No video

Dakika 25 za Waziri Mkuu Bungeni leo, atoa MAELEKEZO haya uchaguzi wa Serikali za mitaa

  Рет қаралды 976

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

5 ай бұрын

T.Maelekezo ya Waziri Mkuu uchaguzi wa Serikali za mitaa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameielekeza Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) kushirikiana na wadau mbalimbali kufanikisha maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu.
Majaliwa ametoa maelezo wakati akitoa hoja ya kuahirisha mkutano wa 14 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ieo Ijumaa, Februari 16, 2024.
Aidha Majaliwa amewataka wasimamizi wa maboresho ya daftari la kudumu la wapiga kura kutoa elimu ya mpiga kura kwa makundi yote, kuwafikia Wananchi wote na kuwawezesha kuelewa sheria, kanuni na taratibu za mchakato mzima wa uchaguzi.

Пікірлер
KIJIWE CHA MWANASPOTI, MASHABIKI WATAMBIANA KUELEKEA  DABI YA KARIAKOO
24:10
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 27 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 56 МЛН
Mbunge Ataka Serikali Kutoa Taarifa Mradi wa LNG Lindi
24:56
KOCHA WA SIMBA AMTAJA PACOME, ATAMBA KUJIPANGA 'DABI' YA KARIAKOO
12:49
MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris
16:53
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 718 М.
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 27 МЛН