No video

MKASA WA KIJANA ANAYEDAI KUTISHIWA KUPIGWA BASTOLA KISA KUKATAA KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE

  Рет қаралды 66,736

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 455
@JennyJma
@JennyJma 10 ай бұрын
Yaani sisi tuliozaa watoto wa kiume ni Mungu tu atusaidie ni mtihani eeh Mungu nilindie watoto wangu🙏
@rosemilingi7860
@rosemilingi7860 10 ай бұрын
Nikweli kbs tumwombe tu Mungu
@saay4273
@saay4273 10 ай бұрын
😢😢😢😢Mungu tu awalinde wanetu😢😢😢
@diamondplatnumz.148kviews5
@diamondplatnumz.148kviews5 10 ай бұрын
Amina
@esterabonga7947
@esterabonga7947 10 ай бұрын
Amen 🙏
@Userog254
@Userog254 10 ай бұрын
Kweli kabisa Mungu atusaidie yaani peke etu hatuwezi
@user-tp3ep6td9x
@user-tp3ep6td9x 10 ай бұрын
Huyu kijana anaakili sana jamani 🥹 Mungu amlinde
@mariamswedi1140
@mariamswedi1140 Ай бұрын
Amina
@DARUBINIYAUNABII538
@DARUBINIYAUNABII538 10 ай бұрын
Ongera sana ndugu yangu. Kwa msimamo wako mzuri ❤
@ujenezasandrine6854
@ujenezasandrine6854 10 ай бұрын
Ama tumuchangiye apate pesa ya kwenda nyumbani..wewe ni mjasiri kbsa...umewezq kutoka katika shimu..Pole sana usiache kufanya kazi na kuomba mungu..mungu atakusaidiya
@godfreyally-ps3fo
@godfreyally-ps3fo 10 ай бұрын
Dah pole sana mwamba na hongera sana Kwa kushinda hio vita 💪👍
@fettymilly7664
@fettymilly7664 10 ай бұрын
Hizo sindano zitakuwa za kisukariii na hivyo vidonge nivya ukimwii na viwembee aliviweka makusud ili vimkatee na mtt wa watu apate maradhiii Yan inshort huyooo baba piaa kasha jikatia tamaa Ila alaaniweee😭😭😭 tenaa alaaniweee Leo adi kesho akheraaa
@franciskibay8948
@franciskibay8948 10 ай бұрын
Sure yani umeongea point sana huyo kashajikatia tamaa ni mgonjwa
@habibaraphael6583
@habibaraphael6583 10 ай бұрын
Huyu kaka apewe hulinzi sana,, nawasikitikia watt wetu wa kiume mungu awalinde au awaepushe na tamaa Ameen 😭😭😭🙏🙏🙏
@danielmwita2136
@danielmwita2136 10 ай бұрын
Kuna kazi mtoto wa kiume hautakiwi kufanya, sijui kazi za ndani, piga kazi za nje. Bora nikabebe magunia sokoni kwa 700 kwa siku, kuliko kuwa nadeki, sijui nafua n.k kwa 700,000 kwa mwezi. Kuna moment mtu anatakiwa ajue mzani wa pesa na utu.
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 10 ай бұрын
Subhanallah yarrab nusuru watoto wetu na ndugu zetu kwa ujamla 😢😢😢😢😢 Milard ayo fatilieni muendelezo huyo mzee akamatwe sheria afate mkondo wake 😢😢😢
@hawakiza6067
@hawakiza6067 10 ай бұрын
Kweli kabisa Huyu mzee hafai kuish katika jamii
@faridanurdin9635
@faridanurdin9635 10 ай бұрын
Akamatwe tu
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 10 ай бұрын
Ee Mungu turindie watoto wetu 😢😢😢😢😢huyu mzee ni pepo kabisa ndomaana ataki Ata mambo ya kusali 😢😢
@batilda4920
@batilda4920 10 ай бұрын
Daaa inaumiza sana aisee afungwe Uyo mzee Kwa kuwafanya watoto wa mwenzao mashoga
@tumainmoshi508
@tumainmoshi508 10 ай бұрын
Auliwe kabisa
@africandarling6925
@africandarling6925 10 ай бұрын
Mmhhh AISSEH pole sana Pia ulizi waitajika kwl kwa mtoto wetu huyuu wallaah
@mimimtanzania9738
@mimimtanzania9738 10 ай бұрын
Badilisha namba ya cm haraka,hongera sana kwa ushujaa,umeokoa taifs Acusna na huyo dalali anaweza kua chambo wakuumize.weewe ni shujaa mkubwa sana Tanzania Asante sama kwa kuokoa vijana ma watoto
@glorydaniel6549
@glorydaniel6549 10 ай бұрын
Hongera sana kaka Mungu akulinde na akupe haja ya moyo wako...wewe ni mwanaume wanguvu kuwa na msimamo siku zote za maisha yako...Mungu akukumbuke umeamua jambo jema😭😭
@goshenieagleWOG
@goshenieagleWOG 10 ай бұрын
Watupe number yake tuchangie chochote dogo apate kabiashara
@user-mc6um1it1r
@user-mc6um1it1r 10 ай бұрын
Yani mm inauma san nikisikia habari za kulawiti watto😢😢
@Boniphaceshayo5
@Boniphaceshayo5 10 ай бұрын
Siku nyingine muache mtu aelezee kwanza kisha ndo uchague vipengele vya kuhoji siyo kila neno una hoji
@jumatajiri585
@jumatajiri585 10 ай бұрын
Na vijana siku hizi wanatamaa jamani mungu atunusuru vizazi vyetu
@Mina.15
@Mina.15 9 ай бұрын
Kukosa ajira that's why
@starlily07
@starlily07 10 ай бұрын
Huyo mzee ni wankumvizia na kumkata hiyo dudu yake wala haina haja ya kumshtaki popote, Mungu amlaani maisha yake yote
@FirdausyAbubakary-bl2wo
@FirdausyAbubakary-bl2wo 10 ай бұрын
mashoga woote hukumu yao ni kuuwawa Either kwa upanga au apigwe na mawe..maana wanafanya ufuska ktk Ardhi na kuharibu vizazi vilivo bora..Allah atunusuru na Vizazi vyetyu
@SelestinaJoshua-pn4zv
@SelestinaJoshua-pn4zv 10 ай бұрын
Tufanye mpango huo unajua hilo wazo ni zuri ujue àkikatwa uume hiyo tabia itaisha
@annakapolondo7771
@annakapolondo7771 9 ай бұрын
Amen MUNGU alinde watoto wetu jamani uwiii
@Mina.15
@Mina.15 9 ай бұрын
😂😂😂
@Mina.15
@Mina.15 9 ай бұрын
​@@SelestinaJoshua-pn4zvyes hatawafanyia watoto wengine tena
@peterdeus6093
@peterdeus6093 10 ай бұрын
Sema kwel imeniuma saana lakin we kijaana umeonesha tabia shupavu MUNGU akulinde na aiongeze haki yako na ridhiki yako ili uwe mfano bora katika Jamii yako
@mariamswedi1140
@mariamswedi1140 Ай бұрын
Bado wapo vijana wanaokataa ubaya Mungu akulinde na akufungulie njia zko
@daviddouglas8943
@daviddouglas8943 10 ай бұрын
Dah, hatari ila Tz mabasha wapo wengi sana na watu wanawachekea tu. Ilihali Wanajulikana tena wengine huo ndio umaarufu wao mxixisiu. Wazee wa hovyo
@gasperazziza7364
@gasperazziza7364 10 ай бұрын
WE JAMAA MTUKABLA AJAMALIZA SENTENCE UNAULIZA SWALI AISEE UNA BOA KICHIZI YANI ACHA IZO
@SuddyAlly
@SuddyAlly 10 ай бұрын
Duhu hii atali na nuxu 😢 sema ongele sana mwanetu miximamo yako nimeipenda sana na mungu atakufanyiaa uwepexi utapata tu kazi
@bebebebe5677
@bebebebe5677 10 ай бұрын
Daah eeh mungu tulindie vizazi vyetu
@ASALABOY
@ASALABOY 10 ай бұрын
Dah mungu baba naomba utuepushie kwenye hilo janga.
@HawaDegwa
@HawaDegwa 10 ай бұрын
Pole sana mungu atakusimami uckate tamaa
@amemasudi5735
@amemasudi5735 10 ай бұрын
Wapo vibosile hiyo ndio kazi yao kuchkuwa Vijana wenye tamaa na kula Mzigo unapata hamu gni ya Kumuingilia Men mwenzio duh Vijana tusipende mtrmko tufnye kazi kw bidii mbona tutatobowa kw uwezo wa Allah wengi wa Wanaume ni wake za Watu hapa Mjini dah !😢
@nurumwangoka5924
@nurumwangoka5924 10 ай бұрын
Kwa kweli ni laana 😢😢😢😢
@jonasnyanga8167
@jonasnyanga8167 10 ай бұрын
Ndio mana @chimakeke anasema toka magetoni ngozi ta mbupu
@fatumakweka5182
@fatumakweka5182 9 ай бұрын
Hapana hii sio nguvu ya ushawishi ya kawaida aisee
@comraderashid_nuru_m5260
@comraderashid_nuru_m5260 10 ай бұрын
Sauti ya TIA haijazimwa vizuri 😢😢😢😢
@sosmanuva7973
@sosmanuva7973 9 ай бұрын
Alafu Kuna Musa na Rahim 😂
@mwaneylushino3389
@mwaneylushino3389 10 ай бұрын
Mtangazaji muache mtu aongeee woiiii,hapo sio polisi
@ummusumayya7845
@ummusumayya7845 10 ай бұрын
Saana angemuacha ajielezee kwanza kama afanyavyo vido vidox.
@ReginaErnest-cf6ji
@ReginaErnest-cf6ji 10 ай бұрын
Afungwe Tu Huy mbwa mzee anazeek vibaya mno
@irenemacha5661
@irenemacha5661 10 ай бұрын
Ndomana jua likuwa kali sana kwa mambo yanayofanyika apa duniani.pole mdogo wangu😢
@Mina.15
@Mina.15 9 ай бұрын
😂😂 jua lamungu haingiliani na haya machafu
@flowerqq1280
@flowerqq1280 10 ай бұрын
Mungu akulinde mwanangu umekuwa muwazi kwa ilo uyo mzee anaonekana zaidi ya shetani sharia irate mkondo wake
@edmundnkarangu134
@edmundnkarangu134 10 ай бұрын
Pole sana kijana.Ila asante pia kwa uzalendo utaokoa wengi sana barikiwa😭😭🙏
@rithaurassa
@rithaurassa 10 ай бұрын
Huyo Mzee achukuliwe hatua Kali ,Kam cy Tz tuna hofu ya Mungu angenyongwa, kabisa
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 10 ай бұрын
​@@rithaurassahata Mungu alitoa amri walawiti wapigwe hadi kufa
@arafakiloli749
@arafakiloli749 10 ай бұрын
Subhanallah pole sana mdogo wangu ALLAH akufanyie wepesi upate haki yako.
@jackmuta8827
@jackmuta8827 9 ай бұрын
Huyu nae maswali mengi bana siaache aongeee
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 10 ай бұрын
Vijana msiende dar sio kuzuri limeni dar wanaish mashoga tu wanaume tupo mikoan
@Jackylmariam-qy6qe
@Jackylmariam-qy6qe 10 ай бұрын
Mdogo wangu kuanzia leo ukipigiwa simu na mtu usiyemjua plz nenda na mtu akusindikize au akupeleke Mana dunia hii ni kiboko
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 10 ай бұрын
Dunia hii..Mwenyezi Mungu wewe unajua😨
@nesielias9493
@nesielias9493 10 ай бұрын
Kila atakaejalibu kukiraghali kizazi changu Siku zote za maisha yangu Kabla hajatimiza makusudi yake afe ghafla kwa plesha mishipa ya damu ipasuke asiishi katika uso wa nchi
@RizikiRiziki-bp6dx
@RizikiRiziki-bp6dx 10 ай бұрын
Amen
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 10 ай бұрын
Kuna mtandao mkubwa sana wakueneza ushoga Africa, dalali anatakiwa akamatwe ataje huo mtandao ,,,,mama samia mbna umekaa kimya
@arthurdonnietello9691
@arthurdonnietello9691 10 ай бұрын
😅😅😅
@Rolemodel_wa_taifa
@Rolemodel_wa_taifa Ай бұрын
ETI NANI AMEKAA KIMYA
@maryamm7765
@maryamm7765 10 ай бұрын
Astakafirullah huyo mzee auwawe kutuaribia vijana wetu tu
@sistertrashid2488
@sistertrashid2488 10 ай бұрын
Yaani anaharibu mpaka Dunia maana kaumi ruti waliangamia ivi ivi
@gloryvictor7013
@gloryvictor7013 10 ай бұрын
Dunia imeisha 😭😭😭😭😢😪, nyakati hizi zimefika
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 10 ай бұрын
ilitakiwa msitangaze ilitakiwa mtoe taarifa polis wakamkamate wamfunge firauni huyo mwaribu watoto laana hata hivo akakamatwe astahili kuishi kwenye jamii
@joanpeter9121
@joanpeter9121 10 ай бұрын
Polisi ipi, na hizi rushwa Za Tanzania.hapo ni kuchukua sheria mkononi usiku wa manane mnamwaga petrol piga kiberiti mfyuuuu
@danielmwita2136
@danielmwita2136 10 ай бұрын
Unadhani polisi ktk level za kawaida hawajui?! Watu wanachukua posho. Hapo ili anaswe inataka nguvu kubwa, kama hii ya media ifichue hivi, kisha tuhuma ipelekwe polisi na kesi ianze.
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 10 ай бұрын
Pole sana kweneutaftaji watu wanakutana namengi bg up kwamsimamowako uyonimwakirishi wa ushoga mataifa kazaa
@user-eg2wk4xx3h
@user-eg2wk4xx3h 10 ай бұрын
Mungu wanguuu Dunia imekwisha watoto wetuu
@elishaelishaedward9454
@elishaelishaedward9454 10 ай бұрын
Vijana tuna penda vitu Rahice hatutaki kufanya kazi hili janga lina umiza sana vijana wa sasa mambo ya uchoko yamekubuu kwakweri eeh mwenyezi mungu atuepushe na janga hili
@Hamidkaran
@Hamidkaran 10 ай бұрын
Aliambiwa atapewa kazi sasa kakuta kitu tofauti
@AziziMapunda-vt4nv
@AziziMapunda-vt4nv 8 ай бұрын
Kikubwa ludinyumbani kwenu mungu amekuponya usikutwe namabaya
@praisesteven7774
@praisesteven7774 10 ай бұрын
af wew katto kapumbavuuu yaan baada yakukwambiaaa ivo ilitakiwa usepeeee yaan unavumiluaaa nn ssa 🙄🙄🙄
@sifatiiman
@sifatiiman 10 ай бұрын
umeshaambiwa amekuja kutafuta maisha na hana ndugu hana hata mia mbovu mi nazani alikua anasubili apate huo mshahala wake ndio aondoke lakini mshahala wenyewe kapewa 20k nakaambiwa zingine ad huyo shetan ajisikie kumpa😢 sasa angefanyaje😢
@tatotato506
@tatotato506 10 ай бұрын
MAMA GWAJIMA UYO MPUUZI MFATILIENI AKAMATWE AFUNGWE MBWA UYO NAWEWE BABA UTAKUFA KIFO KIBAYA MSHENZ WEWE
@johnhammlay6531
@johnhammlay6531 10 ай бұрын
Maswali ya mwandishi yanavuruga hadithi msimuliaje anachjichanganya kuhadithia. Maswali yanalwenda mbele nyuma
@user-og2oy7pj9i
@user-og2oy7pj9i 10 ай бұрын
Yani mpaka ana bao
@saraphinermassare3330
@saraphinermassare3330 10 ай бұрын
Zaidi ya kusali hakuna kingine cha kukifanya ambacho kitaokoa vizazi vyetu. Mungu mwenye rehema aturehemu
@ramadhaniraphael6955
@ramadhaniraphael6955 10 ай бұрын
Mpe nafasi ajielezee maswali mengi hata atuelewi
@user-eg2wk4xx3h
@user-eg2wk4xx3h 10 ай бұрын
Kwa usalama wako huondoke atakuua tu na tupate no yake tumchangie shujaa wetu
@mugishamajeba9628
@mugishamajeba9628 10 ай бұрын
muhaya mwenzangu ongerasana kwakuwa mujasiri
@anjelinakaniki9162
@anjelinakaniki9162 10 ай бұрын
Jamani tunaenda wapi kwahali hiyo mungu akufanyie Wapesi na watoto wetu
@Mrscaptaingillah
@Mrscaptaingillah 29 күн бұрын
Huyu muandishi nae ana maswali anakera😅😅
@user-sp6sv3cg9d
@user-sp6sv3cg9d 10 ай бұрын
Mhhhh Mungu wa mbinguni tuhurumie watu wako tunapata shida na watoto wetu
@kelvinmkondoa9558
@kelvinmkondoa9558 10 ай бұрын
ayo tv mwenyezi mungu awasimamie na kuwalinda kila hiitwapo leo na pia naiyomba selikali hiifanyie kazi hii lipoti kuokoa jamii ya vijana wa kiume
@josephjulio6112
@josephjulio6112 10 ай бұрын
Dawa yao ni kuwaua tu maana selikali ipo ila ni kama vile wanafuga huu ushetani
@scholamodestus9386
@scholamodestus9386 10 ай бұрын
Hizo taa nahisi ni camera, zinafungwa hata nje ya gate mtu akifika getini inawaka unaona nani kacmama nje
@jescarkinabo6281
@jescarkinabo6281 9 ай бұрын
Napajua Ni kwelii Pana taa Kuna siku mtoto akawa anabonyeza hiyo taa akatoka mkaka akataka kumvuta Yule mtoto akakimbia alikimbia nae mpk anafika kwetu huku alivyoona watu wengi akarud ilibid tumpige Yule mtoto na kumuonya maana angerud kuja kuendelea kuchezea taa tukawa tushasanuliwa hii nyumba Ni ya mashoga😭🙄
@polycarpykavishe9001
@polycarpykavishe9001 10 ай бұрын
Huyo mzee wakitambo nlipokuja mjini nlimkuta na harakati zake ni miaka mingi sana... Japo nlikua mdogo ila nliona mengi sana maana tulikua majirani sema nn vijana tuache tamaa tutafute kilichoriziki yetu cha kumpendeza Mungu maana mzee hamlazimishagi mtu vijana wanajipelekaga wenyewe
@JBB875
@JBB875 10 ай бұрын
Kweli
@JBB875
@JBB875 10 ай бұрын
Kweli Kitambo sana uyu mzeee na ana pesa kweli na ana Nyodo za atar, alafu anadanganya sana watoto wa watu, tena vijana wadogo wadogo na sidhan kama ana uzima wa afya… apo si alimwambia atampa io milion 5 lakin asingempa.. ni mbaya sana uyo baba na sijui kama hatumii nguvu za giza… Yan ni wa muda sana uyo baba … ni wa miaka na miaka, na ni mweupe mweupe ivi, na inasemekana sio mzima, eneo analokaa kama sikosei ni nyuma makaburini msewe i
@zenarzchenga2631
@zenarzchenga2631 10 ай бұрын
Kwanini msimshtak
@polycarpykavishe9001
@polycarpykavishe9001 10 ай бұрын
@@JBB875 yap ndio huyo huyo ni wakitambo balaa yan vijana wameliwa balaaa wameliwa sana na anajiamini wala hanaga wasiwasi
@arthurdonnietello9691
@arthurdonnietello9691 10 ай бұрын
​@@zenarzchenga2631wanaogopa hata kutaja jina lake, watamshtaki vipi
@daudymlauletv8489
@daudymlauletv8489 10 ай бұрын
Mnazingua sana mnakata kata sauti ya nn wakati inatakiwa tuwajue ili tujifunze
@janifajani8875
@janifajani8875 10 ай бұрын
Sizani kama nisawa huyu kijana kutowa namba yake wanaweza ukampoza
@user-kd7ey2mu7p
@user-kd7ey2mu7p 10 ай бұрын
Allah anamuona uyo mzee mshenzi hukumu ataikuta kesho kwa Allah
@rayahamisi118
@rayahamisi118 9 ай бұрын
Na pia anawaambukiza ukimwi
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 10 ай бұрын
Duuh mtihani wallah😢 uko mwisho mmeharibu kuweka namba
@mohamedyusuph7824
@mohamedyusuph7824 10 ай бұрын
Mwanang pole xn tena napenda kukupa hongera n mungu akulinde pia tapakanya no zk maan tunamupgopa asituharibie wanetu, pia sheria ifate mkondo wake
@renatuswilson1577
@renatuswilson1577 10 ай бұрын
Uwemakini Sana. Asijekukupigia mwenyewe akakudhuru.
@halimabakari2280
@halimabakari2280 10 ай бұрын
Huo mlio mpunguze maana hata hatusikii vzr🥺
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 10 ай бұрын
Mtangazaji nyoko zako jifunze kwa bro wako millad ayo ,,, hua anaacha mtu aelezee story kisha badae maswali ,,, unakera mnooo Poor interview,,, Poor mtangazaji , Ongezeni na pua zingine Km mziki mkubwa kuliko anayezungumza ,,,, Milard umetuangusha mfunze huyo mfanyakazi wako 😏😏😏
@user-fd4dt9zo2g
@user-fd4dt9zo2g 10 ай бұрын
Wewe nae 😅😅😅😅😂nimecheka
@Commentsplus
@Commentsplus 10 ай бұрын
wivu tu mbona hakuna kibaya na wala mziki sio mkubwa labda unatumia infinix
@e7bits_tz
@e7bits_tz 10 ай бұрын
​@@Commentspluswhy infinix😂😂
@jovintosssi3287
@jovintosssi3287 10 ай бұрын
​@@Commentsplus watu wa infinx utawaweza ww😂😂
@mithlaabdulrahim8566
@mithlaabdulrahim8566 10 ай бұрын
Inalillahi wainailaihi rajiun...yaarabi tuepushe na hizi fitna ...mtihani mzito wawahi daaahh....taifa hatuna 😢😢😢😢
@prettyshani9767
@prettyshani9767 10 ай бұрын
Kama huyo baba alikuwa anajichoma sindano kwenye tumbo na mapajani na anakunywa sana soda itakuwa anaumwa kisukari..
@janengowi-lt9gu
@janengowi-lt9gu 10 ай бұрын
Mungu tulindie watoto wetu
@JansanMokiwa-hr6hl
@JansanMokiwa-hr6hl 10 ай бұрын
Milard Ebu njooni mnioji na Mimi nitamipa Mambo Mazito sana 😭😭😭
@rasvegas8991
@rasvegas8991 10 ай бұрын
Nn
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 10 ай бұрын
Watafute kwenye namba yao ipo kwenye mitandao yake yoye ya kijamii
@user-zj5hm5lj5m
@user-zj5hm5lj5m 10 ай бұрын
Sheria yakunyongwa irudishwe mzee kama huyo anyongwe tu
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 10 ай бұрын
Uyu kijana asingetaja namba yake kwa usalama wake ni mdogo😢
@De_lima98
@De_lima98 10 ай бұрын
Wameficha majina wametaja namba
@Happy-tx7p
@Happy-tx7p 10 ай бұрын
Mung amekusaidia kijan kwa iman yk pole san😢
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 10 ай бұрын
Kwann usingetoroka unawezaje kuvumilia ujinga hv hata kama n shida hapana jmn
@hakambashe8421
@hakambashe8421 10 ай бұрын
Usalama Ndo ulitakiwa uwe unawapeleka pasipo julikana watu kama hao sio wapinzani. Nchi za magharibi hazitajua achen uoga anzisheni kampene ya "Kupelekwa pasipo julikana". Naaamin wanamitandao mikubwa kutoka mataifa yakishoga sema Kampen pasipo julikan itafaaa
@navioma4882
@navioma4882 10 ай бұрын
Dunia ina mambo sana
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 10 ай бұрын
Kwani kumchukulia chakula huwexi weka sumu? Ungeweka sumu ya panya.Hiyo nyumba ni mavi2 tu.
@GemaMaleko-zf7tg
@GemaMaleko-zf7tg 10 ай бұрын
Duuuh pole na hongera Sana kwa msimamo wako
@marrypius576
@marrypius576 10 ай бұрын
Huy mzee achukuliwe hatua alafu akatwe hilo dudu lake pumbavu kabisa
@directorimmah_vfx3043
@directorimmah_vfx3043 10 ай бұрын
MUNGU atuepushe wanaume sis na vizaz vyetu....kwann mnawafanyia watot wakiume kwan wakike amuwaon daaaah MUNGU atusameh aisee
@eliyasanga6374
@eliyasanga6374 Ай бұрын
Huyu mzee atakuwa ana imani za ushilikina
@JBB875
@JBB875 10 ай бұрын
Kitambo sana uyu mzeee na ana pesa kweli na ana Nyodo za atar, alafu anadanganya sana watoto wa watu, tena vijana wadogo wadogo na sidhan kama ana uzima wa afya… apo si alimwambia atampa io milion 5 lakin asingempa.. ni mbaya sana uyo baba na sijui kama hatumii nguvu za giza… Yan ni wa muda sana uyo baba … ni wa miaka na miaka, na ni mweupe mweupe ivi, na inasemekana sio mzima, eneo analokaa kama sikosei ni nyuma makaburini msewe i
@csato9415
@csato9415 10 ай бұрын
Kumbe hata jamii wanamjua kwanini wasiripoti ili achukuliwe hatua za kisheria.
@Byme6434
@Byme6434 10 ай бұрын
Kuna kipindi Vijana Wa Mtaani Walitaka Kumshughulikia Lakini Sasa Sijui ilikuwaje Serekali ya Mtaa Wanajuwa Wakipewa Viela vya Chai Wanakausha Washadhulumika Vijana Wengi Sana Kwa Yule Mzee Wallah Serekali Iingilie kati😡
@JBB875
@JBB875 10 ай бұрын
@@Byme6434Yan uyo dawa yake ni wananch kumshugulikia ila wakisema wasubiri serikali sidhan mana ni ana pesa…. Alafu uo mchezo hajaanzA leo kuharibu vijana Yan ana connection ya kutosha na naskia akikufanya hakurudii na hatak kinga…. Yan ni takriban miaka 20 nyuma uyo baba. Na haogopi wala nin…. Alafu nadhan yule ni mtu ambae anafanya na kufanywa pia… na ni kiburi na ana nyodo balaaa… sjui ana cheo gani Uko serikalin, kwa kwel sjui
@csato9415
@csato9415 10 ай бұрын
@@Byme6434 Hili ndio tatizo kubwa kwa nchi yetu viongozi wengi ni njaa zinawasumbua na ubinafsi hata wanashindwa kutimiza wajibu wao. Na hii imekuwa ni ugonjwa mkubwa sana wengi siku hizi imekuwa ni kujipendekeza ili wapate vyeo yote ni njaa na ubinafsi mtu wa namna anaweza kukemea!?
@talentshow2024
@talentshow2024 10 ай бұрын
😢
@anandennko3383
@anandennko3383 9 ай бұрын
Mungu akutunze kijana kama kweli uliweza kupingana na hilo aisee kwanini wasiende kumvamia aende maabusu hyo atakuwa ni mshirikina kabisa huyo
@johnbidya119
@johnbidya119 10 ай бұрын
Taaa hizo ndio zilizo fungwa uwanja wa benjamini mkapa jaman mbn hatushituk
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 10 ай бұрын
Hata hii African league,,,lengo nahisi ni Hilo ulaya naskia Kuna mataifa yaligoma, angalia junsi mashindano yenyw yanavoendeshwa ndani ya sku 20 eti mshindi bilioni ngapi .....ila hii ni vita ya kisaikolojia ,,,ni kuwa makini kiakili
@Trys6254
@Trys6254 10 ай бұрын
nakubari sana bro bakari upo makini sana kwenye kufatilia issue sentive
@faridithomas4859
@faridithomas4859 10 ай бұрын
Sasa usalama wa taifa wako wapi!?? Au wao kazi yao ni kuwashughulikia wanaoikosoa serikali tu!?? Dah inauma
@asiasalim9323
@asiasalim9323 10 ай бұрын
Subhana ALLAH
@user-jk4kw8jr4v
@user-jk4kw8jr4v 10 ай бұрын
Ule usenge wa zamani umerudi aiseee
@bekatv1009
@bekatv1009 10 ай бұрын
That's ma hero
@user-ub8ig1rl7h
@user-ub8ig1rl7h Ай бұрын
😂 MOLA akulinde naomba namba yako. Kwao msaada
@tonyaron1194
@tonyaron1194 10 ай бұрын
Nyie habari zenu ni za ubaguzi sana mnadili sana na Arusha kuliko mikoa mingine
@godlistenJohn
@godlistenJohn 10 ай бұрын
Ww una lako jambo, au itakua huijui Millard Ayo Tv vizuri
@modenhosouza5925
@modenhosouza5925 10 ай бұрын
Fungua yako hoji unapopataka
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 10 ай бұрын
Ubungo Kibo Msewe ni Arusha kumbe na hamniambii hahahaaa 😂
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 10 ай бұрын
Wee unaumri wa miaka mingap?
@Commentsplus
@Commentsplus 10 ай бұрын
wivu wa wazi wazi mbona unawivu
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 10 ай бұрын
Tanzania ime oza mna karibisha laana katika taifa lenu na serikali kama haijali matokea maovu yaliopo hivi sasa kumbukeni nanyie wanenu watafikiwa n'a hili janga 😢
@FridaMmari
@FridaMmari Ай бұрын
Laiti wanawake tungekuwa na umoja hawa mbwa tungewauwa
@rosesilio9008
@rosesilio9008 9 ай бұрын
Siyo tamaa vijana WA natafuta maisha ndugu zangu mnaposema waache tamaa mnawakosea vijana siyo wote wenye tamaa
@nancyg8664
@nancyg8664 9 ай бұрын
Hv huyu mtangazaji huwa hana sauti jaman au ananyama nyama kwenye mdomo
@jaharaoman6478
@jaharaoman6478 10 ай бұрын
Serikali serikali mko wp jamani uwiii watoto wetu jamani huyu setani alaaniwe na uzao wake wote mbwa mkubwa huyu
@shedrackjoshua834
@shedrackjoshua834 9 ай бұрын
Hanaga mtoto hata
@ASALABOY
@ASALABOY 10 ай бұрын
Wewe ndugu mwandishi mbona kama unamtisha uyo Dogo 😅😅😅😅😅
@tatotato506
@tatotato506 10 ай бұрын
JAMANI MAMA SAMIA UYO MZEHE MFATILIENI AKAMATWE AFUNGWE MSHENZ UYO MBWA KABISA
@madinajamada9180
@madinajamada9180 10 ай бұрын
Mpe nafasi ajielezee
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 10 ай бұрын
Kwann huyo kijana katoa namba yake ya cm ? Daah 😢😢muongo huyo mzee mjaa laana na utalazwa kweli na kufa utakufa kabisa mbwa ww
Israel Mbonyi - Nina Siri
11:11
Israel Mbonyi
Рет қаралды 58 МЛН
The Joker saves Harley Quinn from drowning!#joker  #shorts
00:34
Untitled Joker
Рет қаралды 72 МЛН
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 19 МЛН
Ik Heb Aardbeien Gemaakt Van Kip🍓🐔😋
00:41
Cool Tool SHORTS Netherlands
Рет қаралды 9 МЛН
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 3,4 МЛН
The Joker saves Harley Quinn from drowning!#joker  #shorts
00:34
Untitled Joker
Рет қаралды 72 МЛН