No video

Mbunge Musukuma Noma aliamsha bungeni atoa pochi yake mfukoni "Hamna hata buku humu"

  Рет қаралды 160,939

EastAfricaTV

EastAfricaTV

2 жыл бұрын

Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

Пікірлер: 88
@raphaelmwamakimbula9642
@raphaelmwamakimbula9642 Жыл бұрын
Huyu Jamaa asilimia kubwa ya haja zake zinalenga haswa kumsaidia mtu wa chin kabisa Tena habagui.Hongera sana kwake👏
@erodeshayo123
@erodeshayo123 Жыл бұрын
Unanidham sana msukuma Mungu akusimamie na ukafike mbali zaid Nimekupenda gafla msukuma
@edimundrevelian1246
@edimundrevelian1246 2 жыл бұрын
Shikamoo Dr. Msukuma 💫
@patientlazaro6930
@patientlazaro6930 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Dr. Msukuma kichwa sana aseeeee mheshimiwa umanifurahisha.ahahaha. umeonge point nyingi sana japo mwisho umenichekesha ila kwa point akili nyingi
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 2 жыл бұрын
Safiiiiiiiii Daktari Msukuma wewe mwenye udaktari usione wivu endelea kujiamini wewe ni Daktari tu Msukuma Daktari Mbunge hakuzuii wewe mwenye kuitwa daktari wa aina uliyonayo kuitwa daktari tupige kazi kinachomata taaluma yako ilete maendeleo na mafanikio usifurahie kuitwa daktari tuwe km wabeligiji
@robbymoy1702
@robbymoy1702 3 ай бұрын
Nlitamani msukuma angekua ndo m bunge wetu arusha magharibi.tungekua mbali sana.namuona noah lembris yuko bze kusoma vitabu bungeni kuliko kitoka hoja na kero za wananch wa Ar Magharib..😮😮
@focuserick6162
@focuserick6162 2 жыл бұрын
Dah msukuma ni mtu mwenye uezo mkubwa wa kujirleza na kudadavua na anapendaza kuendelea kumsikiliza muda wote,yan ana uezo wakujenga hoja na kui i defend vizur sana sana!!
@user-ti8fn1wn1w
@user-ti8fn1wn1w 4 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤chadema naipenda msukuma nakupa kura ila kumsifia samia niunafik
@joowzeyboyjoowzee4474
@joowzeyboyjoowzee4474 Жыл бұрын
Hongera Sana msukuma
@anosiata8242
@anosiata8242 2 жыл бұрын
Msukuma nakuaminia Uko vizuri
@phiniasmugini9037
@phiniasmugini9037 2 жыл бұрын
Mtaka katika viongoz wote wa mikoa Tanzania Hana mpinzani kwani Mungu anamsimamia mno katika kufanya kaz yake akizingatia utu na kujua kuwa hao anaofanyia NAO wanafamilia....na watu wanaomtegemea....Mungu akutangulie mtumishi
@chikubundala2305
@chikubundala2305 Жыл бұрын
Msukuma Mungu akulinde
@thetwen2167
@thetwen2167 2 жыл бұрын
Hahahaha msukuma nakukubali sanaa
@AffectionateMarineShark-sv4tj
@AffectionateMarineShark-sv4tj 2 ай бұрын
This man is genius in nature
@mollelstephano1364
@mollelstephano1364 Жыл бұрын
Msukuma upo vizuri sana
@eliassirocha3988
@eliassirocha3988 2 жыл бұрын
Mh msukuma pongeziii kwako kiongoziii mahiliii sana
@paulmkhoi8144
@paulmkhoi8144 2 жыл бұрын
Hata mimi nimesoma lkn nashangaa kuona mbuge msomi anavyomchelewesha Mh Msukuma kushusha nondo zenye maslahi mapana ya nchi kwa taarifa ya kipuuzi.
@kiluwaselemani4246
@kiluwaselemani4246 2 жыл бұрын
Hongela mh Msukukuma ww una faa sana unasema kweli kabosa
@eliaswambura861
@eliaswambura861 2 жыл бұрын
Mheshimiwa uko sawa, mawazo hayo nilazima tupate mavuno yake 🤝🤝🤝🤝
@mgongolwajoseph6901
@mgongolwajoseph6901 2 жыл бұрын
Huyuu jamaaa Yuko vyemaa Sana msukuma
@enologamapaloga8778
@enologamapaloga8778 2 жыл бұрын
Logaloga, hongera sana King hailiwi uko sawa
@user-ib6ik3wt2c
@user-ib6ik3wt2c 2 ай бұрын
Hongera yako msukum
@user-kr7wf1yg1c
@user-kr7wf1yg1c 6 ай бұрын
Hongera sana mh musukuma
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 2 жыл бұрын
Antony Mtaka oyeeeeeeeee wakondya brother upo juu km piereee
@tumaintarra9960
@tumaintarra9960 2 жыл бұрын
Msukuma up vzur
@user-ze4vz9vr9f
@user-ze4vz9vr9f 5 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤ ukovizur
@emanuelsamson-hq2jv
@emanuelsamson-hq2jv Жыл бұрын
Ukosawa nduguyetuu musukumaa 😅😅
@alphoncekagezi4950
@alphoncekagezi4950 2 жыл бұрын
Nida nitatizo ! Habari ya kuendelea kubaki namba hakutusaidie kwa 100% .Vitambulisho vyetu vitolewe halisia .ex nilijiandikisha ktk usajili ktk zoezi la awali lakini sijapata kitambukisho naishia kutumia namba za nida na wàkati mwingine makosa huduma kikamilifu kwa kutokuwa na kitambulisho halisi cha Taifa sio namba ya nida tu!
@hawahawa6132
@hawahawa6132 Жыл бұрын
Kbs
@boniventuresonda
@boniventuresonda 2 жыл бұрын
Spika wivu🤣🤣🤣#kataa wahuni🇹🇿🇲🇼
@anthonysulula766
@anthonysulula766 2 жыл бұрын
Msukuma,wewe ni Dr.
@saimonsaid7385
@saimonsaid7385 2 жыл бұрын
Daah huyu msukuma jamn daaah
@maulidjulius
@maulidjulius 2 ай бұрын
Wewe ni kiongozi zaidi ya viongozi
@BarakerZeonlist
@BarakerZeonlist 2 жыл бұрын
so smart
@sharifally3481
@sharifally3481 2 жыл бұрын
Huuyu jamaa ninoma kwelii
@focuserick6162
@focuserick6162 2 жыл бұрын
Mbunge wa segerea bona karua anaenda kuuza sura tu jimboni ,hebu mskilize msukuma yan analeta raha kurndelea kusikiliza .
@kauyegeorge3335
@kauyegeorge3335 2 жыл бұрын
Yan huyu jamaa anafaa kuw wazir
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 2 жыл бұрын
Safiiiiiiiii skulimet
@adelphinusbikonya8534
@adelphinusbikonya8534 2 жыл бұрын
Yaani mbunge akijalibu tu kuongelea mambo ya muhimu taarifa za kumharibia mudi zinaanza nyamb .......HONGERA MUSUKUMA
@otianasanga9106
@otianasanga9106 2 жыл бұрын
Zipo mpesa
@lekumolukumay6832
@lekumolukumay6832 2 жыл бұрын
Msukuma unaeleweka sana
@alphoncekagezi4950
@alphoncekagezi4950 2 жыл бұрын
Huko nikutucheka wenzio mzee mwenzangu!
@doktamathew
@doktamathew 2 жыл бұрын
hahahahahahahahahahahaahahahahahahahahaah
@robertphilip385
@robertphilip385 2 жыл бұрын
Msukuma chakutudanganya hela umezificha kwenye soks
@mathiasvicent9955
@mathiasvicent9955 2 жыл бұрын
Akili mingi mingi
@maluhismadila9593
@maluhismadila9593 Жыл бұрын
Msukuma nimeikubali hiyo
@phiniasmugini9037
@phiniasmugini9037 2 жыл бұрын
Msukuma Unaongea ukweli mno.
@aleluyathobias9847
@aleluyathobias9847 2 жыл бұрын
Hi
@user-ze4vz9vr9f
@user-ze4vz9vr9f 5 ай бұрын
😂😂😂
@mariethaodilo-mp3hi
@mariethaodilo-mp3hi Жыл бұрын
Msukuma nakubal sana waambie
@monicawasuha8650
@monicawasuha8650 Жыл бұрын
Uwamz wa Tanapa mbarali
@shharifamirandou211
@shharifamirandou211 Жыл бұрын
Yaah
@jamessimba749
@jamessimba749 2 жыл бұрын
Hutu jamaa kwenye NIDA hapo angekazia
@zabronjmanyama4274
@zabronjmanyama4274 2 жыл бұрын
Mifano ipo Poa Sana doctor
@zuberimkuba2324
@zuberimkuba2324 Жыл бұрын
Msukuma nakukubar saana ubunge wako unaufanyia kaz ipasavyo
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 2 жыл бұрын
Mpina uko sahihi wapumbavu wakubwa hawajui
@deogratiusjoseph1758
@deogratiusjoseph1758 2 жыл бұрын
Saf sana
@davidjohn8276
@davidjohn8276 Жыл бұрын
Umemaliza kwa mkwara mzito
@abrahamkibona7038
@abrahamkibona7038 2 жыл бұрын
Msukuma hapo kwenye bwawa sijakuelewa au umepiga hela
@user-dx7hb3de9e
@user-dx7hb3de9e 11 ай бұрын
Dah natamni nifike hapo
@mrsjerome9981
@mrsjerome9981 Жыл бұрын
✋✋
@jeshilamtu863
@jeshilamtu863 2 жыл бұрын
R I P JPM 😭😭😭🇹🇿🙏
@UfunuoMsuva-yh2et
@UfunuoMsuva-yh2et Жыл бұрын
Msukuma yupo mzuli
@patrick-qm7xo
@patrick-qm7xo 2 жыл бұрын
Vizuli Sana Msukuma una tafuta cheo kwa mama
@nyambegamatoro6817
@nyambegamatoro6817 2 жыл бұрын
Mh mbunge, siku hizi unaupiga mwingi mno. Habari za maendeleo ya bwawa la JNHP na sgr hayaridhishi .
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 2 жыл бұрын
Hicho kitambulisho kimebakia kwaajili ya kubadili kadi ya benk tu hakuna lolote ufala tu Kenya na Uganda wanatumia Kama passport lakini hapo kwenu hajui nn maana ya kitambulisho Cha taifa mama mwenyew anahangaika kujipendekeza na mataifa ya ulaya ninge muona mjanja Kama kitambulusho kitakuwa Kama passport Kenya Uganda wakifika boda wanatoa kitambulisho Cha taifa tu mchezo umeisha
@hizamwaimu3918
@hizamwaimu3918 2 жыл бұрын
😳😳😳😳😳😳
@omansinaw7538
@omansinaw7538 2 жыл бұрын
Ninakuerewa kabisa msukuma
@edwardmalila5230
@edwardmalila5230 2 жыл бұрын
MSukuma unaongea vizr ila usipindixhe pointi ila wanaohusika ni wote yaan serikali na mkuu wa nchi, unajua utendaji ukiwa mbovu anayelaumiwa sio wazr ila ni rais
@timboxlee919
@timboxlee919 Жыл бұрын
Hili li king ni bonge la zuzu,lina watetea wanzibari wakati kwake hakuna lami,Rip JPM
@SamsungGalaxy-kx2zj
@SamsungGalaxy-kx2zj 2 жыл бұрын
Dada huna akili yy kasema ukweli kunanchi gani yenye vitambulisho Mia
@mrsjerome9981
@mrsjerome9981 Жыл бұрын
Ukovinzr kaka
@ahz6907
@ahz6907 2 жыл бұрын
Samia mitano tena 2025
@enologamapaloga8778
@enologamapaloga8778 2 жыл бұрын
Mh logaloga nakuamini King King MSUKUMAAAAAAAAAAAA
@saderaodupoi4333
@saderaodupoi4333 2 жыл бұрын
Huduma number card loading in Tanzania.
@sambulugu9988
@sambulugu9988 2 жыл бұрын
Wewe Msukuma mjinga tu! Wewe mvuvi haramu!
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@user-ti8fn1wn1w
@user-ti8fn1wn1w 4 ай бұрын
Bogas wewe
@omansinaw7538
@omansinaw7538 2 жыл бұрын
Musukuma umpewe urizi pesa warudishiwe pesa zao
@kingkendrickk
@kingkendrickk 2 жыл бұрын
Bunge la mazwazwa
@paulinanzunda
@paulinanzunda 3 ай бұрын
Karibulupachunyamsukumajimbolalupatunambungehewa
@godfreybikukana2079
@godfreybikukana2079 2 жыл бұрын
Upewa Rushes ndio maana unajipendekeza
@kikongajoel5172
@kikongajoel5172 2 жыл бұрын
Msukuma?????????????
@saidybhokey5744
@saidybhokey5744 2 жыл бұрын
nikweli msukuma
@puyaka1849
@puyaka1849 2 жыл бұрын
Msukuma kwenye issue ya bwawa la Nyerere unaleta uchawa! Unaongea upuuzi wewe
@rashidngwawile9062
@rashidngwawile9062 2 жыл бұрын
Kumbe nawe umeona. Kushukuru kwa kurijuwa hilo
@jonhjoseph
@jonhjoseph Жыл бұрын
Hong era kasheku
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 2 жыл бұрын
Hao tatizo linalowasumbua wanafikiri wakifanya kinyuma na alivyofanya jpm eti wanamkomoa kwa sababu walikuwa hawampendi kwa kuwa alikuwa anawafavour Wat wenye kipato cha chini. Wao Sasa Sera yao ata Kama hujaenda shule utagundua ni kuwafavour watu wenye kipato cha juu matajiri na kuwakandamiza watu wenye vipato vidogo ndo mkakati wao. Yaani wanapambana na mtu aliyekufa sijui ni uongoz wa namna gani. Yaani unawaongezea Kodi watu wenye kipato kidogo halafu unajinadi unataka kukuza uchumi. Halafu mnaogopa kusema kweli mnazunguka
MUSUKUMA -  "TUKIWAITA VILAZA MNATUZOMEA, HECHE UNAKIMBIA UNAENDA WAPI"
12:11
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 7 МЛН
Это реально работает?!
00:33
БРУНО
Рет қаралды 3,3 МЛН
Pleased the disabled person! #shorts
00:43
Dimon Markov
Рет қаралды 32 МЛН
ON AIR: Mshahara wa kwanza wa Waziri January Makamba mwaka 94
26:39
TAZAMA SHOW YA ELIUD MBEYA, (PART 2)
13:55
Eliud Samwel
Рет қаралды 108 М.
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 7 МЛН