MCHEKI SHEKH OTHMAN MAALIM ALIVYOSOMA QASWIDA VIWANJA VYA MINNA NCHINI SAUDIA KTK HEMA LA BAKWATA

  Рет қаралды 2,011

Saimu gwao Online tv

Saimu gwao Online tv

14 күн бұрын

Saimu Gwao Online Tv ni chanell inayojihusisha sana na vipindi vya dini vyenye mafunzo kwa jamii na matukio tofauti yenye manufaa Tunapatikana Masjid Mtoro Jijini Dar Es salaam. Kwa mawasiliano zaidi 0713471090

Пікірлер: 26
@fatmamohammad623
@fatmamohammad623 12 күн бұрын
Mashallah Hajji mabruk inshallah
@user-il5te5xd5y
@user-il5te5xd5y 3 күн бұрын
mashaallah ❤❤❤❤❤❤❤
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 13 күн бұрын
Maa Shaa ALLAH 🇰🇪💚💚💚
@SalamaRamadhan-no5py
@SalamaRamadhan-no5py 13 күн бұрын
Masha allah
@sadambakari2579
@sadambakari2579 12 күн бұрын
Mashallakh
@hamidashaban1203
@hamidashaban1203 12 күн бұрын
Kuna vitu mtume s.a.w hakufanya lakini vina manufaa.mtume s.a.w alipanda ndege au gari au alitumia smartphone au alitumia tv? Someni dini hata mtume s.a.w hajafundisha kushambuliana kwenye mitandao muone 😮 ndiyo maana huna hela ya kwenda hija hasadi zimewajaa.
@tigerroar3545
@tigerroar3545 10 күн бұрын
Kupanda ndege,kutumia smartphone ni mambo ya kidunia, kinachoangaliwa ni mambo ya dini kama ibada,mtu analeta mambo mapya(anazua) katika dini,wakati mtume kafundisha kila kitu, sasa mnaovyoongeza katika dini mnaamaanisha hyo mtume hakuijua kheri, nyie ndo wabora zaidi mnajua kuliko yy.
@allyelbusaid9888
@allyelbusaid9888 7 күн бұрын
Mtume kasifiwa ndani ya quran bhana.. sie tunaiga tu kwake Allah(s.w)​@@tigerroar3545
@Jamalybella
@Jamalybella 12 күн бұрын
Mtakufa kwachuki wallah
@jumamukoko6662
@jumamukoko6662 6 күн бұрын
Acheni mambo yakupinga kila kitu
@jumamukoko6662
@jumamukoko6662 6 күн бұрын
Sasa mtu akimsifu mtume kwa kuimba Qaswida kuna haribu nini katika Deen
@DiudaKozi-qu8sl
@DiudaKozi-qu8sl 12 күн бұрын
Nimeamini usufi uchizi
@hamidashaban1203
@hamidashaban1203 12 күн бұрын
Wasione hata wanaotembea uchi na ushoga waone haya wanaoimba kaswida? nendeni mkasome acheni longolongo madhambi ni kaswida ndiyo mumeona.kilasiku kusoma kwenu ni bidaa TU hamna elimu nyingine.kuna bidaa zenye manufaa wewe!
@fadhilimusa9732
@fadhilimusa9732 12 күн бұрын
Anaesoma qaswida hapo ni kigogo .wewe ndio ukasome maana umbumbumbu
@abakibibi9917
@abakibibi9917 3 күн бұрын
MBONA MWAFANYIA NDANI YA MAHEMA TOKENI NJE MUIMBE KASWIDA NA MUCHEZE ZAFA KAMA HAYO MUYAFANYAO YANA ASILI NA DINI
@selemankishema5780
@selemankishema5780 13 күн бұрын
Hata aibu hamna wallahi mmefanya hijjah vizuri mnakuja kuiharibu kwenye uzushi wa maulidi ndio maana kila miaka mnaenda hijjah mkirudi hakuna mabadiliko kabisa
@aliabdalla9297
@aliabdalla9297 12 күн бұрын
Kwahiyo kusifiwa mtume ni kosa unataka asifiwe baba yako
@HassanMfaume-oh2zf
@HassanMfaume-oh2zf 12 күн бұрын
We unatakaabadiliko gan Wahabi ww
@tigerroar3545
@tigerroar3545 12 күн бұрын
​@@aliabdalla9297 sio mahali pake
@hamidashaban1203
@hamidashaban1203 12 күн бұрын
Waone haya wako uchi
@KakaYoyo-nv8fb
@KakaYoyo-nv8fb 10 күн бұрын
Aukufuza nawazaziwako kuwanaadabu
@nixonmwanguni3094
@nixonmwanguni3094 12 күн бұрын
Aibu hamna,khaswida ni haram .haipo kabisaa katika mafunzo ya mtume wetu.
@HassanMfaume-oh2zf
@HassanMfaume-oh2zf 12 күн бұрын
We ndo Haibu Hun hiyo simu unayotumia kutukan Mashekhe Mtume alitumia wapi au simu Nayo ipo ktk kitabu ch Mungu
@YaziduIddy
@YaziduIddy 12 күн бұрын
Kwani kaswida ni nini
@ramadhanally9923
@ramadhanally9923 9 күн бұрын
Harriki matwaya manaake mnaijua lakini au mnaimbatu?? Lakini hayo yote mnafanya eti mnawakomoa wanao Pinga maulidi kumbe mnajikomoa wenyewe mnaharibu ibada iliyo wapeleka
Haha😂 Power💪 #trending #funny #viral #shorts
00:18
Reaction Station TV
Рет қаралды 15 МЛН
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 28 МЛН
Children deceived dad #comedy
00:19
yuzvikii_family
Рет қаралды 7 МЛН
QASWIDA : KIFO CHA MTUME /KASWIDA NZURI SANA HII
16:23
Qaswida Murua
Рет қаралды 39 М.
Siyaarada #Aabe_Xaji _Maxamuud_Abgallow iyo wilkiisa #xaaji_Cabdulahi
13:47
Abdikadir Abdullahi Omar
Рет қаралды 714
IBADA YA HIJJA YA MWAKA HUU INA MAFANIKIO SANA. SHEKH YUSUF KIDAGO AKIWA ARAFA
15:48
Majnun Leila || Mfano wa mapenzi ya kweli na madai ya mapenzi
5:16
AlhudaTv Kenya.
Рет қаралды 3,2 М.