Kauli kali za SPIKA mwanzo mwisho "Mama hatabiriki" || Pambana na kitu kingine sio Ndugai

  Рет қаралды 555,358

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

2 жыл бұрын

Job Ndugai amejiuzulu nafasi yake ya Uspika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na kubaki kuwa Mbunge wa Jimbo la Kongwa. Katika kipindi chake cha Uspika tunakuletea kauli mbalimbali alizowahi kuzitoa ndani na nje ya Bunge hadi alipofikia kumwomba radhi Rais Samia Suluhu Hassan na baadaye kujiuzulu nafasi yake ya Uspika.

Пікірлер: 350
@abelsonmakabala6090
@abelsonmakabala6090 2 жыл бұрын
Appreciate this Man....hata kuiongoza familia kunahitaji msimamo na jeuri....huyu ndo kiongozi tumtakaye....2025 niko upande wako mzee wangu........
@salmawatuta6468
@salmawatuta6468 2 жыл бұрын
Msimamo unaomba radhi?
@robbiejerrson7437
@robbiejerrson7437 Жыл бұрын
Si Kila msimamo ni hekima. Misimamo mingine ni ujinga na upumbavu mtupu. Huyu ndivyo alivyokuwa na nduguye mwendazake!!
@walterbhoke7935
@walterbhoke7935 2 жыл бұрын
Ndugai haya ni maisha tu anaeyaweza.ni mungu tu nilijua utamaliza vibaya na bado hiyo ni trela
@mokhimji
@mokhimji 2 жыл бұрын
tumshukuru mungu kamaliza kazi bila kumjeruhi mbunge ata mmoja... ameena..
@israelifadhili9744
@israelifadhili9744 2 жыл бұрын
Bila msimamo wa namna hiyo, huwezi kusimamia bunge. Bungeni kuna kanuni, ASA kama mbunge hafat kanuni unataka afanyeje. Alifanya vizur sana, kasoro yake ni kumsalit magufuli bandari ya bagamoyo bas. Alaf ninyi mliotengeneza hii, mnapenda kuponda sana wengine wakt ninyi wenyewe ni makaburi yaliojaa kila aina ya uchafu. Jiangalien na ninyi matendo yenu, yeye ametubu na mungu amemsamehe
@jaysullman3697
@jaysullman3697 2 жыл бұрын
Usimtetee Msaliti!
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule 2 жыл бұрын
Huo si misimamo,unazuia mishahara ya watu unasema.huo msimamo?
@younginspired3899
@younginspired3899 2 жыл бұрын
Mnaanza kumtetea baada ya kujiuzulu, acheni unafki
@gabrielaniseti1537
@gabrielaniseti1537 2 жыл бұрын
TAARIFA IMEEGEMEA UPANDE.MMOJA. SAWA SISI NI WA TAMZANIA MWISHO WA SIKU.AMANI UPENDO NA UMOJA WA KITAIFA UTAWALE
@nsajigwamwakalonge5702
@nsajigwamwakalonge5702 2 жыл бұрын
Na watanzania walivyokuwa na uelewa mdogo wanaacha kujadili deni kubwa sana na mfumuko wa bei wanahangaika na ndugai
@thomasmerinyomollel3544
@thomasmerinyomollel3544 2 жыл бұрын
Mungu ni mungu na ni mwenye wifu hawezi kukubali miungu watu ndani ya dunia akiwaacha watambe basi itakua kakosea kumtoa mwanae wa pekee kuchukua ufalme duniani na mbinguni nenda wewe mungu mtu wa ----
@sifamushi1747
@sifamushi1747 2 жыл бұрын
I just love vichapo vyako. Kwa upole na taratibuuu na kiboko kinakupata...
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 2 жыл бұрын
Hongera sana Ndugai Unavuna ulichopanda yote mabaya uliyowafanyia wenzio yanakurudia. ✔️
@kamanapomo7029
@kamanapomo7029 Жыл бұрын
✔️✔️
@zubeiramlanzi2480
@zubeiramlanzi2480 2 жыл бұрын
Ata asingejiuzulu angeezuliwa tu kama mzee six ..aliambiwa safari hii tunataka spika m-mama
@mosessamwel1179
@mosessamwel1179 2 жыл бұрын
Kiburi cha uzima kimemponza, ndio ajue kuwa Dunia ni ya Mungu sio ya wanadamu. Aliwaona wenzake hawana thamani isipokuwa yeye sasa kafika wapi?
@jaysullman3697
@jaysullman3697 2 жыл бұрын
Sana tu hakuna kitu kibaya km ukijiona Mungu mtu Kiburi chake kimemrudia mwenyewe!
@kinkybanjukome217
@kinkybanjukome217 2 жыл бұрын
Wewe ndugai utakula jeuri yako na hao wanaoshangiria nyote ni dhaifu na mazuzu kweli yaani wewe babu jeuri kweli sijui hilo juso lako na upara wako utauweka wapi ulifikiria utakaa hapo milele m.mungu anakuhukumu na kiburi chako kitakurudia
@furahambughi4977
@furahambughi4977 2 жыл бұрын
Sentensi ya mwisho ni tamu sana!
@raphamahengo5480
@raphamahengo5480 2 жыл бұрын
Damu ya wengi itawarudia wenyewe twende sasa
@rasurmasoud5762
@rasurmasoud5762 2 жыл бұрын
Nimemkubali Sana jeneral ulimwengu
@kimweritz6364
@kimweritz6364 2 жыл бұрын
Urudi kumuomba radhi professor Asad kweli bunge dhaifu
@anordkyelula6266
@anordkyelula6266 2 жыл бұрын
Ilove tanzania ilove my nation
@saramichael1632
@saramichael1632 2 жыл бұрын
Jamaa Kweli Alitenda Apendavyo
@rahelimuhehe7068
@rahelimuhehe7068 2 жыл бұрын
Yaani alijiona kama Bunge kama la babaake vile na kusahau kuwa cheo ni dhamana😏
@israelifadhili9744
@israelifadhili9744 2 жыл бұрын
Nakubali msimamo wako. Achana na wajinga wasio kuelewa
@platnumzkawiche1861
@platnumzkawiche1861 2 жыл бұрын
naweza kukupiga marufuku kuongea huku ndani hakuna cha swali wala nyongeza na hunishtaki popote😂😂😂
@azizawadh5973
@azizawadh5973 2 жыл бұрын
Kaoigwa stop yeye
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 2 жыл бұрын
Na mazuri yake wekeni. Tanzania ifike mahali tuwaheshimu watu kwa mema yao na si kwa kutafuta mabaya tu. Hastahili dhihaka hizi alifanya kwa nafasi yake pia jamani. Huu ndio uhuru wa habari tunaouliliaga?!Muacheni mzee wa watu jamani.
@davegervas4707
@davegervas4707 2 жыл бұрын
weka wewe kama unayajua
@madetetv6576
@madetetv6576 2 жыл бұрын
Yaweke ww hayo mazuri acha kupangia watu cha kuposti
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 2 жыл бұрын
@@davegervas4707 fedheha ikupate
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 2 жыл бұрын
@@madetetv6576 ww ndio unataka kunipangia cha kupost ndio maana ume reply kwangu. Kumbe hata hujielewi!!Ss unatokwa poovu. Huna hata cha kusema bendera tu wewe .
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 2 жыл бұрын
@@davegervas4707 bendera fuata upepo tu wewe
@rehematawalani733
@rehematawalani733 2 жыл бұрын
Ama kweli kabla hujafa hujaumbika binaadam tumekuwa waungu tunalaani ovyo ovyo
@faustinemavere1450
@faustinemavere1450 2 жыл бұрын
Hivi bila kuwa na msimamo utaendeshaje kundi ulilonalo acheni kumsema ndugai kauli za watu fulani zilikuwa za ajabu ndugai ni jembe mkatae mkubali aliwaweza sana wenye vimidomo sijaona ubaya wake
@joune8260
@joune8260 2 жыл бұрын
Haya Sasa kinyozi umejinyoa! Ulikuwa unajiona nusu mungu kwa kauli zako za vijembe! Na hiyo Covid ulivyochanjwa mbona bado uliendelea kuugua tu. Nimependa ulivyotoka kwenye hiyo nafasi maana inahitaji mtu mzalendo zaidi na powerful brains!
@ReactorsWatcher
@ReactorsWatcher 2 жыл бұрын
Huyu Jamaa alikua Jeuri Aisee dah, What goes around comes around
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 2 жыл бұрын
We will miss you!!!
@lucasmogoile7097
@lucasmogoile7097 2 жыл бұрын
Wanna kama Hawa ndo walikiwa wa kuijenga Tanzania unyama unyama🔥
@saitotimariba2209
@saitotimariba2209 2 жыл бұрын
Kuna mda utafika mtamuona ndugae kuwa alikuwa sahihi nyie endeleeni kupiga midmo
@nassirmohd6850
@nassirmohd6850 2 жыл бұрын
Daaah, dunia hii
@mkuluwaukae2221
@mkuluwaukae2221 2 жыл бұрын
Tuliwahi kua na spika moja mbovu sana😂😂😂😂😂😂
@luganomwaisumo1938
@luganomwaisumo1938 2 жыл бұрын
Huyu na bashite akili zao sawa
@tbsgenterprises.hongera4631
@tbsgenterprises.hongera4631 2 жыл бұрын
Ndugai Lisilowezekana kwa binaadamu kwa Mwenyezimungu litawezekana.leo umeuona mkono wa Mungu usioshindwa na mamlaka yoyote.Unayoyapitia sasa ni matokeo ya kiongozi au kutumia mamlaka uliyonayo pasipo hofu ya Mungu.Spika sio Mungu Spika ni mtumishi wa watu.anapaswa kuwaheshimu ili kulipa heshima mamlaka anayoiongoza.
@marywakesho4887
@marywakesho4887 2 жыл бұрын
Uongozi hautaki nguvu na majigambo.... Wacha watu wakukubali kwa ubora wa uongozi wako...
@johnnnko5814
@johnnnko5814 Жыл бұрын
Kweli Mungu wee ni Mungu....kuheshimu mamlaka ni muhimu kwa woteee..
@kamishina7853
@kamishina7853 2 жыл бұрын
Huu mhimili umejiuzulu lakini una jambo kubwa sana unalificha Ndugai tuambie Watanzania tujue kinachoendelea
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 2 жыл бұрын
kwenda uko Ndugai huna kauli nzuri kwa watu wazima wenzako sasa utapiga makofi mezani km wenzako dadadekiii zako muliona Samia mwanamke wa mchezo mchezo Mama Samia kenda labour hawaogopi nyote na magenge yenu
@saidal-rawahi4564
@saidal-rawahi4564 2 жыл бұрын
😂 😂 😂 Kapatikana vibaya sana.
@jamilahabdallah8397
@jamilahabdallah8397 2 жыл бұрын
Kweliiii upo vizuri
@januaryjohn4771
@januaryjohn4771 2 жыл бұрын
Hakuna kitu hapo ccm mmewaibia kura wananchi hamjachaguliwa zaidi ubepari tu,hicho ndio kinachowatafuna
@kkkbrotherskahixe6818
@kkkbrotherskahixe6818 2 жыл бұрын
Iyo ya profesa Asad...
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 2 жыл бұрын
Pambana na kitu Ingine sio Ndugai. Mmmmmmmmh ulitumia nafasi yako vibaya. Yalitunzwa Sasa wanakuonyeshea, yamekugeuka.
@lucyngoo6309
@lucyngoo6309 2 жыл бұрын
Tena yeye yamemgeuka kwelikweli bila ya yeye kutarajia
@bennyjohn1412
@bennyjohn1412 2 жыл бұрын
Kazi kweli kweli wewe Ni mkweli ndiyo maana
@silvangabriel3592
@silvangabriel3592 2 жыл бұрын
Nimeipenda hio ya mirembe apelekwe nayeye mirembe
@hassanmkotya4136
@hassanmkotya4136 2 жыл бұрын
Mema yake yakowapi Yarrabi huyo ni mwanadamu kupatia na kukosea ni sehemu ya maisha yake hakika Mungu nipe jicho la tatu linijaze ufahamu binaadamu siyo watu nimeshindwa Sina hamu. Jobu Yustin Ndugai kila la kheri huko uliko.
@josephmwinuka3982
@josephmwinuka3982 2 жыл бұрын
Wema wake ni ubabe na kukandamiza demokrasia
@salehkioza-xo8ti
@salehkioza-xo8ti 16 күн бұрын
Huyu hayuko sawa na wala hastahili hata kuongoza shuĺle ya chekechea kwanza anazarau sana na kibri sana ila mungu mkubwa kuliko chochote kile,mwisho kaangukia puwa
@jeromendetaulwa3466
@jeromendetaulwa3466 2 жыл бұрын
Mzuka wa lisu utakumaliza tubu toa ufafanuzi stahiki zake ulimfuta ubunge
@allannelson1908
@allannelson1908 2 жыл бұрын
Serikali aitakikuambiwa ukweli...tutafika safari ya baba wa taifa
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule 2 жыл бұрын
Dah yan kuna watu vyeo viliwalevya🤣🤣 leo chaliii..cheo dhamana ndugu zangu
@ciarmnyone738
@ciarmnyone738 2 жыл бұрын
Jidanganyee TU........
@daphiadevencher7338
@daphiadevencher7338 2 жыл бұрын
💞💞🔥🔥🔥🔥
@doralupenza3363
@doralupenza3363 2 жыл бұрын
Nampenda Mungu wangu amenipa kitu ninacho mikononi mwangu
@mshumikivaria544
@mshumikivaria544 Жыл бұрын
Amekupa kitu gani?
@wallesmdoe9164
@wallesmdoe9164 2 жыл бұрын
Da ndugai uko vzur sana 🪴 2025
@itgamingke
@itgamingke 2 жыл бұрын
Kutoka Kenya mi nasema msikize Speaker wenu kwa sababu anaongea ukweli hapa. 🇰🇪🇹🇿
@aminamnega1778
@aminamnega1778 2 жыл бұрын
Kujiamini ni vizuri
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 2 жыл бұрын
RIP Ndugai, utangulie mapumzikoni huko
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Mmm kwani Uspika ndo Maisha tu??
@jaysullman3697
@jaysullman3697 2 жыл бұрын
Kwani ivyo ndio kashakufa km hajakufa maneno yanaeeza kumuua akapata maradhi ata mapesa yake akakosa kuyatumia na kuinjoi nayo!
@scholaredwardo6383
@scholaredwardo6383 2 жыл бұрын
Jaman msinichekeshe
@user-zl3le1wz2u
@user-zl3le1wz2u 4 ай бұрын
Aliongeza bunge kwa manufaa ya taifa lakini kujiudhuru kwake si kwa manufaa ya taifa ila alifurahisha nafsi yake, sababu tumepoteza bandari.
@NancyMatuli-fb5jp
@NancyMatuli-fb5jp Жыл бұрын
Viongozi muwe mnachunga sana ndimi zenu ona sasa ulijifanya Mungu mtu kikowapi sasa ukiziona kauli ulizokuwa unalopo sijui unajionaje na unajisikiaje
@hassanimgongola
@hassanimgongola Жыл бұрын
Inabid tujue tunakosea wap
@mohdhilali490
@mohdhilali490 2 жыл бұрын
Aaaah... Kwli kila kitu kina mwisho wake.. Ctaki ata kusikitika kwa ni kwa nin kafanya maamuz yakiokua sahihi kwke.. NINACHOKIAMINI NI KUA NDUGAI NI MKOSAJI KW WAUMINI WANYE KUIPENDELEA MEMA TANZANIA.. Na anapaswa awaombe radhi wengi san..
@mkombozikivamba8905
@mkombozikivamba8905 2 жыл бұрын
Nice
@boy-pq6ow
@boy-pq6ow 11 ай бұрын
That is good
@erickthom6308
@erickthom6308 2 жыл бұрын
mimi nakuunga mkono kwa kila jambo
@aloycesiaitys607
@aloycesiaitys607 2 жыл бұрын
Wala Ndugai hajakosea ametoa vidole vyake mapema. Tunakokwenda siko. Iko siku mtaamini.
@jaysullman3697
@jaysullman3697 2 жыл бұрын
Hizo zitakua ndoto zako tu nnachokiona apo mmmh!
@rahmarajab3688
@rahmarajab3688 2 жыл бұрын
Wewe pia Ni mtabiri!?
@innocentlethisia416
@innocentlethisia416 2 жыл бұрын
Ndugui ww ni dhaifu xnaa, alaf kama una matatizo ya sasa unamwandikia mwenyekiti wa ccm ndio aliyekuchagua?mgogooooo
@naimamunishi1241
@naimamunishi1241 2 жыл бұрын
KILA BINADAM ANAMAKOSA YAKE ss ndugai kukosea ni ajabu???ipo siku tutamkumbuka maana wabongo hukumbuka shuka pakiwa pamekucha😥
@faumamakwaia5095
@faumamakwaia5095 2 жыл бұрын
Kweli Ana mazuri mengi tu lkn wanaona mabaya tu,hakuna atakayekuwa mkamilifu duniani!
@veronicamabinamasuka1755
@veronicamabinamasuka1755 2 жыл бұрын
Uko sawa dugai
@davidjohn5977
@davidjohn5977 11 ай бұрын
Au kwa sababu ni omba omba,haya kati ya majizi na Ombamba unachagua nini?.Mimi ni Mgogo acheni dharau za Makabira.
@user-jn4zq3zm5o
@user-jn4zq3zm5o 4 ай бұрын
Nikweli kabisa usidharau usiye mjua
@nenolako8522
@nenolako8522 2 жыл бұрын
Huwa nikisikiliza dua ya kuliombea Bunge, na baadae kidogo tu nikiangalia jinsi mijadala inavyoendeshwa. Nabaki nikisema moyoni ACHA MUNGU AITWE MUNGU tu.
@froma3732
@froma3732 2 жыл бұрын
Kweli asali tamu
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Yuko sahihi ila, alinikera alipomsaliti Maguful.
@hamiduchingi2672
@hamiduchingi2672 5 ай бұрын
Ndugai mimi ninakuelewa sana tazo watanzania tumezoa kuombwa ombwa tu atakama tunakosea au tunapokiuka maadili
@eliamwasomola578
@eliamwasomola578 2 жыл бұрын
Ni kweli bunge ni dhaifu sana
@dostovan5142
@dostovan5142 2 жыл бұрын
La proff Assad ndo lilinichukiza kama mtanzania
@nazarimahamdu9524
@nazarimahamdu9524 2 жыл бұрын
Kweli nyinyi nizaifu Sanaa
@JackSolomon-oy7kb
@JackSolomon-oy7kb 4 ай бұрын
Jamani uchaguzi uwe wa amani kwani mungu apendi fujo
@kamotembaryo2283
@kamotembaryo2283 2 жыл бұрын
Pole ndugai matamanio yagoma kuliongoza taifa
@godfreyhaonga3648
@godfreyhaonga3648 2 жыл бұрын
👍👍👍👍
@rasurmasoud5762
@rasurmasoud5762 2 жыл бұрын
Ahahahaaaaa ndugaiiiiii duuuuuu! Allah Akbaru
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 2 жыл бұрын
Muwe na akiba ya maneno tu.jakaya alitukanwa weeee hakumjibu mtu.dugai nae pia ameshatukamwa Sana.lakini yote yatapita
@abubakarikisuju80
@abubakarikisuju80 2 жыл бұрын
Nimegundua huyu ndugai ni mnafiki"hajampenda samia"mbona kipindi cha magufuli ameikubali mikopo?
@davidmwandiga3465
@davidmwandiga3465 11 ай бұрын
Hamkuchaguliwa na wananchi mnaimba kura kwakutumi vyombo vya dola mungu atatoa hukumu ya haki
@FromenaWilly
@FromenaWilly Ай бұрын
Shida ni nchi kuegemea chama kimoja jamani
@user-sk7mo9of7t
@user-sk7mo9of7t 5 ай бұрын
Jeuri hailipi😊
@verrynicemushi2563
@verrynicemushi2563 2 жыл бұрын
Kweli bunge la Ndugai ni dhaifu😅
@user-jc8vt7ct9t
@user-jc8vt7ct9t 2 ай бұрын
Hajakosea ni kweli ni dhaifu
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 2 жыл бұрын
Yaani huyu pwagu huyu hata atubu VP hawezi enda peponi kirahisi rahisi,natamani nimtie chupa ya Mirinda huyu,mxhiuuuu..
@clarawilliam9959
@clarawilliam9959 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@rivaldojosiah727
@rivaldojosiah727 2 жыл бұрын
Good
@princehancesam9892
@princehancesam9892 2 жыл бұрын
Mmmmmmh
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 2 жыл бұрын
MUNGU AMEKUONYESHA YEYE NI MUNGU.ULICHOSEMA MWENZAKO UMEPATA MAJIBU YAKE.MAMA NI MWANAMKE WA NGUVU .MAOMBI YETU MUNGU AMEYASIKIA.MNAFIKI AMEUMBUKA.
@josephyasata9017
@josephyasata9017 2 жыл бұрын
Naona mnamponda utafikir mnajua Sana kuliko aliokuwa anakaa nao, vi clip vya mkato ndo mnakoment ujinga
@TAMBIMEGELI
@TAMBIMEGELI 2 ай бұрын
Mtu wa maana sana job ndugai
@halisimediatz
@halisimediatz 2 жыл бұрын
😃😃😃😃
@nikundiweamosi5087
@nikundiweamosi5087 19 күн бұрын
Hivi haya anayasikia kweli
@simonsadala2386
@simonsadala2386 Жыл бұрын
Kumbe tabia ya Zitto inajulikana hahahahaha mh speaker ni hatariiiiiii
@solomoneglesius9448
@solomoneglesius9448 2 жыл бұрын
Kweli ndege mjanja hunasa kwa tundu bovu😂😂😂 laana ya kumsingizia Yesu na muke yake😆😆😆
@erastobartalome2709
@erastobartalome2709 2 жыл бұрын
Wala huna bays ni vitu vya kawaida kabisaa walianza na magu wakaja na wengine list inaendelea wakimaliza tu tunakinukisha
@josephmwinuka3982
@josephmwinuka3982 2 жыл бұрын
Hahaha pambana na mtu mwingine siyo ndugai
@neemajackson9876
@neemajackson9876 2 жыл бұрын
Kwan ndugai hajawahi Fanya jema mbona watu wanamsema sana🤔
@caesarmtebe544
@caesarmtebe544 2 жыл бұрын
Mbona wewe hujaweka hayo mema maana yake si na wewe hujaona mema?
@allenjoseph3496
@allenjoseph3496 2 жыл бұрын
Shikamoo kongwa
@geneouscravery3428
@geneouscravery3428 Жыл бұрын
Yes
Ndugai: Kuna siku nchi itapigwa mnada
3:11
Mwananchi Digital
Рет қаралды 474 М.
SPIKA NDUGAI ALIVYOMTOA NJE MBUNGE CONDESTER - "NENDA KAVAE VIZURI"..
4:50
لقد سرقت حلوى القطن بشكل خفي لأصنع مصاصة🤫😎
00:33
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 28 МЛН
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 26 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermotta
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 18 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 60 МЛН
ZITTO YAMKUTA BUNGENI / WABUNGE WATAKA AADHIBIWE / HUU NI UMALAYA
28:51
Gangana Info Channel
Рет қаралды 104 М.
MWIGULU AMVAA ESTER BULAYA / UNANIANGALIA SANA MIMI / WABUNGE HAMUONI AIBU
9:56
MGOMBEA USPIKA ALIVYOWAKOSHA WABUNGE, ATUNZWA PESA
14:14
Millard Ayo
Рет қаралды 498 М.
لقد سرقت حلوى القطن بشكل خفي لأصنع مصاصة🤫😎
00:33
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 28 МЛН