Machinga adaiwa kuuawa kwenye ugomvi kilabu cha pombe

  Рет қаралды 1,375

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

28 күн бұрын

Mfanyabiashara ndogondogo (Machinga), John Gerald (30) anayefanya shughuli zake katika Soko la Sabasaba jijini Dodoma, amekutwa amefariki dunia akidhaniwa kupigwa na kitu kizito kichwani.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Theopista Mallya
leo Julai 12, 2024, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo usiku wa kuamkia Julai 11 mwaka huu, wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma.
Kamanda Mallya amesema kuwa chanzo cha mauaji hayo ni ugomvi uliozuka katika klabu ya pombe ya kienyeji katika eneo la Mnada Mpya, ambapo marehemu alikuwa na marafiki zake ambao hawakufahamika na juhudi za kuwatafuta zinaendelea. (Imeandaliwa na Hamis Mnha)

Пікірлер: 5
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 26 күн бұрын
Innalilah.maskn..kipenz
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 24 күн бұрын
Pombe mbaya sana😢
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 26 күн бұрын
Pombe mtihani
@user-hh7df4mq1j
@user-hh7df4mq1j 26 күн бұрын
Hizii pombe hizii dah
@rosehaule6765
@rosehaule6765 24 күн бұрын
Yaan pombe imekuwa mtih sijui kwnn awaachi kunywa pombe kali sanaa zipigwe marufuku jamani vile visunguraa zipandishe bei isiwe elf 1000 iwe bei juu maana vijana wanakunywa kamoja tu ni Vitali inaonekana kiasi kwamba kamojq tu mtu anachangqnyikiwa ja.ani
ТЫ С ДРУГОМ В ДЕТСТВЕ😂#shorts
01:00
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 6 МЛН
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 24 МЛН
HOUSE GIRL EP 12 || SEASON 2 || Love Story💕💕
19:25
BUSATI TV
Рет қаралды 65 М.
ТЫ С ДРУГОМ В ДЕТСТВЕ😂#shorts
01:00
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 6 МЛН