MFAHAMU YOHANA OMARI 13

  Рет қаралды 13,280

SHULE YA SABATO TEMEKE

SHULE YA SABATO TEMEKE

2 жыл бұрын

Пікірлер: 68
@adorateurpaulbukuru6864
@adorateurpaulbukuru6864 3 ай бұрын
Stay blessed Dr Yohana OMARI, Unatufunza vizuri iyo Qu'ran mbovu na upotevu wake kwa Watu wenye akili finyo. Mungu ailinde Nafsi yangu, maana sijawai kua na hata 1% ya kuja kuamini ISLAMIC kama DINI ya Mungu wa mbinguni❎🚫 GodSavemySoul. alellujah to SHILOH of the Bible📖
@user-pg2pe6ye4i
@user-pg2pe6ye4i 2 ай бұрын
Fundisha siri zao pastor tu fahamu kwanini Hawa watu wana siri sana wakati kwa mungu aitakiwi kuwa hivo.
@hamisishabani4333
@hamisishabani4333 26 күн бұрын
Mungu atakuaazibu kwauongo wako
@samwelmanasse5724
@samwelmanasse5724 Жыл бұрын
Mwalimu Yohana Omari, ubarikiwe milele. Mafundisho yako ya vitabu yamenihimiza kujua ukweli mno.
@AminRendys-mb5xo
@AminRendys-mb5xo 11 ай бұрын
KUNA MANENO ANAYARUKA YOHANA ACHA KUWADANGANYA WAKRISTO WENZIO SOMA AYA INAVYOTAKIWA
@samwelmanasse5724
@samwelmanasse5724 11 ай бұрын
Mungu ni wa ukweli, udanganyifu wote ni wa shetani. Hakuna haja ya kufundisha uongo kwani Mungu hapendezwi na udanganyifu. Kupitia Roho wake mtakatifu, ujumbe unaenendelea pande zote za dunia. Hapa ng'ambo, hatufichwi yanayoendelea duniani. Nani angeamini kuwa waarabu, wahindi, wakorea, wachina, wayahudi nakadhalika wakati huu wanamiminika kanisani kuwa wakristo? Wale ma Imam na waalimu wa kikristo ambao wamekuja kwa amani na kuleta uma ili kila mtu ajichagulie mwenyewe, wanatumiwa na mwenyezi Mungu, wote wabarikiwe sana. Mungu ametupa fursa ya kujua ukweli lakini uchaguzi ni wako. Hakuna anaye lazimishwa. Je, umekata kauli? mda unayoyoma.
@koperawasona9551
@koperawasona9551 Жыл бұрын
Swali langu ni hili kwanini mtu akitoka uwislam anatakiwa auwawe kwahali na mali Mungu gani uyo anaye uwa kwakukataa kumiabudu
@abuumaryam1922
@abuumaryam1922 Жыл бұрын
Msipo tub juu ya haya mtajuta kwa yatayo wapata huko namshkur muumba wang kwa kunijaalia kuwa Muislam hawa jamaa wana khatar hawajihurumii wanawapotosha sanaa Watu ajiuuta msomi unawadanganya wasojua
@crescentvscross1132
@crescentvscross1132 Жыл бұрын
Uislamu una mvuto akhera na duniani yohana angewaongoza wakatoliki.
@jeanpaulkwizera3216
@jeanpaulkwizera3216 7 ай бұрын
bwana Yohani temberey Bujumbura uwambiye. awo wahihisrima kadanganya watu uko
@ibrahimgwasma1223
@ibrahimgwasma1223 6 ай бұрын
Mchungaji nimekuelewa sana
@koperawasona9551
@koperawasona9551 Жыл бұрын
Naomba namba ya sim ya yohana
@frankmpembu2505
@frankmpembu2505 2 жыл бұрын
Barikiwa sana mwalimu
@jobondieki3345
@jobondieki3345 8 ай бұрын
Mtu anitafutie number ya Yohana huyu mtumishi
@crescentvscross1132
@crescentvscross1132 Жыл бұрын
Uislamu unawakondesha makafiri poleni makafiri. Achaneni uongo wewe ulipenda pesa Hakuna dini iitwayo sabato jitwishe godoro lako uende hakuna siku ya kukaza bwerere kutwa sabato ni siku takatifu kwa wayahudi
@benjathekingofficialshows
@benjathekingofficialshows Жыл бұрын
Huyu ndo atawanyoosha kweli kweli , tumeshawazoea nyie hakuna anaeokokaga akapendwa na Mungu akapata neema ya kuokoka kisha mkae kimya, mnaanzaga oooh huyu hajaokoka bure ni njaa 😅😅😅 mtanyooka chezea Yesu wew nyie makini hapo na wanawake mnaopewa tu
@crescentvscross1132
@crescentvscross1132 Жыл бұрын
Mkristo ni wakudanganywa tu na Mungu hata msamehe mtu asiwe tumia akiliyake alio barikiwa
@pungopungo411
@pungopungo411 Жыл бұрын
Eti wakrito wanadangywa kwani nyinyi hamdaganywi?
@deogratusjohn69
@deogratusjohn69 Жыл бұрын
Huyu jamaa nimuongo sana
@mathiasmbelenge2775
@mathiasmbelenge2775 Жыл бұрын
muongo kivip sasa? si ufafanue?
@lenardkenedy542
@lenardkenedy542 9 ай бұрын
Sasa Nyinyi kama Anasema Uongo tuekee Ukweli wako sema apa sio ivyo ni ivi ila kama unasema TU bila usibitisho Bc ww ndio utakua muongo na Unatakiwa ubishe kwa oja
@abdallaseif9321
@abdallaseif9321 Жыл бұрын
Wakristo someni lugha ya kiarabu Yohana anadanganya mbele ya Makutano kwa sababu hamjui lugha ya kiarabu yaani anafanya Usanii apate Sadaka zenu
@nestarnestar4520
@nestarnestar4520 Жыл бұрын
We vp aixee tusome kiarabu ili iweje mi ni mkristo lkn siwez kusoma kiarabu hata majini wanatumia iyo lugha
@ronaldhelmott8379
@ronaldhelmott8379 11 ай бұрын
Ww unamzidi nn maana hata aya tu kwenye a Quaran hujui rudini kundini
@jeanpaulkwizera3216
@jeanpaulkwizera3216 7 ай бұрын
Yohani ka wambiye ukweri. ata weye hauwezi.
@ngugimundia6306
@ngugimundia6306 6 ай бұрын
Mimi ni mkristo na kiarabu kichache ninacho kifahamu naona ako sawa...kutoka kenya 🇰🇪
@shabanihugo8332
@shabanihugo8332 Жыл бұрын
Wallah hakuna kiarabu cha hivyo dunia nzima
@ronaldhelmott8379
@ronaldhelmott8379 11 ай бұрын
Kwani ww unaangalia kiarabu chake au maandiko yake yanatoka kwenye nn ?? Rudini kundini
@user-pg2pe6ye4i
@user-pg2pe6ye4i 2 ай бұрын
Kiarabu unachokijuwa wewe kiko je ndugu?
@user-pg2pe6ye4i
@user-pg2pe6ye4i 2 ай бұрын
Kiarabu unachokijuwa wewe kiko je ndugu?😂
@user-pg2pe6ye4i
@user-pg2pe6ye4i 2 ай бұрын
Kiarabu unachokijuwa wewe kiko je ndugu?
@faridsaid9180
@faridsaid9180 Жыл бұрын
Sheria za mwizi na mzinifu zote ziko kwa Quran. WACHA KUWAEKA BOX WAKRISTO
@mwashambamakame4435
@mwashambamakame4435 Жыл бұрын
Subhaanallah alif laamiim umeisoma sivo hasaa hahaha huna ujualo mur tadi ww ndo mana ukaritadi
@Ali-ui7qh
@Ali-ui7qh Жыл бұрын
MUONGO SANA NJAA INAKUPELEKA MOTONI WACHA KUDANGANYA WATU
@pungopungo411
@pungopungo411 Жыл бұрын
Waongo ni nyinyi mnaona anwasanua ndio maana mnasema sio kiarabu wewe mwenyewe hujui kiarabu umamuma
@faridsaid9180
@faridsaid9180 Жыл бұрын
Wewe hata haujui Kiarabu
@zabibuhazary6986
@zabibuhazary6986 Жыл бұрын
Astaghafirullah. Alhamdulilah nashjkuru kuwa muislam. Allah akuongoe. Allah humuongoa amtakaye
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 Жыл бұрын
Nashukuru Mungu kuwa mkristo,Mungu waokoe waislamu wote hawajui Kama wanaangamia
@pungopungo411
@pungopungo411 Жыл бұрын
Waislam mliko fika ni mbali kurudi nyuma ni neema ya mungu .subilini tu sasa huko litakalkoangukia
@abuumaryam1922
@abuumaryam1922 Жыл бұрын
Uongo umetawala ktk kutangaza na njia za kueneza dini yenu duuuuh
@suzanaagustino6447
@suzanaagustino6447 Жыл бұрын
Pole munguu akusaidiyee na nakuomba ruhusuu motor kujifunzaa usiwee mgumu mungo atakusaidiaa AMEN
@isihakajarika2668
@isihakajarika2668 Жыл бұрын
Mtumishi unajitahidi ila mim naomba unisaidie namna ya kukupata inbox
@salumnassor4472
@salumnassor4472 2 жыл бұрын
Ata qur an bado hjajua kuisoma unapindishwa maneno nenda kasome tena iy qur an sio kama biblia
@frankmpembu2505
@frankmpembu2505 2 жыл бұрын
Kapindisha wapi wewe kafiri
@crescentvscross1132
@crescentvscross1132 Жыл бұрын
Quran haiwezi kufanyann mtu awe mkristo au msabato ni ujinga wako na tamaa zako tu
@whitetigerprincy5882
@whitetigerprincy5882 2 жыл бұрын
Be blessed mtushi wa mungu
@mwashambamakame4435
@mwashambamakame4435 Жыл бұрын
Njaa tupu wewe
@Ali-ui7qh
@Ali-ui7qh Жыл бұрын
MUONGO UMESOMA SANA NA MATAMSHI WRONG BADO UMEHIFADHI MUONGO
@zenarajab5104
@zenarajab5104 Жыл бұрын
Daah story yako nimeisikiliza kwa makini ila namuomba Allah anipe mwisho mwema na anifishe nikiwa muislam
@faridsaid9180
@faridsaid9180 Жыл бұрын
Huyu ni njaa inamsumbua
@mirajishentembo4962
@mirajishentembo4962 Жыл бұрын
wacha kudanganya watu wwe kafirina mkubwa wwe tafuta ugali wako kesho motoni
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 Жыл бұрын
Kwa kweli waislamu ni makafiri,kumbe nimeelewa hili hata vitabu vyao vinathibitisha
@lenardkenedy542
@lenardkenedy542 9 ай бұрын
Unapopinga Ukweli na Kusema ni Uongo Weka Ukweli wako sema apa sio ivyo ni ivi ila kama unasema TU bila usibitisho Bc ww ndio utakua muongo
@mwashambamakame4435
@mwashambamakame4435 Жыл бұрын
Hujui kiarabu murtadi ww ubabaishaji mtupu yaan hiyo audience mungejua kiarabu mungecheka mpka bac
@obadiahmadeje7016
@obadiahmadeje7016 Жыл бұрын
Wewe inajua kiarabu,maamuma wewe!?
@ismailyussuf1805
@ismailyussuf1805 Жыл бұрын
Kweli wwe Yohana UNAWADANGANYA WAKIRISITU KANISANI.ENDELEA NA UWONGO WAKO.
@ronaldhelmott8379
@ronaldhelmott8379 11 ай бұрын
Ukweli inauma ee ?? RUDINI KUNDINI yesu anawasubiri mpate kuokoka
@hamischuga6320
@hamischuga6320 Жыл бұрын
Huyu jamaa hata Quran anavyo isoma ni hovyo hovyo Daaah njaaa mbaya sanaa
@ronaldhelmott8379
@ronaldhelmott8379 11 ай бұрын
Dah binadamu bhana umeambiwa ukweli ww unakimbilia kwenye chakula duuh
@seifissaseifissa7188
@seifissaseifissa7188 Жыл бұрын
Quran yenyewe huijui kuisoma utaweza kujua kilichoandikwa
@tinnahtuji
@tinnahtuji Жыл бұрын
Toa hoja sio malalamiko
@badruseif1318
@badruseif1318 Жыл бұрын
Sasa ulikua ubaswaliaha vipi msikitini wakati kusoma Qurani hujui kabisa muongo mkubwa wewe
@abuumaryam1922
@abuumaryam1922 Жыл бұрын
Njoeni mcheke huku jamaa hili ni rongo sijaona aaah kwel jahannam ipo kwajil yenu hayo mafubdisho hakuna katka uislam wacha kupotosha Watu ww Sheytwan au njoo ndo inakutuma uwe hivi nakuhurumia tubia kwa Muumba wako wacha uongo wacha ukafir ww uislam haupo hivyooo
@suzanaagustino6447
@suzanaagustino6447 Жыл бұрын
Pollee
@abuumaryam1922
@abuumaryam1922 Жыл бұрын
Huujui Uislamu Muongo Wewe unacho kiongea mbali kabisa Qur,an yenyewe hujui hiyo Arabick hujui wadanganya Watu Dini yenu yajengeja Kwa Musingi ya Uongo
@suzanaagustino6447
@suzanaagustino6447 Жыл бұрын
Polee mungu akusaidiee
Mch Huyu Ni Hatari Sana.
6:37
Mhe. Mchungaji Isack Ngadula
Рет қаралды 17 М.
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 29 МЛН
ОСКАР ИСПОРТИЛ ДЖОНИ ЖИЗНЬ 😢 @lenta_com
01:01
I’m just a kid 🥹🥰 LeoNata family #shorts
00:12
LeoNata Family
Рет қаралды 20 МЛН
Sikiliza Ushuhuda Huu Kutoka Afrika Kusini | USHUHUDA | Rev. Dr. Eliona Kimaro
8:49
Mch Yohana Ramadhan. Akiwa Mji Wa Makimbilio Meatu Simiyu Day 1
59:49
Mhe. Mchungaji Isack Ngadula
Рет қаралды 10 М.
MWJ YOHANA
56:34
TEMEKE SDA CHURCH
Рет қаралды 4,6 М.
MUNGU WAKO YUKO WAPI?
38:49
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 10 М.
Pastor Yohana Ramadhan Apewa Milion 200.
57:53
Mhe. Mchungaji Isack Ngadula
Рет қаралды 14 М.
MWL, CHRISTOPHER MWAKASEGE: SEMINA YA NENO LA MUNGU, DAR ES SALAAM [ Day 1 Tar 8/3/2023 ]
3:10:15
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 64 М.
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 29 МЛН