Mchuzi wa papa wa nazi | Jinsi yakupika mchuzi wa nazi wa papa mtamu na kwa njia rahisi sana.

  Рет қаралды 15,944

Rukia Laltia

Rukia Laltia

3 жыл бұрын

#mchuziwapapawanazi #mchuziwanaziwapapa #mchuziwapapa
Website:rukiaskitchen.com
Instagram: rukias _kitchen
Facebook: Rukias kitchen
Cookpad: Rukias kitchen.
English recipe press the link ➡️ Dry shark fish in coconut sauce | Shark fish stew | Mchuzi wa papa wa nazi in English. • Dry shark fish in coco...
Mahitaji:-
Papa
Tui zito kikombe nusu
Tui jepesi kikombe 1 1/2
Tomato 🍅 3
Pilipiliboga
Dania / giligilani
Kitunguusaumu na tangawizi kijiko chakula
Limau 1
Manjano
Kitunguu maji 1
Chumvi
Pilipilimanga
Currypowder
Royco

Пікірлер: 54
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
If you would like to watch this video in English recipe press the link ➡️ kzfaq.info/get/bejne/b9mFebSX1NTRfXk.html
@halimarizak
@halimarizak 2 жыл бұрын
Kumbe ni mapishi ya watu wengine yanaweza mfanya mtu asitamani kula chakula fulani. Sikujua papa huchemshwa kwa maji moto na kuoshwa Tena ili chumvi iishe.. Mapishi yako yameniridhisha sana be blessed in shaAllah...lazima Nitajaribu .
@abuarifhassan6316
@abuarifhassan6316 2 жыл бұрын
Nimejaribu ma sha Allah shukran sister..😍
@sabreenawally3088
@sabreenawally3088 10 ай бұрын
Mashaallah tabaraallah
@vumiliahamisi7046
@vumiliahamisi7046 3 жыл бұрын
Maashaaallah👌
@amrahschannel5599
@amrahschannel5599 3 жыл бұрын
mashaAllah....mzito vizuri...umekolea Nazi na unavutia sanaaa..ulipotia limau baaas utamu ulizidi...
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😋😋👌yaani it was super delicious na huwa sipendi papa lakini this papa was delicious
@safiaothman1098
@safiaothman1098 2 жыл бұрын
Maa Shaa Allah
@alkharousalkharous253
@alkharousalkharous253 2 жыл бұрын
Asantee nimependa
@rehemamwakaribu6138
@rehemamwakaribu6138 3 жыл бұрын
Mashaallah rukia i tried this its so delicious.
@aminasalamalekumamina6217
@aminasalamalekumamina6217 2 жыл бұрын
Salam alekum
@KicksClique
@KicksClique 8 ай бұрын
Perfect with Chapati
@sashasalma5963
@sashasalma5963 3 жыл бұрын
Mashallah Somo yangu
@aminasalamalekumamina6217
@aminasalamalekumamina6217 2 жыл бұрын
Mashaallah
@RaniyahAnwar
@RaniyahAnwar 3 жыл бұрын
Ma shaa Allah my mum anapenda sana papa 😋😋
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Shukran sana my darling 😋😋👌angekuwa karibu angeupenda Sanaa
@mariamissaahmed7675
@mariamissaahmed7675 3 жыл бұрын
Tamu kwa sima
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Sanaaa 😋😋👌
@mwanasitia5536
@mwanasitia5536 3 жыл бұрын
Mashalla
@chafkatchafkat7181
@chafkatchafkat7181 Жыл бұрын
Merci
@halimayusuf4441
@halimayusuf4441 2 жыл бұрын
Nice👌
@ashayummy2299
@ashayummy2299 3 жыл бұрын
mashaallah mashaallah
@KicksClique
@KicksClique 8 ай бұрын
My favourite curry. Shark in Coconut gravy.
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 8 ай бұрын
Mine too!
@najlaskitchen1572
@najlaskitchen1572 3 жыл бұрын
Naja na ugali Rukia weee unajulia Hadi raaaa😋😋😋👌👌
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Shukran sana my darling 🥰😘Hahahaha karibu sana tujibambe
@marthamgaya1304
@marthamgaya1304 2 жыл бұрын
Mashahllah ila natamani kuyajuwa vizuri hayo majani
@kigoothman-kc7gp
@kigoothman-kc7gp 4 ай бұрын
Appreciate you
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 ай бұрын
Welcome
@dydahskitchen6907
@dydahskitchen6907 3 жыл бұрын
Ma shaa Allah zavutia sanaa mpenzi
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Shukran darling 😘
@noorayaqoot1294
@noorayaqoot1294 3 жыл бұрын
Mashaallah shukran nnaupenda sana huo mchuzi kwa ugali au Wali wa nazi
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Kabsaa my dear 😋😋👌
@nulkhafahud
@nulkhafahud 3 жыл бұрын
Sante
@shufaayakut2139
@shufaayakut2139 2 жыл бұрын
ma shaa Allah kila nikitaka kuupika lazma nirudi kwenye hii video
@titinmbega4128
@titinmbega4128 3 жыл бұрын
Nimechelewa wow🤤🤤😋😋Tamu sana
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Asante sana 😋🥰
@fooddiarytz
@fooddiarytz 3 жыл бұрын
This looks so yummy dear Nakuja na wali
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Karibu sana my dear 😋😋👌
@zamomohamed9760
@zamomohamed9760 2 жыл бұрын
👍👍
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 3 жыл бұрын
Sasa hapa nipate na Wali wamafuta na pilipili nyingi loo ntakula hadi unifukuze sista🙈
@thureyaseif7143
@thureyaseif7143 3 жыл бұрын
Mashallah mchuzi Wa papa unalisha kweli
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Sanaaa mashallah 😋😋👌
@getrudematildatalmon547
@getrudematildatalmon547 3 жыл бұрын
Nice Rikia
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Asante 🥰
@aishakibwana5383
@aishakibwana5383 3 жыл бұрын
❤️❤️❤️
@asiyamuscat-oman2283
@asiyamuscat-oman2283 2 жыл бұрын
❤❤
@badawyhaji9288
@badawyhaji9288 3 жыл бұрын
😋😋😋😋😋😋😋😋
@swabrianwar352
@swabrianwar352 3 жыл бұрын
thuzi ajjab dear
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Ajaaaabzzzzz 😋😋👌
@seifjuma3471
@seifjuma3471 3 жыл бұрын
My Sis hapo nipate na ugali wa muhogo 😝😝😝
@fooddiarytz
@fooddiarytz 3 жыл бұрын
Ila unapika ww dada nakuja na sahani ya wali
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 3 жыл бұрын
Awww asante sana my dear 🥰😘
@aminasalamalekumamina6217
@aminasalamalekumamina6217 2 жыл бұрын
Salam alekum
Mchuzi wa samaki wa Nazi | Samaki wa Nazi
10:37
Abdallah's Kitchen
Рет қаралды 18 М.
Как быстро замутить ЭлектроСамокат
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 13 МЛН
MCHUZI WA SAMAKI WA NAZI
7:35
Aroma Of Zanzibar & Beyond
Рет қаралды 82 М.
#TBCMEKONI - JIFUNZE JINSI YA KUPIKA BIRIANI
27:31
TBConline
Рет қаралды 286 М.
WANAWAKELIVE: JIFUNZE KUPIKA NA ROYCO MCHUZI MIX KWA USAHIHI
10:26
WanawakeLive Tv
Рет қаралды 5 М.
MBAAZI ZA NAZI / JINSI YA KUPIKA MBAAZI  /COCONUT PIGEON PEAS/ WITH ENGLISH SUBTITLES
4:29
Tajiri's Kitchen Swahili Flavor
Рет қаралды 85 М.
jinsi ya kupika maini matamu kwa njia rahisi
7:35
Mapishi na Zuhura
Рет қаралды 17 М.
Ultimate Cookie Blizzard 🍦🍦🍦 28
0:10
Ice Cream Man
Рет қаралды 19 МЛН
Surely you don’t know this ☕️ #camping #survival #bushcraft #outdoors
0:18
Ăn Vặt Tuổi Thơ 2024
Рет қаралды 6 МЛН