Ushawahi kuharibikiwa na mimba?

  Рет қаралды 30,026

BBC News Swahili

BBC News Swahili

2 жыл бұрын

Sema Wazi, leo unapata majibu kuhusu tatizo la mimba kutoka au mimba kuharibika.
Daktari Living Colman wa hospitali ya muhimbili Tanzania anaelezea kwa kina katika tarifa hii.
#bbcswahili #tanzania #afya

Пікірлер: 23
@gracegrace6510
@gracegrace6510 Жыл бұрын
Jaman dk wangu ulinizalisha mwangu G muhimbili uko vzry Sana dk unajali mgonjwa Mungu akuzidishie hekima na maalifa ktk Kaz zako da niliumwa saa nane usiku uliacha kitanda chako ukaja sitakusahau ,🙏🙏🙏
@HusnaRashid-ur5wz
@HusnaRashid-ur5wz 10 ай бұрын
Nimekuelewa. Vizur sana dactar. Namm nachangamoto izo
@EdinaDamas-jl4uq
@EdinaDamas-jl4uq Жыл бұрын
Habar doctor Mimi sikuend mwez moj hedh zng nashngaa mwezi huuu nimeingia alafu haitoki nyingi na tumb linajaaa gesi San napat shida Sana tatizo nn
@salkhaJuliusfashion
@salkhaJuliusfashion 11 күн бұрын
Doctor mm nilitumia misoprost mala ya kwanz damu ilitok kidog na nilikuwa na mimb ya wiki mbili nkatumia ten miso clear ikatok kidogo na bonge la damu je mimb ilitok au bd ipo dct nisaidie apo sielewii
@tumainimingo9103
@tumainimingo9103 5 ай бұрын
Mim jamani mdogo wangu kaforce kutoa mimba kwa kutumia miso na haikutoka mara ya pili tena akanywa miso damu zikatoka mabonge ila baadae kapima mimba bado ipo akaenda kusafishwa kama mara tatu hiv but saiv bado analalamika tumbo na matiti kuwasha na akijibinya maziwa yanatoka je ni kwamba mimba bado ipo?
@zuuhnassor6688
@zuuhnassor6688 5 ай бұрын
Me doctor mimbs yangu imearibika na nilikuwa sijijui kuwa namimba nilivyo pima kama leo usk huohuo mimba imetokaa ilikuwa na week mbili naweza pata mattz naogopaa ndy mimbaa yanguu ya kwanza😢
@aishachambo8663
@aishachambo8663 2 жыл бұрын
Asante
@enearobart-tv1ch
@enearobart-tv1ch Жыл бұрын
Dokta mimi niritoa mimba kwa kutumia vidonge je ninaweza kubeba ujauzito mwingine
@user-mj9uw5sg7e
@user-mj9uw5sg7e 5 ай бұрын
Ok ok
@user-rs5vi8wm2p
@user-rs5vi8wm2p 4 ай бұрын
Daktar mm niko na shida yakutokushika mimba nimeenda osptali nimepima wamenambia nina infection kwenye kizaz wamenipa dawa nikimaliza niende nikasafishwe je hio njia ya kusafishwa haitoniasili kizazi maana madaktar wengine wanasema kusafisha kizazi kunaongeza maraz je nikweli
@user-ct6mk2bo9r
@user-ct6mk2bo9r 10 ай бұрын
Mm mimba iliharibika ikiwa na miezi miwili hadi wa leo miezi miwili imeisha sjapata siku zangu na nilipima sina ujauzito
@user-fb4pt4kn6n
@user-fb4pt4kn6n 9 ай бұрын
Unanisaidiaje
@MaryamSaid-km7rw
@MaryamSaid-km7rw 9 ай бұрын
Dr habari nimeharibu mimba docter akanipa aspirin je Zina faida gani ?
@rosetemu
@rosetemu Жыл бұрын
Mimba ikiharibika inauwezo wa kuaanao kwa muda gani mwilini bila kusafisha
@msafirially7864
@msafirially7864 6 ай бұрын
Hv mtu anawez kuzuia mimb km ixhpit ck mbl
@user-ti4zw8pp9k
@user-ti4zw8pp9k 10 ай бұрын
Ety kwa mtu ambaye ametoa mimba kwa kutumia vidonge vya misoclear vinne kwa mimba ya wiki3 alafu akatokwa dam matone mawili tuu he Apo mimba inakua imetoka au Bado haijatoka
@user-ud6yj3xh7h
@user-ud6yj3xh7h 9 ай бұрын
Kwakweli ichi ndicho kilicho nitokea kama ww
@happyalicko8571
@happyalicko8571 9 ай бұрын
Nenda kapime mimba bado IPO inakuwa tu
@user-rd4tu7xj2q
@user-rd4tu7xj2q 9 ай бұрын
Mimba ipo dear,
@user-jt7jj9lm1t
@user-jt7jj9lm1t 4 ай бұрын
Doctor ukiwa mjamzito ukatumia vidonge vya uzazi wa mpango unaweza kuharibu mimba
@user-fb4pt4kn6n
@user-fb4pt4kn6n 9 ай бұрын
Dokta mimi ni mjamzito lakini nina p i d
@rosetemu
@rosetemu Жыл бұрын
Habari doctor ninamimba ya miezi mitatu ila ikiwa na miezi miwili nilipiga utrasound nikaambia mimba imeharibika ila sikukubali kusafishwa Sasa Ina miezi mitatu ila napata maumivu ya tumbo na kiuno.
@NelsonKanuya-ls2zv
@NelsonKanuya-ls2zv 4 ай бұрын
Mtu aliyeses cku Moj iliyopita atafanyaje
Hizi ndio siku za Kushika Mimba - Dr Baiya Kissiwa
10:12
Kalamutz
Рет қаралды 18 М.
КАРМАНЧИК 2 СЕЗОН 7 СЕРИЯ ФИНАЛ
21:37
Inter Production
Рет қаралды 502 М.
Пробую самое сладкое вещество во Вселенной
00:41
I Can't Believe We Did This...
00:38
Stokes Twins
Рет қаралды 70 МЛН
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 5 МЛН
Uzee mapenzini hakuna..Acheni uvivu
8:40
The XO
Рет қаралды 79 М.
VETA yatengeneza mashine za kuchuja mafuta ya Alizeti
7:08
VETA Tanzania
Рет қаралды 3,2 М.
Maandamano katika michoro
1:05
BBC News Swahili
Рет қаралды 617
КАРМАНЧИК 2 СЕЗОН 7 СЕРИЯ ФИНАЛ
21:37
Inter Production
Рет қаралды 502 М.