
Mzee anayo bangi
@fransiscashirima6068
@fransiscashirima6068 2 жыл бұрын
Kalime wewe mwenyewe bangi kibobori weee
@suleimanissa6113
@suleimanissa6113 2 жыл бұрын
Unalivunjia heshima bunge letu
@nickalreadyknows
@nickalreadyknows Жыл бұрын
Bakia hivyo hivyo ndomana nchi umasikini hauishi
@rachelmukazayire8293
@rachelmukazayire8293 3 жыл бұрын
Tayali kwetu 🇷🇼 imeruhusia
@mawazoaliselemani
@mawazoaliselemani 2 жыл бұрын
Nchi gani?
@emmanueleliya6225
@emmanueleliya6225 2 жыл бұрын
Huyu waziri nimemkubali.. Anajua kwenda na gepu
@hindisaidi5097
@hindisaidi5097 Жыл бұрын
Mbunge wa kahama
@jacksongidion5170
@jacksongidion5170 2 жыл бұрын
7
@alexmkane2386
@alexmkane2386 2 жыл бұрын
Nikwer watapata faida kubwa serikali
@suleimanissa6113
@suleimanissa6113 2 жыл бұрын
Inalimwa kifichoficho vijana wanaharibika je wakiruhusu siwatakula?
@hamadiseleman2204
@hamadiseleman2204 2 жыл бұрын
Nomaa unajua Hadi bei kwa gunia Ila tukilima watoto wetu wataonja ,
@edwinmaruchu5566
@edwinmaruchu5566 2 жыл бұрын
Koma.zuia watoto wako kazi iendelee.
@suleimanissa6113
@suleimanissa6113 2 жыл бұрын
Kale wewe bangiii
@suleimanissa6113
@suleimanissa6113 2 жыл бұрын
Unakwenda kusimamama bungeni kusema mambo ya bangi?
@maulidimsingwa3263
@maulidimsingwa3263 Жыл бұрын
sa siafadhali irihusiwe tu,kwani sasa hivi siinatumika mitaani,sa kwanini isiruhusiwe watu tukapata pesa .
@medystarter
@medystarter 5 жыл бұрын
😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@jumamnyambwa3490
@jumamnyambwa3490 3 жыл бұрын
K
@BLF-ei3td
@BLF-ei3td Жыл бұрын
Bangi ni dawa ikienda kibandani
@pascarmwatosya6815
@pascarmwatosya6815 2 жыл бұрын
Kama ina manufaa kwa taifa iluhusiwe kulimwa kama zao la biashara Ila isiluhusiwe kuvutwaa
@edwinmaruchu5566
@edwinmaruchu5566 2 жыл бұрын
Kwa Nini mtupangie maisha yetu.Alieamua zao hilo liwepo duniani.ana akili kuliko ninyi. Kinachofanyika kuzuia na kufunga watu ni uhuni tuu. thanks
@edisonkashaija4067
@edisonkashaija4067 2 жыл бұрын
Upo sahihi mheshimiwa Kishimba
@adilhabib8988
@adilhabib8988 2 жыл бұрын
Sasa mnataka fanya tulewe lewe
@edwinmaruchu5566
@edwinmaruchu5566 2 жыл бұрын
Ukipenda hivyo. Maisha ni kuchagua..Ila marufuku ya bangi haikubaliki ng'oo.
@livinuscharles7023
@livinuscharles7023 5 жыл бұрын
Hahahahahah
@omaryregga5315
@omaryregga5315 3 жыл бұрын
Wanachukua misaada hela ni za ganja
@mlimawamajibutv
@mlimawamajibutv 5 жыл бұрын
MUNGU SIJUI KWANINI ANAWAPA UBUNGE WATU KAMA HAWA WASIOTUSAIDIA WANYONGE TUNAWATAKA KINA @HUSEIN MOHAMMAD BASHE MBONA HAMMPOSTI MNATURETEA UPUUZI KISA PESA TUIUZE NCHI YETU? HAKIKA NAAMINI CCM SIO WAJINGA WARUHUSU HII
@weedoization
@weedoization 5 жыл бұрын
Inabidi ufanye utafiti kabla ya kuongea, bangi imetumika kama dawa ya maumivu wakat wa mababu zetu za evidence zipo. Maendeleo ni kufikiria mbele sio kubaki na mawazo mgando
@deogrtiasmassawe2646
@deogrtiasmassawe2646 5 жыл бұрын
Bang ikialalishwa itakuwa inaingizia serkl hela nyingi sana napenda bangi
Mbunge aishauri serikali kuanzisha chuo cha wizi
5:41
Azam TV
Рет қаралды 154 М.
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 25 МЛН
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,8 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 195 МЛН
HUYU Ndiye MBUNGE Darasa La 7 Anaetema MADINI Kama Ana PHD
9:59
Global TV Online
Рет қаралды 259 М.
SUGU: "Please Don't Shut Me! Tubishane kwa Hoja na Siyo Bunduki"
11:24
Global TV Online
Рет қаралды 466 М.
Mbunge wa Kahama Mjini "Kishimba" Alilia Zao la Bangi
3:20
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 39 М.
Walimu waliokuwa na sifa za utoro wawafundishe wanafunzi watoro
10:16
Daily News Digital
Рет қаралды 82 М.