"MILIONI MOJA YA SHEMEJI YETU kwa MOBETTO YAZUA GUMZO MTANDAONI WAULIZA JE ni BILIONEA" -LOKOLE

  Рет қаралды 46,019

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 246
@user-hg1nv2eq8v
@user-hg1nv2eq8v 11 ай бұрын
Juma iyo milioni moja kwamungu kubwa sana naistoshe sadaka nikile ulichonacho yaan uwezo wako hauwez kutoa ulichokua hauna heri ya yeye kasaidia watu kuna wengine wanachangia mipira muache babu we makasiriko yanini juma muache mtoto wa watu punguza wivu😊
@naghemsuya5218
@naghemsuya5218 11 ай бұрын
Nimeipenda hii, sadaka ni chchte hyo milion we unayo Juma, mbona Kama unamponda Kaka wawatu
@janeroselusuva8520
@janeroselusuva8520 11 ай бұрын
Jamaa anaroho mbaya huyu atakufa mdomo wazi. Mwacheni jamani Hamisa na mpenzi wake.
@sponsor7882
@sponsor7882 11 ай бұрын
msenge huyu
@lydi791
@lydi791 11 ай бұрын
Sana
@lolollololi1050
@lolollololi1050 11 ай бұрын
Sio kufa mdomo wazi tu hata kifo chake atapasuka huyo matumbo yake yatachafua watu maana ndio kazi yake yakuchafua watu.
@3Dshoez
@3Dshoez 11 ай бұрын
Hamisa inabidi achukue hatua,Juma umezidi kumchafua mwenzio kila siku hana nzuri kwako.⚖
@user-ip4ie7pt6i
@user-ip4ie7pt6i 11 ай бұрын
Mbona hamsemi mange achukuliwe hatua kila siku ana kashifu watu?
@3Dshoez
@3Dshoez 11 ай бұрын
@@user-ip4ie7pt6i Mange yupo Tz?
@user-ip4ie7pt6i
@user-ip4ie7pt6i 11 ай бұрын
@@3Dshoez hayupo tz lakini wengi wao wanafurahia pondi anapo kashif watu hawaoneshi kukemea na isitoshe anae takiwa achukue hatua za kisheria sio Hamisa tu pekee wahanga wa kutukanwa wapo wengi tu hapo TZ tena wengine hutukaniwa mpaka wazazi wao lakini watu hukaa kimya na wengine kufurahia
@fatmafaki6163
@fatmafaki6163 11 ай бұрын
​@@user-ip4ie7pt6iYeye ndio anamuhurumia Hamisa, wewe wahurimie hao wengine waliokugusa
@pamelaemmy8180
@pamelaemmy8180 11 ай бұрын
Nipo nawe
@lydi791
@lydi791 11 ай бұрын
Sadak ni sadak tuu Juma utawumwa moyo nakufatiliya maisha ya Hamisa
@marianajoseph1892
@marianajoseph1892 11 ай бұрын
Wewe juma lokole acha watu na mambo ya watu
@joycesamwely7896
@joycesamwely7896 11 ай бұрын
Wabongo Bhan badal mkarim mgeni mnaanza kumkosoa million Moja ndgo hapo ukimuuliz jum mwisho wa kutoka sadak ni lin ajui tuachie shemej yetu na bhado mtateseka San🙏
@user-oy8go8zs7e
@user-oy8go8zs7e 11 ай бұрын
Huyu juma anaawashwaaaa
@aminaabdallah6670
@aminaabdallah6670 11 ай бұрын
Kwan million moja sio msaada jamn au mlitaka atoe mabilioni ila wa tz
@frankngoloka2589
@frankngoloka2589 11 ай бұрын
Watanzania tunashida nanyinyi changieni hiyo milioni
@ShaniBihoiki-lx9jl
@ShaniBihoiki-lx9jl 11 ай бұрын
Juma nakutakia mungu akuhidi tabiyayako yauongo 😢😢😢
@OG_20
@OG_20 11 ай бұрын
Sasaa hii nayo ni habari ya kukaa kudiscuss redioni kwelii....mnataka kumpangia mtu sadaka yake ....acheni ushamba na aibu ndogondogo bhanaa mlitaka atoe hela zote au....grow up!
@salama1113
@salama1113 11 ай бұрын
Wivu utawauwa mlitaka adhilike mungu kawaumbuwa
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 11 ай бұрын
Dahhh juma sijui kwa nini hampendi hamisa na faima
@IreneIsack-qp9ns
@IreneIsack-qp9ns 11 ай бұрын
Ila juma mungu anakuona
@mussarashid2216
@mussarashid2216 11 ай бұрын
Mama Samia katoka kuwaongelea hawa watu wa Dizaini hii anapanda jukwaani anajitambulisha nimekuja na mke wangu kumbe LOKOLE ndo mke mwenyewe
@kamikazisalma5209
@kamikazisalma5209 11 ай бұрын
Kuku inakula sawa namndomowake niwangapi wanazo alakini hawanamoyo wakuchangia nyiye mnakiyona kidogo alakini walokipata wanakiyona kikubwa
@mikey2247
@mikey2247 10 ай бұрын
Very well said Dida Napenda jibu lako yeye amesindikiza mwenzake akatoa alichonacho
@adelinabaitu3291
@adelinabaitu3291 11 ай бұрын
Juma nywele zimekusimama kisa hamisa
@uwimana6533
@uwimana6533 11 ай бұрын
Daimond sana mcheezea zuchu ndo bado mbichi huongeiii mbea wewe 😂😂😂😂
@maryammussa2835
@maryammussa2835 11 ай бұрын
Ana ubichi Gani anamiaka 27
@user-uo6bo3ph6g
@user-uo6bo3ph6g 11 ай бұрын
Ila hii TV jmn😂😂😂😂Sasa millioni moja ndogo???ww mbona hatujakuona kwenda kutoa hta 20 kenge ww,,
@daifahamed4848
@daifahamed4848 11 ай бұрын
Ata kama milioni Moja lkn katoa mbona wa Umekushinda
@user-vo4xm8th2d
@user-vo4xm8th2d 11 ай бұрын
Kama Kuna mtu mjinga Tanzanian yote ni Juma. Respect someone's life hamisha ci level zako she is very smart ,educated,cool super woman from kenya
@3Dshoez
@3Dshoez 11 ай бұрын
Juma anatamani yeye ndo awe Hamisa
@aminakasim1198
@aminakasim1198 11 ай бұрын
Kwani wasafi tv,ni tv yakuchunguzaa watu au ni tv yanini
@daifahamed4848
@daifahamed4848 11 ай бұрын
Juma una choyo Sana ww mwisho utakuwa mwaga 1:35
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 11 ай бұрын
Binti kakamatwa na conman la ki Nigeria, wadada wa kibongo madanga yote
@fatumabhallo8518
@fatumabhallo8518 11 ай бұрын
Ww umeenda kutoa nn juma au mdomo tu misa mungu akubariki mwanangu
@umranim5854
@umranim5854 11 ай бұрын
Wewe usomjua Mungu rudi kwa Mungu wako kutoa ni chochote ulio nacho hata kama bilionea sadaka ndogo umetoa kwa nia yako safi sio kwa sifa hiyo ndio sadaka bora kuliko ulio itoa kwa ajili ya kujionyesha kama una mkufuru Mungu wako inadharau mbaya na wivu ndani yake
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 11 ай бұрын
Juma anavyoshadadia ya wanawake utazani na yeye anamtaka huyo bwana mbn mwanaume mishipa ya koo inamtoka nn anakereka ,
@uwimana6533
@uwimana6533 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@Emiliana97
@Emiliana97 11 ай бұрын
Duh You’re so bitter Juma Heal babygirl heal Your wounds are leaking 😏🤧
@uwimana6533
@uwimana6533 11 ай бұрын
Juma mtogo siombaya kama mna geria punguza makasiriko 😀😀😀
@aminaalphana2185
@aminaalphana2185 11 ай бұрын
Juma ni mnafiki sana Yani hamtaki hamisa kabisa ila huyo jamaa Mond hamfiki hata robo 😂😂😂😂😂
@chingaboy1149
@chingaboy1149 11 ай бұрын
Tatizo ya watanganyika kuwashirikisha wazanzibar katika upuuzi wao cio Tanzania ni tanganyika kutushirikisha katika mambo yakijinga
@zulekhasaud483
@zulekhasaud483 11 ай бұрын
Wameshea bwana juma na hamisa 😂😂😂
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 11 ай бұрын
Hamisa usisikie ya watu mtatafuta wote baadaye
@dinahkimario3361
@dinahkimario3361 11 ай бұрын
Kwakweli ustaa ni kazi sanaaa..
@fredrickmatiku7783
@fredrickmatiku7783 11 ай бұрын
Jamani waswahili wana maneno jamani pesa hana kapuku mwomba Mungu mwenzangu maji ya upako na mafuta sana kwa mwamposaaaa
@user-ip5mb4oe7l
@user-ip5mb4oe7l 11 ай бұрын
Juma unachuki na jelous moyo wako unajieleza kwenye hilo
@safikapufi8992
@safikapufi8992 11 ай бұрын
wasafi wasipomchafua hamisa hawasikii vzr mtakufa kwa roho mbaya
@aminangusura6115
@aminangusura6115 11 ай бұрын
Ajenge asijenge juma muogope MUNGU milioni moja sio kitu kidogo kwa MUNGU ,kila mtu utoa anachoweza,alafu muacheni HAMISA wa watu ata kama msukuma mkokoteni amelizika naye acha maneno utakufa kinywa wazi wewe shauli yako.
@khadijambarouk2983
@khadijambarouk2983 11 ай бұрын
Juma acha wivu au unamtaka ww 😂😂😂
@zainabumilanzi2909
@zainabumilanzi2909 11 ай бұрын
Msenge Sana wewe utakufa mdomo wazi milioni moja kwa mungu kubwa
@minjesha
@minjesha 10 ай бұрын
Huyu juma mwanaume mjinga kuwahi kutokea tangu dunia iumbwe..yani simpendiii..hivi unakaliaje umbea mtoto wa kiume namna hiyo..sasa ye si afatilie wanawake..unafatiliaje mwanaume mwenzio kiasi hichi..hapo alipo kavaa pampers..hakuna hata mtu anayemsemesha..hebu tupishe..milioni moja kama sio hela ni nini???tena hela kubwa tu hiyo..mxiiiuuu
@abdallahamad4682
@abdallahamad4682 11 ай бұрын
ehehe mafisadi hawaaa😂😂😅😅😅
@3Dshoez
@3Dshoez 11 ай бұрын
Leo hii inasema Hamisa kajinunulia Range ,we si ulisema sio lake????????????????
@mishikombowato1457
@mishikombowato1457 11 ай бұрын
We juma diamond ana hela kibao bilionea mbona kamtelekeza babake mzee Abdhuli acha unafik ww shoga
@sarahmuhammed6872
@sarahmuhammed6872 11 ай бұрын
Wewe juma mpaka upate mwanamume akufanye ndo uwache umbea na kuchunguza wengine
@user-yo3yy7fx1i
@user-yo3yy7fx1i 11 ай бұрын
❤❤❤❤❤Misa kawanyoosha, yule Simba Zeee paka WA tandale kakimbia mji😂😂😂
@hadiaali5517
@hadiaali5517 11 ай бұрын
Juma acha chuki binafc 😢😢😢
@joycenicodemus.2232
@joycenicodemus.2232 11 ай бұрын
Khaaa!!!ila huyu juma mungu anamuona😮
@Yunis-hn9hn
@Yunis-hn9hn 11 ай бұрын
Inakuhusu nini wewe Hamisa achana na watu enjoy life.
@fahdijabir1270
@fahdijabir1270 11 ай бұрын
Kaka yangu J... unafiki wako kumbe wa wazi wazi 😢
@hadijasalim7769
@hadijasalim7769 10 ай бұрын
Kaka juma mungu anakuona kweli😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@feisalhaji5339
@feisalhaji5339 11 ай бұрын
Unashuhulikia ya watu wakat ya kwako yanakushinda kenge we
@ahmedysaidy9874
@ahmedysaidy9874 11 ай бұрын
😂😂😂kapigwa huyo kama MTU Fulani simtaji alipagawa akaibiwa mpk set ya dhahabu Dubai kama hao kule wapo wengi kutoka Togo, Nigeria ghana ogopa sana Hawa watu ni hatari wanatapeli mpk mapenzi kule Dubai kazi zao mara nyingi ni kufunga mizigo kwenye maduka ya dhahabu na bidhaa nyingine😂😂😂 Atlantic 🎉
@umaima1178
@umaima1178 11 ай бұрын
Sadaka chochote jumA
@pendomarco8928
@pendomarco8928 11 ай бұрын
Lakini Hamisa wangu nampenda sana hajibizani jamani Juma wewe unachuki na Hamisa na mgawa rudhiki ni Mungu
@binthkhamis8042
@binthkhamis8042 11 ай бұрын
Juma mdomo wangu komaa😂😂😂😂😂
@joyceshayo7949
@joyceshayo7949 11 ай бұрын
Ila uongo mbaya hata mimi niliona kwa hiyo milion moja alichemka angetoa tu kimya kimya
@user-rk1uz5zy1o
@user-rk1uz5zy1o 11 ай бұрын
Na bado mtaumwa sana kaeni kusubiri remix ya mama zuu na boss wenu
@umranim5854
@umranim5854 11 ай бұрын
Hichi kikao chenu cha kudhalilisha watu kumbukeni kuna mungu mtakufa midomo wazi laana hizo
@dianasago9214
@dianasago9214 11 ай бұрын
Hapo roho zinawauma mpaka sio poa
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 11 ай бұрын
Juma akifikisha 57 yrs atakuwa mchawi Kenge huyu
@nassirmohamed8492
@nassirmohamed8492 11 ай бұрын
😂😂😂
@beatricemungaiaa623
@beatricemungaiaa623 11 ай бұрын
Watanzania mna chuki na ubeya😢
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 11 ай бұрын
Kama wakenya tu
@user-zo3tt9ew7t
@user-zo3tt9ew7t 11 ай бұрын
Mh walimwengu bhna hyo maneno yangekuwa pesa Tz wote tungekuwa matajir hyo roho mbaya tu msaada hauna kiwango
@uwimana6533
@uwimana6533 11 ай бұрын
Juma Amissa tupo anakunyosha chungulia video 😂😂😂😂
@mariamalongo8803
@mariamalongo8803 11 ай бұрын
Ila mungu anawaona, hamna jema watanzania ,mlitaka atoe billion???
@uwimana6533
@uwimana6533 11 ай бұрын
Juma sadaka siomaonesho kwawatu 😂😂😂 roho inakuma sana 😂😂😂
@maureenmwende3515
@maureenmwende3515 11 ай бұрын
Mlitaka aumie aibu kwenu shetani 😢
@margaretnyamwilahila292
@margaretnyamwilahila292 11 ай бұрын
Juma una wivu sana na Hamisa na Fayma. Kulikoni?? Mmechangia??
@clarawilliam9959
@clarawilliam9959 10 ай бұрын
hivi ww juma tangu umeanza kazi uliwahi kutoka sadaka tuanzie hapo😮
@bakariomari8758
@bakariomari8758 11 ай бұрын
Dah watz kweli wambeya. Mh
@samiramussa2623
@samiramussa2623 11 ай бұрын
Juma muache hamisa wa watu na raha zake 😢hupendi watu wapate
@dicksonpaul6842
@dicksonpaul6842 11 ай бұрын
Jmn hii ledio kipindi Cha kina juma SAA ngap na juma ngap mpaka j ngapi
@IvanaDaudi-qe3dc
@IvanaDaudi-qe3dc 11 ай бұрын
Kuna watu Mungu amewapa pesa ata million Moja tu iyo hawajawai kuona wagonjwa
@shadiathemedshadiathemed8699
@shadiathemedshadiathemed8699 11 ай бұрын
Juma saluti kwako 😂😂😂😂
@JacklineKimario-dy3ui
@JacklineKimario-dy3ui 11 ай бұрын
Acha uongo juma dah missaa anakupa shida kweli
@Maryam-vj1rb
@Maryam-vj1rb 11 ай бұрын
Juma acha umbeya utafedheheka
@sophiahmedza929
@sophiahmedza929 11 ай бұрын
Juma nakukumbusha ulisema Range și ya Hamissa oooh hana kadi oooh mwisho wa sku katoa kadi..sura ikakushuka.juma wee mmbea but ondoa chuki umbea utanoga
@pendomarco8928
@pendomarco8928 11 ай бұрын
Sadaka ni sadaka tuuu na tena Mungu hubariki utoacho kutoka moyoni siyo kujionyesha kwa wanadam
@uwimana6533
@uwimana6533 11 ай бұрын
Kabisa sadaka siomaonesho kwa watu juma alitaka atoe mln 10 ndoasifiwe 😂😂😂
@haikamnzava8867
@haikamnzava8867 11 ай бұрын
Kwahiyo wewe Juma kinachokuuma ninu hasa kwenye maisha ya Hamisa
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 11 ай бұрын
Sasa Juma anateseka nini hapo sijaelewa kinachomuuma Kweli wivu mmbaya sana
@JanethJoshua-rs1ze
@JanethJoshua-rs1ze 11 ай бұрын
Yaniii juma kamaa shetanii yanakuhusu nin shetanii wew achaa wivuu
@feisalhaji5339
@feisalhaji5339 11 ай бұрын
We juma acha ufala kaz kushuhulikia ya watu tu we kweli kiboga
@dominarwechungura5797
@dominarwechungura5797 11 ай бұрын
Be appreciative, wewe umetoa ngapi so far
@issakamangila4143
@issakamangila4143 11 ай бұрын
@juma lokole baana kesha Maliza mchezo acha mmakonde achukuwe mzigo sasa
@heletuuabdalla9434
@heletuuabdalla9434 11 ай бұрын
Hivi juma utaacha lini kumnanga hamisa kila siku hata afanye nini kizuri lakini hukioni mpuuzi wewe au ndio kazi unasaka tonge baba kaaah
@queenlinda255
@queenlinda255 11 ай бұрын
Toa ulicho nacho hata dini inasema ivyo jamani juma jishikilie
@nellymtambo8432
@nellymtambo8432 11 ай бұрын
Range alisema kanunua mwenyewe jamani wala hajasema huyo bwana ndio kanunua 😂😂😂 Alafu mkono mfupi Juma sitaki bhana 😂😂😂 nampenda Hamisa lakini huyo Bwana hapana bhana mtanisamehe😂😂😂na miguu yake ya kushoto kulia Hamisa kajitahidi kuficha ile miguu kwenye video zake 😂😂😂 mdomo koma
@hiltrudajumanne5089
@hiltrudajumanne5089 11 ай бұрын
Wivu wa Juma na wasafi imewauma Nini sadaka yoyote ni sadaka tu jumalokole anatembelea upepo wa hamisa Kila siku lazima amseme achukuliwe hatua huyo hovyo
@mrsab303
@mrsab303 11 ай бұрын
Are you sure you said about this guy 😂😂😂😂😂😂
@piuskusenge-jf2ob
@piuskusenge-jf2ob 11 ай бұрын
Hamisa ni Binti wa Kislam, je swadaka yake inaswihii?
@uwimana6533
@uwimana6533 11 ай бұрын
Juma esma mbona anamario kamfuga humpondi muache misa ale raha wivu wanini mtoto wakiume wewe ao shoga 😂😂😂
@felisterlyimo7092
@felisterlyimo7092 11 ай бұрын
Acheni hayoo mambo
@umranim5854
@umranim5854 11 ай бұрын
Wivu huo kumbe bado mnampenda hamisa mti wenye matunda huo haukosi kupigwa mawe wivuuu huooo😂😂😂
@user-bt2sc2vt7z
@user-bt2sc2vt7z 11 ай бұрын
Mbona haumusemi esma kama naee ana mario mmakonde
@hafidhali3020
@hafidhali3020 11 ай бұрын
Yaani mnasifia zinaa?mtakiona cha moto
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 10 ай бұрын
Juma na wewe katoe mbona wamuonea wivu Hamissa? Wewe wa wapi?🤔
@haleemaoman8389
@haleemaoman8389 11 ай бұрын
Juma mungu akulipe apa dunia na akher juu unahalibia Hamisa wewe una mdoma kama nini Allah akulipe subhanallah unaskia gisi unaonge etii bwana hana pesa haishi China wewe unaongea etiii hakununulia Range
@cludderbaby1098
@cludderbaby1098 11 ай бұрын
😂😂Ila watanzania, ndomana maskini kwakweli 😂😂 seriously mnakaa chin mnamuongelea mtu ambae hamumpi hata kilo ya mchele, tena mtu unakomalia kabisa 😂😂 nimecheka wallah
@binthkhamis8042
@binthkhamis8042 11 ай бұрын
Juma juma jumaa weweee 😂😂😂😂😂 kwan ulitaka atoe mabilioni jmn 😂😂😂😂😂😂
GIGY MONEY NA DIVA WARUSHIANA MANENO MAKALI STUDIO, UGOMVI MKUBWA...
7:29
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 4,3 МЛН
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 13 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 192 МЛН
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 34 МЛН
Waka Waka 😁 #funnyshorts #rianashow
0:14
RianaShow
Рет қаралды 26 МЛН
Вся страна в очередях, а ты без очереди...
0:52
МиRRные Чувства
Рет қаралды 6 МЛН