No video

Dakika sita za ASKOFU Malasusa kanisani akitangaza msamaha wa Dk kimaro, waumini watokwa MACHOZI

  Рет қаралды 16,296

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Жыл бұрын

Askofu wa KKKT, Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Dk Alex Malasusa leo Jumapili ametangaza msamaha kwa Mchungaji wa Ushirika wa Kijitonyama, Dk Eliona Kimaro ambaye alipewa likizo ya siku 60.
Usiku wa Januari 16, 2023 ilisambaa video ikimuonyesha mchungaji Kimaro akiwaeleza waumini wake kuwa amepewa likizo ya siku 60 baada ya kuitwa katika ofisi ya msaidizi wa askofu na kufanya kikao na mkuu wa jimbo.
Lilizo hiyo ilikuwa inamalizika Machi 17, 2023 na Mchungaji Kimaro alipokuwa akiwaaga Washirika wa Kijitonyama alisema baada ya likizo hiyo hatarudi hapo, alielezwa akaripoti Makao Makuu ya Dayosisi.
Katika msamaha huo wa leo, umetangazwa katika Ibada iliyofanyika Ushirika wa Kinyerezi, Tabata na kuongozwa na Askofu Malasusa ambapo ametangaza uamuzi huo Kanisani baada ya Mchungaji Kimaro kupewa fursa ya kuwasalimia waumini na akaomba radhi kwa yote yaliyotokea.

Пікірлер: 33
@nassorowaziri3076
@nassorowaziri3076 Жыл бұрын
Hongera Sana Mchungaji Malasusa Kwa hili Jambo ulivyoliamua na Mungu wangu akubariki mara dufu pia Hongera Sana mch Kimaro Kwa hekima ulioko nayo na mm nakuombea baraka na Amani ktk kufanya Kazi ya Mungu asante sana
@obadiansato1898
@obadiansato1898 7 ай бұрын
Daaa Hadi machozi yamenitoka Mungu azidi kukulinda Pr kimaro
@joyceallan2758
@joyceallan2758 Жыл бұрын
Moyo wa unyenyekevu...huna kosa na umeomba msamaha, Mungu akutunze mch kimaro
@yunislemnge5558
@yunislemnge5558 Жыл бұрын
Mimi ni mkatoliki lkn nampenda Mch kimaro habagui.
@mrmhenipm
@mrmhenipm Жыл бұрын
Leo hii Martin Luther ,,,akiamka atataka kufa tena
@gracejonh4022
@gracejonh4022 Жыл бұрын
Asikof wenu mlimubebea mabango ya maneno mabaya mimi mkristo mkatolik tujifunze kuwaheshi viongozi wetu msiwe mnafanya hivyo
@calvinshirima2654
@calvinshirima2654 Жыл бұрын
Hananja mchungaji Jitafakari sana na maneno Yako ( Vina muda basi
@zithalazaro6288
@zithalazaro6288 Жыл бұрын
Mafundisho ya mchungaji Eliona Kimaro ni mazuri mno
@Louez24
@Louez24 Жыл бұрын
Siku zote; usiache kuwaombea Watumishi wa Mungu na Kanisa kwa ujumla!
@magrethvalonge2648
@magrethvalonge2648 11 ай бұрын
Kimario nakupenda sana wanakuonea tu
@Discover70
@Discover70 Жыл бұрын
Perfect
@EmmA-jw5gp
@EmmA-jw5gp Жыл бұрын
Hakika huu ni msamaha wa nguvu na kweli! Umegusa kila muumini aliyeshuhudia! Ashukuliwe Mungu
@florasanga9848
@florasanga9848 Жыл бұрын
Safi sana, Mungu azidi kuwabariki ktk utume wenu
@anithamlay7327
@anithamlay7327 Жыл бұрын
Grace usiseme ambacho hujakiona,kuna bingo la askofu umeliona wapi
@kentkihongole8235
@kentkihongole8235 Жыл бұрын
Swali langu ni hili alikosa nn
@mbungembunge9865
@mbungembunge9865 Жыл бұрын
Wanadai kuwa eti alisema vijana wa kikristu sio waaminifu kama walivyo vijana wa kiislam,japo nadhan kuna makosa mengine na hasa figisu maana kimaro ana mvuto kwa waumin sana,
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Жыл бұрын
Uko mbali na Kanisa ndugu. Tuliokaribu tunajua
@mtumishi4094
@mtumishi4094 Жыл бұрын
Ili iweje ukijua au kufahamu si Kila kitu inakupasa kujua ndugu
@MrMcbana
@MrMcbana 4 ай бұрын
Wakikujibu nishtue
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Жыл бұрын
Hiv alikosea nn?😁😁😁 ukweli utabaki kua ukweli.
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Жыл бұрын
Kuna Crip
@fibesolomon926
@fibesolomon926 Жыл бұрын
Kimaro ameliona kosa Kwa Mungu wake ameitafuta amani Mungu ambariki
@user-gm4qi3nn9n
@user-gm4qi3nn9n Ай бұрын
Aliwasifia vijana wa kiislam😮 ndo kosa
@ngambikomsu64
@ngambikomsu64 Жыл бұрын
Mchungaji Hananja shame on you.
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 Жыл бұрын
Yupo na mzee was upako.walisema sanaaa
@ngambikomsu64
@ngambikomsu64 Жыл бұрын
Ndio ujue ni jinsi gani hata wanaojuita watumishi wa Mungu walivyo na roho za husda. Tukiweza kuishinda dhambi ya wivu tutapendana sana.
@ngambikomsu64
@ngambikomsu64 Жыл бұрын
Mimi sikujua kusema vijana wa kiislam na waaminifu kuliko wa kikristo ni kosa kubwa kwa kiasi hicho
@msigalaerasto1211
@msigalaerasto1211 Жыл бұрын
Ni kosa kubwa sana ki Imani. Lakini Kwa jicho la kawaida utaona hakuna kosa. Lakini ki Imani, ni kosa.
@ngambikomsu64
@ngambikomsu64 Жыл бұрын
Mungu atujalie kuyajua yote hayo.
@florakivenule1533
@florakivenule1533 Жыл бұрын
0pp⁰
@carolinekessy7510
@carolinekessy7510 Жыл бұрын
God bless you askofu ila mm Mch ananibariki cana caroline znz
@omarjamillah
@omarjamillah Жыл бұрын
Nimetoa mchozi Mungu azidi kukuinua Mchungaji Kimaro!mioyo yetu ilikuwa inavuja damu kwa kukosa mafundisho yako!Mungu akulinde
@stephenmbilo5803
@stephenmbilo5803 Жыл бұрын
Asante Yesu kwa hii roho ya msamaha
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 55 МЛН
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 26 МЛН
Usimnyooshe Mtu Kidole | USIHUKUMU | Rev. Dr. Eliona Kimaro
17:56
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 23 М.
Jinsi Mungu Alivyomfuta Machozi Mama Huyu | USHUHUDA | Rev. Dr. Eliona Kimaro
10:06
Rafiki Aliyeshambuliwa Na Majambazi Kwa Kuzuia Sadaka | Rev. Dr. Eliona Kimaro
15:05
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 55 МЛН