Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akiwasalimia na Wananchi wa Inyonga mkoani Katavi, ikiwa ni sehemu ya ziara yake leo tarehe 13 Julai, 2024.
Пікірлер: 7
@kuntaalkinte541524 күн бұрын
Hongera mama❤
@YangaNews25 күн бұрын
Mama hamna kitu
@user-xy2hf5pl5y25 күн бұрын
Mh mkuu wa nchi tunapenda kukujulisha hapa muleba umeme unazima Kila siku mpaka sisi wakereketwa tunashindwa kujibu hoja tusaidie mama
@stefanomasolwa897925 күн бұрын
Hahaha nacheka ya huzuni kweli yani Samia kwenye inchi za wenyewe anawapatiya Wanaume Mikono sasa kwenye inchi yake ya Tanzania anawanyima Mikono hahahahah twangaliye Mbaliiiiiiiiii