MFUNGWA MTANZANIA GEREZANI CHINA AMPIGIA SIMU MILLARD AYO

  Рет қаралды 1,158,276

Millard Ayo

Millard Ayo

8 жыл бұрын

Mtanzania aliyefungwa gerezani China, ampigia simu Millard Ayo akiwa ndani ya gereza na kuelezea namna alivyokamatwa kwa ishu za dawa za kulevya, maisha wanayoishi gerezani na Idadi ya Watanzania waliofungwa huko.

Пікірлер: 540
@bjzee1981
@bjzee1981 4 жыл бұрын
We thanks God. hiyo English nayo ndio imekufanya ufungwe kwakukosa kuelewa unacho ulizwa angalau uka jitetea. Unazunguka nchi za watu wakati hujui lugha za mawasiliano
@willyngailo4549
@willyngailo4549 5 жыл бұрын
Daa inaonekana kufungwa China nibora kuliko kuwa huru Tz
@rehemadaniel183
@rehemadaniel183 6 жыл бұрын
Pore sana kaka hiyo ni biashara haramu: ukitoka"hapo usiluditena" kufanya hiyo biashara mbaya sana
@shakila3982
@shakila3982 4 жыл бұрын
Huyu nae na kizungu, na kizungu chenyewe hajui.
@aishathazaneya8007
@aishathazaneya8007 8 жыл бұрын
kama ndo ivyo Tz badilisheni mfumo wa magereza yetu. ..maana magereza yetu kufa kufa unyama unyama
@izodnice3659
@izodnice3659 3 жыл бұрын
Kama Hakuna MTZ mnyonge ndiyo KIBABE. KOMAENI WASIWALETEE NYIE WENYEW MABANDIDU KICHIZ.
@mirajifikirini6949
@mirajifikirini6949 5 жыл бұрын
Millard uko juu huna mpinzani mkuu
@calfiolahblack1892
@calfiolahblack1892 Жыл бұрын
Huyu mtu alishatoka?
@mamdzootz4057
@mamdzootz4057 5 жыл бұрын
Mungu wangu nikiingiya uko napiga kazi nasoma ata chereani nikirudi uku nakuwa bonge la dizaina
@lodriquelazaro5925
@lodriquelazaro5925 5 жыл бұрын
mhhhhh iyo sio jela hapo nyumbani kabisa maana
@edisonbenard226
@edisonbenard226 3 жыл бұрын
Kama unaickiliza hii 2020 nipe like apa
@ramajumanne9505
@ramajumanne9505 7 жыл бұрын
kazi mzuri ayo, habari tunapata kwa wakati
@baltazarhharyson466
@baltazarhharyson466 5 жыл бұрын
we pray for u our fellow Tanzanian in Macau ,wish u to come back safe and rebuild our country together.
@saidibadawi469
@saidibadawi469 6 жыл бұрын
poleni sana.kwanza unalala sehemu nzuri.shukuru sanaa.
@alphaleahibrahim8904
@alphaleahibrahim8904 4 жыл бұрын
KAMA unaangalia mwaka 2019 like
@aniyiihofficially7677
@aniyiihofficially7677 5 жыл бұрын
Duh hili gereza ni raha mh hapa tz chakul uletewe kweli mh unalal muda unaotak ndy unaamka duh km bongo ingekua hivi watu wangefany makosa warudishwe tn km unakubali gonga like
@maualuzilo2361
@maualuzilo2361 6 жыл бұрын
pole kijana Allah yupo atakusaidia hiyo yote kwasababu ya kusakatonge utatoka tuu usijali
@willsonkimaro9546
@willsonkimaro9546 6 жыл бұрын
pole san mungu atakujalia il uache hy biashr
@winifridasrivester2852
@winifridasrivester2852 6 жыл бұрын
kiukweli Millard Ayo uko vizuri nakupongeza sana kwakujitahidi kufikisha kila habari kadir uwezavyo God blles uuuu jmn uzidi kukuza uhabarishaji wako wa matukio mbalimbali x💓💓💪
@GogoGogo-ts6er
@GogoGogo-ts6er 8 жыл бұрын
ebuye ebuye
LILIAN, MTANZANIA ALIYEFUNGWA MIAKA 18 INDONESIA ASIMULIA. - PART 1
10:32
BARUA YA JACKLINE CLIFF KWA MILLARD AYO KUTOKA GEREZANI
7:12
Millard Ayo
Рет қаралды 614 М.
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 38 МЛН
KWA MWENYEKITI KUNA BILIANI
28:54
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 290 М.
HUYU NDIYE MFUNGWA MKOROFI DUNIANI.
7:45
MLIMANI TV UDSM
Рет қаралды 841 М.
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН