TOA MAONI YAKO KWA KUTUMA SMS AMA KUPIGA KWA KUTUMIA SIMU NAMBA 0773 95 35 31 AU 0777 94 54 74 AU 0777 37 37 87 FACEBOOK PAGE TIFU TV ZANZIBAR ,TIFU TV KIJAMII ZAID. #Tifutv #zanzibar #kijamiizaidi
Пікірлер: 10
@KhamisOmar-kt4kzАй бұрын
Vilaza haw
@AhmedAli-gh1lmАй бұрын
Hiyo boti isiyowezekana kutumiwa naitaka mimi kwa Tsh. 50,000,000/-. Kesho nalipa hela mkikubali.
@SalminTenga-fx6wiАй бұрын
Mazrui we unataka kuuza iyo not eb sema ukweli ko apa hatuna wataalamu kweli
@AliSalim-yu4moАй бұрын
Flying doctors!😂😂😂😂😂
@amranabdallah4117Ай бұрын
Mimi naona watu wanakula pesa za bure tu hapo
@godfreyaron3511Ай бұрын
Too much socializing😂😂
@lusakaone7782Ай бұрын
Zimekwenda Maonyesho
@kanaanrajab1102Ай бұрын
Si mpeleke watu wakosema ili tutumie vtu fanisi.
@aliyaliya1995Ай бұрын
Kwakifupi huyujamaa kichwa na mchapakazi na msomimzuritu
@godfreyaron3511Ай бұрын
Jamani au miwani yangu haioni, mbona kama hawapo siriasi na proceeding?