Mchezaji wa zamani wa Yanga asimulia anavyoendesha maisha kupitia biashara ya Mishkaki

  Рет қаралды 2,776

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Жыл бұрын

STRAIKA wa zamani wa Yanga, Kipanya Malapa amewataka mashabiki kutomchukulia poa, akiwa kwenye harakati zake za kutafuta, badala yake amewataka kujua anaishi maisha yanayompa amani.
Staa huyo ambaye kwa sasa anafanya biashara za kuuza mishikaki ya mia mbili Buguruni, amesema anaipenda biashara hiyo na hafikirii kufulia kiuchumi kwenye maisha yake.

Пікірлер: 3
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Hongera sana, Kwa kutafuta kupitia halali,,,ipo siku utakuwa juu!!
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
Hongera sana
@songombingo108
@songombingo108 Жыл бұрын
KIPANYA hongera Sana.... Huna baya... Unatafuta rizki kwa njia ya halali
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 53 МЛН
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 59 МЛН
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 53 МЛН