Mgogoro KKKT Dayosisi ya Konde Waibuka Upya,Wafuasi wa Dkt Mwaikali Wampinga Dkt Shoo

  Рет қаралды 31,232

MbeyaYetuOnlineTV

MbeyaYetuOnlineTV

2 жыл бұрын

#MbeyaYetuTv

Пікірлер: 111
@samuelikyonde4732
@samuelikyonde4732 2 жыл бұрын
Key point ya suluhisho ya mgogoro huu ni kurudishwa kwa makao makuu ya Dayosisi pale yalipokuwa awali.Kwa sababu kuhamishwa kwake ndiyo chanzo Cha mgogoro huo. Pili jiepusheni na jaziba na misimamo mikali kwani huwa haina tija kwenye utatuzi wa migogoro (Conflict Resolutions) Bali busara na hekima zinatakiwa kutamalaki. Tatu: Epukeni kutumia lugha zisizo na staha na zinazodhalilisha uongozi kwani hazina tija na Zina paint a very bad image ya organs zetu za kidini. And lastly, jizuieni kuchonganisha uongozi wa kidini na Serikali kuu. Majawabu ya conflict hii yapo mikononi mwa kanisa na siyo mikononi mwa Serikali. GOD BLESS YOU ABUNDANTLY.
@starfordmwakabonga7026
@starfordmwakabonga7026 2 жыл бұрын
Jinga kabisa hili
@issakwisamwasanjobe541
@issakwisamwasanjobe541 2 жыл бұрын
Tafuta kazi nyingine ,"ya Mungu Yatasimama" "matumiiz mabaya katiba" "mkuu wa kanisa tulimwelewa" ukabila unawasumbua
@neemaevance80
@neemaevance80 2 жыл бұрын
Mshindwe kwa jina yesu
@lawrencemwakyambiki2
@lawrencemwakyambiki2 2 жыл бұрын
Aibu...aibu....aibu...! Mungu atusamehe.
@miriammacha7261
@miriammacha7261 2 жыл бұрын
Mungu aingilie kati akika akuna jambo linaloshindikana kwa mungu
@saulmwaisenye6447
@saulmwaisenye6447 2 жыл бұрын
Huyu Mwambola Hivi ni Dr wa nini? Au Mganga wa Kienyeji?
@christianomwakibibi7097
@christianomwakibibi7097 2 жыл бұрын
Huu ni ujinga tu sion cha maaana hapa huyu ndie mpigaji wa kwanza tena ⭐😋😋
@williamngogo5528
@williamngogo5528 2 жыл бұрын
Yaani wachungaji kama hawa ni tatizo sana mimi askofu mkuu nilimwelewa
@elizabethsilayo3888
@elizabethsilayo3888 2 жыл бұрын
'Ndugu yako akikukosa mshambulie kwenye media'. Huu ujasiri ulionao nao wa kishetani sio wa kimungu. Kumshabulia mkuu wa kanisa kwa mamna ulivyofanya hata Shoo akinyamaza Mungu atasema. Nakuonea huruma sana, tengeneza na Mungu wako kungali mapema.
@19etl
@19etl 2 жыл бұрын
Hafai kabisa..atafute kazi nyingine huyo
@rachaelkawiche1455
@rachaelkawiche1455 2 жыл бұрын
Kwa kwelii mimi mwenyewe nimeshangaa haya magomvi na ujasirii alionao huyu mch ya kumshambulia dkt shoo yametoka wapii??? Wewe mch na wenzio mliokaa hapo hamjitambui unashindanaje na kiongozi wetu kumbuka mitandao haitawasaidia na kamwe hataweza kupingana na ukweliii kanisa ni la Mungu na watu wanabaki Wanashangaaa wachungaji wa namna ganiinii ninyii amani haitafutwagi hivyooo rudini darasanii hamjielewi
@rosesanford73
@rosesanford73 2 жыл бұрын
Hivi wewe!!!!!!!! subiri ya kwako yanakuja unachumia tumbo tu wewe huna lolote
@peterezekia2348
@peterezekia2348 2 жыл бұрын
Si dhani kama hawa watu wapo kwa ajili ya kimwabudu Mungu, ni vipara matumbo yao yanawawasha
@peterezekia2348
@peterezekia2348 2 жыл бұрын
@@rachaelkawiche1455 Kuna kitu anataka huyo si bure
@atiliosanga6955
@atiliosanga6955 2 жыл бұрын
Ameeee
@badenbensoni7516
@badenbensoni7516 2 жыл бұрын
Waruteri sasa tumeingia kwenye shida. Inabidi hao wachungaji wote wafukuzwe wote.
@adkajisi4536
@adkajisi4536 2 жыл бұрын
Duh Dk unatema pumba, PHD yako ichunguzwe
@atuganilengomba7121
@atuganilengomba7121 2 жыл бұрын
Nikweli baba mungu akubariki Tena mungu awasimamie
@emanuellyatuu731
@emanuellyatuu731 2 жыл бұрын
Aah polen
@matridandelwa2893
@matridandelwa2893 2 жыл бұрын
Kanisan limeanza kufika huku kwenye midia Mungu atutetee
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 6 ай бұрын
Mkajifundishe Kanisa KATOLIKI migogoro kama hiyo sijaiona na katiba yake ni ya dunia nzima inawaongoza
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 2 жыл бұрын
Huyu mwambola yupo kimaslahi yaani huyu ndo chanzo Cha mam o yote!kwenda huko hii kazi haikufai
@AmbokileOmarymwanyiru
@AmbokileOmarymwanyiru 27 күн бұрын
Nasikia jana kimeumana huyu kasalenda kawacha wenzake njia panda siku ya tarehe 9/7/2024 bora ukutene na shetani lakini sio huyu jamaa
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 6 ай бұрын
Kiongozi amekosea sana kutumia nguvu ya serikali
@smwansasu8605
@smwansasu8605 2 жыл бұрын
Hii haijakaa vizuri kabisa. Mbona mnaendeleza mgogoro? Kujifanya mjinga ni hekima sana kuliko kulumbana!!!
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 2 жыл бұрын
Huyu mwambola ndo shetani no1 kwanza kazi ya Mungu haimfai
@infinixinfinix7723
@infinixinfinix7723 2 жыл бұрын
Ni kichwa mwambola
@bestermwaikenda3348
@bestermwaikenda3348 2 жыл бұрын
mnahangaika saana mbona
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 2 жыл бұрын
tatizo mnachagua maaskofu kwa kuangalia PHD ni shda kubwa makanisan Timotheo anasema askofu awe mtu wa mfano katika ukristo asiwe mtu alieongoka hivi karibun,shoo angekuwa anatumia busara kanisa lisingefika huku kwenye aibu kuu
@sephaniamwakyomo4008
@sephaniamwakyomo4008 2 жыл бұрын
Nimeamin kuwa mwisho wa dunia umefika MUNGU Kama alimuadhibu Saul afanye na kwa Hawa ili wajue kuwa yupo
@gammatv200
@gammatv200 2 жыл бұрын
Hatari sana
@rehemamwamakula5876
@rehemamwamakula5876 2 жыл бұрын
Neno la Mungu linatuagiza kuukomboa wakati huu na si wakati wa malumbano wapendwa Ee Mungu tusaidie wana kkkt tuko mbele zako baba
@irenemwakisunga1359
@irenemwakisunga1359 2 жыл бұрын
Uwiiii wakina mjomba na shangazi mungu tusaidie
@davisshao9158
@davisshao9158 2 жыл бұрын
Hamna lolote nyie wachungaji wasaka vyeo na tumbo hivi mnaruhusiwaje kufanya Fujo kwenye makanisa hayo ya KKKT Lila mahalo lazima pawe na uongozi
@simongwandu7392
@simongwandu7392 Жыл бұрын
Tangu wanawake wabarikiwe kuwa Wachungaji KKKT kanisa imeingia matatani Kila kona ni kubigiana vijembe.
@utukufugwalupama9501
@utukufugwalupama9501 2 жыл бұрын
Kweli Mungu mkuu awapatanishe Mwenyewe.
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 2 жыл бұрын
Ndio hasara udokta wa kutunukiwa
@stellasambagale579
@stellasambagale579 2 жыл бұрын
Kabisa baba
@angelambwambo2903
@angelambwambo2903 2 жыл бұрын
Mh mapenzi ya Mungu yatimie
@tumainirkyando8128
@tumainirkyando8128 2 жыл бұрын
DU ! Kanisa letu KKKT linatia aibu sana migogpro kila siku , NI AIBU ! NI AIBU NI AIBU MNO ,
@ellyjacob9897
@ellyjacob9897 2 жыл бұрын
Mpk tufike mbinguni loh tutakuwa choka mbaya😂😂😂😂
@ombenimwakasege1840
@ombenimwakasege1840 2 жыл бұрын
Hivi nyie wachungaji mnajisikiaje kufanya mnayoendelea kuyafanya mnalitesa kanisa la Mungu
@wingshotel9652
@wingshotel9652 2 жыл бұрын
Shoo ameharbu
@peterezekia2348
@peterezekia2348 2 жыл бұрын
Wengine sio Wachungaji ni wafanya biashara, kinachowatesa hao ni maslahi
@brownmtofole
@brownmtofole 2 жыл бұрын
Wapendwa neno LA Mungu linatuagiza kuukomboa wakati,huu sio wakati wa malumbano na viongozi wetu kwakuwa kila mamlaka imewekwa na Mungu,tuheshimu mamlaka ili utumishi wetu upate kibali cha Mungu.Sisi waumini tunakwazika sana na tayari tumetawanyika ni kama kondoo wasio na mchunhaji.
@vumiliasakamala7777
@vumiliasakamala7777 2 жыл бұрын
Acha kumkufuru mungu huendani na limwili hilo aibu
@dannyessau3869
@dannyessau3869 2 жыл бұрын
Wewe na unacho jivunia kimefka mwisho wake tatizo unataka ukuu KO nahela mlivyo vifanya tofauti mtavilipa
@angelambwambo2903
@angelambwambo2903 2 жыл бұрын
Nyie hampendi amani barua mlikataa zisisomwe mwogopeni Mungu
@ericmwankenja2050
@ericmwankenja2050 2 жыл бұрын
Pepo mkubwa
@jontolimwambola2102
@jontolimwambola2102 2 жыл бұрын
Wewe ndo pepo
@deodathkizito9637
@deodathkizito9637 2 жыл бұрын
Uzuri ni kwamba hili sio kanisa la Bwana Yesu hii ni dini za Wanadamu kwahio kupigana ni sawa
@deborabrown2114
@deborabrown2114 2 жыл бұрын
Ningekua na mamlaka ningewavua uchungaji tu.
@jifunzekuhusuwewe7475
@jifunzekuhusuwewe7475 2 жыл бұрын
Mbona mgogolo ulishaisha kiti kirudishwe Tukuyu, Mbona mnaendeleza Mgogolo nyie wachungaji vp Hekma Hamna mnatafuta Ukuu
@saulmwaisenye6447
@saulmwaisenye6447 2 жыл бұрын
Wachumia matumbo hawa kina Mwambola
@rachaelkawiche1455
@rachaelkawiche1455 2 жыл бұрын
Jaman jaman kazi ipo heshimuni viongozi wenu ukitaka kushindana na kiti utaumia wewe sasa kumshambulia dkt shoo ndio mgogoro wenu umeisha au vipii??? Nyie vipofu hata mkionyeshwa njia hamuoni sasa jiongozeni wenyewe muone shughuli yenu mwambola na wenzio jitadhimini sana kwa hiki mlichokifanya mnazidiwa hata na walio chini yenuu .
@danielbegashe6126
@danielbegashe6126 2 жыл бұрын
Hekima imewaponyoka watumishi hawa. Kwanini muendelee kuchochea mgogoro! Mashindano haya yana faida gani kwa kanisa? Mna maslahi gani ktk hili enyi watumishi vipofu?
@ainesndubula8361
@ainesndubula8361 2 жыл бұрын
Wezi wote hao mnagimbania Nini Kama sio kuwatapeli wauumini mnarazimisha kuongoza watu ambao hawako tayali kuibiwa
@hurumaashely5598
@hurumaashely5598 2 жыл бұрын
Kuna kitu sio bule
@wingshotel9652
@wingshotel9652 2 жыл бұрын
Ameongea vizuri
@evelynl.1484
@evelynl.1484 2 жыл бұрын
Hekima ya Mungu ndiyo inayohitajika hapa, eeh Roho Mtakatifu naomba uwaongoze. Hii barua na usomaji, kwa mimi msikilizaji imejaa jazba, kunyoosha vidole, mimi kama muumini nimesikitishwa!!!!
@willymwakasege8148
@willymwakasege8148 2 жыл бұрын
Mungu anapotaka kufanya jambo lake mazingira hayamjalishi. Kumbuka alipotaka kuwatawanya mitume wakafanye kazi maeneo mbalimbali aliruhusu Stefano auawe kwa kupigwa mawe. Biblia inasema walienda hata miisho ya Nchi. Hata katika hili mi naamini kuna kitu Mungu anataka kufanya we subili utamwona mwenye kutawala mbingu na Nchi.
@geofreyambakisye767
@geofreyambakisye767 2 жыл бұрын
MUNGU WANGU TUEPUSHE NA SHETWAN HUYO anayenyemelea kanisa lako!!
@deborabrown2114
@deborabrown2114 2 жыл бұрын
Fujo hatuzitaki uku kkkt kama kazi mmeshindwa ni bora mkakaa pembeni kuliko kulichafua kanisa.
@stewardmbena3737
@stewardmbena3737 2 жыл бұрын
Amina mtumishi
@machoguhameri7757
@machoguhameri7757 2 жыл бұрын
Kuongoza jamii ya mbeya ujipange mgogoro KKKT, mgogoro wa Morovian wakati wa Askofu Samweli Mwakijambile, Mgogoro kanisa EAGT Baada ya kulala baba Askofu Moses Kulola,na migogoro midogo midogo ya makanisa isiyo kwisha. Ndiyo maana mbeya kila siku makanisa yanagawanyika, Inaongoza kwa wingi wa vijikanisa vidogo vidogo Tanzania zaidi ya 3500 Mkoa mmoja. Mungu aiponye Mbeya
@donathmrema4519
@donathmrema4519 2 жыл бұрын
Kazi IPO bila shaka dunia kwa Mbeya inaelekea mwisho
@deodathkizito9637
@deodathkizito9637 2 жыл бұрын
Acheni ujinga mhubirni Kristo
@stellasambagale579
@stellasambagale579 2 жыл бұрын
Je? Nani mwaikali au mwakihaba mukolofi
@walawioutreach4055
@walawioutreach4055 2 жыл бұрын
NINYI NI WAJINGA NA WASHENZI SANA ELEWENI KANISA LINAONGOZWA NA MIHIMILI MIWILI SERIKALI NA KANISA,MNGEPIGANA HAPO NA MKAUANA?DOLA INGEWAANGALIA TU?NONSENSE.
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 6 ай бұрын
Kanisa linaongozwa na YESU tu kupitia watumishi
@reubenismail3672
@reubenismail3672 2 жыл бұрын
Gaweni dayosis ambayo itaitwa dayosisi of mbeya
@ulomirabiel6980
@ulomirabiel6980 2 жыл бұрын
Hawa viongozi wa dini kweli wanashangilia moto kushikaa paa!! Heri wapatanishi kwa maana hao watamuona Mungu.
@eliaikammary7525
@eliaikammary7525 2 жыл бұрын
Hawa watu wa mbeya wana matatizo sana ,nishda Mungu wasaidie duh jazba
@peterezekia2348
@peterezekia2348 2 жыл бұрын
Acheni mambo ya ajabu ninyi.....mnadhalilisha kanisa
@bumimsojo5359
@bumimsojo5359 2 жыл бұрын
Sasa wewe ndiyo Mwaikali au ndiyo kihelele chako ili uonekane muongeaji sana kuliko wenzako.
@rhodamgimba4193
@rhodamgimba4193 2 жыл бұрын
😄😄😄😆
@sweetbertrwiza5982
@sweetbertrwiza5982 2 жыл бұрын
Mbona Asikofu mwenyewe alikiri kumaliza mgogoro huu? Mbona mnarudisha ngogoro huu nyuma na nyie ni aki na nani?
@kipigapasilisungu2581
@kipigapasilisungu2581 2 жыл бұрын
.
@jifunzekuhusuwewe7475
@jifunzekuhusuwewe7475 2 жыл бұрын
Mwambola Una Matatizo ulikuwepo wap wakati wenzako wanatatua hili suala
@reubenismail3672
@reubenismail3672 2 жыл бұрын
Gawaneni dayosisi Hilo ndo jibu!
@riahwilly829
@riahwilly829 2 жыл бұрын
Hivi kati ya Askofu shoo na huyu mch mwambola nani ana maslahi ,maana mgogoro umetokana na kuhamishwa kwa makao makuu ya dayosisi na anaehamisha ni askofu mwaikali na Leo hili genge la wachungaji waliokosa hekima na busara wanamtetea na kumchafua Dr Shoo kupitia media.Swali hivi ndg zangu wachungaji mnapofanya shuguli za kanisa pamoja na mawasiliano yanayofanyika kati ya dayosisi na makao makuu ya KKKT mnatumiaaga vyombo vya habar?.Kwa busara na hekima na kwa heshima ya kanisa nzima hamkutambua kuwa hiyo barua uliyosoma hapo ingeenda kimya kimya na kumfikia Askofu mkuu Dr shoo ili ajitafakari kama kweli alifanya vibaya?.Mjitafakari upya watumishi wa Mungu,minyukano kama hiyo haifai ndani kanisa angalau tungenyukana sisi wanasiasa japo wanasiasa tunaoelewa nin siasa hatuwez kufanya hivo kwani haileti afya nzuri kwa Taifa.Mwisho Wachungaji watumishi wa Mungu cku zote mkumbukeni kuwa shetani yupo kazin na ana namna nyingi ya kuiteka mioyo yetu lakin pia mkumbuke hilo ni jaribu na kwanini Mungu kaliruhusu je ni wapi mmekengeuka ,na tunaamini jaribu lina lango la kuingilia na kutokea ni wazi kuwa nyinyi Wachungaji hamkumlilia Mungu kwa maimbi na kama mnaomba bac unyenyekevu umekosakana.Ushauri wangu Kwa Watumishi wa Mungu wote kazi ya Mungu ni Wito na karama na unapata mkwamo katika kufanya huduma hiyo mfano Mgogoro wa dayosisi ya konde ni busara kujitoa au kujiuzulu nafasi mlizonazo,kama ni kula Mungu atawalisha popote.
@timothymoshi5800
@timothymoshi5800 Жыл бұрын
Riah, ni miezi kumi imepita tangu uandike hii makala. Kwa sasa una maoni gani ???
@festoselaka2075
@festoselaka2075 2 жыл бұрын
Tafuteni kuwa na amani na watu wote
@anzarabiboniface3050
@anzarabiboniface3050 2 жыл бұрын
Huyu Mchungaji busara yake ni fupi mn
@eliangilingamtui6954
@eliangilingamtui6954 2 жыл бұрын
Dayosisi aiamishwi
@hurumaashely5598
@hurumaashely5598 2 жыл бұрын
Mlikuja sumbawanga kwenye mgogoro na nyie mlifanya kwenda kwa mkuu wa mkoa na vyombo vya Dora leo yapo wapi na wewe Mwambola ulikuwepo mbona hamkutumia vikao mlitumia mabavu
@annamushiaminaaa4367
@annamushiaminaaa4367 2 жыл бұрын
Msije mkamsema mkuu wetu hata cku moja mbavita vya kijinga kila cku mnajulikana.
@angelambwambo2903
@angelambwambo2903 2 жыл бұрын
Hivi kumbe kanisa lina ukabila
@rosesanford73
@rosesanford73 2 жыл бұрын
Mjinga tu huyu anatafuta watu wa kumuunga mkono ashindwe na alegee media si suluhisho na wote mnaoo nekana hapo mmefeli sana wala mm siwadanganye watu hakuna ukabila toka tumeanzisha dayosisi hii ninyi ndo wakorofi kwajili ya njaa zenu
@lusajoalison7617
@lusajoalison7617 2 жыл бұрын
Mpanda madaraka wewe acha ujinga
@richardhaule1267
@richardhaule1267 2 жыл бұрын
Bwana Yesu KRISTO utulehemu tumepotea Tena tumepotea huku makanisani kumekua tatizo wachumia tumbo wamekua Tatizo
@johnpaulin4511
@johnpaulin4511 2 жыл бұрын
Nyakati za mwisho upendo wa wengi kupoa hata maasi kuongezeka Mathayo 24:11-12 [11]Na manabii wengi wa uongo watatokea, na kudanganya wengi. And many false prophets shall rise, and shall deceive many. [12]Na kwa sababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa. And because iniquity shall abound, the love of many shall wax cold.
@hurumaashely5598
@hurumaashely5598 2 жыл бұрын
Hawa ndio wanamshauri Askofu kuwaumiza waumini much Mwambola kweli mnaendelea na mgogoro
@justiceemmanuel8137
@justiceemmanuel8137 2 жыл бұрын
Hiyo ndio furaha yake kuendeleza mgogoro
@novatusmbuya3071
@novatusmbuya3071 2 жыл бұрын
Kwa nini msijifunze kwa kanisa katoliki? Nani kesha ona mgogoro wa kiuongozi ndani ya wana katoliko?hamna! Hizi ni cheche za uasi !
@obinasimbeye1750
@obinasimbeye1750 2 жыл бұрын
Msimchezee Mungu kama hamuwezi kufanya kazi yake acheni wengine wafanye. Mungu anaweza yageuza hata mawe yakamsifu kuliko nyie msiomjgioa Mungu
@obinasimbeye1750
@obinasimbeye1750 2 жыл бұрын
Mwambola ajitathimini kwa asemayo ni Mungu ndio anayataka hayo .badala ya kujenga tena unaanza kubomoa. Tulifurahi tukajua mgogoro umeisha kwa neema ya Mungu Unaanza tena ys zMungu hayo kweli???
@inoccentisaya7470
@inoccentisaya7470 2 жыл бұрын
Huyo mchngj hajielewi
@petermangowi
@petermangowi 2 жыл бұрын
Kwa kweli tafakarini wachungaji wa konde ni aibu tupu.
@petermangowi
@petermangowi 2 жыл бұрын
Wewe mkuu wa jimbo tafakari sana, kazi unayoifanya siyo ya mtu... ni ya Mungu. Mimi ni Mlutheri lakini kwa huyu kanisa limepoteza misingi yake.
@tumainimwakyaka2775
@tumainimwakyaka2775 2 жыл бұрын
Sasa nyie huko mnagomba nn?mbona KKKT n kanisa Aman!MUNGU asimame mwenyewe maana KKKT TUKUYU n kanisa la Aman&upendo
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 26 МЛН
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 23 МЛН
Schoolboy - Часть 2
00:12
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 5 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 11 МЛН
Hali bado Tete KKKT Mbeya,Vurugu zaibuka Kanisani,Polisi yazima vurugu
7:50
Narudi Kwako - Uinjilisti Forest Mbeya
7:25
Uinjilistiforest Choir
Рет қаралды 53 М.
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 26 МЛН