Mchambuzi wangu Bora wa muda wote huwa namaliza bando kwa kusikiliza uchambuzi wake God bless you brother
@MbwadukeStats9 күн бұрын
Aamyin!
@user-cz7lp1le4e9 күн бұрын
Big up mbwaduke pamoja sana
@AbelJoseph-ef8bf4 күн бұрын
Baba unajua sana nakupenda unajua sana
@setheliazery81689 күн бұрын
Kweli umekuwa mwalim mzuri wa ball na enjoy sana kwa statistics unazotoa , thanks
@farajmanuar35899 күн бұрын
Uchambuz mzur sana mwl wa mpira..
@nicholausrutayuga44587 күн бұрын
Asante Mbwaduke
@user-rg7tx2cc1l8 күн бұрын
Anayejua anajua 🎉🎉🎉🎉
@Mariampaul-me7qo6 күн бұрын
We mchambuzi wangu boraa kwasasa❤
@AbdumajidAjnan5 күн бұрын
Nakukubari sana we baba
@MbwadukeStats5 күн бұрын
Kwa taarifa rasmi ziIilizotolewa na Kamwe ni kwamba bado yupo kikosini Yanga.
@ramadhanimteluye92339 күн бұрын
Thanks alot mwamba, tupatie uchambuzi wa FADLU DAVIDS tafadhali
@adv.benedictpius9 күн бұрын
Umbile mnara🔥🔥🔥🔥🔥
@zakayomgaya27589 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤💪💪💪💪💪💪💪
@WilliamFilipatali9 күн бұрын
Unajua sana
@frankmwinuka62989 күн бұрын
Magoli ya mangungu na wenzake hayo
@sharifusaidi4619 күн бұрын
Kipaji kikubwa sana
@AllyAlly-g2o9 күн бұрын
Kwel nakubal jaman huy mwamba huna mpinzan kwa style ya uchambuz wako
@peterzephania-n7z9 күн бұрын
Nakukubali sana kwa uchambuzi wa bori
@allyhuyu18925 күн бұрын
Kwani kuna anateseka kutokana na ubora wa mnyama kwenye rankings za caf
@videozaaj10698 күн бұрын
Faza,kwa niaba ya mashabiki wako naomba uweke na ule uwanja wa kudisplay pitch na mchezo tuone uchambuzi kwa position kabisa,ukiwa unafanya uchambuzi.ASANTE
@revocatusmalimi45256 күн бұрын
Naomba nitofautiane kidogo na mchambuzi wetu huhusu sifa ya urefu japo namwamini na kumpenda sana.Tumewahi kuwa na mlinzi George Magele Masatu alikuwa mfupi lakini alikiwasha kwa hatari.Kikubwa ni uwezo wa mchezaji
@MbwadukeStats6 күн бұрын
Sahihi sana Bro. Hata pale Yanga msimu wa 2022/23 Job ndiye alikuwa kinara wa kucheza mipira ya juu ingawa si mrefu wa kufikia futi 6+. Lakini mabeki wa vimo virefu wanakuwa na faida zaidi kwa mipira ya juu na pia vipaji special vya mabeki aina ya Masatu na Job si vingi.
@user-kn1yw2oq3o9 күн бұрын
Simba nguvu moyaaaa
@LababaZircoijoxboy-hm2ud9 күн бұрын
Mwambaa,,,, mtu wa mahana kbs
@user-rz6bc6nf5z9 күн бұрын
Baba mwaduke ww nimwalimu wa wachambuzi wote tz,
@Leeeeeeee-969 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@TumainiSalufu-v4i9 күн бұрын
Ilibidi uwe professor
@MbwadukeStats9 күн бұрын
Ha ha ha haaa. Tutamfikishia ujumbe wake Mzee wa Data.
@josephatisidori30609 күн бұрын
Huyu mwamba ni mrithi wa Kashasha hazina ya taifa💪
@rahimsiraju98809 күн бұрын
Simba nguvu mojaaaa
@robertphilip3859 күн бұрын
Simba ni zamani nafasi ya tatu iko palepale tabulele raaaa