Pastor Mungu akuzidishie siku za kuishi, tupate elimu zaidi. Wanajaribu kutumia maandiko kupindisha but umenyoosha
@JojoSrena22 күн бұрын
Napenda jisi mwalimu Ndacha anavyo jibu maswali
@fredykiluka660622 күн бұрын
Namkubali ndacha sana ☝️☝️☝️2
@KasalyaKimimbi22 күн бұрын
Ubarikiwe 🎉❤
@LuisFaustinoLuis17 күн бұрын
Mungu akubaliki sana
@georgedaudisabuni533919 күн бұрын
Namba ya Ndacha niulize swali
@LumajiJr-MD21 күн бұрын
MUNGU AKUBARIKI SANAA Ndacha🙏🏽
@user-mc2xd4eu2p19 күн бұрын
Mungu mmoja yahwe mungu yesu mungu lakini mungu mmoja halafu ndio anafundisha msiba
@user-mc2xd4eu2p19 күн бұрын
Mzaliwa wa kwanza wa VIUMBE wote lakini yeye yesu sio KIUMBE contradiction kama zote khaa
@user-hq8wn9tz2l15 күн бұрын
Ndacha wanakuka vinyonga ao
@mlalikwabiswalo780414 күн бұрын
Ndacha kiboko yao
@user-to8on2pj9x18 күн бұрын
Yani swali unajibu kwa andiko duuh
@goldenshadrackmsungu366417 күн бұрын
Mkuu kwani hujasoma maandiko ya kwambwa wapo watatu washuhudioa mbinguni...Baba,neno na Roho mtakatifu na hao ni wamoja...1 Yohana 5:8?? Mbona unapingana na maandiko mkuu .. unasema Kuna Mungu na Yesu tu...😢 Nakushukuru maana umenisaidia sana katika kujifunza mengi ila kwa hili la kukataa roho mtakatifu Mungu anipe ufunuo...nitakua tofauti kidogo na wewe..
@Nolithajack1220 күн бұрын
Balikiwa sana
@chaco146620 күн бұрын
AMEN
@mwaspendoni836017 күн бұрын
Hapo ndacha kwa kufa kwake yesu soma Dan 9:27 na matt 12:40 uone sio Friday ni wed
@opujejoshmahjoshmah143214 күн бұрын
Wokovu uko kwa siku ya kufa?? Umeshai sikia Good Wednesday au Good Friday? Wokovu wetu ni Kristo kutufia na Kufufuka.Luke24:54
@user-mc2xd4eu2p19 күн бұрын
Nyie acheni kukufuru kwa hiyo yule mcheza sinema ndio mnasema kafanana na nani ?