Ma shaAllah Leo nimevipika mini vitumbua Nilikuwa sijapata kuona vipi Shukran sana Kwa vile sikuweza kupata vibati Nilifanya kwa Cupcake tray it came very good May Allah bless you
@queenshibaskitchen91307 ай бұрын
Ma sha allah habibty . Shukran
@fatma-si5os6ni7 Жыл бұрын
ماشاء الله تبارك الله 💖
@rugeyyemuhammad1549 Жыл бұрын
Mashaallah
@fatmaali5214 Жыл бұрын
MashaAllah
@salmaalkyumi6030 Жыл бұрын
MashaAllah 👍👍👍
@asyajumajuma8446 Жыл бұрын
MashaaAllah ukhty umetukumbusha ulaji wa nyumbani MashaaAllah vimetoka vizuri Allah aitie barka mikono yako. Ukhty kama jiko lako la gesi juu wakati unataka kuchoma kabla hujatia kwenye oven itabidi pia uweke chanja kama ulivooeka wewe nilikuwa nakuuliza ukhty
@queenshibaskitchen9130 Жыл бұрын
Sio lazima nimetumia hiyo ili vibati vikae uzuri kwa pamoja na pia visipate moto mkali sana .
@nkmohammed819 Жыл бұрын
MashaaAllah looking yummy Leo iftar Mikate ya vibati
@queenshibaskitchen9130 Жыл бұрын
In shaa allah
@fettyabdullah7342 Жыл бұрын
MashaAllah Allah akulipe khair dayman. Insha’Allah soon nakutumia marejesho😋💕
@queenshibaskitchen9130 Жыл бұрын
Amin yarabi shukran. Nausubiri
@umsalim6515 Жыл бұрын
MashaAllah queen 👸, kama kawaida yako , unatuletea mapishi mazuri always ❤️
@queenshibaskitchen9130 Жыл бұрын
🥰🥰🥰
@amneamne2492 Жыл бұрын
Mashaallah shukran habibty.
@queenshibaskitchen9130 Жыл бұрын
Afwan dear
@ameeranassor1619 Жыл бұрын
Mie sijawahi kuona ndio kwanza leo,najua child,vitumbua na mate wa kumimina
@shamzone388 Жыл бұрын
Mash allah umetukumbusha mbali tulipotoka Habibty upo wapi kwa ajili kutumbambia kwenye harusi
@queenshibaskitchen9130 Жыл бұрын
Nipo kila sehem DM kwenye instagram yangu kwa maelezo zaidi dear.
@salmaalkyumi6030 Жыл бұрын
Mm sijawahi kuiyona lkn sasa nimeiyona na nimeipenda
@queenshibaskitchen9130 Жыл бұрын
Shukran habibty.
@Hamid-nt7jx Жыл бұрын
Mashaa Allah khale yangu,,, Allah akuhifadhi akujalie iqbal na qabul.
@queenshibaskitchen9130 Жыл бұрын
Amin yarabi
@queenshibaskitchen9130 Жыл бұрын
Allahuma amin yarabi . Shukran
@Hamid-nt7jx Жыл бұрын
Afuan khale.
@laylatabdallah2796 Жыл бұрын
Dah umenikumbusha mbaaaliii yaan hii recipe nilikuwa naingoja kwa hamu🥰😋
@queenshibaskitchen9130 Жыл бұрын
Ala nasubiri mrejesho basi 🥰
@SKY-fk3fz Жыл бұрын
Upo nchi gani
@queenshibaskitchen9130 Жыл бұрын
England
@SKY-fk3fz Жыл бұрын
@@queenshibaskitchen9130 which city
@queenshibaskitchen9130 Жыл бұрын
Kwani vipi? Hii ni channel akufundisha dear sio kujua nlipo. Kama kwa ku order dessert DM nikupe maelekezo jinsi ya ku order. Shukran
@SKY-fk3fz Жыл бұрын
@@queenshibaskitchen9130 sorry kama nimekukosea kwasababu kawaida sisi tupo Acton tukitaka kuoder chakula east London tunakwenda kuchukuwa ndomana nataka kujuwa kama upo karibu au unafanya delivery
@queenshibaskitchen9130 Жыл бұрын
@@SKY-fk3fz it's ok , please DM kwa page yangu ya instagram ndiko nako chukuwa order. Shukran