MCH.DANIEL MGOGO-MALAYA WENGI WANATANI KUOLEWA/KUOA WALIOTULIA

  Рет қаралды 48,652

Uhai Online Tv

Uhai Online Tv

3 жыл бұрын

#Uhaimedia
CONTACT UHAI MEDIA +255 755 450 225
+255 752 348 789
MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU
• MCH:DANIEL MGOGO-ANZA ...
HABARI
• RPC TABORA:HUTAUONA MW...
FIKIRI TOFAUTI
• MWL:DEUS KANUNU-BIASHARA
MAKALA FIKRA TUNDUIZI
• DENIS MPAGAZE-UKISUBIR...
SHUHUDA
• EXCLUSIVE NA MKE WA MA...
FAHAMU ZAIDI YA JANA
• FAHAMU ZAIDI YA JANA: ...
SIMULIZI ZA VITABU
• MWANAMKE ALIYEPATA MAT...
BIBLIA YANGU
• BIBLIA YANGU-HAPO MWANZO
NYIMBO ZA INJILI
• PAULCLEMENT -MUNGU AWE...

Пікірлер: 39
@sifaleandre
@sifaleandre 2 ай бұрын
naomba jibu baba mchungaji
@mlagz8032
@mlagz8032 Ай бұрын
Asante sana mchungaji
@innochris6377
@innochris6377 2 жыл бұрын
God blessed u pastor
@sifaleandre
@sifaleandre 2 ай бұрын
jambo Mchungaji
@noelaamos4689
@noelaamos4689 3 жыл бұрын
Mgogo hajakosea mahali Na mm namuunga mkono. Na kngne ukiona mtu anasema sema neno halijui ,, hahahahah tunasoma. Biblia sawa Ila vp nan mwalmu wetu?!, Na kngne ukiona lmekuchoma n la kwako Na badirika,, Amen barkiwa sana
@georgem.tune.7145
@georgem.tune.7145 3 жыл бұрын
Dhambi ni mbaya ,inaua . Yeshuah Messiah Niokoe.
@parsilaa50
@parsilaa50 3 жыл бұрын
Ooh mungu atusadie
@marybaranga7218
@marybaranga7218 3 жыл бұрын
Hapo sawa baba mchungaji shidano inachoma sana
@valenakomba4453
@valenakomba4453 3 жыл бұрын
Haya siyo mahubiri, ni matusi.
@fortunathabarabara8471
@fortunathabarabara8471 3 жыл бұрын
Wow watu kimya aiseeee unagusa kunako
@jamespius8386
@jamespius8386 3 жыл бұрын
Dadaaaaaaa
@costanciakavindi8986
@costanciakavindi8986 3 жыл бұрын
Mchungaji umesema kweli!! Ni shida, mfano: kuna ofisi moja ya serikali tunafata huduma kila Siku, nahisi wale ambao wanatusaidia pale ni hao watoto unaosema, maana ukiwapa document waifanyie kazi unasubiri hata Masaa mawili wanachati na simu tu na huku akiwaangalia mnasubiria, wakati mwingine wanatuacha hapo wanaenda kuangalia bahari maana iko jirani, basi tunabaki kiwasubiri! Na hapo tunakuwa tumeleta document kuomba watupe invoice tuilipe serikali!! Yaani ni shida, unaomba uwalipe lakini unabembeleza kuwalipa! Na wana miili ya dadaaaaaaah!! Mabonge
@veronicadaniel1122
@veronicadaniel1122 3 жыл бұрын
Napenda mahubiri yako nasauti ya mamlaka
@annamushiaminaaa4367
@annamushiaminaaa4367 3 жыл бұрын
Tiisha bbaaa ameen
@dativarichard1987
@dativarichard1987 3 жыл бұрын
Sema baba tupone
@mamarohosafi2046
@mamarohosafi2046 3 жыл бұрын
Ameeeeeeeeereeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen..
@BARAKACHILOLETI
@BARAKACHILOLETI 4 ай бұрын
ukweli mtupu😂
@valenakomba4453
@valenakomba4453 3 жыл бұрын
Mungu a nasema usihukumu watu wake.
@AliciaJonas-gu8ho
@AliciaJonas-gu8ho Ай бұрын
Pastor hajahukum , anasema ukweli ili wanadam wabadilike!!!
@batulimohamed6088
@batulimohamed6088 3 жыл бұрын
Ameen
@elizabethchales2663
@elizabethchales2663 3 жыл бұрын
Sema 2pone baba
@mangeradancun7146
@mangeradancun7146 3 жыл бұрын
Kweli
@fadhilimwasumle124
@fadhilimwasumle124 3 жыл бұрын
Kwann mchungaji akiongea ukwel tunasema matusi
@sifaleandre
@sifaleandre 2 ай бұрын
nataka niuliziye baba mchungazi. unaweza fanyaji kama unakutanisha mtu mme zaa naye alikutowa kafara pamoja na faliya yako yote. yaani hukoo wako?
@polebugalama9179
@polebugalama9179 3 жыл бұрын
Bila kuijua dhambi huwez ukamwamini yesu
@hasanipoy3976
@hasanipoy3976 3 жыл бұрын
Naona iyi naubuhiri hinakungusa wewe sasa unajuwa dawa wewe acha tu
@yohanamungas8508
@yohanamungas8508 3 жыл бұрын
Ameen
@hasanipoy3976
@hasanipoy3976 3 жыл бұрын
Nikweli mchungaji hunaogea ukweli wewe ni kiboko wa watu namimi nakukubali sana ndomana nakufatilia
@polebugalama9179
@polebugalama9179 3 жыл бұрын
Mahubiri yako no ya kujiinua kwanini watu uwaite Malaya? Kwani wewe in nani? Hata yesu hakuwaita watu malaya
@zakayochankicha7400
@zakayochankicha7400 3 жыл бұрын
Kuna wakati ukweli unauma unaweza sema Yesu hakuwaita malaya,lakini kuna mahali alifika hatua akawaita watu mbweha,fikiri Paulo aliwaita watu wamelogwa hapo vipi usipokuwa na roho mtakatifu huwezi elewa nini anasema
@mwachitisaid8745
@mwachitisaid8745 3 жыл бұрын
Bugalama soma Biblia vizuri, kuna mahali paulo anawaita watu WAPumbavu nikinukuu..enyi wagalatia wapumbavu nani aliwaroga....kama wewe unafanya kisicho stahili tubu, acha kujifariji huku ukijiambia kua kuna Neema.
@stephensengo6877
@stephensengo6877 2 жыл бұрын
Tatizo watu wengine tukiguswa na neno la Mungu huwa hatukubali
@AliciaJonas-gu8ho
@AliciaJonas-gu8ho Ай бұрын
​@@zakayochankicha7400ni kweli muchungaji anasema ukweli watu wabadilike
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 3 жыл бұрын
Wakumbushe kuhusu mapambo,mbona woote wamejaa mapambo,au ni sawa?
@walkerfamily5582
@walkerfamily5582 3 жыл бұрын
Dini siku hizi hutimiza yale wanaonelea ni mema na dhambi ni jina tu .siku hizi makeups,pombe au alcohol na mavazi si hoja .kanisa zinatumia wine ina alcohol lakini wachungaji wanadai si pombe.
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 3 жыл бұрын
@@walkerfamily5582 ndo ujue kuwa hizi ni siku za mwisho,watu wanafundisha mawazo yao si mafundusho kutoka katika Biblia
@joramkimario6174
@joramkimario6174 3 жыл бұрын
Mapambo co hoja. Hata kama wangekuwa uchi. Tatizo moyo
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 3 жыл бұрын
@@joramkimario6174 Kama Mungu anaangalia roho ni kwanini alituwekea mwili? Ndugu yangu soma Biblia kwa makini usisome kama gazeti,Biblia inaongea vema kuhusu mapambo,chale,kujichubua,kujichora na ibada za sanamu,pia inatuambia kuwa miili yenu ni hekalu la Mungu,kumbe kwa tafsiri yako mtu kutumia mwili wake kuzini siyo dhambi ki mwili ila ni dhambi katika roho yake? Ole wake wachungaji watawanyishao kundi la Bwana,kuwa makini
MCH.DANIEL MGOGO-HUU NI UZINZI WA VIWANGO VINGINE
30:02
Uhai Online Tv
Рет қаралды 76 М.
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 77 МЛН
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 59 МЛН
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 17 МЛН
WHO LAUGHS LAST LAUGHS BEST 😎 #comedy
00:18
HaHaWhat
Рет қаралды 23 МЛН
IJUE SANAA YA NGOMA ZA ASILI KUTOKA PEMBA-PART TWO
6:29
JIFUNZE IN ADVANCE
Рет қаралды 30 М.
KUTENGENEZA UTAJIRI WA WATU FULL VIDEO - JOEL NANAUKA
49:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 30 М.
Mch Daniel Mgogo - Madhara ya Dhambi 8th July 2018
2:10:37
Africha Entertainment
Рет қаралды 2,7 М.
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 77 МЛН