UKIKUTA MWANAMKE HANA BIKIRA HUYO SIYO MKE WAKO| DAMU YA BIKIRA NI AGANO LA NDOA, HAKUNA MWENYE MKE.

  Рет қаралды 49,153

Wasafi Media

Wasafi Media

25 күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 371
@dennismbote4771
@dennismbote4771 23 күн бұрын
Huyu Mzee simkubali hata kidg lakn katika hili yuko sahihi 100% kabisaaaa
@nelsonleonard6768
@nelsonleonard6768 23 күн бұрын
Halafu kwenye hii post nimegundua akina dada ndo wamekuwa wakali sana sijui kwann😂😂😂😂😂😂
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t 23 күн бұрын
😂😂😂😂
@abuum3760
@abuum3760 21 күн бұрын
😂😂😂😂
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 21 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@user-id8ys3lg5d
@user-id8ys3lg5d 21 күн бұрын
Janga la wadada wengi 😂😂😂❤
@emmadora7848
@emmadora7848 20 күн бұрын
Sio wakali ila Kwa kuwa hizo bikra hawajitoi wenyewe ,basi pia jamii iwafundishe vijana wakiume kujiheshimu na kuwaheshimu dada zao
@ayoubmtumishi50
@ayoubmtumishi50 23 күн бұрын
Ni kweli kabisa mke wa ujana ni uliyemtoa ubikra. Someni katika kisa cha Amnoni na Tamari.
@engineerjuma9876
@engineerjuma9876 23 күн бұрын
Umetoa bikira bint wa mtu kwa ridhaa ya nani? Ninyi wakilisto hamjui nini ZINAA
@blessingcharles-lc1rr
@blessingcharles-lc1rr 23 күн бұрын
Kwahiy waliobakwa na baba zao waolewe nao
@AlexAward-gg6lu
@AlexAward-gg6lu 22 күн бұрын
Da a nimejikuta nipo kwenye wakati mgumu baada ya kusikilza habar za Nikita Yan nmevurugwa ngoja npambane mpaka npate Nikita wake Zang wore na wabwaga
@vicentmtiro6927
@vicentmtiro6927 22 күн бұрын
Kwani unadhani walioana??
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 21 күн бұрын
​@blessingcharles-lc1rr 😂😂😂😂😂
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 17 күн бұрын
Daah basi mimi sijapata mke wa ujana wangu maana wote ninaokutana nao ni ndoo😂😂😂😂
@user-eg1mz6vo1d
@user-eg1mz6vo1d 23 күн бұрын
Kweli kabisaaa Mzee that's why I appreciate you 🙏 umeongea ukweli mtupu yaaahni umetishaaa sanaaaa
@djnizoh
@djnizoh 23 күн бұрын
For sure
@user-wz3ne2kc3o
@user-wz3ne2kc3o 22 күн бұрын
Kweli kabisa japo jamii ya sasa haitaki kusikia ukweli huu pongezi kwako na elimu hii irudishwe na iwekwe msimamo kabisa
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 23 күн бұрын
Wadangaji na walioa wasiokuwa bikra wamepanic sana, lakini ata ww unayefurahia kwakuwa bikra usijimalize sema tu Ahsante mungu alafu kausha, maana siku hizi znatengenezwa mtaani
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 21 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@JulianaMaimu
@JulianaMaimu 23 күн бұрын
Mmmmh jamani pastor huyo kagusa mahali patam. Nimempenda Sana huyo pastor amenikumbusha jamani tukilelewa na Mama yetu alivyokuwa anatufundisha
@dancemoves4
@dancemoves4 23 күн бұрын
😂😂😂😂Oscar anasema huwenda sisi wengine. Hatujawahi kukutana na watu wenye ujana mnaujua ujana nyie😂😂😂😂
@athumanimhanga2053
@athumanimhanga2053 23 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 21 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@jumaradhomary8591
@jumaradhomary8591 19 күн бұрын
Ila oscar😂😂😂😂
@ludovicshirima1793
@ludovicshirima1793 18 күн бұрын
Kasem kwl lakn
@DavidNdaha
@DavidNdaha 23 күн бұрын
Kiukweli alie towa Bikra nikweli ndo mme wake Ila changamoto
@HkidKapinga
@HkidKapinga 23 күн бұрын
Ndo maana hata yusuph alitaka kumuacha mariam kwa siri, baada yakugundua mariam mjamzito,akijua bikira imetolewa na mtu nwingine,hadi malaika alipompa go ahead
@danieljohn6904
@danieljohn6904 21 күн бұрын
Kama ni hivyo sasa mbna alimuoa..?usidanganywe hayo ni mambo ya kale kabla ya Yesu mwenyewe mfalme wa ulimwengu soma 2Wakorintho5:17-19 na Yohana 3:1-7
@ngoyabaraka8143
@ngoyabaraka8143 22 күн бұрын
Ni sahihi Sasa unakuta mwanaume kaoa mke, bikra kaikosa pia mimba ya kwanza kaikosa, mtoto wa kwanza kamkosa, mechi inanza mbili bila au moja bila ndo wake wetu wa Sasa gen z😅
@user-ly2tv5og1n
@user-ly2tv5og1n 23 күн бұрын
Wasichana wajichunge Bikra zao, ni muhimu.
@emmadora7848
@emmadora7848 20 күн бұрын
Na wanaume pia ,kwani hao wadada wanajitoa wenyewe hizo bikra?
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 22 күн бұрын
Ni ukweli ubikira ni agano. Hilo ni kweli. Na kutairi mtoto ni agano moja hatari sana. Mungu tusaidie. Wazee wetu walitairi vijana. Sasa tunawapeleka kwa watu tusiowajua wanatairi watoto wanaingia nao maagano. Mungu tusaidie. Unashangaa mtoto anakuwa. Na tabia za ajabu.
@user-kq7mp8qz9e
@user-kq7mp8qz9e 23 күн бұрын
Kwahiyo kunawajanja kutoa bikra ndio jazi yao nasisi wengine hatujawahi kktana nabikra basi shida
@MeshackKamenya
@MeshackKamenya 23 күн бұрын
Ni sahihi kabisa mzee wa upako
@user-hj8sc7jv5m
@user-hj8sc7jv5m 22 күн бұрын
Ni kweli mm nilitafuta mke mwenye bikira nilikuwa siamini kuoa mwanamke asiye na bikira atakuwa mke sahihi. Naamini mwanamke uliembikiri hawezi kukusahau maishani kamwe hata mfanyaje
@Khadija-f7b
@Khadija-f7b 23 күн бұрын
Kweli kabisa umeongea mie nashindwa kumsahau mume wangu wa agano keo miaka ishilini ,siko nae lkn namkumbuka mno nitafanya mpango nirusi kwa mume wangu inshallah
@AbisaiMwambene-fo9pt
@AbisaiMwambene-fo9pt 22 күн бұрын
Kama huyo aliye kuwa wa kwanza kwako na akaoa Alie bikra ndo anaeishi nae unarudije kwamfano?
@neemajames5137
@neemajames5137 23 күн бұрын
Uko sahihi kabisa
@user-vb7vw2jr7d
@user-vb7vw2jr7d 22 күн бұрын
Nisawa shida nikupita gari kubwa halafu wewe upite na bajaji au na pikpiki ndio migogoro inaanzia hapo
@Mahershalalhashbazi-kf6xi
@Mahershalalhashbazi-kf6xi 19 күн бұрын
Pwaku pwaku
@TarimoMangi
@TarimoMangi 23 күн бұрын
Bro, Me ni MANGI na saiv a miaka 25,kwa sasa najiandaa kuoa lakini STAKI KABISA KUOA MWANAMKE ASIYE KUA NA BIKRA maana kwanza ntakua nachukua makombo, napia kwa sisi waktisto kuoa mwanamke ambae amesha ungana na wanaume wengine au mwingine kimwili inamadhara makubwa sana KIROHO,inakufanyA usiwe na nguvu kiroho na pia inaondoa baraka kwa watoto wako.
@TarimoMangi
@TarimoMangi 23 күн бұрын
Kwahiyo mzee ameongea ukweli 100%
@AwardHakimu
@AwardHakimu 23 күн бұрын
Upo sawa hizo takataka ambazo hazina bikra weka kushoto Mimi mwenyewe naoa bikra Bora nilipe mahali kubwa lakini nioe bikra
@emmadora7848
@emmadora7848 20 күн бұрын
Basi hakikisha na wewe hufanyi kabla ya ndoa ,Kwa sababu pia ukristo haujaruhusu mwanaume kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa
@TarimoMangi
@TarimoMangi 20 күн бұрын
Me ni mkweli kaka, maana ukristo hauturuhusu kusema uongo
@TarimoMangi
@TarimoMangi 20 күн бұрын
Amen kaka
@kdloon2030
@kdloon2030 23 күн бұрын
Huyo dada mtangazaji alivyo dakia juu kwa juu na kuseama"Basi yabidi turudiane na ma X wetu"yaelekea bado unamfikiria X wake
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 22 күн бұрын
Yani hii kitu ya agano achana nayo. Haya issue yakutairi watoto ni agano. Yani watoto walitakiwa watairiwe na wazee wa kanisa. Tunapeleka watoto kutairiwa wanaingia maagano na watu wasiowajua. Haya mambo ni magumu sana .
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 6 күн бұрын
Ni kweli sana, Bikira ni dhamana, amepewa mwanamke, hivyo atakaye mpa akala huyo ndiyo mumewe. Utakapo muoa wewe siku ya kiama ujuwe atadai mke wake na hivyo utamlipa ndiyo uwe naye.
@davidmangilile3568
@davidmangilile3568 23 күн бұрын
Upo sahihi sana %90 ya wanawake wanaolewa wanakuwa wanawake wa watu kwakuwa wanaolewa wakiwa tayali washatumika😅😅😅
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur 23 күн бұрын
Huyo mtangazaji wa kike imemuuma sana mpaka kaamua kubadilisha maada maana bikra alitolewa kitambo na jamaa hajamuoa maskini inauma mpaka kaamua kubadilisha maada kaenda kwenye idadi kubwa ya wanawake kwenye makanisa Aliyoyaongea Mzee wa Upako Yote kuhusu Bikra, dhambi, Agano la damu yote ni kweli
@rauncesimwaka1320
@rauncesimwaka1320 21 күн бұрын
Mfalme daudi alioa mke wa hulia Kwa hiyo hakua mke
@maclean7727
@maclean7727 4 күн бұрын
Mzee umeongea hekima sana, lakini, umechelewa tumeshakosea, hatujui tufanyaje, maana hawa wanawake hawatuheshimu kabisa, nao ni vichwa vya familia.
@marcobulili4341
@marcobulili4341 23 күн бұрын
Ila uko sahihi kabisa mchungaji!
@SylivesterKilunga
@SylivesterKilunga 23 күн бұрын
Kwahili nimekukubali sana
@thetrailerzone2791
@thetrailerzone2791 23 күн бұрын
Ni ukwl anaosema
@shau78
@shau78 23 күн бұрын
ni kweli kabisa mchungaji anavyosema. lakini mimi kama mkristo naamini kwenye kutubu dhambi na kumuomba Mungu abadilishe pale palipokosewa. na Mungu hashindwi kitu. Mwanamke alietunza bikra mpaka akaolewa, kisha akazini baada ya kuolewa hana haki kuliko mwanamke aliekutwa hana bikra (hata kama alikuwa dada poa), lakini akatubu kwa dhati na kutulia na mume wake.
@peterrulagora7403
@peterrulagora7403 19 күн бұрын
Mungu akubariki
@shaddybmc8342
@shaddybmc8342 23 күн бұрын
Nakubali baba , iyo ni kwel kabisa🎉😂
@jafethleonard5821
@jafethleonard5821 23 күн бұрын
True
@user-gv2un4jl3m
@user-gv2un4jl3m 23 күн бұрын
Oscar mbona kama kazuubaa hajawahi kukutana na kisiki nini? Kisiki ni BIKRA
@jumaradhomary8591
@jumaradhomary8591 19 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@98Maktaba
@98Maktaba 23 күн бұрын
Alafu mazee yasikuhuzi bila aibu yanatutoza mahali kuuuubwaa bila kuwaza kuwa yanatupatia chocolate kwenye gazeti shame on them and they are daughters
@husseinmassawa7186
@husseinmassawa7186 22 күн бұрын
Oscar na baba levo hao wote mliowaowa sio wake zenu, nendeni mkatafute wake zenu😅
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 22 күн бұрын
Hii issue ya agano . Hasa kutairi. Siku namtairi mtoto nilizimia. Kutairi ni agano la damu. Sasa wakristo tunatakiwa kufanyaje. Haya mambo magumu
@ArobogastMashamba
@ArobogastMashamba 23 күн бұрын
Ndo maana kwenye WOKOVU hakuna upenzi/ugirlfriend/uboyfriend...ni uchumba kisha ndoa
@maxmiliangunze8931
@maxmiliangunze8931 23 күн бұрын
Mtumishi yupo sahih kabisa tunaingiliana tuu kaa wanyama..... Tuoe kihalari bikra
@MagrethMhina
@MagrethMhina 23 күн бұрын
Upo sahihi baba sasa inabidi mch kabla hajafungisha ndoa mabint waulizwe na kuwa wakweli kua na bikra wapimwe kama wachumba wanapima hiv barikiwa mabinti wasiwe na vishawishi
@aminitu3766
@aminitu3766 23 күн бұрын
Duh! fact sana hii.!! Umetisha sana Yan mafundusho yako yote haya nmeyaelewa
@vero57
@vero57 23 күн бұрын
Bwana aliye nitoa bikira sijui yuko wapi ??? Hata siku hiyo ni kama alinibaka maana nilikua sielewi kitu 😂😂😂
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 23 күн бұрын
Ndio mumeo ata kama amekufa
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 21 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂pole ❤
@someless
@someless 21 күн бұрын
😊
@astonathanasio163
@astonathanasio163 20 күн бұрын
kamtafute ndo mme wako huyo
@user-wx9or8rw4n
@user-wx9or8rw4n 19 күн бұрын
Mkiolewa na bikra wanawake wawili mama Yako anapata Pepo takbiiiir! Allah Akbar.
@Elybwayz
@Elybwayz 23 күн бұрын
Na alietoa bikira zaidi ya 1 wote wakezake😅
@robertsongola6034
@robertsongola6034 23 күн бұрын
Hiyo itakuwa kweli
@robertvicent78
@robertvicent78 23 күн бұрын
@@Elybwayz eee wote n wake zake
@gostiveradam3921
@gostiveradam3921 23 күн бұрын
😂
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 21 күн бұрын
Yes wote
@MonicaCyprian
@MonicaCyprian 20 күн бұрын
Ndiyo akawachukue
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 22 күн бұрын
Imeenda hiyo na wale madada waliojivuavua ndiyo maana ni wakali kwa comment maana mmepigwa na kitu kizito
@mamawadudu48
@mamawadudu48 23 күн бұрын
The spirit of confusion is loading.
@danieljohn6904
@danieljohn6904 21 күн бұрын
#Hii ni saa ya kuambiana UKWELI kama Kuna mwenye Hekima mmoja Asome 2Wakorintho 5:17-19. Na Yohana 3:1-7. Mtu anadanganya UMA tena kwenye Media kweli waongo wapo na wengi wanawafata nitajie andiko bas hayo Yalimalizwa na Yesu mwenyewe....By Man of God (Taifa kubwa) na waandishi na nyie mnakubali jmn poleni sana#
@maclean7727
@maclean7727 4 күн бұрын
Huu ni uongo YESU alitukomboa kwenye dhambi, hakuna kubadilisha agano la ndoa. Kama ingekuwa hivyo mabinti wasingekuwa wanazaliwa na bikra.
@maclean7727
@maclean7727 4 күн бұрын
Hakuja kubadilili agano la ndoa, alikuja kutukomboa na dhambi.
@georgebataze6625
@georgebataze6625 23 күн бұрын
Hii issue sounds very real. Ndio maana ndoa nyingi hazieleweki. 😅 men tunaishi na wake za watu😂. Nafikiri shetani kafanikiwa sana eneo hili ndio maana tunakubali sote kuwa ndoa za siku hizi miyeyusho. Ukimpata mwanamke wa ujana wako na ukadumu nae, inaheshima sana maana unaujasiri kuwa wewe ndie uliefungua njia hata hisia mbovu mbovu unakuwa huna. 😂😂😂. Leo hii unakuta wapenzi hawapati ladha yenyewe kabisa mara huyu anakibamia mara huyu pana sana, kumbe size tofauti zimepita😂. Sasa men wanaanza kuruka ruka ili kukidhi haja zao, hii sio kwamba shetani kashinda kwenye eneo hili?
@emmadora7848
@emmadora7848 20 күн бұрын
Ikiwa wewe ( men) sio bikra ,unataka upate mke bikra kutoka wapi?
@emmadora7848
@emmadora7848 20 күн бұрын
Nyie bikra zenu mnazitolea wapi ? Kama ni Kwa hao mabinti basi sahau kupata mke bikra
@georgebataze6625
@georgebataze6625 20 күн бұрын
@@emmadora7848 niipate kwako
@georgebataze6625
@georgebataze6625 20 күн бұрын
@@emmadora7848 fafanua vizuri bikra ya mwanaume iko vp wakati akibarehe tu na akiota ndoto nyevu anamaliza.!! Bikra inapatikana kwa jinsia ya kike
@georgebataze6625
@georgebataze6625 20 күн бұрын
​@@emmadora7848ikiwa baba yako alikuonya usifanye ujinga mpaka pale utakapo olewa harafu wewe ukapuuza na ukadanganywa kosa nilanani?
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 23 күн бұрын
Mzee uko sawa kwaushahidi huu ndomana vitabu vya M/MUNGU vimekaza kuzini tabia ya kuzini ndoimeleta watu kuowa wasichana wasio bikra
@iddylumbila7399
@iddylumbila7399 23 күн бұрын
Umeongea ukweliofichwa kwa muda mrefu na viongozi wa dini, na ukumbuke ukweli unauma kwahyo tegemea kupata comment za waliomia na waliojifunza, kama umeumia dislike na kama umejifunza hapa chini.
@BeatriceBandio-qo6yp
@BeatriceBandio-qo6yp 17 күн бұрын
Ndio baba uo ndio uungu na baraka na nuru ndani ya mwanamke kutoka kwa Mungu
@iamdisciple_tz
@iamdisciple_tz 23 күн бұрын
Bora ata umeongea hii maada nilikua nawambia mmenipambanisha wenyewe wananambia mfungwa achagui gereza. Waludishe tu mahali zangu wachukue Toto rao
@BarakaProtas
@BarakaProtas 23 күн бұрын
😂😂 fata mahari umepigwa
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t 23 күн бұрын
Kuna ndoa imekufa😂😂😂😂😂
@robertsongola6034
@robertsongola6034 23 күн бұрын
Leo umesema kweli
@user-qf9uj2oc1b
@user-qf9uj2oc1b 22 күн бұрын
Walio wengi tunaukataa ukweli baada yakujikuta tumekosea ila mzee anaongea ukweli
@vero57
@vero57 23 күн бұрын
NA NYIE WANAUME JEE??? BIKIRA?????? PANDE MBILI HAPO TUNAOGELEA?????😂😂
@jonasfrank1758
@jonasfrank1758 22 күн бұрын
Baba mchungaji kwa mafundisho unayotoa, hiki kituo inabd kifanye arrangement na wewe atleast kila week uwe na dk zako 15-20 kwa ajili ya mafundisho
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 11 күн бұрын
Oscar amehuzunika sana..inaonyesha hajawahi kupata mke Bikra
@dioclesrweramila7926
@dioclesrweramila7926 23 күн бұрын
Malaki 2:14 [14]Lakini ninyi mwasema, Ni kwa sababu gani? Ni kwa sababu BWANA amekuwa shahidi kati ya wewe na mke wa ujana wako, uliyemtenda mambo ya hiana, angawa yeye ni mwenzako, na mke wa agano lako.
@danieljohn6904
@danieljohn6904 21 күн бұрын
Ukimgonga mwanamke bikra ndiyo amekuwa mke nakataa huko ni kuzin tena ni dhambi kama dhambi zingine unatakiwa kuelewa soma 2wakorintho5:17-19 na Yohana 3:1-7
@edwinmbunda6709
@edwinmbunda6709 20 күн бұрын
​@@danieljohn6904Huwezi bishia biblia ndugu....
@allykk1459
@allykk1459 20 күн бұрын
Mara nyingi anasema kweli nimependa sana
@Mahershalalhashbazi-kf6xi
@Mahershalalhashbazi-kf6xi 19 күн бұрын
Chief Mwantebe leo kasema iliyo kweli
@donaldmgunda4970
@donaldmgunda4970 23 күн бұрын
Weweeeee mzeeer usituvurugee hapa bwanaa😮
@user-tu9zm1jh3n
@user-tu9zm1jh3n 16 күн бұрын
Mmmh
@reganpaul8542
@reganpaul8542 18 күн бұрын
Mzee hapa hekima imajaaa chief
@vero57
@vero57 23 күн бұрын
Wanaume sasa leo wamepata kichwa, wasio na bikira sio mkeo khaaa hiii kali, kwahivyo wafanywe nini wasio na bikira watupwe ??? Tuta zindi kuzalauriwa 😮😮
@issamuhammedi
@issamuhammedi 23 күн бұрын
Utaenda kwa alie kutoa
@pastadandan3569
@pastadandan3569 23 күн бұрын
Kuna wengine tangia awe kijana mpaka amezeeka hajawahi kubahatika bikra hata Moja
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 21 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@emmadora7848
@emmadora7848 20 күн бұрын
Sasa kosa la nani ? Anayetangatanga kuhatibu mabinti za watu au hao mabinti?😂😂😂😂
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 19 күн бұрын
​@@ELIZABETH-uz6dv😂😂😂😂😂😂😂
@pastadandan3569
@pastadandan3569 19 күн бұрын
@@ELIZABETH-uz6dv Eliza wewe
@pastadandan3569
@pastadandan3569 19 күн бұрын
@@emmadora7848 hakuna mwenye kosa hapo
@user-zn7yp4cp1e
@user-zn7yp4cp1e 19 күн бұрын
Oscar Oscar unapenda story kama izi
@user-oz8mc7mz7z
@user-oz8mc7mz7z 21 күн бұрын
Zitatengenezwa sana
@neemajames5137
@neemajames5137 23 күн бұрын
Jamani msitukane Masihi wa Bwana ndivyo biblia inavyosema.
@Docantz
@Docantz 19 күн бұрын
Mzee ametusha 🎉
@HamadiMzee-ut9bq
@HamadiMzee-ut9bq 22 күн бұрын
Now days kunamatukio mengi wengine utolew bikla kwa kulazimishwa yan kubakwa achen kashifa nyinyi
@gilbertbidimbuka9104
@gilbertbidimbuka9104 16 күн бұрын
Mimi nasema kuwa huyu mzee siyo Mkristo na haujui Ukristo kabisa niko tayari hata mniite hapo kwenye kipindi nimjibu huyu mzee na hata nisimame naye tujibiane mimi na yeye
@hajihassan5433
@hajihassan5433 16 күн бұрын
Umepigwa nini? Kula kiporo hicho hukupata bikira. Mzee yuko vizuri 100%. Hapana cha kujibu hapo Mkristo ni mke mmoja ukiona ushatombwa au ushatomba na zaidi ya mtu mmoja wewe sio Mkristo!
@HalimaMaulidi-sv7le
@HalimaMaulidi-sv7le 23 күн бұрын
Na ukikutana na mume co bikira pia ujue co mume wako ( Namaanisha mwanaume pia kuna mtu aliyeanza naye mapenzi wanawake mpoooo!)
@maclean7727
@maclean7727 4 күн бұрын
Mwanaume mmoja anaweza kutoa bikra hata tano, hao wote ni wake zake kwa mujibu wa agano la damu.
@maclean7727
@maclean7727 4 күн бұрын
Lakini mwanamke mmoja hawezi kutolewa bikra na wanaume wawili, ila mmoja tu.
@maclean7727
@maclean7727 4 күн бұрын
Na hiyo ndo maana kwenye agano la kale wanaume walikuwa wanaoa mke zaidi ya mmoja, lakini kwa mwanamke haikuwezekana.
@UfahamuwaKristo
@UfahamuwaKristo 22 күн бұрын
Au ndo maana ndoa nyingi za leo zina migogoro sana
@edwinmbunda6709
@edwinmbunda6709 20 күн бұрын
Yeah
@user-eu6ql9zl7n
@user-eu6ql9zl7n 15 күн бұрын
Haswaaaaa
@eminenceboy8386
@eminenceboy8386 19 күн бұрын
Mm huyu mzee waupako naanza kumuelewa kidog kidog😂
@bechubechuissa8965
@bechubechuissa8965 23 күн бұрын
Kweli mzee wa upako
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 22 күн бұрын
Wengi hawana wake kwa kweli😂😂😂😂
@user-wx9or8rw4n
@user-wx9or8rw4n 19 күн бұрын
Ndo mana tumeambiwa tuowane kabla ya kuingiliana.ndo mana dharau nyingi.
@gilbertbidimbuka9104
@gilbertbidimbuka9104 16 күн бұрын
Huyu mzee kuna kongamano liliandaliwa akakimbia harafu anasema ajibiwe hoja wakati kaalikwa ili aje natuhuma zake juu ya Ukristo akakimbia. Sasa ushauri wangu kwenu watangazaji waalikeni na wachungaji wengine waje wa mjibu hoja huyu mzee ambaye Ni mhuni tu asiyeijuwa Biblia
@AwardHakimu
@AwardHakimu 23 күн бұрын
Walokole wanaongoza kwa uzinzi unakuta kwaya nzima ni wapenzi watupu hovyo sana
@zuberikamote2078
@zuberikamote2078 22 күн бұрын
Kwhyo mimì frida kaniambia nyumba hii tufame nihame kweli maananyasije yakatokea makubwa
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 21 күн бұрын
IMEEENDAAAA HIYO TAYARI!!!!, BONGE LA SOMO !!!
@SilasNdaisabha-gx8jo
@SilasNdaisabha-gx8jo 23 күн бұрын
Faini naitakaaa
@Mahershalalhashbazi-kf6xi
@Mahershalalhashbazi-kf6xi 19 күн бұрын
😅😅
@kibosniper5219
@kibosniper5219 23 күн бұрын
Hahahah mimi nimetoa bikira san watot wa watu afu ikawaga nikiwatoa wanapendan na wengin da dini hizi mungu aje tuokoa man tunadanganywa.hata mimi niliamin kumtoa bikr mwanamke ni wangu bt haijawah tokea kwanz akishatolew tu ndo wanakua malaya kisenge
@user-cp2do9pd5k
@user-cp2do9pd5k 22 күн бұрын
@@kibosniper5219 omba Toba sana ndugu maana utakufa mbaka uone watoto wako wakiumizwa
@aminitu3766
@aminitu3766 23 күн бұрын
MTU anangangana mke wangu mke wangu upuuz tu umemkuta nayo
@abdulkilihindi7725
@abdulkilihindi7725 23 күн бұрын
Hhh,,hili zee kwel somi
@barakakevela245
@barakakevela245 22 күн бұрын
KWA KWELI MI NISHAKUTANAGA NA BIKRA MMOJA TUU
@SylivesterKilunga
@SylivesterKilunga 23 күн бұрын
Mtumishi umenena
@richardmakweta8875
@richardmakweta8875 16 күн бұрын
Hivi mzee waupako umepatwa nanini?
@Chakol123-k7s
@Chakol123-k7s 23 күн бұрын
Mwanamke ni mungu wa pili katika dunia 🎉🎉 bila mwanamke dunia hii isingejaa viumbe hai... God bless woman's 🎉
@knowledgeispower1118
@knowledgeispower1118 23 күн бұрын
Mwanaumke ni lango la shetani tokea kale na kale..Eva amekula njama na shetani wamuasi Mungu..mwanamke haruhusiwi hata kuwa kusimama mbele ya madhabahu hata huko msikitini.
@iamdisciple_tz
@iamdisciple_tz 23 күн бұрын
Apa tunazungumzia ndoa za kikristu kwene biblia sio woman's
@timothympandagoya6338
@timothympandagoya6338 23 күн бұрын
Acha kumfananisha Mungu na vitu vya kijinga
@bensonswai-hl6fn
@bensonswai-hl6fn 23 күн бұрын
Nn maan ya DNA maan nmeshangaa ulivosema bil yy akun uhai kivp
@Chakol123-k7s
@Chakol123-k7s 22 күн бұрын
Maana ni kwenye uzao huyo mwanamke angeamua kunywa sumu wewe na hao chura wenzio msingekuwepo hapa yn mwanamke ana asilimia 50% ya maisha yako angeamua kufanya abortion ww chura usingekuwa na hzo stupid words 😏
@user-wx9or8rw4n
@user-wx9or8rw4n 19 күн бұрын
Njoo upose ....zipi nyingiiiiiii
@henrymjema1685
@henrymjema1685 23 күн бұрын
Huu ni ukweli unaouma
@user-vk4mv8vs7c
@user-vk4mv8vs7c 23 күн бұрын
Hadisi za abunuasi Asome alama za nyakati
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 23 күн бұрын
Ameeleza vizuri huyu MCHUNGAJI,MUNGU AMLINDE
@joyce55727
@joyce55727 23 күн бұрын
Niliolewa nikiwa bikra x wangu alifulah sana baada ya mwez mmoja alianza kunisumbua kua sijui mapenz na akasema bola waludia na mama mtt wake
@joyce55727
@joyce55727 23 күн бұрын
Wakazaa mtoto mmoja nilikaa nae kwenye ndoa miaka 3 nikaondoka saiz ana watoto 8 mama zao 6 et sku izi anatuma watu tuludiane nimekataa pia mm nae nilipata mtt 1 saiz ana miaka 13 yaani nipo tu na mtt wangu ata sitak kuolewa tena n miaka 10 tangu tuachane yaani kua na bikira hio haimfany mwanaume akakupenda yaani kipindi ananichumbia adi ndoa ikafungwa hakuwah kusema kua ana watoto mateso nilio yapitia kwake sizan km nitayasahau
@hanifa9153
@hanifa9153 23 күн бұрын
Am very sorry same situation😢😢😢😢😢​@@joyce55727
@ferdinandlazaro15
@ferdinandlazaro15 23 күн бұрын
​@@joyce55727ndiyo umeamua kunisema hadharani
@Brandpeople
@Brandpeople 22 күн бұрын
@@joyce55727 Hapa lawama sio kwenye Bikra, hapa dada ulikosea kuchagua, wala haina uhusiano na Bikra. We unakubalije kuolewa na mtu ambae kakuficha kuwa anafamilia nyingine?? hata machale hayakukucheza kweli? hata kupeleleza kwa ndugu na marafiki au wadogo zake ?
@Brandpeople
@Brandpeople 22 күн бұрын
Ila pongezi kwa kujitunza mpaka ndoa. Wanawake wengi umewashinda katika hilo.
@ElizabethWamcha
@ElizabethWamcha 23 күн бұрын
Sasa kama alinitoa bikra alishafariki inakuaj
@98Maktaba
@98Maktaba 23 күн бұрын
Hapo ww ni mjane😅
@athumanmsuya2688
@athumanmsuya2688 23 күн бұрын
Wewe ni mjane
@twiserchaki6029
@twiserchaki6029 23 күн бұрын
Kwa haraka mlizikuwa nazo...mnatolewaga na mazombie
@OmyJr-hw2nk
@OmyJr-hw2nk 23 күн бұрын
Tafuta bikila
@joyce55727
@joyce55727 23 күн бұрын
Niliolewa nikiwa bikra x wangu alifulah sana baada ya mwez mmoja alianza kunisumbua kua sijui mapenz ni alikua akinifundisha ila sikua mwepes wa kuelewa sku moja akaniambia ni bola aludiane na mama mtt wake na pia mm kipindi ananichumbia hakusema kama ana mtt alinichumbia akatoa mahali harus ukafanyika kumbe naolewa na alishababu 😢😢😢 nilikaa nae kwenye ndoa miaka 3 nikaondoka saiz ni miaka 10 tangu tuachane pia ana watot 8 mama zao 6 et sku izi anatuma watu tuludiane nimekataa pia mm nilizaa nae mtoto mmoja
@confredsangija
@confredsangija 17 күн бұрын
mzee wa punyeto leo yuko kwenye masuala ya dini,,,,basi si ungeuliza na kuhusu punyeto na chama cha wapiga pu kama kipo kihalali?>
@MobsFundisimu
@MobsFundisimu 22 күн бұрын
Nikuelewa sana
@elizabethkweji7304
@elizabethkweji7304 20 күн бұрын
Baba mwongo huyo😂😂😂😂😂
@reginaaloyce4055
@reginaaloyce4055 17 күн бұрын
Nna swali hao wanaotoa hzo bikra ni kina Nan?
@gilliansiara3324
@gilliansiara3324 18 күн бұрын
Huyo mwanaume yeye ni bikra,
@obadiabarakahango602
@obadiabarakahango602 23 күн бұрын
Na kuhusu Damu ya Yesu kufanya agano jipya inamaana gani? Huna andiko baada ya Yesu ,unadanganya watu. Someni Wagalatia 3: Yote Mtanielewa
@edwinmbunda6709
@edwinmbunda6709 20 күн бұрын
Damu ya Yesu ni damu iliyomwagika kwa ajili ya ondoleo la dhambi (upatanisho), sio kwa ajili ya agano la ndoa. Damu ya agano la ndoa ni ubikira. Tofautisha agano la wokovu na agano la ndoa. Mungu ni Mungu wa utaratibu.
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,4 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 44 МЛН
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 4,9 МЛН
Can A Seed Grow In Your Nose? 🤔
00:33
Zack D. Films
Рет қаралды 26 МЛН
MAENDELEO YA UJENZI MRADI WA DART AWAMU YA TATU
5:49
DART TV
Рет қаралды 7 М.
Waka Waka 💦💃😁 #funnyshorts #rianashow
0:14
RianaShow
Рет қаралды 10 МЛН
Anxiety panic attack (Inside Out Animation)
0:11
FASH
Рет қаралды 10 МЛН
Арбузорезка 🍉
0:42
Сан Тан
Рет қаралды 3,8 МЛН
УЙЛАНМАГАН БОЛАР ОГОХ БУЛИНГ БУНИ КУРИМ #трент #тренды
0:13
ОНЛАЙН ТИК ТОК БАТИЛ
Рет қаралды 1,6 МЛН