Mbuzi jike anaanza kupandwa akiwa na umri gani?

  Рет қаралды 7,446

ShambaniFarm

ShambaniFarm

3 жыл бұрын

Jike wa mbuzi Boer hukua kwa kasi na kufikia mda wa kupandwa akiwa na miezi 8 tu.

Пікірлер: 20
@princebuganzilut2047
@princebuganzilut2047 3 жыл бұрын
Very nice knowlegde. And big up Shambani farm on exppossing this so as we may learn from you. Sharing is knowing🙏🙏
@ShambaniFarm
@ShambaniFarm 3 жыл бұрын
Thanks Kaka. We are in this journey of learning together!
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Hongera sana kazi nzuri kaka nitakutafuta nikiwa tayari.
@ShambaniFarm
@ShambaniFarm Жыл бұрын
Asante. Karibu sana.
@happygresha3115
@happygresha3115 3 жыл бұрын
Hongera broo... Uko nao ng'adu kwa ng'adu!
@ShambaniFarm
@ShambaniFarm 3 жыл бұрын
Oh yes. Lazima niende nao hatua kwa hatua ili kujifunza first hand experience. Hivi ndivyo wenzetu kwenye nchi zinazoendelea wanapata ujuzi na kufanya vitu vya ajabu kimaendeleo. Asante sana! kaka.
@barakamwinami4762
@barakamwinami4762 3 жыл бұрын
For sure since then I found you shambani farm...am so much interested to have such kind of Goats, we therefore wait till when you are ready to sell your products
@ShambaniFarm
@ShambaniFarm 3 жыл бұрын
Thanks Baraka. Will let you know once we start!
@mohammedalbusaidi4580
@mohammedalbusaidi4580 3 жыл бұрын
Asante Good experiment
@ShambaniFarm
@ShambaniFarm 3 жыл бұрын
Asante. Still anxious about it though. It the experiment fails that's a loss of good 5 months of allowing my doe to grow well and give birth correctly at 17 months. But I think for education and knowledge sake it's worth the try.
@jsmfarms71263
@jsmfarms71263 Жыл бұрын
Habari, naitaji dume la boer nitapataje
@barakamwinami4762
@barakamwinami4762 3 жыл бұрын
Kaka naweza vipi kupata mbegu ya hawo mbuzi kwani nahitaji dume mmoja na jike mmoja....
@tumaininnko8091
@tumaininnko8091 Жыл бұрын
Hawa mbuzi wanapatikana wapi apa Tanzania kaka au unao
@tumaininnko8091
@tumaininnko8091 Жыл бұрын
Naomba no yako
@ShambaniFarm
@ShambaniFarm Жыл бұрын
Ndiyo ninao. Namba iko kwenye about us page. Nitumie ujumbe WhatsApp kwanza.
@bijabijampola9511
@bijabijampola9511 Жыл бұрын
Awa mbuz wanapatikan wp
@princebuganzilut2047
@princebuganzilut2047 3 жыл бұрын
Getation period imenichenga kidogo Doto ni miezi mitano huyo mmoja ni zaidi atapandwa na mwaka na mwezi ila atazaa mwezi wa 17. Lets revise hapo abit plse.
@ShambaniFarm
@ShambaniFarm 3 жыл бұрын
Ni hivi, kwamba IB Dotto amepandwa akiwa na miezi 8 kwahiyo mpaka azae atakuwa na miezi 13 (8+5). Lakini IB Kulwa yeye hatutamruhusu apandwe sasahivi, so akipandwa akiwa na mwaka (miezi 12) atazaa akiwa na miezi 17 (12+5). Gestation period ni miezi 5.
@hiyariomari6171
@hiyariomari6171 2 жыл бұрын
Habari nikitaka bulk Boer nitapata
@ShambaniFarm
@ShambaniFarm 2 жыл бұрын
Kwa sasa bado hatujaanza kuuza.
Mabadiliko ya mwili wa mbuzi akikaribia kuzaa
10:47
ShambaniFarm
Рет қаралды 2,9 М.
How to give a Subcutaneous Injection (Sub Q) properly
13:19
ShambaniFarm
Рет қаралды 4 М.
Luck Decides My Future Again 🍀🍀🍀 #katebrush #shorts
00:19
Kate Brush
Рет қаралды 8 МЛН
3M❤️ #thankyou #shorts
00:16
ウエスP -Mr Uekusa- Wes-P
Рет қаралды 9 МЛН
Anemic Boer Goat - Part 2
7:40
ShambaniFarm
Рет қаралды 1,6 М.
Sababu 10 kwanini ufuge mbuzi
15:11
ShambaniFarm
Рет қаралды 14 М.
lên con hậu bị ace nào cần LH 0964643645
2:15
Dê giống Bến Tre BìnhLê
Рет қаралды 990
Updates | Boer kids born in Jan 2021
9:48
ShambaniFarm
Рет қаралды 2 М.
Mbuzi Boer anayeitwa Rafiki akiwa na mimba ya miezi miwili
2:03
ShambaniFarm
Рет қаралды 1,2 М.
Introducing our Kalahari Red Beauty
8:13
ShambaniFarm
Рет қаралды 2,5 М.
When to start breeding a female Boer goat?
7:27
ShambaniFarm
Рет қаралды 24 М.
#TBC1 - SHAMBANI : JIFUNZE UFUGAJI WA MBUZI
27:01
TBConline
Рет қаралды 43 М.
кот на подоконнике #shorts #животные #котики #shortsvideo
0:37
Тайные Истории
Рет қаралды 11 МЛН
Щенок Нашёл Маму 🥹❤️
0:31
ДоброShorts
Рет қаралды 7 МЛН
Он сладок, как поцелуй Горгоны…
0:58
Havran Show
Рет қаралды 1,6 МЛН
Monkey 🐒 with naag #shortsfeed #kingcobra
0:15
Fiaz Jogi
Рет қаралды 8 МЛН