Рет қаралды 2,200
Kila siku ya Jumatano saa 11:00 Jioni tutakuwa tunakuletea mfululizo wa vipindi vya MASHAIDI WA UGANDA mmoja baada ya mwingine ikiwa ni kujibu maombi ya wadau wetu, Hivyo nawe tunakualika ili uwe sehemu ya Familia ya BREEZ ONLINE TV
#MashahidiwaUganda #breezonlinetv