MCL DOCTOR: TAMBUA SABABU ZINAZOPELEKEA MJAMZITO KUTOKWA NA DAMU UKENI NA SULUHISHO LAKE

  Рет қаралды 108,339

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

6 жыл бұрын

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.

Пікірлер: 166
@samataramadhansamata6262
@samataramadhansamata6262 4 жыл бұрын
Ubarikiwe doctor
@siwalikissuleimani6930
@siwalikissuleimani6930 2 жыл бұрын
Asante sana dokta
@samiarajabukiulashalila3737
@samiarajabukiulashalila3737 4 жыл бұрын
Dokta naomba no zako tuongee zaidi
@contridaemmanuel3416
@contridaemmanuel3416 Жыл бұрын
Asante doctor
@maryeer6392
@maryeer6392 Жыл бұрын
Asante kwa elimu hii
@fatumamasumbuko5778
@fatumamasumbuko5778 4 жыл бұрын
Asante d
@hekimasichone
@hekimasichone Ай бұрын
je energy inaweza toa mimba au
@mariahaling9893
@mariahaling9893 2 жыл бұрын
Asante doctor nimekuelewa vizur
@user-qr6fi2yh6m
@user-qr6fi2yh6m 17 күн бұрын
Me doctor natokwa na dam kidgokodg ila mimba yangu inamwezi mmoja
@tumainimingo9103
@tumainimingo9103 6 ай бұрын
Sorry doctor mm mdogo wangu alitoa mimba lakin akapima bado iko+ je hyo mimba inaendelea kukua au ni kusafishwa tu??
@KylaCleophas
@KylaCleophas 6 ай бұрын
Asante dr mimba yangu inakaribia miezi7 sasa ila huwa napata siku zangu kila mwezi na mpaka mimba imeshindwa kuongezeka dr sijui tatizo litakuwa ni nini
@magrethmathayo528
@magrethmathayo528 3 жыл бұрын
Ahsnte doctor nimekuelewa
@yunusaliy7898
@yunusaliy7898 5 жыл бұрын
Namba muhimu
@user-hc3oc8xy4r
@user-hc3oc8xy4r 11 ай бұрын
Je mke wangu akiwa na mimba anaweza kuona damu na inatoka tone na maumivu tumboni na kiononi?
@andrewzimba6194
@andrewzimba6194 3 жыл бұрын
doctor mimi nimehalikiwa na mimba nilipomaliza tu kushiliki tendo la ndoa je tatizo litakuwa ni nini?
@patriciabushiri2613
@patriciabushiri2613 3 жыл бұрын
Doctor nishauri nitumie nin wakati wa bleed natoka mapele makubwa usoni et
@davidyindi7794
@davidyindi7794 Жыл бұрын
Mim naingia kwenye hedhi lakin damu zinatoka nyepesi sana siku mbili siku ya tatu unakuwa uchafu chafu tu uliyo changanyika na damu shida ni nin jaman nisaidien
@tumainiasajile209
@tumainiasajile209 2 жыл бұрын
Je Kama imetoka kidogo imeacha na maumivu nikwambali, hiyonayo Ni kuhalibika kwa mimba?
@user-ck4pe3ze6y
@user-ck4pe3ze6y 9 ай бұрын
Dokt nashida ya namba yako please
@farhatomar1427
@farhatomar1427 4 жыл бұрын
mm dokta naujauzito wawiki mbili lkn naumwa na mgongo san na Maziw yamevimba yananiuma sn je natatiz gn apo
@marrymathiass3974
@marrymathiass3974 2 жыл бұрын
Docter Mimi Nina mimba ya wiki 8 lakini natokwa na damu kidogo kidogo ikikata siku mbili tatu inayofuata naona tena
@StephanoMwagala-je3tp
@StephanoMwagala-je3tp 7 ай бұрын
Doctor mm nilikutana na mume baadae ya miezi miwirii lakin natokea na damu kidogo kidogo
@user-eg7cv5ye8u
@user-eg7cv5ye8u Жыл бұрын
Doctr nimemeza pn vii nimetokwa na damu kdg je mimb yang imehalibika au inamwez mmoj
@binttwaha2887
@binttwaha2887 4 жыл бұрын
Naomba unifahamishe hii damu inayotoka ni kila siku au ni zile siku za mwanamke za kawaida za hedhi? Na damu yenyewe ni kama ya hedhi au iko tofauti?
@jeaninehatungimana1494
@jeaninehatungimana1494 3 жыл бұрын
Kama mimi naona tu kam siku zangu za hedhi ila dam ni nyepesi san sio kam zeny za hedhi
@judiciousnaiman18
@judiciousnaiman18 3 жыл бұрын
Docta me Nina mimba ya mtoto wa kwanza mwezi Ila nimeshangaa damu inatoka shida ninn?
@user-ck4pe3ze6y
@user-ck4pe3ze6y 9 ай бұрын
Mm ni mjamzito wa wiki 5 ila naona damu kidg kidg
@doricenyange7018
@doricenyange7018 Жыл бұрын
Mimi Nina ujauzito wa miezi 5 lkn leo wakati nashiriki tendo nimeikuta damu inatoka Ila sio ya mpaka kudondoka ni wakati baba anajifuta ndo ikaonekana na mpk muda huu cjaona ikiendelea kutoka je hapo shida itakuwa Nini Dr?
@majaliwasaid1086
@majaliwasaid1086 5 жыл бұрын
Mimi ninahisi ninamjamzito lakini nimetokwa na damu ukeni nini tatizo?
@christinanelson5557
@christinanelson5557 2 жыл бұрын
Ata mmi shoga
@mangimeli5846
@mangimeli5846 8 ай бұрын
Naitwa Aisha mimba yangu ina mwezi mmoja nilijalib kukutana na mume wangu nikatoka uchafu mweusi kwamuda mchache je nifanyaje doctor
@selemankiyegezo2976
@selemankiyegezo2976 2 жыл бұрын
Dokta mm nna dalili zote mimba ila nablid
@Neemamtey
@Neemamtey 3 жыл бұрын
Hausema tiba doctor
@Nganashiai-qj6hw
@Nganashiai-qj6hw 6 ай бұрын
sorry doctor mimi niliona period tarehe kumi na mbili mwenzi wa 12_2023nimeona siku ya kwanza siku ya pili sijaona Nini kinasababisha doctor
@TatuSemen-lh4fo
@TatuSemen-lh4fo Жыл бұрын
Doctar habar mimi nimjamzito lakin ninahar yakutokwa na damu na tayar mimba mbili zilihalibika
@JuhudiJumanne-bv6hn
@JuhudiJumanne-bv6hn Жыл бұрын
Doctor naomba mawasiliano please
@Munijuma
@Munijuma 10 ай бұрын
Dokt mm ni mjamzito ila mimba bdo ni changa hata mwez haijafik lkn nimeenda haja kubwa nikajikuta natokwa na dam ila nyepes na nikatokwa napande la dam kidogo nn tatizo
@vailethsteven6984
@vailethsteven6984 4 жыл бұрын
Mimi pia ninatokwa na damu mala kwa mala lakini siumwi chochote jamaani tatizo nn mimba ya mwez mmoja
@mwanadamujasiri1730
@mwanadamujasiri1730 3 жыл бұрын
Dada vipi maendeleo
@takyatupu6839
@takyatupu6839 3 жыл бұрын
Pole na mimi hv hv vp umefanikiwa kujifungua salama tujuze
@melkjpeter9187
@melkjpeter9187 3 жыл бұрын
Imetoka yenyewe bila kufanya mapenzi
@JuhudiJumanne-bv6hn
@JuhudiJumanne-bv6hn Жыл бұрын
Samahan doctor mmim nilifua najihis Nina mimba ya mwezi mmoja ila Leo hii kiuono kimeniuma na dam zinatoka shida inaweza kua Ni nin na Nina mda mrefu nasumbuliwa na tumbo
@MwanaAbdallah-gi1ny
@MwanaAbdallah-gi1ny 3 ай бұрын
Mm natokwa na damu nyepesi na nyonga kuoma lakini sina mimba natumia shindano tatizo nini
@tinalmethod14
@tinalmethod14 3 жыл бұрын
Mm ninamimba ya mwez.alafu nableed
@omarihashim4686
@omarihashim4686 3 жыл бұрын
Mm nableed tarehe ya 31 jmn nnadalili za mimba kwann jmn sijapima Ila zinatoka kidg
@user-lx7wr4gy4g
@user-lx7wr4gy4g Ай бұрын
Me dokta damu imetoka lakn bado ipo
@fatmangowi27
@fatmangowi27 3 жыл бұрын
Mimi mimba ina miezi 2 natokwa na damu unanisaidiaj au naomba namba
@takyatupu6839
@takyatupu6839 3 жыл бұрын
Pole na mumi hv hv vipi umefanikiwa kujifungua salama nijuze
@AsafuKatabazi-dh5sp
@AsafuKatabazi-dh5sp 3 ай бұрын
Mbona ninamiezi miwiki siingii nanikapima ikajulikana kuwa ninamimba, Ila Leo nimeona damu
@josejonh3703
@josejonh3703 7 ай бұрын
Doctr mm nilihis ninamimb week mbil najisikiy kutema tema mate kichefu chef sijisiky hamu yakula mpka sasa nasiku mbili natokw damu shid nini
@terryanyango9368
@terryanyango9368 Жыл бұрын
Kutokwa na tonetone ya damu wala si hethi na maumivu makali sana shida ni nini
@PeterSumbisumbi
@PeterSumbisumbi Ай бұрын
Samahani. Docta. Mm Nina mimba. Miezi. 7. Kasoro. Hila. Uwa naona dam. Ninatoka ni nyepesi na uwa sipati maumivu. Ninatoka siku moja na kukata. Je tatizo ni nn au napaswa. Nifanye nn
@elizatave4633
@elizatave4633 5 жыл бұрын
Habari za majukumu Dr samahan naomba unisaidie Nina mimba mwezi mmoja yani toka inawiki mbili natapika saaaaaana yan mda wote sina raha kabisa hakuna chakula ambacho nakula please doctor maoni yako maana nachanganyikiwa kabisa nitatapika mpaka lini jaman.
@w2cwa2nduclassic18
@w2cwa2nduclassic18 4 жыл бұрын
Eliza Tave pole Kama mkewangu naeilikuwa ivyo lkn alitumia dawa yamiti akaendelea kulakama kawaida
@yuniabeli8492
@yuniabeli8492 3 жыл бұрын
Pole dear , hilo ni kawaida coz ya homon lakin jarbu kutafuta chochote kile ambacho kwa mda huu unakipenda kuliko kutokula kabisa coz ili mtoto akue vizur ni muhimu upate mlo mzuri
@shimbawilliam3446
@shimbawilliam3446 Жыл бұрын
Sawa ya miti ikoje
@shimbawilliam3446
@shimbawilliam3446 Жыл бұрын
Dawa ya miti ni ipi
@TheodoraNtibiichira-zi2mm
@TheodoraNtibiichira-zi2mm 2 ай бұрын
Naomba namba
@ahmedamiry7538
@ahmedamiry7538 3 жыл бұрын
Ili nitatizo gani kimakosa mama mjamzito uhumwa mgongo
@carlosansigari9976
@carlosansigari9976 4 жыл бұрын
Doctor mke wangu yupo kipindi cha pili cha ujauzito lakin analalamika sana maumivu ya mgongo na kiuno na dam inatoka kidogo kidogo kwenye via vya uzaz nini tatizo na nn tiba yake
@rechojonas508
@rechojonas508 4 жыл бұрын
Aende hospital inatishia kutoka
@FatmaOthman-qq5yv
@FatmaOthman-qq5yv Ай бұрын
Mm natokwa na damu kabla ya tarehe kufika kisha inakata
@kadondondigele5533
@kadondondigele5533 2 жыл бұрын
Mimi ninamimba natokwa damu nyepesi nn tatizo
@ClaraOfaa-qu6oy
@ClaraOfaa-qu6oy 11 ай бұрын
Doctar npo nje ya mada ninakikohozi, nmepewa dawa hiii zecuf herbol cough, anaitumia mjamzito
@ivorrashid3047
@ivorrashid3047 5 жыл бұрын
Docta naomba namba yako mi nina mzungumzo mengi zaid
@rosejulius1916
@rosejulius1916 3 жыл бұрын
Doctor naweza pata namba yako???
@lailatyabdallah9309
@lailatyabdallah9309 4 жыл бұрын
Asnte
@melkjpeter9187
@melkjpeter9187 3 жыл бұрын
Mimi damu imetoka siku tatu .mimba itakuwepo?
@ClaraOfaa-qu6oy
@ClaraOfaa-qu6oy 11 ай бұрын
Doctar nipo nje yamada ,Nina kikohozi na mafua, jee dawa hii zecuf herbal cough kwamm mjamzito nakunywa?? Aina shida
@fatmaabdallah1579
@fatmaabdallah1579 3 жыл бұрын
Iyo damu inakua ni nzito au nyepesi doctor?
@jeaninehatungimana1494
@jeaninehatungimana1494 3 жыл бұрын
Nyepesi ndugu
@JacklineMabuga
@JacklineMabuga Ай бұрын
Je mwanamke anaweza kutana na mwanaume siku hatari na asipate mimba?
@abuubakarrajabu8934
@abuubakarrajabu8934 4 жыл бұрын
Habara dr mm nijamzito nina five weeks lkin ninatatizo kubwa lakitoka na dam mfululizo na nimemuona doct amenipatia dawa lkn tatizo bado na nikipima mimba bado ipo nifanyeje?
@nourathymsolwa6239
@nourathymsolwa6239 3 жыл бұрын
Dawa gn umetumia mm piah Nina hali hiyo
@takyatupu6839
@takyatupu6839 3 жыл бұрын
Pole vp umefaniwa kujifungua salama mimi pia hv hv
@nourathymsolwa6239
@nourathymsolwa6239 3 жыл бұрын
@@takyatupu6839 mwenzang m piah nablid Ila nmepg ultrasound mimb bd ipo Nina cku km nablid
@takyatupu6839
@takyatupu6839 3 жыл бұрын
@@nourathymsolwa6239 mimi mimba yangu ina week 10 na week moja wewe je
@nourathymsolwa6239
@nourathymsolwa6239 3 жыл бұрын
Week 8 na cku 6 nmpiga ultrasound Jana bado ipo Ila bd nablid
@yeiyeibeno4677
@yeiyeibeno4677 Жыл бұрын
Docta mimi namimba ya miez2 lkn nabled wiki sasaivi ila siumwi popote pale hospital nimeandikiwa dawa nayumia leo siku yanne
@pendogilbert2280
@pendogilbert2280 Жыл бұрын
Na Mimi nnatatizohilo jmn
@MaryAmaiza-th2fo
@MaryAmaiza-th2fo 8 ай бұрын
Doctor vipi kihusu,kutokwa na ute mwingi ukeni,inatokana na nn?
@mariammsangilwa4754
@mariammsangilwa4754 3 жыл бұрын
Dr je kupata maumivu makali chini ya kitovu mimba ina wiki 24 na siku tano
@theresialfredybugalama5850
@theresialfredybugalama5850 6 жыл бұрын
mbona unarudia rudia maneno?
@theafidelis5720
@theafidelis5720 Жыл бұрын
Doctors Mimi Nina mimba ya miez miwili lakin tokwa damu
@ElizaMgori-hg5tu
@ElizaMgori-hg5tu 9 ай бұрын
Jaman na mm ninailo tatizo la kutokwa na damu ila Nina ujaunzito wq mienzi 3 Kuna mda naona damu na Kuna mda inapote shida nini ety
@AnnyChrisostom-zh7ct
@AnnyChrisostom-zh7ct Жыл бұрын
Ata mm nawiki mbili nimepima lakini naona hedhi
@fatmasaid9556
@fatmasaid9556 Жыл бұрын
Dokta mm ninahilotatizo nitumie dwa gan
@MathaPoti
@MathaPoti Ай бұрын
Mim nilikunjwa dawa lakini mabonge ya damu yalitok nilitaka kutoa mimb
@nuruabraham3769
@nuruabraham3769 3 жыл бұрын
Mbona hujibu maswali ya watu, unakera ndugu yangu.
@blandinajoseph6587
@blandinajoseph6587 2 жыл бұрын
Uyu muongo tu 😏
@user-fu5bg3ek2b
@user-fu5bg3ek2b 6 ай бұрын
​@@blandinajoseph6587😅
@jumamfinanga2397
@jumamfinanga2397 3 жыл бұрын
Doctor mimi nna ujauzito na nimefanya mapenzi yametoka maji mengi je ni nn?
@sabrakhamis3876
@sabrakhamis3876 3 жыл бұрын
Doctor mm naumwa na miguu na chuchu zimevimba na yananiuma
@marionmwesh3688
@marionmwesh3688 Жыл бұрын
Niko na mimba ya miezi 3 ila natokwa na damu mwishoni mwa kila mwezi husambabishwa na nny?
@princessmillie9357
@princessmillie9357 11 ай бұрын
Damu yako ipoje dear mm ata sijielewi
@zulha3406
@zulha3406 Жыл бұрын
Naweza kupata namba yako docter??
@LopheaKirunga-st5od
@LopheaKirunga-st5od Жыл бұрын
Me natokwa na dam wakati wa tendon la nda
@user-in8hi4sg5k
@user-in8hi4sg5k 3 ай бұрын
Tatizo msg hajibu sasa
@ZuhuraKifunda-wn1ms
@ZuhuraKifunda-wn1ms 11 ай бұрын
Kutoa majie ukiwa Na mimba changaje
@neemashadii4702
@neemashadii4702 2 жыл бұрын
Jmn mm ninamimba ya week 5 lakini juzi nliona dam kama masaa 2 zkakata hapo imehalibika au ila nmejipima kipimo kinaonesha imo
@marialuka7806
@marialuka7806 5 жыл бұрын
naomba namba yako
@vumiliawambula1716
@vumiliawambula1716 5 жыл бұрын
alafu kutokwa na maji kwa maramingi kwenye ujahuzito ?
@sabrinamasawe4311
@sabrinamasawe4311 2 жыл бұрын
d Mimi ndo damu inatoka toka mwezi mmoja mpaka tisa sijawai kupumzika kiratareh moja sikumbili inakata nn shida apo hsp wanasema aingiliani namtoto
@saidimsangi4488
@saidimsangi4488 Жыл бұрын
Mm Sina mimba ila Sasa na tokwa na dam nikikojoa na tokwa na vitone la dam
@user-lp4mq6qe4y
@user-lp4mq6qe4y 5 ай бұрын
Ninamimba yawiki mbili lakini natokwa nadamu lakini siumwi chochote shida nn
@elizabethlyanda8532
@elizabethlyanda8532 4 жыл бұрын
nashukuru sana ilamimi damu inatoka haijakolea sana itakuwa nini
@tatuabdallah739
@tatuabdallah739 4 жыл бұрын
Yani kama mimi wewe
@esterstephano9176
@esterstephano9176 3 жыл бұрын
Hata mm mwaya
@jeaninehatungimana1494
@jeaninehatungimana1494 3 жыл бұрын
@@esterstephano9176 nihatari jamani mimi pia kwasasa naona dam mara nahisi imetok
@jessyjacob2433
@jessyjacob2433 Жыл бұрын
​@@jeaninehatungimana1494na mm hoi hali nimeipata naomba kujua ulitumia dawa gani na je ili ahatika kupata mtoto?
@amisaabdulymajaliwa4245
@amisaabdulymajaliwa4245 6 жыл бұрын
Dr Mimi Nina ujauzito wa miezi 2 lakini natokwa na damu kidogo kama inatoka kama kitone nilienda hosptl nikapewa dawa (salbutamol) baada yakutumia dawa sasa HV naona damu inakuja na ute kama kamasi sasa sielewi ujauzito umeharibika au IPO na nitumie dawa ipi
@jescarpaul7925
@jescarpaul7925 5 жыл бұрын
ndugu je umefanikiwa mi zimetoka d'amu usiku nyingi sana asubui zikakata mchana na vinyama vikatoka je itakua imetoka ila d'amu sio nyingi
@marysedes534
@marysedes534 5 жыл бұрын
)
@mnengerukia7865
@mnengerukia7865 5 жыл бұрын
pole my
@medalinauswege7117
@medalinauswege7117 5 жыл бұрын
@@jescarpaul7925 km mimi 😥😥😥😥
@raynahdizza7971
@raynahdizza7971 4 жыл бұрын
Jescar Paul ulifanikiwa kupata mtoto naomba unijibu
@webnyyt2507
@webnyyt2507 3 жыл бұрын
Dicta mimi nimepima mimba nikakuta niko nayo badaye nikaona damu damu zimeisha nikapima tena nikakuta imo ivi inamariza mwezi miwili nimeenda hospitar wakanipa dawa badae nimepima tena ni kaikosa ila kivyangu na sikia kama niko nayo docta nimechanganyikia sjuwi kama bado imo awo sina pliz docta ni jibu maana niko nahfu sa😰😰😰na
@mwanadamujasiri1730
@mwanadamujasiri1730 3 жыл бұрын
Dada kasafishwe haraka
@takyatupu6839
@takyatupu6839 3 жыл бұрын
Masikin pole wanawake tunapitia magumu sana mungu tusaidie na mimi hv hv vp umefanikiwa kujifungua nijuze
@marywanjiru2401
@marywanjiru2401 Жыл бұрын
Hae! Ulipata uko na ball?
@mangimeli5846
@mangimeli5846 8 ай бұрын
Kivipi hunielewi
@akiraaudreille6043
@akiraaudreille6043 Жыл бұрын
mim yang ina myez 2 ila tumbo lina uma pia maji meng
@akiraaudreille6043
@akiraaudreille6043 Жыл бұрын
hunitoka
@salmaiddy6059
@salmaiddy6059 4 жыл бұрын
Hueleweki bwana
@victoriajoseph7140
@victoriajoseph7140 5 жыл бұрын
Habari docta mm nimjamzito wa mwezi moja lakini nimetokwa na damu na tumbo linaniuma pamoja na mgongo unaniuma sana Sijui tatizo nn? Naomba ushauli umaji wa tumbo ni kama linavuluga vuluga sana
@gettaedada7258
@gettaedada7258 5 жыл бұрын
Mambo vipi Victoria,? Sasa hivi unaendeleaje ? Hata mimi nina shida kama yakwako, please naomba unijibu
@lazarorobert9196
@lazarorobert9196 5 жыл бұрын
Victoria Joseph hata mm nina tatizo hila
@mnengerukia7865
@mnengerukia7865 5 жыл бұрын
Victoria Joseph pole my
@foibemasenha4439
@foibemasenha4439 5 жыл бұрын
Victoria Joseph ninatatizo hilo my naomba msaada wako nina miezi 2
@marrydenis5356
@marrydenis5356 5 жыл бұрын
Dawa yake
@happysilla9339
@happysilla9339 Жыл бұрын
kutoka ute unaotereza ukeni
@mathaalex2800
@mathaalex2800 4 жыл бұрын
Na je Kama vinyama vinyama vinatoka kuna kuwa na salama wakiumbe kweli????
@gastordominic410
@gastordominic410 4 жыл бұрын
Wapi
@msasakigoda5086
@msasakigoda5086 3 жыл бұрын
Daaah kweli
@khadijahassan5415
@khadijahassan5415 Жыл бұрын
Doctor Sasa ple unaujauzito halafu unasex na Ile damu inatoka haileti mathara kw wote mwanamke na mwanamme
@wahidaswaibu6821
@wahidaswaibu6821 2 жыл бұрын
.
@edisonisilakuskamgisha3199
@edisonisilakuskamgisha3199 3 жыл бұрын
Kweli imenitokea
@juniorlyanda3741
@juniorlyanda3741 3 жыл бұрын
Mimi ninacho chukia hamjibu maswali yetu pohakuna maana nikama tunajianika tuu
@jeaninehatungimana1494
@jeaninehatungimana1494 3 жыл бұрын
Nikawaida
@johariabubkar2158
@johariabubkar2158 4 жыл бұрын
Je m2 akitoa mimba n damu ikatoka n bdae aanze kutapka n kuchafukwa n moyo je mimba huwa imetoka ama tatizo n nn
@annanashon6753
@annanashon6753 4 жыл бұрын
Haijaisha
@user-rd7jt1vi5x
@user-rd7jt1vi5x 4 жыл бұрын
Johari umeua kiumbe kisicho na hatia mungu anakuona wenzako wanalilia mtoto wewe unatoa mimba kweli mungu akusamehe tu kwa kuwa hujui ulitandalo
@idrissabyser727
@idrissabyser727 4 жыл бұрын
Acha ujinga unatoa mimba unatuomba sie ushauri
@barkesalum4389
@barkesalum4389 2 жыл бұрын
Kwel kbs watu wanalilia watt Allah atufanyie wepes waja wake
@user-jp5dm6qr4i
@user-jp5dm6qr4i Жыл бұрын
Damu inatoka2 yenyewe bila kufanya mapenzi nisaidie doctor
@ZamdaRamadhani-m2g
@ZamdaRamadhani-m2g 16 күн бұрын
Mm Kila mwenzi natokwa na damu na Nina mimba
@user-ck4pe3ze6y
@user-ck4pe3ze6y 9 ай бұрын
Mm ni mjamzito wa wiki 5 ila naona damu kidg kidg
Utoaji mimba | Abortion - Swahili
3:24
Multicultural Centre for Women's Health
Рет қаралды 83 М.
Quality Improvement in Healthcare
11:09
DocMikeEvans
Рет қаралды 768 М.
WHO LAUGHS LAST LAUGHS BEST 😎 #comedy
00:18
HaHaWhat
Рет қаралды 19 МЛН
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 4,4 МЛН
Does size matter? BEACH EDITION
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 13 МЛН
Ushawahi kuharibikiwa na mimba?
5:19
BBC News Swahili
Рет қаралды 30 М.
Dalili hatarishi kwa mama mjamzito.
21:38
EastAfricaTV
Рет қаралды 111 М.
SHAJARA NA LULU | Faraja ya Esther Wanjiru baada ya dhiki (Part 1)
17:06
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 2,3 М.
Breast Surgery with Dr. Blessing Mathew
1:48
The Aga Khan Hospital, Dar Es Salaam
Рет қаралды 2,7 М.
20240702【理財有方】提防受騙
7:17
Now 財經 新聞
Рет қаралды 2 М.
WHO LAUGHS LAST LAUGHS BEST 😎 #comedy
00:18
HaHaWhat
Рет қаралды 19 МЛН