Mch Moses Magembe - KUMTENDA DHAMBI ROHO MTAKATIFU | SEMINA YA NENO LA MUNGU SIKU YA 06

  Рет қаралды 11,552

Rev Moses MagembeTv

Rev Moses MagembeTv

Жыл бұрын

Semina maalum ya neno la Mungu katika kanisa la Gospel Campaign Centre TAG Majumbasita - Ukonga, Dar es salaam chini ya Mch Moses Magembe.
Ujumbe: KUMTENDA DHAMBI ROHO MTAKATIFU.
Andiko:
Mnenaji: MCH MOSES MAGEMBE
Tarehe: 07.01.2023

Пікірлер: 31
@PartsonMangwea-kj1po
@PartsonMangwea-kj1po 11 ай бұрын
Amina
@ericapaul162
@ericapaul162 9 ай бұрын
Mchungaji magembe.mmebaki wachache mno mliosimamia kweli ya kristo. Mungu akutunze kama afanyavyo kwakweli tuna kiu ya injili ya kwel..injili inayotukumbusha kuwa kuna siku tutasimama mbele ya kiti cha hukumu.injili ambayo inachoma mioyo..injili inayoniyoa kwenye dunia hii ningali hai..Mungu akupe maisha marefu tuendelee kusikia injili hii isiyotiwa hila na ujinga mwingine.yesu kristo ni yuleyule jana leo haya milele
@YusuKisingile-fs4hv
@YusuKisingile-fs4hv Жыл бұрын
Baba MUNGU atakulipa kwa kaz yako Ubarikiwe sana Baba
@user-rw5gn6zk1l
@user-rw5gn6zk1l 9 ай бұрын
Natamani Mungu anipe neema hiiii ya kusema kweli
@sarabura8933
@sarabura8933 Жыл бұрын
Kwakwli mtumishi wa MUNGU na mm MUNGU anikumbukue anisamehe kwa tabia hizo ulizo zitaja tabiya ya uwongo na tubu tabia ya unafiki na tubu tabia yakuongea maneno mabaya natubu tabia ya masengenyo natubu tabiya ya kiburi zarau mawazo mabaya uwoga eeeh YESU wangu nisafishe tena natubu bwana nailiwaficha wanadamu.ila sikukuficha wewe leo na tubu bwana kama niliona aibu kutubu basileo sitoona aibu BWANA YESU unayajua matendo yangu yani ni mchafu sana BWANA naomba nibadilishe YESU nikweli sikumsikiliza Roho mtakatifu natubu kwa kumsononesha YESU NISAMEHE nimechoka kwa zambi zangu nibadirishe sasa YESU wangu
@nabiimuimbaji
@nabiimuimbaji Жыл бұрын
Amina baba
@AmosKapinga-jg4ve
@AmosKapinga-jg4ve 11 ай бұрын
MUNGU akubariki Sana mchungaji
@esterswepa4735
@esterswepa4735 Жыл бұрын
Ameni
@isayamalale9833
@isayamalale9833 Жыл бұрын
Nikuelewa sana mzazi wangu wa kiroho
@evmbaigwa9849
@evmbaigwa9849 9 ай бұрын
Nakupata baba angu ❤️
@user-rw5gn6zk1l
@user-rw5gn6zk1l 9 ай бұрын
Ubarkiwe
@faustinbyishimo9817
@faustinbyishimo9817 Жыл бұрын
Ubarikiwe mutumishi wamungu tunabalikiwa zaidii
@judithnaomy6787
@judithnaomy6787 Жыл бұрын
Kweli mch mungu akutie nguvu tufundishe tupone
@dorisgesare7707
@dorisgesare7707 Жыл бұрын
Asante sana mchungaji Mungu azidi kukubaliki
@stevenmbonaga8306
@stevenmbonaga8306 Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@angelakalalu2755
@angelakalalu2755 Жыл бұрын
Mahubiri yanaponya haya🙏Ubarikiwe baba Mchungaji😊
@petergenya7379
@petergenya7379 Жыл бұрын
Gloria Deus
@salmamwaipopo
@salmamwaipopo Жыл бұрын
Asante Yesu nimefunguliwa kupitia ibada hii nikiwa DRC ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu aliye hai
@estermathias8354
@estermathias8354 Жыл бұрын
Afadhali mmeweka sehemu ya kutoa sadaka na wa mbali tuchangie
@frankkamasesela2284
@frankkamasesela2284 Жыл бұрын
Asante baba,nasaidika pakubwa kwa mahubiri yako yanajenga na kustawisha may GOD bless you fadher.
@orgashayo4562
@orgashayo4562 Жыл бұрын
Amen Amen tunatowa je mwili wetu Uwe ibaada takatifu?napenda kuijuwa kweli ya neno la kristo unisaidie mimi
@mosesmunialo3859
@mosesmunialo3859 Жыл бұрын
Aminaaaa
@martnakimata4647
@martnakimata4647 Жыл бұрын
Glory to God
@asifiwekibona3775
@asifiwekibona3775 Жыл бұрын
Barikiwa baba.
@dorisgesare7707
@dorisgesare7707 Жыл бұрын
Natamani hata nami nisimame imara katika imani niombeeni jamani
@danielathanas5872
@danielathanas5872 Жыл бұрын
Mambo yote yakifanyika Pasipo kumuheshimu MUNGU na kutokuwepo na ushirika na MUNGU ni takataka.
@elinemakundi5011
@elinemakundi5011 Жыл бұрын
Tuko pamoja nikiwa Tanga mjini new nguvumali amen 🙏
@petromakange2668
@petromakange2668 Жыл бұрын
Tuko pamoja nakupata nikiwa Tanga gofu
@dorisgesare7707
@dorisgesare7707 Жыл бұрын
Amina
@getrudaemmanuel8078
@getrudaemmanuel8078 Жыл бұрын
Mungu akubaliki San Kama ni shule umekula nakufatilia mahubiri yako yapo sawa unazungumza kile Biblia inasema
Mch Moses Magembe - SABABU ZA KUTO KUJIBIWA MAOMBI| MANYONI 05
1:41:51
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 4,2 М.
Mch Moses Magembe - FAIDA ZA KUMTOLEA MUNGU
2:29:57
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 4,2 М.
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 7 МЛН
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 22 МЛН
Incredible magic 🤯✨
00:53
America's Got Talent
Рет қаралды 77 МЛН
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 51 МЛН
ROHO MTAKATIFU NDANI YETU
34:07
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 14 М.
NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU
38:41
PROPHET BILLIONAIRE MKEU
Рет қаралды 103 М.
Kitabu Cha MATENDO YA  MITUME kinazungumzia nini?
34:21
Injili Tv
Рет қаралды 280
KUTENGENEZA UTAJIRI WA WATU FULL VIDEO - JOEL NANAUKA
49:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 29 М.
UPANDE WA MUNGU AU WA SHETANI!
1:21:25
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 38 М.
MWL C MWAKASEGE: FAIDA ZA KUJAZWA NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU MWANZONI MWA KIPINDI CHAKO KIPYA.
1:13:11
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 83 М.
SIKUJUA KAMA WEWE UNANGUVU NAMNA HII  NIKIKUMBUKA UMBALI UMENITOA  WEWE WAAJABU WORSHIP
42:48
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 514 М.
Mch Moses Magembe  - NDOTO YA NEBUKADREZA | MLOWO 04
2:40:57
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 7 М.
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 7 МЛН