Hongera nyingi kwa Muasisi wa Mradi huu JPM pamoja na Mheshimiwa Rais Dr Samia kwa kuendeleza Miradi yote mikubwa ya kimkakati. Kanda ya ziwa tutanufaika sana na Daraja hili.
@khalidballeth595719 күн бұрын
Gnga LIKE kwa Hayati JPM
@zachmaselle663519 күн бұрын
Hayo Magugu ziwani, tunangojea mpaka wazungu waje kuyaondoa?
@African51115 күн бұрын
Akili za mwanaume mmoja aitwaye Magufuri,alooo Mungu alimtumia sana huyu jpm
@anafisuleimani708319 күн бұрын
Hongera nyingi kwa viongozi wote mlio shiriki ujenzi huu
@worldtechlab20 күн бұрын
Wow beautiful 😻
@charlesmwambinga435519 күн бұрын
Safi Chama Cha Mapinduzi kutekeleza Irani na kumalizia Miradi ya kimkakati..Mama SSH 2025 tena
@omarybakunda255419 күн бұрын
Hakikisheni mnatoa majani yaliyo ota kwenye maji
@ZeProDJay19 күн бұрын
Hili daraja halijaishaga tu duuh
@samsonmwijage186918 күн бұрын
Angelikuwepo duniani mwenyewe kwa sasa magari na waenda kwa miguu wangelikuwa wanapishana juu katika daraja hili.
@msafiriomary89314 күн бұрын
Mpaka reo mnaiba tuu cement na nondo hariiishi mrimtoa bure tuuu magufuli mngemuacha atujengeee inchi wajinga nyinyi