Kwenye ulimwengu wa Social media wachekeshaji msiwe wavivu kutafuta new materials kwasababu the moment ukishasema kwenye audience Moja ujue umesema kwa audience ya mtandaoni pia. Kwahiyo ukija kirudia hayo material sehemu nyingine yatkuwa ni marudio n utahisi watu hawacheki kumbe wanaona ni marudio. Pambaneni na tumieni muda kutafuta new materials.