Millard ayo wewe ni mwandishi bora kwangu #tem #ayotv like zenu
@hadijahassan31134 жыл бұрын
Nimeliona hilo pia asee
@ombenmichael34734 жыл бұрын
Absolutely
@hasanimikeyo88934 жыл бұрын
Izo like zinalipa? au
@geeva994 жыл бұрын
Sijapenda anavyouliza detail za mambo ya ndani kama percentage etc. hii sio court hii no social public interview that was just bad, I suggest he gets some training course katika hizi serious interviews, hii sio udaku matter
@goodluckmgeni54234 жыл бұрын
Millard ayo ww ni bora zaid hapa tanzania
@busaratemba18844 жыл бұрын
Kama umejua kuwa huy dada anampangilio mzuri wa maneno na majibu kama vile anasoma kibut gonga like tujuane
@fatumasalim61374 жыл бұрын
Nimempeda bure
@mahmonmahmon70094 жыл бұрын
Hngr dada
@emmanueldocha39683 жыл бұрын
Wewe Kama wewe kwa Mengi ni kidemu tu. Mke tunae mjua ni Marehemu kwa saaa
@gracelazaro24693 жыл бұрын
Hahaha eti kibuti
@thomasmcfadden93273 жыл бұрын
Kaza buti dada mbele kweupe,pambana mpaka mwisho.
@Teacher_Hassan_Lemunje4 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/h7enpbV6u7rehYE.html 👆👆👆👆👆👆 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 *kama kijana tumia Fursa ya Bando lako kujiingizia Fedha jifunze kupitia Video hii namna ya kujiunga na kuanza kulipwa ni Rahsi mnoo na Hamna masharti yoyote* *Share na wengine wajifunze* 💥💥💥💥💥💥💥
@hamisidale27043 жыл бұрын
Millard una hekima Sana, kwa Umri wako, duh nimekukubali Sana piga kazi utafika mbali Sana, hauko na majivuno wazazi wako wamefanya kazi nzuri kukulea lm proud for you, Mzazi anaejitambua kama Mimi tungependa kuwa na watoto wenye adabu kama wewe Mungu akubariki Sana"Hamisi Dale Boston USA
@mercy76894 жыл бұрын
After this interview, I'll never judge this woman, she has said her truth and God is the judge🙏🙏
@anethmahera44534 жыл бұрын
Mercy true
@clausemsemwa2974 жыл бұрын
Kha
@josephmahay14384 жыл бұрын
Exactly..
@nicotv41624 жыл бұрын
Wew mali inatafutwa wew unafijir angechora mchoro wa wazi aonekane mbaya ,,ubaya unaoneshwa ndani kwa ndani,,mzee alibugi sehemu baada ya kugawana na bbi mkubwa ilibidi na hizi alizobaki nazo awagawie na hao wakubwa koz zile za bibi mkubwa aliwapa wanae ,,hivyo mzee hakuwapa uridhi wanae
@collincarlos74334 жыл бұрын
HAKUNA LOLOTE ,,kitakachobadil WOSIA,,na hta ninyi mnajua mzee mengi hakuwahi kuripotiwa kuwa na afya au ttz la AKIL..iweje Leo kashakuf ndio isemwe,,Tena mdomon bila vyeti au trf yyt ya dr
@mtanzaniahalisimungunimwem6734 жыл бұрын
Polee Jack wangu..Mungu ni mume wa wajane...usilibebe Sana Jambo Hili kwa nguvu zako..mbebeshe Mungu atayamaliza yote.
@juliusmatalo22114 жыл бұрын
MILLARD AYO WAPO WATANGAZAJI WENGI ILA WEWE UMETULIA SANA
Amefariki Lakini Bado Unamwonesha Heshima ( Mume wangu ) Hongerah kwa hilo
@faustinanyamtengera37764 жыл бұрын
Tujifunze kwa hilo.
@floramrina49024 жыл бұрын
Thats one side tunaomba upande wa R.mengi mdogo wake coz hatuwez judge upande mmoja.
@mariamkalinga26284 жыл бұрын
KIZAZI JEURI sana
@erick4realy4194 жыл бұрын
KIZAZI JEURI hongera wapi Ana tafuta ela uyo
@janethkilonzi42603 жыл бұрын
Inafurahisha mno
@ksnjos0014 жыл бұрын
Hii inatuonyesha umuhimu wa kuoa mwanamke mzuri na mwenye hekima atakaye kukutetea na kulinda heshima yako wakati umekufa... Mungu anatuona jamani acheni roho mbaya
@emanuelelias31904 жыл бұрын
Mambo
@ntohozemedi13524 жыл бұрын
Kabisaaaaa
@nurueneza57714 жыл бұрын
Mungu atakusaidia mama iko njia mbele za mungu
@tausimwaluvalile1094 жыл бұрын
Nikweli kabisa ,huyu Dada mstarabu san
@thomassemwanga2013 жыл бұрын
0)
@emanuelmoshama38994 жыл бұрын
kama ume mwona bibi alo ganda kule nyuma gonga like
@rechrontv24534 жыл бұрын
TAZAMA HII PIA kzfaq.info/love/nf7IjFNkRYWzNFGyDzJa7Q
@praizahmontana50244 жыл бұрын
NEW💥💥HIT SONG 💥 Click the link to watch. kzfaq.info/get/bejne/iquoZ9B-xMm1j4E.html
@michaelngaliga18024 жыл бұрын
Huyu mdada anajua kujieleza sana sana.Hupo humble,so smart and straight.
@ladyhappinessenock69024 жыл бұрын
She is so innocent and intelligent,may God heal her heart
Watoto wetu wakubwa una Moyo was kuwadhamini watoto wote ulioachiwa na mme wako jack. Mungu awe nawe cku zote
@susannamusindi99504 жыл бұрын
To Jackline Mengi. Here is an advise. The 50% which Mercy received was divorce settlement which does not include children because the children are not being divorced. If I may speculate, the chilfren are in the court because they want their inheritance from their father because their parents divorce is never their inheritance. It is their right to file a case to demand their inheritance. Whether their father left anything or not. In this case, if nothing at all was given to the children in question, then their father was malicious and bitter towards them, and the court could nullify the will and award the children something But if their father was clever enough and left even 10 shillings for them, then the will cannot be changed it will stand because something was left for them to inherit no matter how small it may be. So, here the Law has to be applied. Thanks.
@christinewomanoffaith54794 жыл бұрын
Asante kwa ufanunuzi!
@yudatadeshayo44344 жыл бұрын
Upo right kabisa na sheria iko wazi
@priscaleonard96004 жыл бұрын
Susanna Musindi fact
@davidmwaseba1094 жыл бұрын
Touch down madam
@patrickjuvenary58154 жыл бұрын
Real, I catch up with this inscription, there might be such a roaming picture!!
@aniveaderickson41744 жыл бұрын
This is very logical and maturity, its a very outstanding one from you ayo, thank you.
@rosemushi46204 жыл бұрын
Deseesss; $$3 .
@josephmahay14384 жыл бұрын
I appreciate this woman so much..Jacqueline Mengi she is very intelligent with smart mind
@hamadhamza87644 жыл бұрын
Millard big up sana
@kelvinmasika4 жыл бұрын
Millard umeihandle hii interview vizuri sana, a true professional. Keep it up man. Umemaliza vizuri sana kwa kuingiza social life.. perfect interview from you in a while. Kweli Ng'ombe hazeeki maini..
@saidjuma97824 жыл бұрын
Perfect ☑️☑️☑️☑️
@saumuhassan63654 жыл бұрын
Mashallah, Umeongea vizuri na umejibu vizur, nimekupenda bure my dear, pole sana kwa mitihani uliyopitia, pole sana kipenzi 😘😍 *Millard* we kiboko uwo ufafanuzi wa kuibiwa nilikuwa nausubir kwa ham, hongera sana kwa kazi nzuri #MillardAyo
@banyangajumah89854 жыл бұрын
Nakupenda bure mama unabusara katika comments naomba uwe rafiki angu
@exalttarimo50834 жыл бұрын
Milady ur the best sanaa ,upo vzr kuchimbua na kuuliza mana nadhan twafurahia kusililza upande wako zaid ya mlengwa
@shanawilliam10504 жыл бұрын
Exalt Tarimo v true
@everlynewepukhulu95534 жыл бұрын
Hugo
@husnatgamaah13354 жыл бұрын
he is the best interviewer yan anauliza kwa utaratibu na anampa mtu time ya kujieleza.
@mwanaidimajid83823 жыл бұрын
umeniumiza sana dada Jacky duniani tunapitia tu
@worldlyricssongs61414 жыл бұрын
Omg ..she's beautiful, smart, intelligent n I love her...
@danielringia11214 жыл бұрын
Milard una maswali yenye mitego!!!
@veronicandunguru98764 жыл бұрын
..
@monamunga79503 жыл бұрын
Stupid ivi ni nani asiris Mali ya baba kisa baba am epata wadogo tu hapana
@patricknamangoa64683 жыл бұрын
The interview is full of the wise, decent and intelligent utterances. Congratulations Ayo on this amazing interviewing practice. Very sorry Mrs. Mengi for all the difficulties you go through. I truly believe in God that everything hard to you shall pass immediately!
@vero574 жыл бұрын
Hongera sana kwa kujibu maswali JACK welldone girl
@mtagechota10024 жыл бұрын
Sema dada mpole jaman nimerudi kuimalizia 😔 ila nimejifunza mengi sana ahsant millard ahsant jackline jaman nimetamani kulia lakini mungu yupo🙏❤🤲
@wairimu91134 жыл бұрын
What a beautiful,smart and intelligent woman.peace be with you.
@litokai4134 жыл бұрын
Mzee aliachana na mke wa kwanza na sio watoto wake,hata kama watoto walipata mali kutoka kwa mama yao bado wanahaki na mali za baba yao pia,yani wanatolewaje sasa?!wewe ungekuwa kwenye position ya hao watoto wa kwanza ungekubali??chukua chako kilichocha haki ya kwel na ww ujijenge,ukazalishe upate cha kuwarithisha wanao pia na ww..
@alliyahamiiy41204 жыл бұрын
Fala ww kwani awezi kuolewa
@zakyahya46454 жыл бұрын
Mchawi wewe
@litokai4134 жыл бұрын
@@zakyahya4645 mama ako
@ahmadakishingo19354 жыл бұрын
None sense aliewatowa ni yy mwenyewe kwa sababu aliandika usia
@bethmziray6903 жыл бұрын
Point sana, una akili Sana
@karigothabiti75084 жыл бұрын
UKIANGALIA KWA MAKINI MILLARD ANAJIANDAA YEYE NA ANAIANDAA NA INTERVIEW KUTOKANA NA UZITO WAKE ONA MAZINGIRA YA UTULIVU SOUND NA LOCATION HII INAFANYA KUWA BEST
@mcrootsav77124 жыл бұрын
Sure yuko vizuri sana hadi raha...anaipenda kazi yake na anaitendea haki pia...hongeera @Millard ayo
@dmginfo24704 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/ad6Ke5aTrtCqfKs.html
@babyhamisi53314 жыл бұрын
Uko sahihi kabisa
@saidjuma97824 жыл бұрын
Perfect ☑️☑️☑️☑️
@justinemlowezi91434 жыл бұрын
htr nanux
@janetluseno58554 жыл бұрын
This is what widows in Africa go through. May God guide the kids.
@ilovejesus93034 жыл бұрын
Very true
@nellymatalanga50334 жыл бұрын
Sad that after ur hubby dies familia yake inanza kukuonesha dharau, fighting for wealth making u look like a nobody .when I think of this it mks me sick aki 🙄🙄
@teoadam44654 жыл бұрын
huh
@emanuelelias31904 жыл бұрын
Mambo
@leaherasto9294 жыл бұрын
Iko Mali ya kutosha kwa kila mtu kuishi vizuri sio sababu yakugombania Mali ambazo aliyezitengeneza hayupo.....i like this Mungu akutie nguvu Jackline.
@allthingdranabeauty4 жыл бұрын
Yan interview yote Mume wangu yan alikuwa na really love ❤️
@fredrickbuteye71534 жыл бұрын
Millardayo aisee ww ni fundi wa interview p1 na ubahili wangu wa mb nimeangalia mpka mwsho
@aminaahmedmohd31484 жыл бұрын
nice interview ata mim nimeiangalia mpaka mwisho uko sawa hongra kwa interview ..na pole dada jackline.
@veronicadaniel11224 жыл бұрын
fredrick buteye Eti ubahili hahha
@ismailmajala28024 жыл бұрын
😆😆😆🤝
@josephk904 жыл бұрын
Anayehoji mtaalamu.. anayehojiwa akili kubwa. Well done u all.
@rizdenpopitin25374 жыл бұрын
Kabisa yaan huyu millard Ayo ukiachana na kua utangazaj ni taaluma yake lakin pia anakipaj cha kumfanyia mtu interview safi kabisa mpaka mtazamaj una enjoy
@bahatilaizer80904 жыл бұрын
Jackline you are so intelligent,respectful and wise
@Basagamp44 жыл бұрын
Millard Ayo wewe ni Mwandishi Booora kabiiisa kwa Upande Wangu. Naipenda Kazi yako na MUNGU akuweke.
@edwinshaltielmagwano4684 жыл бұрын
Jack is telling the truth when a family member takes you to the court is no longer a relative.
@gaudencemaumba75944 жыл бұрын
My SUPER PRESENTER of all time.. MillardAyo...💥💥💥💥
@dmginfo24704 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/ad6Ke5aTrtCqfKs.html
@salvatorymassawe9654 жыл бұрын
Polesana
@ombeninassary74284 жыл бұрын
Brother wewe ni kichwa. Sidhani kama kuna mtu anaweza kufanya mahojiano kama wewe nchi hii. Big up brother. Am proud of you.
@psalm23464 жыл бұрын
Afrca masharik akuna km yy
@tomhenry50854 жыл бұрын
Milad thanks for that interview, the woman is sincere. It seems Benjamin will never give her peace. Jackline fight for your kids.
@gabrielnkya97834 жыл бұрын
Nyinyi wazee wangu wakichaga tunawajuwa sanaaa mnapenda sana vibinti vidogo mnazeekaga vibaya nawajuwa ,mkiachana na wake zenu mnatafuta mabinti wadogo mwisho mnatusumbua sisi watoto wakubwa tulio bakia sio mzee mengi wapo wengi ambao sio maarufu yametokea haya yaliyopo kwasababu huyu mzee ni maarufu.
@anawa43264 жыл бұрын
No 1 mwanahabari respect millard 👏🏼🇹🇿
@asiajuma83304 жыл бұрын
Kama umeona millard ajavaa rozali na kofia gonga like yako hapa
@francokigosi62864 жыл бұрын
Aisha unachunguza balaa
@nadrahassan52414 жыл бұрын
😂😂😂😂
@saidjuma97824 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@sarahmsengi93414 жыл бұрын
😂😂😂
@mohammedsudi51514 жыл бұрын
Kwery
@annshiro7694 жыл бұрын
This woman is so humble ...smart na ako na respect....jackie may God fight your battles ....hasahau kusema (mume wangu)
@feezdidthis22204 жыл бұрын
xcatly how modern gold diggers are
@michaelngaliga18024 жыл бұрын
Kweliiiii !!!!!ana akili na yupo humble.
@robertwamaya29844 жыл бұрын
Mrs Jacqueline Mengi... Im very impressed by your principle message.. Honouring the name of your husband ... Mengi's name should not be dishonoured due to inheritance. You truly loved this man and Benjamin should respect that for the sake of future generations.
@husseinomary44664 жыл бұрын
Msiba watajiri shida Sana kwa masikini saaaafi mnalipa madeni ya marehemu Kisha familia anakula viazi maisha yanakwenda
@gabrielnkya97834 жыл бұрын
Ndugu zangu wachaga wenzangu na wamachame wenzangu au wazee wangu embu naombeni tuache kuangaika navibinti vyenye umri mdogo ,ambao wanafanana na mtoto wako hiyo inafanya leo kunakuwa na shida kama hizooo za mari wazee wangu mkiachana na wake zenu bora umzalishe mtu sio kuoa hii ndio inaleta shida,ukifata sheria huyo dada koz ni mke wa ndoa hatapata haki zote naombeni wazee wangu wakimachame shida ndio mnatuachia sisi tulio tangulia ktk dunia kabla ya hao watoto ,maana kiukweli watoto lazima wapate haki Zaooo hila wakuwalaumu wazee wetu wa kimachame muache mnapendaga sanaa ktk uzee wenu vibinti vidogo ,mm tunajijua nyinyi mamangi acheni mambo yenuuuuu ,mnatuzalilisha sanaaaa sisi vijana wenu acheni kituachia shida .
@gabrielnkya97834 жыл бұрын
Ndugu zangu wachaga wenzangu na wamachame wenzangu au wazee wangu embu naombeni tuache kuangaika navibinti vyenye umri mdogo ,ambao wanafanana na mtoto wako hiyo inafanya leo kunakuwa na shida kama hizooo za mari wazee wangu mkiachana na wake zenu bora umzalishe mtu sio kuoa hii ndio inaleta shida,ukifata sheria huyo dada koz ni mke wa ndoa hatapata haki zote naombeni wazee wangu wakimachame shida ndio mnatuachia sisi tulio tangulia ktk dunia kabla ya hao watoto ,maana kiukweli watoto lazima wapate haki Zaooo hila wakuwalaumu wazee wetu wa kimachame muache mnapendaga sanaa ktk uzee wenu vibinti vidogo ,mm tunajijua nyinyi mamangi acheni mambo yenuuuuu ,mnatuzalilisha sanaaaa sisi vijana wenu acheni kituachia shida .
@khadijamalifedha47864 жыл бұрын
😀😀😀
@babuubarotti84184 жыл бұрын
Eeeeh mwaya
@dayanawatson15124 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@alexmurithi13274 жыл бұрын
Kwako diamond platnumz hope you learning something from this case. Endelea kuzalisha wanawake tu hivi hivi
@gloryosias66724 жыл бұрын
😂😂😂my ribs
@hassanpazi72164 жыл бұрын
and is he listening to your rubish??
@mathiaszakaria70524 жыл бұрын
Wakenya buana😂
@dainagano36564 жыл бұрын
😂😂😂😂
@Machapatize4 жыл бұрын
diamond platnumz ni mnyama haoi .....
@rayaalaisari45924 жыл бұрын
Mashaallah Leo nimefahamu vizuri sana..kumbe watu WA likuwa wanaongea tu hawayajui. Inshaallah mwenyezi mungu Atakusaidia Dada ulee watoto wako
@sir-david62444 жыл бұрын
no body knows the real truth except Mr Mengi.lets all learn from this
@zamizozamy55284 жыл бұрын
Exactly!
@MultiOnestopshop4 жыл бұрын
What at amazing interview...you know how to conduct an interview in a very professional manner..
@eusebiamasoi60694 жыл бұрын
Kwa kweli huyu mwanamke ana busara mno. Endeleza hilo Jaq. Mungu akubariki
@FlorenceDDR4 жыл бұрын
God is with you. Intelligent, respectful, wise woman 🙏🏾🙏🏾
@sanekwilabya44534 жыл бұрын
true Florence
@clausemsemwa2974 жыл бұрын
Interview za kisomi Raha kusikiliza unajigunza kitu...
@clausemsemwa2974 жыл бұрын
The truth does not belong to us
@bushbabytz4 жыл бұрын
intelligence on camera!? even a dog can be that much!
@FlorenceDDR4 жыл бұрын
lovsply you have your opinion and l have mine. Kule mtu anauhuru wakuamini anachotaka kuamini. If l felt she was wrong l would say so. I understood everything she said. Marehemu Mzee Mengi hakuwa mjinga, he was a very educated and smart human being na pia alimpenda Mungu. I believe he was fair with his decision according ya mirathi! Sorry nachanga kiswahili na English
@maureenocholla4244 жыл бұрын
Jacqueline my heart goes out to you.I live in the UK and followed the news since your husband passed away the way you were treated was brutal.Your children are their blood relatives and deserved to be treated better.May the almighty god guide you through all the negative things spread about your husband.
@evagervas79004 жыл бұрын
Jack unaheshima sanaaaa kitendo cha kuita watoto wetu wakubwa Nakupenda sanaaaa jack
@maryrichard48674 жыл бұрын
Sanaaa, yaani ni wachache sana wenue moyo kama wake
@mahmoudukusso44884 жыл бұрын
Kuna pesa hapa ,hata miguu italambwa sembuse kusema mume wangu
@elizabethkimari62244 жыл бұрын
@@mahmoudukusso4488 😀😀😀😀😀
@dedera1054 жыл бұрын
watoto wake au wenzake, koz umri wao mmoja😂
@evagervas79004 жыл бұрын
@@dedera105 hata kama umri wangekuwa sawa kilichoonelewa hapa ni heshima sijui umeelewa hapo
@iddimoshi84594 жыл бұрын
Keep on being strong Jacqueline. God is with you, Nothing will harm you.
@ashurabakiri84274 жыл бұрын
Hii interview nimeisikiliza kwa umakini mno,huyu dada anaakiri sana, Mungu 🙏 amsimamie tu kwakweli
@jicholafursa70584 жыл бұрын
.
@nazmaabdullkarim80224 жыл бұрын
Dah ndugu wamume kwa mali nihatarii sana jack upo makin kujibu maswal had raha Kama. Umemuona jack anameza mate yauchungu like hapa
@JOHNCSHIO4 жыл бұрын
Jacqueline has spoken in a very articulate way,with complete calmness. Hope you will find a way through this!
@glorychristopher72832 жыл бұрын
Jacgueiine be strong
@antybabybintrashid23334 жыл бұрын
High brain capacity plus true love amefarki but still respect is there (mume wangu)
@@benji8949 smtyms tc nat Ol bouh money jmn ...mbona kuna watu maskini wanafiwa na still wanaita wapenzi wao waliokufa as mume au mke wao.
@agnesschami8214 жыл бұрын
💪
@gracesanga31734 жыл бұрын
I feel her pain 😩😭. Tupendane jmn hpa duniani tunapita tu
@tinosamwel19414 жыл бұрын
Grace mapembelo
@gracesanga31734 жыл бұрын
Tino Samwel 😆😆😆
@tinosamwel19414 жыл бұрын
Unajifanya ujui
@joshuaalex42514 жыл бұрын
Kweli kabisa Grace, unaona ni namna gani anaongea kwahisia sana. Mungu amsaidie sana Jacklin.
@daudimalusu31424 жыл бұрын
Tupendanee tu hapa hamn namna
@catherinesafari23242 жыл бұрын
Millard you are so amazing dah!,,Jackie😚 nakuombea sana nimekupenda bure
@tinadavid97154 жыл бұрын
Mrs meng yuko vizur sana pole dada ndio maisha yanavyokua pale tu mtu muhim anapoondoka. Mung akusimamie katika mapito unayopitia
@WasafiSports4 жыл бұрын
Bora umemuhoji mwenyewe!. Nice Interview.
@jayratumaulid5824 жыл бұрын
Umeona eeeh
@ebbydjmnyamwezi9793 жыл бұрын
Hii mambo
@ashabakke47334 жыл бұрын
Nice to hear your story after you lost your husband. R.I.P Mengi.
@tabumasumbuko72134 жыл бұрын
Grory to god
@genovevatarimo70234 жыл бұрын
Nimegundua hata kuongea mlisha fanana sanaa. Alafu una hekma Mungu ni mwema mpenzi kuwa mkakamavu siku zote ndugu ndo wanao haribu familia ya marehemu.nakupenda bure perfect I love mamy.Hekima na maarifa usiviache pambanaaaaaaaaaaaaa.
@salumsumbu38454 жыл бұрын
nipeni like za kutosha kwa muuliza maswali na mjibu maswali,,pole mama jaden
@dmginfo24704 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/ad6Ke5aTrtCqfKs.html
@onlytecna94984 жыл бұрын
I love her no matter what mti wenye matunda ndyo unaopigwa mawee Stay strong dear Jaqline hakuna mwanzo uliokosa mwisho,,,,watu wataongea mengi lkn at the end ww ndo unaojua ukweli wa haya yote I wont judge u in any way,,,,all I can say just be 💪 strong and keep on focusing everything will be fine💕💕
@lonicamagupa34164 жыл бұрын
Pole sana jacrine mungu ni mwema atakupigania
@kabulakamotta37404 жыл бұрын
Pole sana Jack tuK nyuma yako mama tunakuombea Mwenyezi Mungu akupe nguvu kipenzi
@kiazikitamu39854 жыл бұрын
Watoto wana haki ya kutembelea kaburi la baba yao, huyo ni baba yao they cannot change the truth.
@klystry12344 жыл бұрын
kiazi kitamu na hio percent wapewe ni haki yao
@mpalleymwaipola74354 жыл бұрын
Kama umeona mahakamani kumevunja uhusiano.sasa unalalamije KUTOKUFUNGA getting?
@bushbabytz4 жыл бұрын
and you can not change the truth that they cant
@marysylvery58264 жыл бұрын
Facts
@jonesmedia41204 жыл бұрын
What is good with dady's grave?
@noelnyoni37244 жыл бұрын
Duh....This interview was tough, on both sides, some questions are extremely uncomfortable but they had to be asked and answers given. Pole dada Jacqueline..I hope you will find closure. Millard I admire your professionalism but you’re mindful of her feelings.🤝🤝....I am touched and learned a lot.
@Reneetzfinest4 жыл бұрын
You are in my prayers Jack na watoto...hii interview imenifundisha mambo mengi sana naweza kusema ni Interview nzuri kuliko zote alizowahi kufanya Millard 🙏🏽🙏🏽
@einsteinmboje47304 жыл бұрын
Aiseeeee Kweli Usisikilize Ya Watu Zaidi Kuliko Muhusika ... Ameongea Confidently Sana !! Hongera Millard Kwa Maswali Positively Na Yenyewe Kuleta Tija kwa Jamii
@lydiathadeous66444 жыл бұрын
Better play your part Yani kama una sehemu yako ya mali relax Lea watoto zako Acha ligi na wamachame trust me Acha ligi na wamachame take my words
@salmaalimusa5474 жыл бұрын
Yea ashukuru kwaalichokipata
@ngometvarusha40304 жыл бұрын
Hahhahahhaha
@christinewomanoffaith54794 жыл бұрын
😁kwann,wamachame wana nn jmn
@Bigboy-nx3nc4 жыл бұрын
Lydia Thadeous Muha wa Kigoma umejuaje kuhusu Wamachame?.
@kevinjohn45074 жыл бұрын
Wajane waachwe kunyanyaswa , sababu hii tabia inafanyika sana ktk jamii za Kiafrica na Asia
@ummywashir3644 жыл бұрын
Watafute na upande wapili uwahoji ili ubalance story
@happyholm17614 жыл бұрын
Ni kweli kabisa.. maana ajitetee kwanza huonekana kuwa na haki
@dmginfo24704 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/ad6Ke5aTrtCqfKs.html
@frankngajilo71374 жыл бұрын
Ile sio level za mitandao huyu anamaisha yasiyo ya ile familia
Kwa kweli haya nimeyashuhudia babaangu alipofariki mamaetu alinyang'anywa vitu vingi mashamba yaani ndugu wa mume balaa
@rutyfunisacapastar60884 жыл бұрын
joyce nahimana wanapitia maumivu makubwa mpaka hata mm nimeumia😭😭😭
@neemayo46934 жыл бұрын
Pole my dada
@neemayo46934 жыл бұрын
Nimaisha achana nao
@neemayo46934 жыл бұрын
Watafutie Watoto wako maisha huachane nao hao wanamapepo
@fredyjoseph50924 жыл бұрын
Hongera sana sster jack pia pole sana kwa kumpoteza Mume wako mpendwa Mzee wetu Mengi hakika umejifunza Mengi #Pambana Mtangulize Mungu Utayashinda ya Dunia. Hapa tunapita tu acha wakuzulumu kila kitu but wajue hawakuzulumu ww wanamzulumu damu yao damu ya Dr Mengi na hakika haitawaacha bure yeye aliyezitafuta hizo mali kaziacha bisi nao watambue watondoka na wataziacha!. Mungu akakusimamie pia akawabariki wanao wakakue katika kimo cha kumpendeza Mungu na Wanadamu Baraka na Amani ikawe juu yao. Amen
@aminatabakari27414 жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki kwa wema na hekima!!!
@amanidaudieliya73443 жыл бұрын
Hongera Dada huko vizuri sana, na hongera kwa muheshim mme wak kwa muheshim pak Sasa,
@latriciah01augustino674 жыл бұрын
Ndio maana Allah amesema kila kitu ni mtihani uku duniani, Ukiwa nacho mtihani na ukikosa mtihani Jacky unaongea yote hayo point kubwa ni MALI period 🙌🏽
@LeeUfudu4 жыл бұрын
Dada upo poa kabisa huyo benjamin atafungua tu gate siku zake znahesabika tu wee ndio mpango mzima umeelewa
@naomiselele28424 жыл бұрын
Pole Sana Jack mungu mwema atakusaidia tu
@ashreymapinda53214 жыл бұрын
Unampa mtu pole wakati wewe hapo ulipo hata mkokoteni huna na unamuonea huruma wakati anamiliki nyumba na majumba wewe hata slop ya simba dumu huna watanzania tukue kiakili wewe msikie na kila kitu sio yeye sasa jiulize ni nani
@abubakaryalmas76734 жыл бұрын
@@ashreymapinda5321 Kwaiyo kumpa pole amekosea ama? Ni bora uyo unayemsema hana ata mkokoteni lakini ana amani moyoni mwake kuliko uyo Dada unamuona anamali lakini apo analalamika amani hana wala furaha. Kikubwa kuwa na amani na furaha tu ya maisha Mali zinatafutwa
@dmginfo24704 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/ad6Ke5aTrtCqfKs.html
@abelcmfukwe26254 жыл бұрын
Polee sana dada jack,, mungu alie mtetezi wa wote yu pamoja nawe.
@ashuramshenu11594 жыл бұрын
pole sana dada
@lovemallya16114 жыл бұрын
Uko vizuri sana madame .hongera sana Uliambukizwa busara na mzee mengi
@irenekitomary72714 жыл бұрын
Yaan jackline amejieleza vzr bila kupepesa maneno I know unayopitia jack stay strong mum Yaan wewe ni future yangu
@kanezasheikha64264 жыл бұрын
Asant mawaz kam yangu
@aisharamadhan52574 жыл бұрын
Dahhh,,, mungu awasimamie hao watoto wakue salama , japo sifahamu kiundani zaidi ila wangezungumza kifamilia tu yakaisha
@gracefesto4134 жыл бұрын
Wakuache kabisa mama Mengi. Hakikisha haki yako na watoto inapatikana .
@suzziejelagatt4 жыл бұрын
Shes very wise and humble . Beautiful in a out. All is well. U will conquer it all.
@mugemainyas52414 жыл бұрын
Millard ayo una hekima sana . So nice interview. Pole sana mke mwema
@boscobamwenda71703 жыл бұрын
Mungu kwel aingilie kati,pole dada jack
@ellysilwani92874 жыл бұрын
Pole Jack,!dunia tambara bovu,dunia duara,yatapita tu, lea wanao,Muombe Mungu akutangulie kwa kila jambo,muda wote Jack mtangulize Mungu .Barikiwa!
@neemasalema15464 жыл бұрын
Pole sana Jack Mungu yupo pamoja nawe alisema yeye ni mume wa wajane na baba wa yatima Ole wao wanyanyasao wajane na yatima
@salmalody1024 жыл бұрын
Mali hizi mtihan
@alexmurithi13274 жыл бұрын
The biggest lesson have learnt. The Rich also cry
@stellaegidio27494 жыл бұрын
Wise comment👌
@elizabethjoseph21164 жыл бұрын
Tena saana tuu
@dainagano36564 жыл бұрын
Kabisa yaaani
@effieyange53924 жыл бұрын
true
@janetluseno58554 жыл бұрын
What I know is mostly in Africa, widows go through shit after the death of the husband.
@lauryjerry15664 жыл бұрын
Ni kweli kupata haki yako unabidi uzungumze..ungekaa kimya wangekudhulumu na kuharibu reputation !! Mungu akusaidie Jackie!! Justice must prevail!!!
@ashamsuya27404 жыл бұрын
Pole sana kwa unayopitia,mtumainie mungu tu atakuvusha,ndio mitihani ya maisha
@xizojr4 жыл бұрын
Best interview Tanzania So far..
@naamohamed99644 жыл бұрын
Nampenda huyu dd akiongea
@irenelucy63494 жыл бұрын
Jack don't allow anybody to immediate you,your very intelligent woman I love you jack
@khadijakalangu614 жыл бұрын
Your are the best and best ever mom and wife Jacky. Mungu atazidi kukusimamia kwa kila hatua unayopitia kwa sasa.
@mwalamik4 жыл бұрын
sad story,, wengine wanaweza kujifunza kutokana na story hii...., the true story
@kyaro59454 жыл бұрын
Shemeji Jack you are cute! and strong in your mind...keep it up...
@chachamwita99873 жыл бұрын
Mama pole sana mungu akutangulie akusimamia watoto wako. Hayoyote nimapito yaDunia yotetumuachie aliyejuu yetu
@vailethalabama82554 жыл бұрын
Jackline yo strong woman mungu akusaidie akutie nguvu👏 Millard keep it up⚡
@beatricejoseph35374 жыл бұрын
Naaamin anachoongea jack kwan mwanaume akioa mke msichana mapenz yanaweza kufanya ampe Mali zote japo sheria ina pinga nimekuelewa jack
@moringelangas72764 жыл бұрын
You speak well,siku zote msema peke mshindi,kinachonisikitisha dada yangu Jaque hatambui kama ana watoto wakubwa wa marehemu Dr.Mengi,hata kuwataja majina hayo anaona kinyaa,kitendo cha yeye kutowatambua watoto hao ni dhambi kubwa sana na dhambi hiyo itamtafuna vibaya.
Pole sana Jack. Hakika nimekuelewa sanaa. Na pia unayopitia dada yangu kayapitia mume wake kufa na watoto wa marehemu mke mwenzie. Hakika watoto wa mama mwingine ni shida sana kifo kinavyotokea cha baba kuacha mali. Wengi walikulaumu kumbe huna kosa. Mungu akutete sana.
@muniraahmed6244 жыл бұрын
Kama umesikiliza hii interview kwa makini utagundua huyu mdada yuko na Mind + sana na anaakili ya ziada haswa. Mwenyez mungu akupe moyo wa subira . But its so pain😭💔.
@godfreynyansira42734 жыл бұрын
Ñakuelewa sana millard, ,ki ukweli nazikubali sana interview zako, ,j.n.mengi nimekuelewa Mumy, ,