No video

VIDEO: LEMA APITA NA NGOMA YA ROMA JUKWAANI, "ALIYE JUU MFUATE HUKO HUKO"

  Рет қаралды 18,436

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 21
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 Жыл бұрын
Lema wewe ni mtumishi wa Mungu mbona leo unakashifu Mungu siasa usimchanganye na Mungu ongea point za pesa zimeibiwa sio kuwaambia watu wasitoe sadaka unamkosea Mungu sana ndiomaana watu hawakuitikii kabisa umechemka
@masala8099
@masala8099 Жыл бұрын
safi sana lema
@eliasmbowe2967
@eliasmbowe2967 Жыл бұрын
Speaking nothing but facts
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 Жыл бұрын
Lema saiv kua mhubir uache siasa na umuachie Gambo Jimbo la Arusha
@V24hrs
@V24hrs Жыл бұрын
Hii nibdalili ya kufilisika kisiasa. Alianza na bodaboda sasahivi anahubir mistari ya Roma.
@danielsuleiman6768
@danielsuleiman6768 Жыл бұрын
Ameongea facts tupu. Watu wamepotoshwa na wahubiri fake. Acha aseme kweli. UNAPOSEMA KWELI UTACHUKIWA SANA NA WATU WENGI.
@henrytimothy3048
@henrytimothy3048 Жыл бұрын
Lema kuingia makanisa na wewe ni mwanasiasa kumbuka makanisa ndo yalikupa ubunge 2010 tulitumia ukristo kumwangusha batilda buriani sasa endelea km hujaanguka kisiasa
@aronlubango7934
@aronlubango7934 Жыл бұрын
Wewe Lema jikite kwenye siasa siyo dini ,utapoteza umarufu wako bure, maana ukisema kiongozi yeyote wa dini ana wafuasi. Wote hao ni wapiga kura
@ibrahimsamson4193
@ibrahimsamson4193 Жыл бұрын
Wahuni n wahun tu
@masoudymichael
@masoudymichael Жыл бұрын
Ni muhimu sana kuwahubiria watu haki yao
@mrsinia3064
@mrsinia3064 Жыл бұрын
Aliejuu mpandie juu...🤣🤣
@samwelipaul1462
@samwelipaul1462 Жыл бұрын
👍
@bajagihaji8923
@bajagihaji8923 Жыл бұрын
Siasa itafika wakati nyinyi viongozi mtatutafuta sisi wanainchi
@jumannerajabu8259
@jumannerajabu8259 Жыл бұрын
oya Bado tunakumbuka msemo wa JPM unaosema maneno hua nimazuli mno ira vitendo ndio shida ss maneno nijambo ringine navitendo nijambo ringine Hata ww rema mwiz2 risu mwenyew mwizi2 tunawajua kiujumra hakuna mzuli wote mmekaaa kimasirahi yy
@chrispinrafael3831
@chrispinrafael3831 Жыл бұрын
Wewe ni mtu mzuri mbona amuwatetei madereva leseni mda wake aujaisha arafu wanapunguza madaraja arafu ulipe tena kwanini wasisubili mda wa kurenew ndoo mtu aende na cheti
@amashambowe1583
@amashambowe1583 Жыл бұрын
Mkuu nazan sisi wenyew hatuna umoja
@matumokimatumoki6424
@matumokimatumoki6424 Жыл бұрын
Wahuni tu nyie
@kmotivation1130
@kmotivation1130 Жыл бұрын
Muhuni ww
@samsonkusupa6809
@samsonkusupa6809 Жыл бұрын
Ujinga tu
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Жыл бұрын
shoga la ccm
@henrytimothy3048
@henrytimothy3048 Жыл бұрын
Lema kuingia makanisa na wewe ni mwanasiasa kumbuka makanisa ndo yalikupa ubunge 2010 tulitumia ukristo kumwangusha batilda buriani sasa endelea km hujaanguka kisiasa
ISSEI & yellow girl 💛
00:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 24 МЛН
Happy birthday to you by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 12 МЛН
Sugu aanza mikutano, amtaka Dk Tulia wakutane 2025 jimboni
7:50
Mwananchi Digital
Рет қаралды 31 М.